tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Magazeti ya Tanzania yamejaza kurasa zake na habari za teuzi

    Kuna Habari kuwa wakuu wa vyombo vya ulinzi wamekuwa wa kilipwa mamiliioni ya dollars na makapuni makubwa ya uchimbaji wa madini. Ili vyombo hivyo vifanye kazi ya kuhakikisha makapuni hayo hayasumbuliwi na yoyote. Sasa najiuliza unaweza je kusema Tanzania Kuna vyombo vya Habari wakati habari...
  2. Influenza

    JamiiForums Tanzania Siri hadharani: Siyo Vyama vya Upinzani ni Vyama Vya Watoa Taarifa

    Akipokelewa mkoani Dar es Salaam kama Katibu Mwenezi na Itikadi wa CC, Paul Makonda amesema kazi ya CCM ni kusikiliza kuwa sikio la Serikali na kusema kuwa Sauti ya Wananchi Amesema "Naomba nitumie fursa hii kutuma salamu kwa Mawaziri wote, Wakuu wa mikoa, na kwa Watendaji wote ya kwamba pale...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Serikali tuambieni je, huyu Rostam ndiyo Gupta wa Tanzania kwa sasa?

    Anaweza akawa wala masikini ya Mungu hana baya kwa Rasilimali za Tanzania, za Watanzania na siyo Fisadi au Opportunist na hajamweka Mtu Mfukoni mwake ila kwakuwa Siku hizi anaonekana kila mara ( utadhani Wachezaji wa Kiungo wa Yanga SC akina Max Zengeli na Pakome Zouzou ) si vibaya Watanzania (...
  4. May Day

    JamiiForums Tanzania Mashabiki Limbukeni na Wajuaji

    Siku chache zilizopitanilingia matatani baada ya kumtandia ngumi "mlevi" mmoja aliyekuwa anatukana hovyo matusi ya nguoni Wachezaji kwenye Luninga huku akijua fika kuwa hawamsikii bali anatusumbua tu sisi tuliopo pale kufuatilia mechi. Utashangaa Mtu anavyomkosoa Kocha mpaka unajiuliza hivi...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Timu za Tanzania Kufa Kiume Mashindano ya CAF ni Sifa basi tuwaombe CAF waandae Shindano la WAFAO KIUME CUP tulibebe

    Kauli yangu ni moja tu na tena ni Takatifu kabisa kuwa HATUMO na TUMESHATOLEWA rasmi Mashindanoni hivyo hizo Kauli zenu za Kinafiki na Kipuuzi za Timu zetu KUFA KIUME msiwe mnazisema mbele yangu nisije Kumzabua Mtu Makofi bure sawa?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania maajabu nchi ya kidemokrasia Rais kuwa na nguvu ya hivi!

    Nimefuatilia kila mtu anashangaa inakuwaje nchi ya kidemokrasia Raisi ana nguvu hivi. Ndiyo maana ni muhimu kubadilisha katiba https://www.youtube.com/live/IYfoTqmzPv0?si=LhXMtnbTxR3ff56N
  7. Trainee

    JamiiForums Tanzania Ukweli usiofundishwa kuhusu rangi za Bendera ya Taifa (Tanzania)

    Ni kwamba bendera ina jumla rangi nne lakini kati ya rangi hizo hakuna rangi inayoitwa NJANO bali ni rangi ya DHAHABU ambayo ilikusudiwa kuwakilisha madini tuliyonayo nchini Swali la msingi ni kwa nini sasa tukaijua njano na kuitumia kisha dhahabu tukapotezea?
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina Simu za Mkononi za Kawaida na Smart Phone zaidi ya Milioni 70.6 zinazotumika kila siku

    Kati ya Juni hadi Septemba 2023, kulikuwa na Vifaa 70,613,504 vya Mawasiliano ya Simu za Kawaida (Feature Phone) na Simu Janja (Smart Phone) zilizounganishwa na Mitandao ya Simu sawa na 83% ambapo Simu Janja zilikuwa Milioni 18.9 na Simu za Kawaida za Mkononi (Feature Phone) zilikuwa Milioni...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Vodacom yaongoza Tanzania kwa idadi ya Wateja

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inayoangazia Takwimu za Mawasiliano Nchini, Mtandao wa Vodacom umeongoza kwa idadi ya Wateja ambapo hadi mwishoni mwa Septemba 2023 wamefikia 20,555,763 Ripoti imeonesha Mitandao yote kwa ujumla ilikuwa na ongezeko la 4.7% kutoka...
  10. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao ujumbe rasmi wa Tanzania na Zambia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo Rasmi na Ujumbe wa Zambia ulioongozwa na Rais wa Nchi hiyo Mhe. Hakainde Hichilema katika Ikulu ya Lusaka tarehe 25 Oktoba, 2025.
  11. W

