tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tujivunie vyetu, waweke hapa wanateknolojia kutoka Tanzania unaowajua wanaoweza kuwa inspiration kwa wengine

    Kidogo kidogo tunanyata kwenye mambo ya Teknolojia, lakini hata pole pole ni mwendo. Najua hapa kwetu Tanzania kwenye suala zima la Teknolojia bado tupo nyuma lakini bado wapo wadau wanaopambana kwenye hii sekta na wanaweza kuwa inspiration. Uzi huu weka mtanzania yeyote unaemjua ambae...
  2. Thomali

    JamiiForums Tanzania Vijana tujitafute kwa kujitofautisha na wengine

    Vijana wenzangu ifike wakati sasa tuwekane wazi ya kuwa, hatuna tena mtu wa kumtegemea; sio wazazi, sio ndugu, hivyo vijana wenzangu tuamke na tukajipambanie wenyewe. Maisha ni mafupi sana kusubiri kile tunachokitaka kitufuate tulipo, tena kwa muda muafaka. Najua wengi tunatafuta ajira pia...
  3. demigod

    JamiiForums Tanzania Kuitwa Ikulu ni ishara kubwa kuwa Yanga SC imetuletea heshima Tanzania

    Sio rahisi ofisi aya rahisi ikaandaa mualiko maalamu pasi na kuwa na sababu ya msingi. Ni dhahiri mafanikio ya Klabu ya Yanga SC katika michuano ya CAFCC yanatambulika kama mafanikio makubwa zaidi katika historia ya mpira wa miguu Tanzania. Kwa kulitambua hilo, serikali imeona ni vyema kuialika...
  4. Y

    JamiiForums Tanzania SoC03 Siasa, Uongozi, Utawala na Uwajibikaji: Nini hatima ya Tanzania yetu?

    Siasa, uongozi, na utawala ni mada ambazo zinaweza kuwa ngumu kuzungumza juu yake kwa sababu zinahusisha masuala magumu ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Hata hivyo, mada hizi zina umuhimu mkubwa katika jamii kwa sababu zinaweza kusababisha athari za kudumu kwa raia wote. Katika makala hii...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania tungekuwa na akili tungetengeneza Taifa Stars sio kutegemea Klabu

    Nashangaa sana tunajivunia watu ambao siyo wetu mpaka tunafikia kusema eti wamewakilisha taifa. Kiukweli huko ni kujidanganya na kujipa sifa za kijinga kabisa. Inajulikana wazi kuwa asilimia kubwa ya hawa watu ni wacongo na wanazipenda nchi zao hamuwezi kuwanyanganya haki hoyo hata iweje kwa...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania IT kwa Tanzania ni kituko. Inakuwaje ni nadra kuwakuta waliotajirika? Hawazioni Fursa au ni watupu?

    Ni kawaida sana kusikia katika dunia ya sasa vijana wanachana msamba zaidi ya kupiga hatua kupitia idea za Digital Platforms pindi wakimaliza kozi zao za Computer Science, Computer Engineering, IT, Software engineering, Cyber nini nini huko na kozi nyingine Ni IT wachache mnooooo wameweza...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu nini kuhusu dira ya Maendeleo ya Tanzania?

    Je, unafahamu nini kuhusu dira ya Maendeleo ya Tanzania? Je, ni upi umuhimu wa kuwa na Dira ya Maendeleo ya Taifa inayotekelezeka kwa wakati na kwa kuzingatia rasilimali zilizopo? Je, Dira ya Maendeleo ya Tanzania inahusu uelekeo wa nchi pekee au kuna zaidi ya hivyo? Ungana nasi katika...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Erasto Mpemba: Mwanasayansi aliyefariki bila kuthaminika nyumbani Tanzania

    Erasto Bartholomeo Mpemba (1944 - 2023) alikuwa mwanasayansi kutoka nchi ya Tanzania aliyegundua tabia ya pekee ya maji inayojulikana leo kwa jina la athari ya Mpemba (kwa Kiingereza Mpemba effect). Jina hili linaeleza tabia ya maji kuganda kwa haraka zaidi yakiwa ya moto kuliko maji ya baridi...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Aipongeza Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO ) kwa Ubunifu wa Vifaa Tiba

    WAZIRI MHE. DKT. ASHATI KIJAJI AIPONGEZA TEMDO KWA UBUNIFU WA VIFAA TIBA Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Ashatu Kijaji (Mb.) ameipongeza Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO ) kwa ubunifu wa utengenezaji wa mitambo mbalimbali kwa gharama nafuu pamoja na vifaa...
  10. Zitto

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kagera ni Mkoa masikini zaidi nchini Tanzania; tutaugeuza kituo cha biashara EAC

    - 51% ya wakazi wake wanatumia chini ya TZS 1,644 kwa siku ( mstari wa umasikini Tanzania ni TZS 49,320 kwa Mwezi ). - Pato la Wastani la Mtu wa Kagera ni TZS 1.2M kwa Mwaka. Mtu wa Ruvuma na Iringa ana Pato la Wastani mara 3 zaidi ya mtu wa Kagera. - Mwaka 1994 Kagera ilishika nafasi ya 12...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Taifa la waliokata tamaa, Dawa yake ni nini?

