tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Mnaowaita Pisi Kali huko Tanzania, Asilimia 96% Hawana Akili

    Habari wana jukwaa wa JF na heri ya sikukuu ya mapinduzi Nawasalimu nikitokea hapa Ontario Canada mtaa naoishi sitautaja kwasababu za kiusalama.. Leo kabla ya kuamka nikasema hebu nishiriki nanyi jambo moja ambalo kwa muda kidogo nimelifanyia utafiti nikabaini mambo kadhaa kwa hawa...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali isipochukua hatua zaidi tunakoelekea ni kubaya

    Aridhi ya Tanzania inaenda kuhodhiwa na Wageni hasa Wakenya & Warwanda.Idadi ya Wakenya wanahamia Tanzania inaongezeka maradufu.Mwezi uliopita nilisafiri kwenda Msibani Tarime wakati narudi kuelekea Mwanza mida ya SAA 1 kutokea Tarime-wakati tunafika katika daraja la MTO Mara mpakani mwa Wilaya...
  3. JamiiForums Tanzania Mwigulu amepotosha, aliposema kuwa ni watanzania asilimia 3 pekee wanaolipa Kodi nchini Tanzania

    Nimemsikia waziri wa Fedha na Mipango nchini, alipotamka kwenye kongamano la Kodi nchini hapo Jana, kuwa watanzania wengi hawana tabia ya kupenda kulipa Kodi, Kwa kuwa Kwa mujibu wa taarifa yake yeye alisema kuwa ni asilimia 3 pekee ya watanzania zaidi ya milioni 61, wanaolipa Kodi hapa nchini...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania ina uhusiano wowote na Ureno?

    TANZANIA inafahamika saana Portugal kuliko nchi nyingi za Afrika. Nimecheki video fulani YouTube ya ask Portuguese about Afrika. Watu walikuwa wanataja nchi wanazo sifahamu kutoka Afrika watu wengi wametaja Tanzania kuliko nchi yeyote kutoka Afrika. Na ndiyo mara ya kwanza kuona TZ imetajwa...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya na Tanzania zatatua kero 23 na mahusiano ya kibiashara

    Tangu mama Samia aukwae uongozi aliamua kubadilisha taswira kabisa, alidhamiria kufuta zile chuki chuki na majungu zilizokua zimetamalaki kwenye awamu ya tano, watu walikua makatili hadi kutia viberiti vifaranga vya kuku. Kuongoza nchi kwa misingi ya chuki utazidi kuwafanya watu wako wawe...
  6. JamiiForums Tanzania Raia wa Botswana afungwa miaka mitatu kwa kuishi nchini kinyemela

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imemuhukumu raia wa Botswana, Theo Leborang kulipa faini ya Sh1 milioni au kwenda kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa la kuishi nchini kinyume cha sheria na kutoa taarifa za uongo kwa Maofisa wa Uhamiaji. Hukumu hiyo imetolewa jana Jumanne...
  7. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari Tanzania ubunifu ni zero kabisa

    Watangazaji wote wanaongea kwa mfanano mmoja, ni ajabu sana, unakuta reporter wa TBC hana tofauti na reporter wa ITV, house style moja. Sauti moja yaani kama ndo wanajifunza kutangaza. Watangazaji wanatangaza kwa kunata nata sana its like slow motion, sentesi moja ina tamkwa kwa sekunde 17 yaan...
  8. JamiiForums Tanzania Imani yangu ni kuwa Tanzania moja, Serikali moja itatutoa

    Naiangalia Tanzania ya mwaka 2073 miaka 50 kutoka leo. Najitenga na ubinafsi nifikiri bila kuzugwazugwa. Nauangalia mfumo wa Muungano wa Tanzania. Najikumbusha mazingira ya kuanzishwa kwake wakati sultani amefurushwa na hatihati za kutinga kwake tena. Nafikiria wapendavyo wapemba na waunguja...
  9. JamiiForums Tanzania Gavana wa Benki KUU Tanzania!

    Gavana mpya Tutuba! Tutuba holds an advanced Diploma economic planning and MBA in corporate management from Mzumbe Uni vs Luoga a tax law Professor who (Luoga) is accredited for helping Tanzania attain macroeconomic stability, …by Bloomberg. --- Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan...
  10. JamiiForums Tanzania Business as usual

  11. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Zanzibar haijawahi kutawaliwa na Rais Mkristo na ni sehemu ya Tanzania?

