tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Sikiliza piano kali sana kutoka Ipinda, Kyela

  2. JamiiForums Tanzania Hivi idara ya usalama wa taifa wa Tanzania inahusika na kila kitu hadi uuzaji wa nyanya na vitunguu magengeni?

    Siyo mjuzi sana wa habari za idara ya usalama wa taifa, Tanzania. Lakini katika pitapita zangu humu JF, nimekutana na mada kadhaa zilizonishangaza kidogo. Mtu akienda dukani akikuta bidhaa ambayo haipendi, lawama anabebeshwa usalama wa taifa. Msanii Diamond umaarufu wake ukianza kupungua...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza Kikao cha Kamati namba 2 ya Baraza la Uendeshaji la Umoja wa Posta Duniani (UPU)

    Tanzania imeongoza kikao cha Kamati namba 2 ya Baraza la Uendeshaji la Umoja wa Posta Duniani (UPU) kwenye vikao vya Baraza hilo vinavyoendelea Jijini Berne, Makao Makuu ya Nchi, Uswizi. Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti mwenza wa Kamati hiyo ya Huduma za Posta na Maendeleo ya Biashara...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni suala hili kuhusu uanzishwaji wa kampuni hapa nchini Tanzania

    Habari zenu wadau wa JF. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ninaomba nipate maoni yenu kuhusu uanzishwaji wa kampuni hapa nchini Tanzania. Ninataka kuanzisha kampuni ambayo itajikita katika ununuaji na uzalishaji wa bidhaa za kilimo ndani na nje ya nchi. Je ninaweza nikaanzisha kampuni ya...
  5. JamiiForums Tanzania Je unajua kinachoendelea katika siasa ya Tanzania?

    Kwa wale ambao hamfahamu leo nataka tuzushe mjada hapa unaoelenga zaidi kuchokoza mjadala zaidi; Kwanza kabisa kuna Operation Maalum ya "Dethronement"ambayo inalenga kuhakikisha kwamba hakuna unpredictable and uncotrollable elements wanaingia katika mfumo wa Uongozi wa nchi. Kitu cha Pili...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kutuma pesa mitandao ya simu ya Tanzania ukiwa Kenya

    Habari wana JF Naomba uzoefu Kwa mtu ambaye amekuwa akisafiri kwenda Kenya na ana akaunti NMB je akiwa Kenya aliweza kutumia huduma za kwenye app ya NMB mfano kutuma pesa kwenda mitandao ya simu? Kwa kifupi issue yangu iko hivi nina akaunti NMB nitaenda Kenya hivi karibuni nikiwa huko nitakuwa...
  7. JamiiForums Tanzania FT: Kagera Sugar 2 - 1 Tanzania Prisons NBC Premier League: 3 Nov 2023

    Ni kivumbi tena, Kagera Sukari wakiwa wenyeji kuwakaribisha wajelajela wa Tanzania. Hadi sasa Dakika ya 45 Wakata Miwa wanaongoza kwa goal 1 lililotupiwa na Chirwa Obrey kwa mkwaju wa penati, dhidi ya Prisons wakiwa na Sifuri
  8. T

    JamiiForums Tanzania Angalia tofauti ya Rwanda na Tanzania kwenye masuala ya utalii. Tanzania tuna cha kujifunza kutoka Rwanda

    Kwanza tuanze na takwimu za kijiografia. Rwanda ni ndogo kuliko mko wa Tabora. Rwanda ina ukubwa wa Kilomita za mraba elfu 26, Tabora ina ukubwa wa mraba kilomita elfu 29. Rwanda ina watu wasiozidi milioni 12. Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61. Rwanda haina mbuga ya wanyama wala vivutio...
  9. JamiiForums Tanzania "Tanzania: A journey of Discovery - Why foreigners should travel to this enchanting African Jewel"

    A country of breathtaking landscapes, rich cultural diversity and an abundance of wildlife, Tanzania invites travelers from all corners of the world to discover its wonders. Nestled in East Africa, this fascinating country offers a range of experiences that make it a must-see destination for...
  10. T

    JamiiForums Tanzania DP World nchini Tanzania: Kampuni ya UAE kuchukua bandari za Afrika

    DP World nchini Tanzania: Kampuni ya UAE kuchukua bandari za Afrika CHANZO CHA PICHA,AFP Maelezo kuhusu taarifa Author,Na Beverly Ochieng Nafasi,BBC Monitoring, Nairobi 24 Oktoba 2023 Mkataba wa mamilioni ya dola uliotiwa saini kati ya kampuni kubwa ya baharini ya Emirati DP World na Tanzania...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania na China kushirikiana kuboresha Shirika la reli Tanzania

