tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. W

    JamiiForums Tanzania Ushiriki mdogo wa vijana katika nafasi za uongozi Tanzania unatia wasiwasi

    Nchini Tanzania, ushiriki wa vijana katika nafasi muhimu za uongozi bado ni mdogo sana, hali ambayo haionyeshi ukweli wa idadi ya watu wa nchi. Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 ilifunua kuwa takribani asilimia 50 ya Watanzania wana umri wa miaka 18 na chini, na thuluthi mbili ya idadi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania yetu ndio nchi ya furaha

    Nae Baba Nyerere ndie wetu muhifadhi nae ndie alieleta Uhuru, Tanzania Yetu Ndio Nchi Ya Furaha. Huu wimbo sijui ni nani waliimba haichuji aise, unaishi na maana yake ileile. Wimbo una historia pana ya nchi yetu kwa ufupi. Leo hii tuna Demokrasia siasa ya vyama, tuna fedha yetu wenyewe na...
  3. JamiiForums Tanzania IT wa Tanzania ni "copy-paste" wasioweza kubuni; wanafunzi na wahitimu wote wameshindwa kutengeneza mafaili ya VPN free net?

    Waweza kumfundisha kasuku aseme hana uwezo na ukamzawadia zabibu kumuashiria kafaulu mtihani nae akajiona kichwa, basi ndivyo ilivyo kwa IT wetu wa Tz wanafunzi wa vyuoni na wahitimu kibao, vyeti wanavyo na wengine wana ufaulu mkubwa sana lakini hawana uwezo wa kutatumia maarifa hayo lau kutumia...
  4. JamiiForums Tanzania Sennebogen Operators (15) at WASCO ISOAF Tz October, 2023

    Position: Sennebogen Operators (15) WASCO ISOAF Tz is a Tanzania -incorporated company with its head office in Dar e Salaam and its plant in Nzega District, Tabora Region. The Company has been contracte by the East Africa Crude Oil Pipeline (EACOP) Project as a Thermal Insulation Contractor...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania namba 3 nchi bora kwa uwekezaji barani Afrika

    Na Mwl Udadis, Tarime Utafiti mpya kwa wawekezaji wa kimataifa na wa ndani umetoa takwimu kuwa Tanzania ni nchi ya tatu inayopendelewa zaidi kwa uwekezaji barani Afrika na ya kwanza kwa Afrika Mashariki. Hii ni kwa mujibu wa Kampuni ya wataalam wa kimataifa katika shughuli za mahesabu ya KPMG...
  6. JamiiForums Tanzania Ubaguzi, Uchawi na Ushirikina kikwazo cha maendeleo baadhi ya vijiji Tanzania

    Habari yako mwana jukwaa. Naandika uzi huu nikiwa Katikati ya Tanzania (kanda ya kati). Nimeishi hapa kwa miezi 4 sasa, kwa hiyo ninacho andika nina kifahamu vizuri kwa kushuhudia kwa macho yangu. Naishi kwenye mkoa wa 3 toka mwisho kwa umasikini nchini hapa, mkoa ambao elimu iko chini sana na...
  7. JamiiForums Tanzania Nasikitika nimeanza kukosa msisimko wa upendo na uzalendo ninaposikia na kusoma neno Tanzania

    Kwa namna mambo yanavyoenda, mienendo, tabia, maamuzi ya viongozi wa Serikali kuhusu masuala nyeti ya kitaifa katika nyanja mbalimbali nimeishiwa kiu ya kuipenda Tanzania. Hata jezi ya timu taifa na bendera ya taifa sijui navionaje am not proud either, hata nikisikia wimbo wa Taifa sina mzuka...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Serikali imewaruhusu Polisi kula Rushwa?

    Nimezungumza na watu mbalimbali waliowahi kushikwa na polisi kwa makosa mbalimbali karibu wote wanasema walitoka polisi baada ya kutoa fedha. Wengine waliachiwa kabla ya kufikishwa kituoni baada ya kutoa pesa. Wengine waliachiwa baada ya kutoa pesa ambayo polisi waliziita pesa ya kumdhamini...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri huru kwa mawaziri wa Tanzania

    Anayepewa ushauri akausikiliza bila kuufanyia kazi, huyo ni nusu mtu. Anayepewa ushauri akausikiliza na akaufanyia kazi huyo ni mtu kamili. Anayepewa ushauri asiusikilize kabisa, huyo ni mtu sifuri, hakuna mtu hapo. Dhana ya ushauri kwa viongozi...
  10. JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa (UN) Nchini Tanzania kuadhimisha Miaka 78 tangu ilipoanzishwa

    Umoja wa Mataifa (UN) nchini Tanzania unatarajia kuadhimisha miaka 78 tangu ilipoanzishwa mwaka 1945. Akizungumza na waandishi wa Habari kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa...
  11. JamiiForums Tanzania Simba ndio timu peke Tanzania kupata nafasi ya kuanzisha mambo,na wengine hufuata baadae.