    Hapo vip! Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo. Tanzania maana yake ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote ana haki ya kuwa mtawala. Kinachonishangaza na kunipa maswali mengi. Mbona Rais wa Tanzania anaweza...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania tuhifadhi akiba yetu kwa Dhahabu badala ya Dollar

    Dunia inabadilika sana, wanasiasa, wachumi na watu wa mipango wetu wasije kuja kutoa visingizio kuwa hawakujua kuwa itakuwa hivi. Mabadiliko ya uchumi na mpangilio wa uchumi wa dunia inaonekana wazi hata kwa sisi tusiokuwa wanasiasa wala wachumi kuwa dollar itapungua umuhimu wake siku chache...
  13. JamiiForums Tanzania Lucia Pande ateuliwa kuwa Katibu Mkuu Mtendaji Red Cross Tanzania

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Shirika la Msalaba Mwekundu Tanzania (TRCS) chini ya Mwenyekiti wake David Kihenzile, imemteua Lucia Pande kuwa Katibu Mtendaji wa shirika hilo. Awali, Lucia alikua Makamu wa Rais wa shirika hilo. Taarifa iliyotolewa ya Januari 8, 2023 inasema kuwa uteuzi wa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ungependa nani ateuliwe kuwa Waziri wa Fedha Tanzania?

    Let assume tunamtafuta mtu wa kumpa nafasi ya Waziri wa fedha; lakini kabla ya kuteua wewe mwananchi ukapewa nafasi yakupendekeza MTU ambaye Una Imani naye. Ungempendekeza Nani? Siyo lazima awe mwanasiasa anaweza akawa hata mtumishi wa umma au mfanyakazi wa private sector. Tutajane hakuna ajuaye.
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania inatajwa kuwa na uchumi bora

    Wachumi wanaamin Tanzania inanafsi nzur.
  16. JamiiForums Tanzania Wizi wa haki miliki za sanaa (movies and series) kukithiri Tanzania (copyrights infringements) ina maana Serikali haioni??

    Hivi karibuni kumetokea wimbi kubwa sana na uhalifu wa mtandaoni serikali ikishirikiana na jeshi la polisi, kwa pamoja wamechukua jitihada za wazi kupambana na tatizo hili. Lakini kuna tatizo sugu ambalo binafsi naona ni kosa kubla sana na serikali imelikalia kimya. Wizi wa haki miliki za sanaa...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania iwe na ligi moja, Kombe la Mapinduzi ni mzigo kwa timu

    Tanzania tunatafuta vitu vya kusaidia kudumisha muungano wetu kila siku. Hakuna haja Wala faida ya muungano kwa Tanganyika na Zanzibar kuwa na ligi mbili tofauti. Hata kule Spain Barcelona ni timu ya visiwani lakini Iko kwenye ligi ya Spain. Mashindano ya mapinduzi cup Yana lengo la kudumisha...
  18. JamiiForums Tanzania Vijana huu ndo uchawi Uliopo Tanzania ebu kuwa makini.

    Baada ya kufanya utafiti , Nilichogundua ni kuwa Usipokuwa Makini unafungwa( Akili ) Na wakikufunga Akili basi Fahamu hapo wamekumaliza . Mimi nimejionea haya Mambo yaani uchawi huu Victim au muaathirika anakuwa hafahamu chochote. Na mara nyingi watu wa hivi hutumia Muda Mwingi kukosoa Maisha...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania ni kawaida kukuta V8 likiwa na kijakazi likielekea sokoni

    US general fired after using troops for personal tasks – media The high-ranking California National Guard officer has reportedly been removed after two investigations Brigadier General Jeffrey Magram (second from right) speaks to California National Guard service members in August 2019. ©...
  20. JamiiForums Tanzania Mpango wa waziri Makamba wa kupunguza bei ya petroli kwa 75% na Tanzania kuwa petrol hub umeishia wapi?

    Ni zaidi ya mwaka mmoja sasa tangia waziri wa nishati, Mh. January Makamba, atangaze mpango wa serikali utakaoiwezesha nchi yetu kuwa petrol hub itakayokuwa inasambaza mafuta haya kwa nchi nyingi za SADEC na Afrika Mashariki. Mpango ulikuwa kwa kushirikiana na nchi rafiki za OPEC+ kujengwa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…