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Profesa Godius Kahyrara, amesema Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana Serikali ya China, zinatarajia kuliboresha Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (Tazara), ili kuliwezesha kuongeza ufanisi hususani katika usafirishaji wa mizigo. Profesa Kahyrara ameyasema...
  12. JamiiForums Tanzania Sina roho mbaya ila huu si wakati muafaka wa pensheni za Wenza wa Marais

    Sote tunajua nchi inamadeni mengi, miradi mingi tunayojipamba nayo kwamba tumetekeleza ni madeni ya kuja kulipa baadae na kiasi kidogo cha misaada, mikopo bado inatukimbiza kwa mbali dhidi ya mapato. Hivi ni wakati muafaka kweli wabunge kujadili sheria ya pensheni ya wenza wa Marais na mawaziri...
  13. JamiiForums Tanzania Kila kitu kina mwanzo: Njoo hapa tupeane mawazo ya biashara ambazo bado hazijafika Tanzania tuziwahi fursa.

    Hizi tuziite ni biashara bikra huwa ni sawa na kuwa mwanaume wa kwanza. Ni biashara nyingi sana hazikuwepo Tanzania bali ziliingia kwa kucopy na ku paste biashara zinazofanywa nchi zingine. Uzuri wa kuanzisha biashara mpya unapata jina haraka sana (Monopoly) na uta enjoy super abnormal Profits...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ujerumani awaomba radhi Watanzania kuhusu uhalifu wa Wajerumani wakati wa Vita vya MajiMaji

    Rais wa Ujerumani awaomba radhi Watanzania kuhusu uhalifu wa Wajerumani wakati wa Vita vya MajiMaji Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier siku ya Jumatano ameomba radhi na kueleza kufedheheshwa kwake na uhalifu uliofanywa wakati wa utawala wa kikoloni wa Ujerumani nchini Tanzania, wakati huo...
  15. JamiiForums Tanzania Je ninaweza kutumia Daraja API kufanya malipo ya M-pesa Tanzania

    Je ninaweza kutumia Daraja API ya Safaricom kufanya malipo ya M-pesa Tanzania kwa kutumia laini ya vodacom, Nataka kutumia technologia yao ya stk push
  16. JamiiForums Tanzania Ujerumani kushirikiana na Tanzania kuboresha Makumbusho ya Majimaji

    Serikali ya Ujerumani imeahidi kushirikiana na Serikali ya Tanzania kuboresha Makumbusho ya Majimaji ili kuhifadhi kumbukumbu sahihi kwa ajili ya wakati huu na kwa vizazi vijavyo. Ahadi hiyo imetolewa na Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani, Dkt. Frank-Walter Steinmeier alipotembelea...
  17. JamiiForums Tanzania Bilionea Chris Lukosi kuibadilisha Tanzania kuwa China kuanzia mwezi Disemba

    Baada ya Serikali ya Tanzania kushindwa kuibadilisha nchi yetu kwa zaidi ya miaka 60 hatimaye zee la Madungu Chros Lukosi ameamua kulichukua suala hilo mikoni mwake na kuifanya Tanzania kuwa kama China, mabonanza yatakuwa yanatengenezwa Tabata, charger na earphone Kigoma, spea arusha, Simu...
  18. JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha Muswada unaotaka wake wa Marais na Maspika wastaafu kulipwa kiinua mgongo

    Bunge limepitisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali namba 4 wa mwaka 2023 ambapo moja ya marekebisho katika sheria ya Mafao ya Kustaafu katika Utumishi wa kisiasa inapendekezwa Wenza (Mke/Mume) wa Marais Wastaafu, Wenza wa Makamu wa Rais Wastaafu na Wenza wa Mawaziri Wakuu...
  19. JamiiForums Tanzania Magufuli's Investments in Tanzania Ports Boosting Trade and Economic Growth

    John Magufuli, the late president of Tanzania, made significant investments in the country's ports during his time in office. He saw ports as a key driver of economic growth and development, and he was determined to make Tanzania a regional trade and transport hub. These investments have led to...
  20. JamiiForums Tanzania How President Magufuli Transformed Tanzania's Roads into the Best in East Africa - The Architect of Tanzania Highways

    John Magufuli, the late president of Tanzania, played a key role in making sure that Tanzania has the best roads in East Africa. He made road construction and maintenance a top priority of his government, and he also implemented a number of policies that helped to improve the country's road...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…