tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu za Tewa Said Tewa Rais wa EAMWS Tanzania

    KUMBUKUMBU ZA TEWA SAID TEWA RAIS WA EAMWS TANZANIA ''Tewa, kesho tunakwenda kumpa huyu mtu, Nyerere, mamlaka ya kuendesha nchi hii. Kuanzia hapo, mara tu tutakapomchagua kutuongoza hakuna namna tena ya kumnyang'anya madaraka tuliyompa. Hatumfahamu vizuri sana lakini natumaini kila kitu...
  2. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania ( Uzalendo)Nimekataa mshahara wa milioni 50 kwa mwezi ili nirudi nyumbani Tanzania

    Hapa majuzi nilipata email kutoka shirika moja la Afya hapa Marekani jina kapuni kutokana na usiri( privacy) ya kimkataba na sheria ya hilo shirika na pia naweza kushitakiwa na then ninaweza kukosa madili mengi mengi ya hapa ya hapo ukimani kwenu Kutokana na uzalendo wangu nimeamua kurudi...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ujerumani kufanya ziara Nchini Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier, atafanya Ziara ya Kikazi nchini kuanzia tarehe 30 Oktoba hadi 01 Novemba 2023. Ziara hii mbali na kudumisha uhusiano wa Kidiplomasia na ushirikiano wa kimaendeleo baina ya Tanzania na Ujerumani, pia imelenga kwenye kukuza na...
  4. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Miaka michache ijayo Tanzania itaenda kuwa na watu wenye msongo mkali wa mawazo kutokana na madeni

    Ili kuwepo na ustawi ni lazima nchi ikuze hali ya uchumi wa watu wake. Purchasing power lazima iongezeke. Kinyume na hapo ni stress na madeni. Leo kuna viwanja vinauzwa kwa mkopo, kuna wafanyabiashara wanakopesha zana za ujenzi kwa riba, kuna magari ya mkopo na hamna kipato cha uhakika...
  5. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa maadili unatisha kwa kasi unayoporomoka Tanzania

    Bila ya shaka, wengi wa wale wenye umri iliozidi miaka 40 watanielewa. Tanzania yetu iliyokuwa inasifika ndani na nje ya nchi kwa maadili na nidhamu imeenda "arijjojo", wale waliowahi kucheza na vishada (kites) watanielewa nikisema "arijojo". Nakumbuka miaka ya nyuma, kuna vijana nilikuwa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Naomba itambulike Derby iliyopo Tanzania ni kati ya Simba na Yanga tu

    Watangazaji wengi nasikia wakisema Derby ya Simba na Azam au Yanga na Azam. Acheni ubabaishaji, timu ya Azam ya mwaka wa 2000's ijenge Derby na timu za 1930's? ni dharau na uwelewa mfupi wa watangazaji.
  7. Konseli Mkuu Andrew

    JamiiForums Tanzania Serikali inakiuka Ibara ya 11(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa wafungwa

    Salaam wakuu. Ibara ya 11(2) ya Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, inatamka kama ifuatavyo; "Kila mtu anayo haki ya kujielimisha, na kila raia atakuwa huru kutafuta elimu katika fani anayopenda hadi kufikia upeo wowote kulingana na stahili na uwezo wake" Hali ni tofauti...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Tanzania inatumia 10.1% ya Fedha za Mikopo kulipia Mikopo ya Nje

    Kwa mujibu wa Kanzidata ya Kimataifa ya Takwimu za Madeni (IDS) kuhusu Madeni ya Serikali za Afrika, imeonesha kati ya mwaka 2015 hadi 2023, Tanzania imetumia wastani wa 4.26% hadi 10.1% ya Fedha za Mikopo katika kulipa Deni la Nje. Ripoti imeonesha Nchi 30 za Afrika zinatumia Fedha nyingi...
  9. Nelson Jacob Kagame

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wanajeshi wa JWTZ wana tatizo la nidhamu?

    Wanajeshi wa jeshi la ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi ya Tanzania wana tatizo la nidhamu na hawapendi kukosolewa pale wanapokosea. Tatizo ni kwamba hawa vijana wetu na kaka zetu na dada zetu na wadogo zetu,pale wanapovaa mavazi yenye nembo ya taifa wanajiona wapo juu ya sheria. Matukio ni...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Tanzania kufungua mipaka kwa wageni, ni lazima kuimarisha mifumo kwanza

    Nchi zetu za kiafrika ni vigumu watu wake kutembeleana kwa urahisi bila kukutana na vikwazo mipakani/uhamiaji. Hili limetuchelewesha sana kiuchumi. Sababu kubwa ya kuzuia wageni kuja nyumbani kwako ni ushaghalabagala uliyoko nyumbani kwako. Kama nyumbani kwako ni kuchafu sana, hakujapangiliwa...
  11. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapiga kura za mkutano mkuu UN Kupinga vita ya Israel-Gaza

