tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania January Makamba usitumie nguvu kukataza Mkaa. Bei ya Gesi ndio itaamua Matumizi

    Waziri Makamba mie nakuomba sana huu mtego wa kulazimisha matumizi ya Gesi ya kupikia wakati hata sio Raslimali ya nchi yetu yaani inaletwa kutoka nje ni hatari sana kwa Ustawi na Usalama wa Taifa letu. Ingekuwa hiyo gesi tunachimba wenyewe na tungeweka hata bei ya chini sana ambayo ingewafanya...
  2. JamiiForums Tanzania SoC03 Mbinu shirikishi kuinua kiwango cha uwajibikaji nchini Tanzania

    Ukilinganisha na watu kutoka mataifa mengine ya Afrika Mashariki na Kati, watanzania sio wavivu kama inavyodhaniwa. Kinachokosekana tu ni mpango madhubuti na endelevu wa kuhimiza uwajibikaji miongoni mwao. Baada ya kufanya utafiti wangu kimyakimya, nimegundua kuna jambo dogo tu linaloksekana...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Tax akutana na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania, wakubaliana kuimarisha uhusiano wa Kidiplomasia

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Shirikisho la Urusi nchini, Mhe. Andrey Avetisyan katika ofisi za Wizara Jijini Dododma Leo tarehe 31Mei 2023. Katika mazungumzo hayo, viongozi hao wamekubaliana...
  4. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mambo ya kuzingatia ili kupandisha uchumi wa nchi na wananchi pamoja na kupandisha thamani ya pesa ya Tanzania

    Nawasalimu Kwa jina la Muungano wa Tanzania.Ni matumaini yangu kuwa mmejibu Kazi iendelee. Katika makala hii leo napenda kuzungumzia vitu ambavyo vinafanya uchumi wa nchi kuimarika bila kusahau jinsi ambavyo thamani ya pesa yetu itakavyoweza kupanda na kuwa moja kati ya pesa zenye thamani...
  5. JamiiForums Tanzania Simba ndio timu pekee ya Tanzania iliyowahi kufanya "come back" ya kibabe katika mashindano ya CAF

    Mwaka 1979, Simba Sc ya Tanzania ilipangwa kucheza na klabu ya Mufulira Wanderers ya Zambia katika michuano ya CAF. Mechi ya kwanza katika dimba la taifa ( sasa uhuru ) Simba likufa 4-0 Mashabiki walisononeka sana wakaisusa timu yao. Kikosi kikaendelea na maandalizi ya mchezo wa marudiano...
  6. JamiiForums Tanzania Mshtuko: Bajeti ya Wizara ya Elimu Zanzibar ni karibu nusu ya Bajeti ya Elimu Tanzania Bara

    Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Bi. Leyla Mohamed, leo amewasilisha bajeti ya wizara yake na kuomba kuidhinishiwa kias cha shilingi 457B. Wakati hapo nyuma Kidogo Wazir wa Elimu Tanzania aliomba kuidhunishiwa kias cha Shilingi 1.55Trln. Nikiwa natambua kwamba Elimu ya Juu ni jambo...
  7. JamiiForums Tanzania Malengo ya Elimu ya Tanzania ni mawili, 1. Tunasoma ili tufaulu mitihani, 2. Tunasoma ili tuajiriwe. Njoo ubishe kwa hoja

    Habari! Ikiwa ndugu, mtoto au rafiki kakupigia simu kisha akasema nilikuwa nawasalimia tu lakini baadaye akaanza kujichekesha na kuomba elfu tano hiyo maana yake ni kwamba lengo la kukupigia halikuwa kuwajulia salamu bali kuomba pesa . Vivyo hivyo lengo la Elimu ya Tanzania ni kujenga Taifa la...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati January Makamba afanya historia, Awasilisha Hotuba ya Bajeti yenye QR Code mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania!

    Wanabodi, Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!. Kabla hujasoma hoja za bandiko hili, naomba uanzie hapa kwa kuangalia hili ni bandiko la lini January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania! Sasa leo katika Bunge la Bajeti, Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba afanya...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wamshukia Rais Ruto kuhusu safari nje ya Kenya

    Soma hapa tafadhali
  10. F

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mzaliwa na raia wa Tanzania bara nataka kuwa raia wa Zanzibar, je inawezekana? Nifuate taratibu zipi?

