tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania FT: Niger 0-1 Tanzania. Kufuzu Kombe la Dunia. Novemba 18, 2023

    Mechi inapogwa muda huu, mpaka sasa ni kipindi cha mapumziko Niger 0 Tanzania 0 == Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeanza vizuri Kuwania Kufuzu Kombe la Dunia 2026 baada ya kuichapa Niger goli 1-0, mfungaji akiwa ni Charles M’mombwa katika mchezo wa Kundi E. Mtanange huo umepigwa...
  2. JamiiForums Tanzania UEFA yaipongeza Tanzania Kukuza Soka la Wanawake

    Shirikisho la Mpira barani Ulaya (UEFA,) limeipongeza Tanzania kupitia Taasisi isiyo ya kiserikali ya Karibu Tanzania Organization (KTO,) kwa jitihada zinafanywa katika kukuza soka la wanawake na wasichana katika ngazi mbalimbali za Elimu kwa kuanzia ngazi ya Elimu Msingi. Hayo yameeelezwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Wahubiri wangu wa mfano Tanzania

    Wa Kimataifa/ toka Mataifa mengine ni hawa: 1. Kenneth Hagin 2. Kenneth Copeland 3. Smith Wigglesworth 4. Dr. David Oyedepo 5. Pastor Chris Oyakilome 6. Uebert Angel 7. T. L. Osborn 8. Gloria Copeland 9. F. F. Bosworth 10. Charles Capps 11. Norvel Hayes 12. Andrew Wommack 13. E. W. Kenyon 14...
  4. JamiiForums Tanzania Kivutio gani Tanzania umewahi kutembelea na ungependa kuona kivutio kipi siku zijazo?

    Tanzania tumebarikiwa vivutio vingi vya asili mfano mbuga za wanyama, fukwe, milima, n.k (warembo 😃) Binafsi nimeshatembelea Ngorongo, Manyara, Oldipai George, Amboni. Natamani sana ni pande huu mlima Kilimanjaro siku moja nikaone mandhari ya huko juu ikoje. vilevile na tamani siku moja ni...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kila la kheri Taifa Stars katika mchezo wa Niger vs Tanzania

    Sina shaka na mechi ya leo, kwani historia inatubeba! Tumekutana na Niger mara mbili na tumeshinda mechi moja na droo mechi moja! Kwa kikosi tulichonacho Stars leo lazima tuwatembezee kichapo hawa Niger. Tayari Sokabet Nao washafanya yao huko! Ushindwe wewe tu kupiga mkwanja! Wanacheza, Unashinda!
  6. JamiiForums Tanzania Mbona Israel hawajamtambua mateka wa Tanzania aliyekufa

    Taarifa zimezagaa kuwa mmoja wa mateka wawili wa kitanzania waliokuwa huko Gaza ameshafariki dunia.Mateka huyo anaitwa Clemence Felix Mtenga, mwenye umri wa miaka 22. Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa na Bbc Israel ilikubali kuwa kweli ameuwawa lakini katika orodha za waliotajwa kufa tayari...
  7. JamiiForums Tanzania Namna Tanzania itakavyo nufaika kiuchumi katika mahusiano yake na nchi ya Romania

    TANZANIA imepokea Ugeni kutoka Nchi Ya Romania, yaani; State Visit... Tumetembelewa Na Rais wa Romania... Miongoni mwa maeneo Tunayo nufaika nayo Sisi Watanzania kwa Waromania, ni; Biashara Ya Maparachichi, Kilimo, Na Afya. Mikoa inayolima Maparachichi, Kama; Iringa, MBEYA Na Kilimanjaro, ina...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Manowari Tanzania!

    Kuna mdau huku kauliza kama Tanzania tuna submarine[nyambizi], napenda kumjulisha kwamba tunazo za kutosha, pale ziwa victoria tuna sangara, sato, mba na dagaa wa kutosha, ukienda bahari ya hindi kuna tassi, pweza na wengineo kibao, kwenye mito kuna kambale, vyura n.k.....kazi kwako....tupo...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania & Romania Zatia Saini Mikataba ya Ushirikiano

    Tanzania & Romania Zatia Saini Mikataba ya Ushirikiano Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe. Klaus Iohannis wakati wakishuhudia utiaji saini wa Mikataba mbalimbali ya ushirikiano baina ya nchi hizo iliyotiwa saini na Waziri wa...
  10. JamiiForums Tanzania The BIT between Tanzania and Canada does not provide fair terms. Tanzania has to stand its ground and terminate it

    What are Bilateral investment treaties (BITs) These are agreements between two countries that aim to promote and protect foreign direct investment (FDI)of the investors. BITs typically include provisions on fair and equitable treatment, (FET), National Treatment (NT), Most Favoured Nation...
  11. JamiiForums Tanzania Njombe ilinyofolewa kutoka Iringa leo ina watu wachache kuliko mikoa yote Tanzania Bara

