tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania

    Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania ili kutunza kumbukumbu na alama muhimu ya Maendeleo ya Nchi yetu. BoT fanyeni haraka wazo hili. === Mhe. Waziri Mkuu mwaka 2006 Bunge hili lilipitisha sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya kuipa mamlaka benki hii...
  2. Kwanini 'Ukingonoka' na Wanawake kutoka Malawi waliojazana Tanzania wala huwa 'hawajihangaishi' kukuambia uvae Condom?

    Naanza sasa kupata Hisia kuwa huenda Taifa la Malawi lina Agenda Ovu na ya Siri na Tanzania na Watanzania. Walianza na kutuletea Panya wao hawa wa sasa wenye Mkia mfupi, wanalia kama wanapiga Miluzi na ambao ukiwawekea Sumu hawafi hawaliwi na Paka na wala hawana Kasi ya Kukimbia kama ikitokea...
  3. B

    Watanzania Waliamini Chini ya Rais Samia Tanzania inatang'aa lakini wamevunjika moyo

    Ni kawaida na Maadili ya Binadamu wote duniani kuamini Penye Mama hapakosi neno. Hata ktk ngazi ya Familia ukirudi nyumbani ukamkuta Baba na aliyerudi nyumbani akamkuta Mama basi Rewards zinakuwa tofauti Hii ni kutokana kwamba Mama anaupendo kwa wanawe ule wa Asili, Agape Love. Hata Mwana...
  4. Barabara Zinazounganisha Tanzania na Nchi Jirani Kuendelea Kujengwa na Kukarabatiwa

    BARABARA ZINAZOUNGANISHA TANZANIA NA NCHI JIRANI KUENDELEA KUJENGWA NA KUKARABATIWA Serikali kupitia Wakala wa Baraba Nchini (TANROADS), inaendelea na Ujenzi na ukarabati wa Barabara zinazounganisha Tanzania na nchi zote jirani ikiwemo nchi ya Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC) kwa awamu...
  5. February mvua huwa zinazingua Tanzania kote

    Kama ni mfuatiliaji wa mwenendo wa mvua nchini utagundua mwezi wa pili kuna shida sana ya mvua za uhakika watu wengi naona wanashangaa mvua ku stop ghafla ila hii ni kawaida kabisa kwa mwezi wa pili. Mwezi wa pili mvua huwa Inakata na kama zitakuwepo basi za rasharasha.
  6. (Tanzania) 🚀 Build a Foundation for Success for Your Children with Safco Academy! 🌟

    Smart parents take extraordinary steps for their children's future. It's time to take that crucial step now and enroll your children in programming courses at Safco Academy! Why Safco Academy is the Best Choice for Your Children? Opportunity for Growth: Give your children a head start in...
  7. Kunusuru Tanzania yetu na kizazi dhaifu naomba wabunge wapitishe sheria zifuatazo

    1. Matumizi ya pombe kwa vijana walio na umri chini ya miaka 25! Hali ni mbaya sana vijijijini na mijini. Vijana wameharibika sana na nguvu kazi ya taifa inapungua kwa kasi. Najua pombe ni sehemu serikali ilipojiegemeza kwenye ukasanyaji wa mapato lakini pia kwa kupitia hii pombe serikali...
  8. Anayokutana nayo Makonda ziarani mikoani ni yaleyale ambayo yangetatuliwa kupita shule ya uongozi ya Humphrey Polepole bila matumzi makubwa ya fedha

    Katibu Mwenezi, Itikadi na sisa wa CCM Paul Makonda, yupo barabarani akizungukia maeneo mbalimbali ya nchi ambako amekutana na shida lukuki. Kuna shida zingine ni rahisi sana kutatuliwa bila kutumia nguvu wala migogoro. Shida zingine wananchi hukutana nazo kutoka kwenye idara za serikali...
  9. Dkt. Tulia Ackson anastahili kuwa Rais wa Tanzania

    Huyu dada ni kichwa haswa, amenyooka kiakili kama rula. Hababaiki wala hababaishi.   Wakili Msomi Dr. Tulia Ackson atatufaa sana mwaka 2025. Samia akae kando atupishe tujipatie chuma hiki cha kisheria. Sijaona mwanamke mwingine yeyote nchini mwenye uwezo wa kitaaluma na kisiasa unaofua dafu kwa...
  10. Kizazi cha dhahabu katika siasa za upinzani Tanzania kilikuwa ni hiki hapa. Hawa wa sasa wamekata pumzi