    Mimi ni mzaliwa na raia wa Tanzania bara nataka kuwa raia wa Zanzibar, je inawezekana? Nifuate taratibu zipi?
  11. JamiiForums Tanzania Ndege ya mizigo ya Tanzania Boeing 767-300 kuweka historia kimataifa

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajia kupokea ndege ya kwanza ya mizigo Boeing 767-300 yenye uwezo wa kubeba tani 54 kwa mara moja ili kutatua changamoto za wafanyabiashara za usafirishaji wa mizigo duniani.
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania Lays the Groundwork for Issuing Universal ID

    Tanzania is consulting the US-based Bill and Melinda Gates Foundation on the possibility of establishing the Universal National Identification Card (ID), it was revealed yesterday in Parliament. A new move is meant to integrate the National ID card with other IDs and cut costs that the...
  13. JamiiForums Tanzania Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa unaoifanya iwe chini ya Usimamizi wa Rais watua Bungeni

    Kupitia Bunge la 12 linaloendelea Jijini Dodoma, Serikali imepeleka Bungeni Muswada unaopendeleza Mabadiliko ya Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa. Pamoja na Mambo mengine, Sheria inapendekezwa kufanyiwa marekebisho katika kifungu cha 13 ili kuweka utaratibu wa kuapishwa kwa Mkurugenzi Mkuu...
  14. JamiiForums Tanzania Bangi ndio dawa inayoongoza kwa kutumika Tanzania

    Kama tulivyoaminishwa na hao wanaojiita wataalamu Bangi wanasema ni madawa ya kulevya ila cha ajabu dawa hii ndio inayoongoza kwa kutumiwa nchini Tanzania. Watu wanaitumia kumaliza stress, kujipongeza, kujitibu, kufukuza mapepo, kupata nguvu ya kufanya kazi na kuongeza ujasiri
  15. JamiiForums Tanzania Mikoa inayoongoza kwa kilimo cha Bangi Tanzania🍁

    Bangi ni zao ambalo limepigwa marufuku hapa nchini kulimwa japo baadhi ya nchi zao hili ni "tukufu". Bangi ndio zao linalolipa zaidi dunia kutokana na kua na soko la uhakika na bei yake sio fluctuate kama mazao mengine. Hii hapa Mikoa inayolima Bangi hapa nchini kwa matumizi ya ndani na nje...
  16. JamiiForums Tanzania Watakupa Uhuru wa kuzungumza, lakini je watakuhakikishia Uhuru baada ya kuzungumza?

    Uhuru wa kuzungumza ni muhimu katika mfumo wa kisiasa wa demokrasia. Demokrasia ni mfumo wa kisiasa unaowezesha wananchi kushiriki katika uchaguzi na kuwa na sauti katika maamuzi ya serikali. Uhuru wa kuzungumza ni moja ya vipengele muhimu vya demokrasia, kwani unawezesha wananchi kutoa maoni...
  17. JamiiForums Tanzania Zimbabwe bans export of its valuable raw mineral lithium

    Rais Samia na Makamba...kama inawezekana Zimbabwe hata hapa Tanzania inawezekana. === Zimbabwe bans export of its valuable raw mineral lithium, essential for making electric car batteries, and tells world: "You want to make electric car batteries to combat climate change, make them in Zim!"...
  18. JamiiForums Tanzania Warsha ya kujenga uelewa katika Sekta ya Kidigitali kuhusu Sheria, Sera na Kanuni zinazosimamia Anga ya Kidigitali Tanzania

    Leo Jumanne Mei 30, 2023, Shirikisho la Wadau Wanaotetea Haki za Kidigitali Tanzania (Digital Rights Coalition Tanzania) limeandaa Warsha ya kujenga uelewa kwa Wadau katika Sekta ya Kidijitali kuhusu Sheria, Sera na Kanuni zinazosimamia Anga ya Kidijitali Nchini Tanzania pamoja na kuwezesha...
  19. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kimebadilika katika elimu Tanzania? Tukiendelea kuwaacha wajinga watuongoze watu wenye akili ni hatari

    Labda niulize sisi tuliosoma miaka ya nyuma na sasa kuna kitu gani kimebadirika? Tulisoma bila kuwa na vitabu, hatukujuwa sylubus yoyote, Primary tuliwahi namba SAA 12 asubuhi na SAA 8 mchana ni mwisho wa masomo na kurudi nyumbani na wengi hatukusoma masomo ya ziada tuition lakini kulikuwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Naam, kwa mwenendo huu CCM inajifuta kwenye siasa za Tanzania

    Mimi ni mtu wa kawaida sana. Kauli hii inaweza usiione ina impact kubwa Inawezekana kabisa nisiione keshokutwa yangu, lakini nimejidhihirisha kuwa sauti yenye Mamlaka imeshatamka niliyoandika kwenye kichwa cha uzi huu. Tumezoea kuishi kwa hofu. Mkuu wa chama ndiye amiri Amiri anaapa kwa kutii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…