tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Wayahudi Tanzania?

    Ukiachana na wageni au watalii I'm curious kujua km kuna Wayahudi weusi hapa Tanzania na Km wapo community yao kubwa inapatikana wap na Km picha zao zipo. I'm doing some research.
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania kujenga satelaiti yake

    Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake imeanza mazungumzo kwa ajili ya ujenzi wa satelite. Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Mei 18, 2023 katika uzinduzi wa mradi wa minara ya kurusha matangazo ya Televisheni ardhini (DTT) inayomilikiwa na kampuni ya Azam Media Limited...
  3. JamiiForums Tanzania Ninashangaa sana wanaojaribu kuilinganisha Yanga sc na vilabu vingine Tanzania

    Mara nyingi huwa ninaona watu wakijaribu kulinganisha vilabu hivi viwili vya Yanga na Simba, Ila kiuhalisia vilabu hivi vinatofautiana sana kiumri,mafanikio na hata kihistoria. 1.Kiumri Yanga ilianzishwa February 11, 1935, Mwaka mmoja kabla ya kuanzishwa Simba Sc, kwa hiyo kiumri ni wazi Yanga...
  4. JamiiForums Tanzania Video: Rais Samia alivyomkalisha kwenye Kiti chake Mtoto mwenye Ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

    Mtoto Georgina Magesa mwenye miaka 8 leo amekutana na Rais Samia na kukumbatiana naye ikiwa ni Ndoto yake kuongea na Rais pamoja na kutaka kuja kuwa Rais hapo baadaye. Tukio hilo limefanyika kwenye uzinduzi wa Mnara wa Matangazo wa Azam Media Limited leo Mei 18, 2023.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta Bajaji ya kufanyia kazi

    Hello! Natafuta Bajaji ya kufanyia kazi. Nipo tayari kwa mkataba au kawaida kuleta hesabu. Nina uzoefu pamoja na uaminifu wa hali juu. ~ Nina Leseni na kitambulisho cha taifa (NIDA) ~ Namba: 0674074563 ~ Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwa Dar ~ Nipo Temeke Dar es Salaam
  6. JamiiForums Tanzania SoC03 Changamoto za Kufanikiwa katika Elimu na Maisha ya Kijamii nchini Tanzania: Ushauri na Hatua za Kukabiliana Nazo

    CHANGAMOTO ZA KUFANIKIWA KATIKA ELIMU NA MAISHA YA KIJAMII NCHINI TANZANIA: USHAURI NA HATUA ZA KUKABILIANA NAZO Imeandikwa na: Mwl.RCT Utangulizi: Mafanikio katika elimu na maisha ya kijamii ni ndoto ya kila mtu. Hata hivyo, kufikia ndoto hii sio rahisi kama inavyoonekana. Kuna changamoto...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada- Import duty Uganda na Tanzania

    Habari wakuu, Kuna rafiki yangu anataka kununua tani 100 za maharage toka Uganda. Naomba kujua kama kuna tax duties yeyote ambayo atalipa. Pia, kama ipo, naomba kujua ni asilimia ngapi ya gharama ya mzigo. Natanguliza shukrani zangu kwa wote ambao mtatumia mda wenu kunisaidia. Asante.
  8. JamiiForums Tanzania KERO KUU ZA BIASHARA TANZANIA: Wageni kufanyabiashara sawa na wazawa, Polisi kugeuka maafisa Kodi, TRA kushindwa kutengeneza mazingira halisi ya Kodi

    Naona wafanyabiashara wanashindwa au wanasau kero kuu za Biashara pale Kariakoo. 1. Kuwaruhusu Wachina watoke China waje kuchuuza Biashara zao hapa TANZANIA na kariakoo WACHINA wenyewe wanakopeshana na wanapeana mali kwabei nafuu tofauti na mtanzania anaenda kununua bidhaa China alafu hapo hapo...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania na JICA kushirikiana katika kujenga uwezo matumizi bora ya gesi asilia

    TANZANIA NA JICA KUSHIRIKIANA KATIKA KUJENGA UWEZO MATUMIZI BORA YA GESI ASILIA Wizara ya Nishati pamoja Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) wamesaini makubaliano ya kutekeleza mradi wa kujengea uwezo Wataalam wa Wizara na Taasisi zake katika eneo la kuendeleza matumizi bora ya...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Ali Express wanatumia local delivery company gani Tanzania ukitoa Posta?

