Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Mimi ni Mtanzania wa kuzaliwa, Nina haki ya kutoa maoni yangu kama ilivyowekwa katika katiba yetu na tamko la Haki za Binadamu. Kwanini nasema unafaa kwasasa?
1. Nimekufuatilia nimeona una uthubutu,
2. Ni mjamaa mbepari, falsafa nzuri kuongoza taifa kama letu.
3.Ni mzalendo na mwadilifu
4...
Kinafahamika kipaumbele cha Serikali ya Tanzania kilipo. Hivyo ni Kodi, tozo na kulamba asali.
Kwamba yatokee magonjwa yenye kuuwa watu? Hapo tegemea neno changamoto tokea za kupumua hadi za kutoka damu mwilini.
Uganda wamekwisha longa, Ummy anasubiri hadi Marburg iishe? Au anasubiri hadi...
Habari wana JF,
Jumapili yenye mushkeli, kumpoteza bwana wille aka lemutuz, ni pigo kwa watanzania wanaomfahamu na waliopenda vitimbwi vyake mitandaoni. R.I.P.
Turudi kwenye mada. Je! dola laki tano in cash(noti) Unaingizaje Tanzania naomba msaada kwa wajuvi wa kada hii. Kwani naamini wapo...
Kuongeza Uwazi na Uwajibikaji kwa Utawala Bora Endelevu nchini Tanzania
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI: Andiko hili linajadili umuhimu wa kuongeza uwazi na uwajibikaji kwa utawala bora endelevu nchini Tanzania. Litaangazia athari za rushwa kwa uwajibikaji na utawala bora, mambo yanayochangia...
Watu wa vijinini hawana uhakika wa huduma za afya na maji ya uhakika.
Kati ya watu kumi ni mmoja tu anaweza kuwa na smart phone huko vijjini. Hizi pesa kwa nini zisitumike kwa mambo ya muhimu
WAZIRI DKT. DAMAS NDUMBARO AMEJADILI MCHAKATO WA KATIBA MPYA NA TAASISI ZA DINI MBALIMBALI
Waziri wa Katiba na Sheria, Mheshimiwa Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania na Uongozi wa Jumuiya ya Mabohora Tanzania tarehe 13 Mei, 2023...
Habarini wana JF,
Niende kwenye mada moja kwa moja.
Juzi Ijumaa nilikuwa nataka kutuma Doc moja Mkoani ila kwa kuwa na confidential sana nikaona nisitume kwa basi kama ninavofanyaga mara nyingi. Nikaenda Posta lengo nitume kwa EMS na inahitajika J3.
Cha kushangaza nikaambiwa itatumwa J3...
Nimepita pita baadhi ya mikoa ikiwemo Dar, Dodoma, Manyara kwenye Hospital nyingi mitingi ya oxygen ni mingi sana.
Jamani kuna corona chukueni Tahadhali ya haraka sana.
JPM alikuwa nabii
Katika moja ya hotuba zake, Rais Magufuli alizungumzia michango ya 2% ambayo walimu hukatwa kwenye mishahara yao ili kuchangia Chama Cha Waalimu (CWT). Magufuli alisema michango hiyo hukipa CWT zaidi ya bilioni 3 kila mwezi, na walimu wamekuwa hawajiulizi ni kwa namna gani...
Ukisoma vitabu vitakatifu utabaini viongozi wengi walibarikiwa vipawa, nguvu na maisha marefu. Utabaini viongozi wengi wanaombewa waishi sana; utabaini kwamba viongozi wengi walikuwa wana ulinzi wa Mungu naturally.
Ulinzi huu usionekana ulikuwa unawasiaidia viongozi husika kuyaona maisha ya...
Katika nchi zilizostaarabika kifo cha mtu huhitimishwa kwa postmortem (kujua kamili chanzo cha kifo) na inquest ambapo ofisi ya Coroner huhhsika. Kifo hakiishii na mambo ya tiba peke yake.
Mtu anaweza kuwa alikuwa mgonjwa mahututi hospitali, lakini kafa kwa sumu au hata kuchomwa kisu huku akiwa...
Kwa kifupi tu..Kupata katiba mpya nchini Tanzania kuna hatua kadhaa ambazo zinapaswa kufuatwa. Hapa ni baadhi ya hatua hizo:
1. Kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya:
Hatua ya kwanza ni kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya. Hii inaweza kufanywa na Rais, Bunge au kwa kuitishwa na...
Utangulizi
Elimu ni msingi muhimu katika kuleta maendeleo endelevu na ustawi wa jamii na taifa kwa ujumla. Kupitia elimu watu hupata maarifa, ujuzi, na mafunzo yanayowawezesha kujenga uwezo wao wa kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya kiuchumi, kijamii, kisiasa na uwezo wa kujenga mustakabali...
Tanzania imeeleza dhamira yake ya kuendelea kuimarisha ushirikiano wake na Serikali ya Uingereza katika sekta za biashara pamoja na uwekezaji.
Dhamira hiyo imeelezwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb.) aliposhiriki hafla maalum ya kutawazwa...
Magufuli hakika uliifanyia mema Tanzania kwa niaba ya Watanzania Wazalendo na sio Kwa ajili ya Wapiga dili na Wauza nchi mchana kweupe.
Your life was a blessing, your memory a treasure🙏
Utangulizi: Uwajibikaji na Utawala Bora katika Sekta ya Ujenzi na Uchukuzi ni mada muhimu sana katika maendeleo ya uchumi na jamii ya Tanzania. Sekta hii inahusika na mipango, utekelezaji, na usimamizi wa sera na mikakati ya ujenzi na usafirishaji nchini Tanzania. Lengo kuu la andiko hili ni...
Wasalaam nyote!
La mgambo likiliia ujue kuna jambo.
Mnisamehe kwa kuanza na utangulizi wa jazba yote ni maumivu ya uzalendo.
Tanzania ni nchi ya ajabu sana kila Jambo lipo kimazoea, nitoe rai na angalizo uhamiaji haramu kupitia mipakani hasa Mipaka na Malawi, Rwanda, Burundi, Kenya, Uganda ni...