    (1) Freeman Mbowe Yule wa mwaka 2005-2015, alikuwa mpinzani kweli kweli, chuma hasa hasa! Alikuwa mhimili sio tu kwa chadema Bali kwa vyama vyote vya upinzani. Kwa sasa amekata pumzi anapigania mkate na huruma ya watawala! (2) Maalim Seif Huyu hatuna mfano wake amekufa akiwa shujaa...
  11. Anayedhani Mahakama za Tanzania siyo huru asome hii kesi

    Mahakama yatengua makubaliano yaliyorejesha mali ya Ushirika serikalini Dar es Salaam. Mahakama ya Rufani imetengua hukumu ya Mahakama Kuu iliyohalalisha mkataba wa makubaliano baina ya Serikali na mfanyabiashara Amos Njile, kuhusu umiliki wa ghala la Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Mwanza...
  12. Lomalisa Mutambala: Mchezaji pekee anayecheza Ligi Kuu Tanzania aliyewahi kuchukuwa ubingwa na timu yake ya taifa DRC

    WACHEZAJI PEKEE WANAOCHEZA LIGI KUU TANZANIA AMBAO WAMEWAHI KUWEMO KWENYE KIKOSI CHA TIMU YAP YA TAIFA IKITWAA UBINGWA WA AFRICA. LOMALISA WAZIRI WA MAJI. NA YANNICK BANGALA LITOMBO MZEE WA KAZI CHAFU Ebwanaee nilikuwa napitia stats za Joyce LOMALISA Mwaka 2016 alibeba ndoo chan 2016...
  13. (Tanzania) Clean up your data headaches! Jump into Power Query training and see how it can make your data work way easier.

    Why Choose Power Query Training with Us? Hands-On Learning: Our training is practical and hands-on, ensuring you gain real-world skills that you can apply immediately. Expert Guidance: Learn from experienced instructors who will guide you through the ins and outs of Power Query. Supportive...
  14. Tanzania tumepoteza uelekeo wetu kimataifa, nani awajibike?

    Je, tunapaswa kupoteza rasilimalifedha na muda kumuenzi Nyerere kama tumemgeuka Mzee wa watu kwa kiasi hiki? Hebu msikilize huyu Mama. https://youtu.be/NoD_0Wnehtk?si=rLQ4PzkpZO8fR0-k
  15. A

    Kuna kitu Rwanda inachokitafuta Tanzania! (Serikali, nchi yetu ni salama kiasi gani?)

    Inside story of why President Kikwete deployed Tanzanian troops in DRC ——— At an urgent summit of the International Conference on the Great Lakes Region (ICGLR) in Kampala in late September 2012, Tanzania's President Jakaya Kikwete spoke passionately of how Tanzania was eager to end the...
  16. Tanzania: Zigo la madeni ni balaa

    Hivi ndivyo vyombo vya habari vilivyoripoti , hatujui kama huko ndio kuupiga mwingi au la !
  17. G

    Kwanini Dialysis Zanzibar ni bure na Tanzania bara 180,000 kwa siku

    Tanzania na Zanzibar ni nchi mbili tofauti? ======= Mdau anahoji kwanini wagonjwa wa figo wanafanyiwa kwa gharama ya Tshs 180,000 kwa siku Tanzania bara ilhali Zanzibar ni bure. Amesema wapo wanaotakiwa kufanyiwa dialysis mara mbili au tatu kwa siku. Mdao ameomba majibu kwa waziri wa afya.
  18. Internet ya starlink inafanya kazi tanzania tatizo ISP Starlink ni vikwazo na sheria wala sio huduma

    Unapozungumzia setelite tofauti na huduma zengine ambazo ni rahisi kuwekewa vikwazo mfano mfumo wa redio za sauti,mawasiliano ya simu na njia za waya au wireless zenye uwezo masafa yasio kwenda juu usawa wa bahari. nimeleta mada kwenu sababu hiki kifaa nakitumia hapa tanzania na kwenye usajili...
  19. PreGE2025 Natamani zitto kabwe awe raisi wa Tanzania uchaguzi ujao

    Nimeona mambo yanakua mengi sana viongozi wengi wa CCM wanapotezea kero za kila siku. Katika machaguo yangu naona zitto kabwe nchi inamfaa
  20. Andiko la Mwisho la Ole Mushi;Ukoloni unarudi Tanzania

    Andiko la mwisho la Ole Mushi hebu lipitie👇🏿 UKOLONI UNARUDI TANZANIA? Na Thadei Ole Mushi. Miaka 60 ya Uhuru tumeshindwa kabisa kusimamia rasilimali zetu wenyewe. Migodi tumeitoa kwa Wazungu, Misitu tumeitoa kwa Mwarabu, Posta tumeitoa kwa Mwarabu, Misitu tumeitoa kwa mwarabu, Gesi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…