    Habari wadau. Nina mzigo wangu nimenunua aliexpress mwezi wa 3. Mzigo ulisafirishwa kwa Ali express standard shipping. Na nilipewa tracking number. Nimeutrack mzigo ukaonesha umefika Tanzania kwenye sorting centre na kisha ukakabidhiwa kwa local delivery company.. ambayo hawajaitaja jina...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Watalii kutoka China wahimiza maendeleo ya sekta ya utalii Tanzania

    Muda mfupi baada ya serikali ya China kuondoa kizuizi cha mwisho cha hatua za kupambana na janga la COVID-19, wachina walianza kusafiri kwenda katika nchi mbalimbali duniani. Mwishoni mwa mwezi Aprili kundi la watalii 28 kutoka China, lilikuwa ni moja kati ya makundi ya mwanzo kusafiri kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Kauli tatu za ajabu sana Tanzania kuhusu vifo vya viongozi

    1. Mungu kaamua ugomvi 2. Watu wazuri hawafi 3. Keshaanza kuoza. Naona kama vile kauli hizi zitatutesa sana kwenye umoja wetu kama taifa huko tuendako.
  13. JamiiForums Tanzania Tazameni Ulevi mwingine wa Madaraka wa huyu RC

    Kweli ulevi haufai popote pale duniani. Tazameni Mkuu wa Mkoa anawalazimisha wananchi wenye ndoa wasiachane. Hivi huu ulevi ameutoa wapi au kwa sheria ipi anayotumia kuingilia ndoa za watu? Hakika nchi hii ni ngumu sana kuishi bila kucheka.
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania kuruhusiwa kuandaa AfCON?

    Vigezo hivi hapa
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania Yang'ara Utalii wa Tiba Afrika Mashariki

    Tanzania imetajwa kung'ara katika utalii wa tiba kutokana na watu kutoka nchi mbalim- bali zikiwamo za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kujitokeza kwa wingi kupata matibabu ya kibingwa kwa magonjwa tofauti hususani moyo, mifupa na saratani. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alisema tangu Julai...
  16. JamiiForums Tanzania SoC03 Vikwazo na Njia za Kuboresha Kilimo Tanzania

    Utangulizi Sekta ya kilimo ni uhai wa Taifa. Ni sekta muhimu sana nchini Tanzania, ambayo inachangia sehemu kubwa ya pato la taifa, ajira kwa wananchi wengi na usalama wa chakula. Hata hivyo, kama ilivyo kwa nchi nyingine, sekta hii inakabiliwa na changamoto nyingi ambazo zinahitaji...
  17. JamiiForums Tanzania Wababe wa Kidigitali Tanzania Sekta Binafsi na Umma

    Katika kipindi hiki ambacho dunia inageuka kutoka analogy kwenda digital, utendaji wa sekta binafsi na serikali vinabadirika kwa kasi sana. Leo tuwaangalie wachache kati ya wengi, viongozi wanaoongoza mageuzi ya kidigitali nchini, toka sekta binafsi na sekta ya Umma. 1. Vodacom Managing...
  18. JamiiForums Tanzania TAKUKURU tafadhali vifuatilieni hivi Vilabu viwili vya Police Tanzania na KMC kwa Mechi zao za sasa

    GENTAMYCINE nimezoea kuona Rushwa na Makondakta wa Dala Dala kwa Matrafiki. Ila hii Rushwa ya Kitaalam inayotolewa na Vilabu Viwili Police Tanzania na KMC vinavyopambana kutokushuka Daraja haivumiliki na itaharibu Mpira wetu. TAKUKURU nawaombeni kamateni Simu za Viongozi wote wa Vilabu vya...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa bado sijaona makosa ya Hayati Magufuli labda kosa alilonalo ni kuipenda Tanzania kwa maisha yake na huo ndio upendo wa kweli.

    Mpaka sasa najaribu kutafuta makosa ya Hayati JPM nikiri kusema sijaona makosa yoyote labda pengine macho yangu yameamua kuangalia yanayopendezwa nayo au kwa sababu nyingine yoyote ila sijaona. Nakumbuka Hayati aliwahi kusema alikuwa anafuatwa na makandarasi na kumuahidi mabilioni ya shilingi...
  20. JamiiForums Tanzania Changamoto ya Kiswahili cha Tanzania

    Lakini kiswahili cha Tanzania hua vipi? Kuna maneno hutumiwa pale hata ujaribu kutafuta maana kwenye internet huwezi pata. Kama mnabuni maneno basi pia muweka maana pale kwa internet tujue maana yake. Kuna maneno mengi natafuta maana lakini sipati kamwe🤷🏽‍♂️.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…