    Katika kura zilizopigwa, siku ya jana katika mkutano mkuu wa UN zilionesha Tanzania 🇹🇿 imepiga kura ya Kupinga Vita ya Israel na Gaza, na pia kura hiyo inataka Misaada iruhusiwe kuingia GAZA. Nchi 120 zilipiga kura kupinga Vita ya Israel na Gaza, kutaka yawepo mazungumzo na pia kusisitiza...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kama si Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na wazalendo wengine haya yasingetokea

    - Ukomo wa mkataba umekua miaka 30 tofauti na IGA ambayo haikua na ukomo. -DPW imepewa magati manne tu (no.4 hadi no.7) tofauti na awali ambapo ilipewa magati yote. - Gati no.0 hadi no.3 yataendeshwa na TPA kwa kushirikiana na DPW. Na gati no.8 hadi no.11 yatatafutiwa mwekezaji mwingine. -...
  13. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania TFF yazindua jezi mpya za Timu ya Taifa ya Tanzania

    TFF yazindua jezi mpya za Timu za Taifa za Tanzania kwaajili ya Afcon 2024. Jezi hizo zimetengenezwa na kampuni ya kitanzania ya Sandaland. Home kit Away Kit Third Kit
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapata ufadhili kutoka kwa EU na Shirika la Maendeleo la Ufaransa kwa ajili ya Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Kakono

    Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) limesaini mkataba wa kushiriki katika kufadhili ujenzi wa Mtambo wa Kufua Umeme wa Kakono Nchini Tanzania. Kupitia makubaliano hayo Umoja wa Ulaya (EU) na AFD zitachangia kwa pamoja Euro Milioni 146 ambayo ni karibu nusu ya jumla ya gharama ya Euro Milioni...
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Uyahudi waliivamia Tanzania kutokea Kaskazini

    Kuna historia inayotia mashaka kuhusu imani ya kiyahudi katika Tanzania. Shaka hiyo inaendana na matukio yanayoendelea ndani ya nchi na katika uwanda wa kimataifa. Kwa mujibu wa historia hiyo ni kwamba walifurushwa nchini Yemeni mwaka 1880 wakatawanyika na kusafiri kupitia Morocco, Ethiopia...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Magazeti ya Tanzania yamejaza kurasa zake na habari za teuzi

    Kuna Habari kuwa wakuu wa vyombo vya ulinzi wamekuwa wa kilipwa mamiliioni ya dollars na makapuni makubwa ya uchimbaji wa madini. Ili vyombo hivyo vifanye kazi ya kuhakikisha makapuni hayo hayasumbuliwi na yoyote. Sasa najiuliza unaweza je kusema Tanzania Kuna vyombo vya Habari wakati habari...
  17. Influenza

    JamiiForums Tanzania Siri hadharani: Siyo Vyama vya Upinzani ni Vyama Vya Watoa Taarifa

    Akipokelewa mkoani Dar es Salaam kama Katibu Mwenezi na Itikadi wa CC, Paul Makonda amesema kazi ya CCM ni kusikiliza kuwa sikio la Serikali na kusema kuwa Sauti ya Wananchi Amesema "Naomba nitumie fursa hii kutuma salamu kwa Mawaziri wote, Wakuu wa mikoa, na kwa Watendaji wote ya kwamba pale...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Serikali tuambieni je, huyu Rostam ndiyo Gupta wa Tanzania kwa sasa?

    Anaweza akawa wala masikini ya Mungu hana baya kwa Rasilimali za Tanzania, za Watanzania na siyo Fisadi au Opportunist na hajamweka Mtu Mfukoni mwake ila kwakuwa Siku hizi anaonekana kila mara ( utadhani Wachezaji wa Kiungo wa Yanga SC akina Max Zengeli na Pakome Zouzou ) si vibaya Watanzania (...
  19. May Day

    JamiiForums Tanzania Mashabiki Limbukeni na Wajuaji

    Siku chache zilizopitanilingia matatani baada ya kumtandia ngumi "mlevi" mmoja aliyekuwa anatukana hovyo matusi ya nguoni Wachezaji kwenye Luninga huku akijua fika kuwa hawamsikii bali anatusumbua tu sisi tuliopo pale kufuatilia mechi. Utashangaa Mtu anavyomkosoa Kocha mpaka unajiuliza hivi...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Timu za Tanzania Kufa Kiume Mashindano ya CAF ni Sifa basi tuwaombe CAF waandae Shindano la WAFAO KIUME CUP tulibebe

    Kauli yangu ni moja tu na tena ni Takatifu kabisa kuwa HATUMO na TUMESHATOLEWA rasmi Mashindanoni hivyo hizo Kauli zenu za Kinafiki na Kipuuzi za Timu zetu KUFA KIUME msiwe mnazisema mbele yangu nisije Kumzabua Mtu Makofi bure sawa?
Back
Top Bottom