    Naendelea kuchunguza hizi takwimu za sensa za mwaka 2022 na kuendelea kujiuliza sababu ya kugawanya mikoa na wilaya. Kwa watoto lazima mjua baadhi ya mikoa ilikuwa wilaya tu awali, mikoa hiyo ni pamoja na Songwe, Katavi, Geita na Njombe. Leo nimeangalia mkoa wenye watu wachache nchini Tanzania...
  12. JamiiForums Tanzania Ujerumani yaipa Tanzania msaada wa Tsh. Bilioni 56.3 kuboresha Haki za Binadamu

    Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, imetia saini ya Mkataba huo kupitia Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani, Fedha zitakazotumika kwaajili ya kugharamia maeneo Manne. Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania, Tsh. Bilioni 8.15...
  13. JamiiForums Tanzania Mbeya: Balozi Mpya wa Marekani Nchini Tanzania amtembelea Joseph Mbilinyi

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba siku ya leo Mkoa wa Mbeya ulibahatika kutembelewa na Balozi wa Marekani , Ambaye hakuwa na jambo jingine Mkoani humo , zaidi ya kukutana na Mwekezaji Mzalendo Bilionea Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo. Bado Timu ya Balozi huyo haikuweka wazi kilichojadiliwa , wala...
  14. JamiiForums Tanzania Ufumbuzi wa kudumu kuhusu changamoto ya nishati ya umeme hapa Tanzania

    •••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Kuhusu changamoto ya Nishati Ya Umeme, Hapa nyumbani TANZANIA, na ufumbuzi wa kidumu, ili Tatizo hili liwe HISTORIA, NAOMBA KUSHAURI yafuatayo, kwa mpendwa wetu, Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Kuwa; 1...
  15. JamiiForums Tanzania Denmark yatangaza kuendelea kuwa na Ubalozi wake nchini Tanzania. Ilipanga kuufunga ifikapo 2024

    Leo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Denmark, Lars Løkke Rasmussen, ametangaza kwamba Denmark itaendelea kuwa na Ubalozi wake nchini Tanzania. Kuhusu Denmark kufunga ubalozi wake, soma >Denmark kufunga Ubalozi wake nchini Tanzania ifikapo 2024 Ujumbe wa Balozi wa Denmark nchini Tanzania. --...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania tuna submarine kweli? Tukivamiwa kupitia chini ya maji itakuwaje?

    Naelewa tuna jeshi la wanamaji ila sina uhakika kama tuna subamrine hata moja au tunazo wakuu ila ni top secret?
  17. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania kama Ulaya

    Kuna ukweli gani, naona tunazidi kudidimia kiuchumi kwa hali ya mmoja mmoja, watu wapo taabani bin hoi na shida ya mlo mmoja kwa siku inazidi kukuwa, wananchi wanaishia mihogo kwa chai mkate na jam ni nyumba zile tu, kwengine ni kauzu inayoliwa kidogo kidogo. Kwanini Serikali haianzishi mfumo...
  18. JamiiForums Tanzania World Bank: Tanzania kinara wa Dunia upelekaji maji vijijini, yaongeza Dola Milioni 300

    https://twitter.com/WBTanzania/status/1724805228581781607?t=rIJGgp2j31MJan_0GHtG-w&s=19 Tanzania imetajwa kuongoza Duniani kwa upelekaji wa huduma ya maji ya bomba Duniani kupitia program ya Lipa kwa Matokeo. Kupitia programu hiyo jumla ya miradi 1,500 imetekelezwa vijijini na inafanya kazi na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Madiwani Tanzania nzima hawazitaki mashine za kamari za kichina ila Serikali kuu chini ya Mwigulu inaziruhusu

    Leo hii mtoto akitumwa to sokoni lazima aingie chocho kucheza bonanza akiliwa ndio hivyo tena. Leo hii Walimu wamegeuza mashine za kamari za kichina kama sehemu ya kuongeza kipato wanaliwa mpaka inakuwa kero. Kila halmashauri hapa nchini madiwani wanajadili namna ya kuziondoa hizi mashine...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Maslahi ya Wabunge Tanzania yapoje?

    Naomba nami nichukue fursa kuendeleza mjadala ulioanza Kwa mtoa mada mmoja siku za awali kuuliza Mwenye kujua maslahi ya hawa Waheshimiwa Wabunge Kwa sasa: 1. Mshahara mnono (bila Kodi) 2. Posho ya vikao 3. Mkopo wa gari 4. Posho ya dereva 5. Mfuko wa Jimbo 7. Bima ya matibabu nje ya nchi 8...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…