Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Benki ya Dunia (WB) imeipongeza Tanzania kwa kuchaguliwa na kuwa miongoni mwa nchi nne barani Afrika zilizoingizwa katika mradi wa Benki ya Dunia wa ‘ASCENT’ ambao unalenga kuimarisha upatikanaji wa umeme kwa wananchi.
Amesema hayo Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika wa Benki...
Katika ripoti ya NBS inayoonesha masuala mbalimbali ya GDP kwa kipindi cha kuanzia April hadi Juni 2023, imeonesha ukuaji wa GDP wa Tanzania umeshuka ukilinganisha na Rwanda na Uganda.
Tanzania imefananishwa na Rwanda na Uganda kwa kuwa ndio nchi pekee katika Jumuiya ya Africa Mashariki...
Tafadhali GENTAMYCINE nakuomba tuliza kabisa Akili yako kisha isome hii taarifa ninayoiweka hapa chini mara mbili mbili na ukiimaliza nitashukuru nikipata mrejesho wako juu ya kile Kisichokuwa cha Kawaida ulichokigundua na Kilichoshusha pia Credibility ya hii Media ya Bamaga Dar es Salaam ya...
Chama cha All Muslims of Tanganyika, ambao wengi wao walikuwa waasisi wa chama cha TAA, August 1959 walianzisha harakati kushinikiza uhuru ucheleweshwe hadi kiwango cha waislamu kupata elimu kiongezeke kilingane na cha wakristo. Kupitia TANU, iliandaa jumuiya ya mashekhe na kutoka hadharani...
Wanajukwaa natumai nanyi ni mashuhuda timu yetu ya taifa stars haipati mechi nyingi za kirafiki tofauti kabisa na mataifa mengine hata majirani zetu wote wanacheza kwanzia mechi mbili hadi tatu kipindi cha ratiba ya FIFA ya mapumziko ya ligi mbalimbali Duniani.
Taifa hili lina tatizo gani...
Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi Mhe. David kihenzile aridhishwa na maendeleo, usimamizi na maboresho yanayoendelea kwenye uwanja wa ndege wa Arusha ikiwemo Ujenzi wa jengo jipya la abiria Kiwanjani hapo.
Akizungumza Jijini Arusha mara baada ya kukagua jengo la abiria kiwanjani hapo Naibu...
Salamu ya nini?
Haina maana umeme toka asubuhi mmekata then mnarudisha jioni, baada ya lisaa limoja mnakata tena, sasa mlirudisha ili iweje?
Masoko kila kukicha yanaungua, nauliza bandari mmetahifisha? Au tukisema ukweli mnatukamata na kutuma wale jamaa wasiojulikana kututeka.
Taifa...
Mtandao mkubwa wa muziki nchini Nigeria Notjustok.com umezitaja ngoma bora 100 za muda wote hapa Bongo kuanzia 2012 - 2022 na kwa mara nyingine Diamond Platnumz kawaburuza wenzake.
Kwenye article yao wameitaja ngoma ya Diamond My Number One kuwa ndio ngoma namba bora na iliyoleta impact zaidi...
Kuna lundo la Kampuni za mabati Tanzania, na Viwanda Kila Sehemu.
Kuna lundo la Ma agent kwenye Milango ya Viwanda hivyo. Utapeli umekua mwingi kwenye swala la kununua Bati, usipo ibiwa Pesa, utaibiwa kuuziwa bidhaa mchanganyiko.
Na istoshe bei zao pia ni zawizi sio bei halisi mbazo kiwanda...
Sisi ni Wanafunzi tuliohitimu katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Campus ya Dar es Salaam tuna madai ya kutorejeshewa malipo tuliyolipa kabla ya kuingiziwa fedha za Bodi ya Mikopo (HESLB).
Ipo hivi, tukiwa Mwaka wa tatu zaidi ya Wanafunzi 1,000 tulilazimika kulipa fedha zetu binafsi kwa...
Habari wadau.
Wengi tumejifunza kwenye historia kuwa wabantu walihamia Tanzania kwa makundi tofauti tofauti.
Najaribu kuwaza miaka hii wakitokea watu wapya kutoka mbali wakaja na kudai tuwapishe maana Tanzania ni ardhi ya babu zao walioishi miaka 1000 iliyopita. Hivyo walihama tu kwa sababu...
Inauma sana pesa za Walipakodi kupotea Kwa sababu ya uzembe wa Baadhi ya watu na hawachukuliwi hatua yeyote.
Dola mil.30 sawa na Bil.75 ni km 55-60 za Barabara ya Lami ila Kuna watu wamepata kiulaini.
Swali.
Hivi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Huwa inalisaidiaje Taifa?
===
Kwa mujibu...
TANZANIA KUWASILISHA OMBI CAF MATANGAZO YA KISWAHILI
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inatarajia kuwasilisha ombi la kurusha matangazo ya mechi zitakazochezwa katika...
Martti Ahtisaari
Rais wa zamani wa Finland, Martti Ahtisaari, ambaye alikuwa mpatanishi mashuhuri wa amani, amefariki akiwa na umri wa miaka 86. Martti ambaye pia alikuwa ni mshindi wa Tuzo ya Nobel mwaka 2008, alikuwa rais wa Finland kuanzia mwaka 1994 hadi 2000.
Rais wa Finland, Sauli...
Hiyo ndio habari kamili ambapo mazungumzo na Serikali ya Ethiopia yanaendelea.
=======
Addis Abeba – Ethiopian Electric Power (EEP) has announced plans to boost electric power export to neighboring countries and earn more revenue in the current fiscal year.
Last year, the country exported...
Ni matumaini yangu hamjambo ,mu wazima wa afya kabisa wakuu.
Poleni na majukumu ila Mimi Kuna kitu kinazidi kunimaliza siku Baada ya siku na hicho kitu siendi mbali ila nipo kwenye suala.la mfumo wa elimu nchini.
Mimi Tangu nimalize darasa la sana mwaka 2014 mpaka sasa sijaona mabadiliko...
Tena kwakuwa GENTAMYCINE ni Mtani wenu mkubwa kutoka Uzanakini Wilayani Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) leo nawachana na mtulie kama mmemwagiwa Maji Baridi sawa?
Kanisa Katoliki halikumteua Kadinali Rugambwa atokae Kwenu Kagera ili awe ni wa Kwenu na muanze Kumtambia na Kutukoga Sisi wengine...
Kwema tafadhali mwenye mawasiliano na mtu anayefanya kazi kiwandani hapo nahitaji mawasiliano yao kwenye site zao hayapo hewani naona kimya, hii kampuni ya Cassava Starch of Tanzania Corporation Limited (CSTC) ipo Nyengedi mkoani Lindi.
Natanguliza shukrani wakuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.