    Mpaka hapa tulipo kama nchi, tumetoka mbali sana! Tumepitishwa jangwani sisi, kwenye miiba na mbigili tumepitishwa, Tumepita kwenye machungu makali na kisha viongozi wetu badala ya kutengeneza vijana na watumishi waadirifu, wamejikuta wakitengeneza vijana wezi, watumishi wa umma mafisadi na...
  12. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Yanga leo inatuheshimisha Tanzania

    helloow africa Simba tunajua mnawivu sana mnaropoka mpaka mate yanawakauka Ila Ukweli usio pingika hapa leo tunaheshimisha Tanzania hapa tukishindwa nitukanwe matusi yote na ban juu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge wapigwa darasa kuhusu nishati safi na salama ya kupikia. Kila mbunge kupewa mitungi 100 ya gesi

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo, tarehe 27 Mei, 2023 wamepata nafasi ya kujifunza kuhusu nishati safi ya kupikia pamoja na kupitishwa kwenye Rasimu ya Dira ya Taifa ya Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia pamoja na Mpango Mkakati wa Utekelezaji kupitia semina maalum...
  14. JF Member

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu bado anamlinganisha Hayati Magufuli na Marais wa nchi yetu tangu Tanganyika na sasa Tanzania?

    Ukweli ni kwamba Hayati Magufuli alikuwa anaipenda hii nchi na Ndoto yake ilikuwa na kuifanya Tanzania kama Ulaya. Bado tunahitaji Rais kama Magufuli. Mungu ibariki Tanzania.
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wabara ondoeni shaka, ardhi ya SMZ Bagamoyo si sehemu ya Zanzibar. SMZ haina hati; limetelekezwa miaka 45 ila Zanzibar inamiliki kihalali

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na kwa maslahi ya taifa. Maslahi ya leo ni hii issue ya SMZ kumiliki eneo la ekari 6000 Bagamoyo. Tangazo la SMZ Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu limeleta taharuki na sintofahamu kubwa kwenye mitandao ya kijamii hadi...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa Ndege ya Mizigo iliyonunuliwa na Serikali ya Tanzania

    Aina - Boeing 767-300F Uzito wa Mzigo - Tani 52.7 (Futi 15,469) Kasi (Speed) - Kilomita 850/900 kwa Saa Ujazo wa Mafuta - Lita 90,770 (Inatumia Dakika 28 hadi kujaza matenki yote) Uzito wa Jumla - Kilogramu 185,060 Eneo la Kurukia - Mita 2408 Eneo la Kutua - Mita 1829 Chanzo: Boeing/Epic...
  17. Mbwana Abdul

    JamiiForums Tanzania SoC03 Teuzi Mpya Tanzania

    Uteuzi mpya wa viongozi na mabadiliko ya viongozi Tanzania mwaka 2022/23 yamekuwa chachu kubwa katika kuimarisha uongozi bora na uwajibikaji. Mabadiliko haya yameleta matumaini mapya kwa wananchi na kuleta mabadiliko chanya katika nyanja mbalimbali za utawala nchini. Katika muktadha huu...
  18. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Presidential Decree ya Miaka Mitano Tanzania

    Huu ni mfano tu, lakini huenda ukazaa mawazo chanya. Naamini, hitaji kubwa la nchi yetu kwa sasa ni mapinduzi ya fikra. Chukulia, umeonekana wewe ni mzalendo sana kwa nchi yetu nzuri Tanzania, hivyo katiba ikabadilishwa na kukabidhiwa kiti cha urais kwa kipindi cha miaka mitano. Hutaruhisiwa...
  19. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Mipango ya Zimamoto

    Mwenye taarifa sahihi anijuze! Wakati wa utawala wa Dr. Kikwete, tulikuwa na KILIMO KWANZA na BIG RESULTS NOW! Alipoingia hayati Dr. Magufuli, kukazaliwa TANZANIA YA VIWANDA! Kabla ya KILIMO KWANZA, BIG RESULTS NOW na TANZANIA YA VIWANDA, kulikuwepo na MKUKUTA, MKUTABITA, SIASA NI KILIMO...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kenya wamkejeli Samia kuhusu uhaba wa dola Tanzania

    Miezi kadhaa iliyopita Rais Samia alisikika akisema Tanzania ipo vizuri kwenye hifadhi ya fedha za kigeni, huku akisema kuna nchi jirani ina hali mbaya ambayo inahitaji msaada Kenya walielewa kuwa anailenga nchi yao yenye tatizo la fedha za kigeni pia) Sasa baada ya Tz kutangaza kuwa na uhaba...
Back
Top Bottom