    Ni karama itokananyo na bidii,haiji hivihivi. Simba ndio timu pekee kwa Tanzania kupata nafasi nyingi za kuweka historia.kisha timu nyingine hufuata baadae sana. Mfano,kombe la Afrika mashariki lilipoanzishwa timu ya Simba kwa tanzania Ikawa ya kwanza kulitwaa. Simba Ikawa ya kwanza kuingia...
  12. JamiiForums Tanzania Malori 250 ya Tanzania yashikiliwa DRC siku 45 sasa

    Malori 250 ya watanzania yaliyobeba copper yanashikiliwa nchini Congo kutokana na mgogoro wa kodi baina ya Serikali ya Congo na kampuni za madini zilizopakia mzigo huo. Malori hayo na madereva wake wamekwama kwenye mpaka wa Kalumbesa. Balozi wa Tanzania nchini Kongo, Said Mshana amethibitisha...
  13. JamiiForums Tanzania Ndoto niliyoiota alfajiri ya leo imeniogopesha sana, sidhani kama ilikuwa ni ndoto ya dhiki kuu ijayo Tanzania

    Nimeota tumepewa paund 200 na bibi yangu, kila mmoja, mama yangu, mimi na mdogo wangu. Niko kwenye eneo kùbwa la wazi, ni kama karakana, supervisor mzungu akanifuata akaniambia niondoke hapo mara moja. Hali ni mbaya sana nitafute eneo salama. Nikaingia ndani ya nyumba, na mara ghafla mvua...
  14. JamiiForums Tanzania Kama ulikuwa unajua sawa, ila kwa wasiojua ni kwamba 'Mbungi' ya Jumanne Cairo ni Saa 11 Jioni Saa za Kwetu Tanzania

    Matokeo kwa wenye Akili Kubwa na Watu wa Mpira akina GENTAMYCINE tumeshayajua ila kwakuwa Watu hawapendi Ukweli na wanataka Kudanganywa na Unafiki basi nami naungana nao ( huku Moyoni nikiwadharau ) kuwa Mwarabu aliyetukosakosa kama Goli 4 Kipindi cha Kwanza na Goli 2 Kipindi cha Pili anakufa na...
  15. JamiiForums Tanzania Siku Tanzania tukifika hata theluthi(1/3) ya seriousness katika uongozi kama waliyo nayo Singapore na China hakika tutafika mbali sana

    Namna taifa letu tunavyo liendesha ni kama wagonjwa wa akili. Mambo ni hovyo hovyo watu hovyo hovyo wanapewa madaraka makubwa ya kujenga nchi. Uongozi sio nguo ya ndani kwamba kila mtu lazima avae. Tunafanya mchezo kabisa katika kujenga nchi siku tutakapo amua kuiga hata theluthi (1/3) ya...
  16. JamiiForums Tanzania Siku Tanzania tukifika hata theluthi(1/3) ya seriousness katika uongozi waliyo nayo Singapore na China tutafika mbali sana

    Namna taifa letu tunavyo liendesha ni kama wagonjwa wa akili. Mambo ni hovyo hovyo watu hovyo hovyo wanapewa madaraka makubwa ya kujenga nchi. Uongozi sio nguo ya ndani kwamba kila mtu lazima avae. Tunafanya mchezo kabisa katika kujenga nchi siku tutakapo amua kuiga hata theluthi (1/3) ya...
  17. JamiiForums Tanzania Siku Tanzania tukifika hata theluthi(1/3) ya seriousness katika uongozi waliyo nayo Singapore na China

    Namna taifa letu tunavyo liendesha ni kama wagonjwa wa akili. Mambo ni hovyo hovyo watu hovyo hovyo wanapewa madaraka makubwa ya kujenga nchi. Uongozi sio nguo ya ndani kwamba kila mtu lazima avae. Tunafanya mchezo kabisa katika kujenga nchi siku tutakapo amua kuiga hata theluthi (1/3) ya...
  18. JamiiForums Tanzania Haya ndio makabila yenye kuongoza kwa kuwa na Wanawake wenye viburi hapa Tanzania

    Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya kuhusu makabila yenye wanawake wenye viburi hapa Tanzania. 1. Wachaga 2. Wakurya 3. Wanyakyusa 4. Wahaya 5. Wapare 6. Wasukuma 7. Wameru 8. Wajaluo Yani hawa watu unaweza kupiga mtu makofi kila siku na bado asikuelewe.
  19. JamiiForums Tanzania Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100

    Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023. https://www.youtube.com/live/N6izYMjIOaI?si=O_YQZdZcwAOJWWpD MKURUGENZI MKUU WA TPA, PLASDUCE MKELI MBOSSA Uwekezaji huu wa Serikali kupitia TPA...
  20. JamiiForums Tanzania Rasmi: Kwa alivyotetea ukweli kwenye suala la Bandari, Tulia Ackson Mwansasu apewe kijiti 2030 kuongoza Tanzania

    Ukweli umekuwa bidhaa adimu sana Tanzania na upotoshaji umekuwa kama sehemu kubwa ya maisha. Nimefuatilia sana siasa za Tanzania na nasema kweli, hakuna mtu aliyenifurahisha kwenye suala la Mkataba wa Bandari kwa kutetea ukweli tena kisheria kama Spika wa Bunge Bi Tulia Ackson Mwansasu Kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…