tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. B

    JamiiForums Tanzania SoC03 Vyuo vya ufundi na VETA ndio mkombozi wa vijana Tanzania

    UTANGUZILI. Tanzania tumekuwa na mabadiliko mengi sana katika mfumo wetu wa elimu rasmi toka tumepata uhuru mpaka sasa. Tumekuwa katika kipindi ambacho vyuo vya ufundi vilipewa kipaumbele na kuonekana na thamani sana kwa vijana na sasa tuko katika kipindi ambacho vyuo vikuu vimekuwa bora na...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki huwa wanapenyezaje watu wao kuwa Marais wa Tanzania?

    Moja kwa moja kwenye mada. Tangu tupate Uhuru linapokuja suala la Rais kutoka ukristoni basi atakuwa mkatoliki. Je, Kanisa katoliki wanatumia mbinu gani kuwapenyeza? Najiuliza kuna mpango wa Siri kati ya kanisa na dola? Au ni bahati tu inatokea! Au kuna Nini!? Nina Imani kwa ule mtiti wa Lowasa...
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Tanzania lini utanifanya nitabasamu?

    Tanzania nchi yangu nakupenda japo unanipa maumivu kila kukicha. Umejaliwa kila kitu cha kunifanya nitabasamu lakini tabasamu sipati. Nimekukosea nini? Niambie basi nielewe, kama ni samahani nikuombe. Vitu vingi umejaliwa vya kunifanya nijivunie uwepo wako lakini nabaki kulialia kila siku...
  4. JamiiForums Tanzania Mama katangaza mchakato wa katiba mpya; Tanzania yote ina furaha

    Ni furaha kila kona wapinzani wamejaa furaha CCM wamejaa furaha watanzania wote tumejaa furaha. Mama katangaza mchakato wa katiba mpya uanze. Aliyenuna sisi hatuna cha kumsaidia. Mwisho wa siku wawakilishi wetu bungeni watatupatia katiba iliyo bora. Hatutegemei wasiotutakia mema nchi yetu...
  5. JamiiForums Tanzania Ni muda sasa wa Tanzania kuungna na Burundi

    Hili taifa linaumuhimu kama tukilileta sehemu yetu na kulimeza Tutafaidika Kiusalama upande wa magharibi Ki uchumi kutokana na idadi yao ya watu Pamoja na mengne Taifa hilo liitwe Tanzabunia
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania elimu ni kipaumbele cha mwisho

    Elimu ni silaha namba moja. Lakini Kwa Tanzania sio muhimu, kuna matatizo lukuki lkn watawala wanaigilolizia. Unawezaje kumuacha mzazi asilipie hata huduma za mwanae huko shuleni. Fine basi msijishauri kumhudumia huyu mwalimu, mmemtupa. Emergine mwalimu ndio anamnunulia mwanafunzi mahitaji mzaz...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu Tanzania yasaini makubaliano na Clearfront kukabiliana na tatizo la ukwasi Sekta ya Fedha

    BoT YASAINI HATI YA MAKUBALIANO NA FRONTCLEAR KUKUZA MASOKO YA FEDHA Benki Kuu ya Tanzania kwa ushirikiano na Tume ya Umoja wa Mataifa ya Uchumi Afrika (UNECA) imetia saini hati ya makubaliano (MoU) na Taasisi ya Kukuza Masoko ya Fedha - Frontclear, yanayolenga kukuza sekta ya fedha nchini...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa vifaa tiba (medical equipment) Tanzania

    Habari, Hill Medical Equipment ni kampuni inayo jihusisha na uuzaji na usambazaji wa vifaa tiba(medical equipment) katika mikoa yote ndani ya tanzania. Pia hill medical equipment tunauza vifaa tiba vyenye ubora wa hali ya juu kwa bei elekezi ya serikali. Tunakalibisha taasisi, hospitali...
  9. JamiiForums Tanzania Takwimu zinaonyesha kati ya watu wote wanaoishi Tanzania asilimia 6.4 walizaliwa kabla ya muungano

    Takwimu hizi zinaonesha kuwa, kati ya watu wote waliopo nchini kwa sasa, asilimia 6.4 walizaliwa kabla ya muungano. Idadi hii ni hazina muhimu kwa Taifa katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijamii, utamaduni na mazingira. Wengi wa watu hawa ni tunu katika kujifunza namna ya utunzaji wa mila na...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya inakuja Tanzania