    JamiiForums Tanzania Ushiriki mdogo wa vijana katika nafasi za uongozi Tanzania unatia wasiwasi

    Nchini Tanzania, ushiriki wa vijana katika nafasi muhimu za uongozi bado ni mdogo sana, hali ambayo haionyeshi ukweli wa idadi ya watu wa nchi. Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 ilifunua kuwa takribani asilimia 50 ya Watanzania wana umri wa miaka 18 na chini, na thuluthi mbili ya idadi ya...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tanzania yetu ndio nchi ya furaha

    Nae Baba Nyerere ndie wetu muhifadhi nae ndie alieleta Uhuru, Tanzania Yetu Ndio Nchi Ya Furaha. Huu wimbo sijui ni nani waliimba haichuji aise, unaishi na maana yake ileile. Wimbo una historia pana ya nchi yetu kwa ufupi. Leo hii tuna Demokrasia siasa ya vyama, tuna fedha yetu wenyewe na...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania IT wa Tanzania ni "copy-paste" wasioweza kubuni; wanafunzi na wahitimu wote wameshindwa kutengeneza mafaili ya VPN free net?

    Waweza kumfundisha kasuku aseme hana uwezo na ukamzawadia zabibu kumuashiria kafaulu mtihani nae akajiona kichwa, basi ndivyo ilivyo kwa IT wetu wa Tz wanafunzi wa vyuoni na wahitimu kibao, vyeti wanavyo na wengine wana ufaulu mkubwa sana lakini hawana uwezo wa kutatumia maarifa hayo lau kutumia...
  14. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Sennebogen Operators (15) at WASCO ISOAF Tz October, 2023

    Position: Sennebogen Operators (15) WASCO ISOAF Tz is a Tanzania -incorporated company with its head office in Dar e Salaam and its plant in Nzega District, Tabora Region. The Company has been contracte by the East Africa Crude Oil Pipeline (EACOP) Project as a Thermal Insulation Contractor...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania namba 3 nchi bora kwa uwekezaji barani Afrika

    Na Mwl Udadis, Tarime Utafiti mpya kwa wawekezaji wa kimataifa na wa ndani umetoa takwimu kuwa Tanzania ni nchi ya tatu inayopendelewa zaidi kwa uwekezaji barani Afrika na ya kwanza kwa Afrika Mashariki. Hii ni kwa mujibu wa Kampuni ya wataalam wa kimataifa katika shughuli za mahesabu ya KPMG...
  16. mocoservices

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi, Uchawi na Ushirikina kikwazo cha maendeleo baadhi ya vijiji Tanzania

    Habari yako mwana jukwaa. Naandika uzi huu nikiwa Katikati ya Tanzania (kanda ya kati). Nimeishi hapa kwa miezi 4 sasa, kwa hiyo ninacho andika nina kifahamu vizuri kwa kushuhudia kwa macho yangu. Naishi kwenye mkoa wa 3 toka mwisho kwa umasikini nchini hapa, mkoa ambao elimu iko chini sana na...
  17. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Nasikitika nimeanza kukosa msisimko wa upendo na uzalendo ninaposikia na kusoma neno Tanzania

    Kwa namna mambo yanavyoenda, mienendo, tabia, maamuzi ya viongozi wa Serikali kuhusu masuala nyeti ya kitaifa katika nyanja mbalimbali nimeishiwa kiu ya kuipenda Tanzania. Hata jezi ya timu taifa na bendera ya taifa sijui navionaje am not proud either, hata nikisikia wimbo wa Taifa sina mzuka...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali imewaruhusu Polisi kula Rushwa?

    Nimezungumza na watu mbalimbali waliowahi kushikwa na polisi kwa makosa mbalimbali karibu wote wanasema walitoka polisi baada ya kutoa fedha. Wengine waliachiwa kabla ya kufikishwa kituoni baada ya kutoa pesa. Wengine waliachiwa baada ya kutoa pesa ambayo polisi waliziita pesa ya kumdhamini...
  19. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Ushauri huru kwa mawaziri wa Tanzania

    Anayepewa ushauri akausikiliza bila kuufanyia kazi, huyo ni nusu mtu. Anayepewa ushauri akausikiliza na akaufanyia kazi huyo ni mtu kamili. Anayepewa ushauri asiusikilize kabisa, huyo ni mtu sifuri, hakuna mtu hapo. Dhana ya ushauri kwa viongozi...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa (UN) Nchini Tanzania kuadhimisha Miaka 78 tangu ilipoanzishwa

    Umoja wa Mataifa (UN) nchini Tanzania unatarajia kuadhimisha miaka 78 tangu ilipoanzishwa mwaka 1945. Akizungumza na waandishi wa Habari kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa...
Back
Top Bottom