    Na Bwanku M Bwanku. Ndicho unachoweza kusema na hii ni baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi Mei 06, 2023 kuongoza kikao cha Viongozi mbalimbali wa Serikali kinachohusu kuanza kwa Mchakato wa Katiba mpya, kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania has entered into agreements with three American clubs to enhance tourism and investment opportunities

    Tanzania has signed Memorandums of Understating (MOU's) with the United States’ Major League Soccer (MLS), The National Football League (NFL) and National Basketball Association (NBA) clubs to promote the country’s tourism and investment opportunities. The clubs involved in the lucrative deals...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania yaingiza tani 52,000 nyama ya nguruwe kutoka nje

    Chama cha Wafugaji Nguruwe Tanzania (TAFIPA) kimesema wastani wa tani 52,000 za nyama ya nguruwe huingizwa nchini kila mwaka kutoka nje ya nchi, huku Tanzania ikizalisha tani 27,000 pekee. Katibu wa chama hicho, Collins Ritenga amesema leo Jumamosi Mei 6, 2023 kwenye mkutano ulioratibiwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania Yaingiza Tani 52,000 ya Nyama ya Nguruwe (Kitimoto) Kutoka Nje

    Chama cha Wafugaji Nguruwe Tanzania (TAFIPA) kimesema wastani wa tani 52,000 za nyama ya nguruwe huingizwa nchini kila mwaka kutoka nje ya nchi, huku Tanzania ikizalisha tani 27,000 pekee. Katibu wa chama hicho, Collins Ritenga amesema leo Jumamosi Mei 6, 2023 kwenye mkutano ulioratibiwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania imefanya raia wake kuwa watumwa

    ,,,,,,,,,,,
  15. B

    JamiiForums Tanzania ERB TANZANIA KUSHIRIKIANA na KENYA SHUGHULI ZA KIHANDISI

    02 May 2023 Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania (ERB) iameahidi kuendeleza ushirikiano na Bodi ya Usajili wa Wahandisi ya Kenya (EBK), katika mkataba wa makubaliano ya pamoja waliyoweka ili kuhakikisha wanakidhi vigezo vya ushindani katika nchi za umoja wa Afrika Mashariki na dunia kwa...
  16. JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora na Mabadiliko ya Uwajibikaji katika Nyanja ya Afya nchini Tanzania

    Utangulizi Tanzania, kama nchi nyingine duniani, inakabiliwa na changamoto nyingi katika sekta ya afya. Katika juhudi za kuboresha huduma za afya na kuhakikisha kuwa wananchi wanapata upatikanaji mzuri wa huduma hizo, uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu sana. Katika andiko hili...
  17. JamiiForums Tanzania Ni nini kauli ya Serikali ya Tanzania/ IGP Dodoma kuhusu kifo cha Nasra mwanafunzi wa UDOM?

    Ninaomba michango kuhusiana na thread hii tafadhali?
  18. JamiiForums Tanzania Kununua Dhahabu kama mbadala wa Dola kutokana na kuadimika kwa Dola ya Kimarekani Tanzania pamoja na Dunia nzima

    Wadau poleni na majukumu ya kulijenga taifa. Kama Mtanzania mwenye ndoto na malengo ya kufika mbali nimewaza na kuona njia mbadala ya kuwekeza kwa Dunia ya sasa ni kununua dhahabu. Hii imetokana na hizi siku chache kutokana na kuadimika kwa Dollars kitu ambacho sio ishara nzuri kwa wanauchumi...
  19. JamiiForums Tanzania Biashara ya Tanzania na Ufaransa yaongezeka kutoka Tsh. Billioni 27.8 hadi Tsh. Bilioni 94.5

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax akihutubia mkutano wa pili wa majadiliano ya kidiplomasia kati ya Serikali ya Tanzania na Ufaransa Jijini Dar es Salaam Ukuaji wa biashara kati ya Tanzania na Ufaransa umeongezeka kutoka kiasi cha shilingi billioni...
  20. JamiiForums Tanzania Maombi ya Rais Samia Yajibiwa, Tanzania Yachaguliwa Kuwa Makao Makao Sekretarieti ya Baraza la Michezo Afrika Kanda ya IV

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dkt. Pindi Hazara Chana anayofuraha kuwajulisha Watanzania kuwa kikao cha Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika Kanda ya IV Nazi ya Mawaziri kimeichagua Tanzania kuwa Mako Makuu ya Sekretarieti ya Baraza hilo. Aidha, wajumbe wa mkutano wameazimia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…