tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Tuwape maua yenu Mahakama ya Rufani Tanzania

    Anayestahili kupongezwa basi na apongezwe! Ni jambo dogo lakini nasukumwa kuwapongeza wafanyakazi wa mahakama ya RUFANI TANZANIA hasa kitengo Cha kupokea simu. Kutopokea simu au kutojibu barua za wananchi ni jambo la kawaida Kwa taasisi za serikali Tanzania. Ni KERO kubwa inayoongeza ugumu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Ndege ya Air Tanzania iliyotokea KIA kupitia Zanzibar asubuhi tarehe 7/12/2023 tairi la nyuma limekwisha, libadilishwe!

    WAHUSIKA WASOME UJUMBE HUU HARAKA! Ndege ya air Tanzania iliyotokea Kilimanjaro International Airport kupitia Zanzibar asubuhi tarehe 7/12/2023 tairi la nyuma limekwisha libadilishwe!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mikoa mingi Tanzania ni jangwa

    Nimefanya research mikoa mingi Tz ni jangwa kama ukisafiri kwa kwa basi utakua Shahidi Mikoa ambayo ni jangwa KONK ni Moshi/Kilimanjaro, Tanga, Pwani, Dodoma, Singida, Iringa, Tabora, Kahama, Mwanza, na Shinyanga. Mbeya, na Mara nadhani ndo mikoa isio na sehemu ya jangwa.
  4. JamiiForums Tanzania Vitu ambavyo vipo Tanzania pekee

    Wakuuu Niajeeee, Kuna hizi tabia za baadhi ya watanzania, Hata ukiwa umepotea ukajikuta sehemu huielewi, baaaasi ujue hapo upo bongoland, Haina kuuliza, Oky let's get it started....... 1.MASIKINI KUMCHUKIA MASIKINI MWENZIE Masikini anamchukia Sana masikini mwenzake awe amepata au awe hajapata...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni moja ya nchi ya Afrika ambayo bado mamilioni ya watu wake wanaishi gizani

    Mamilioni ya waafrika bado kwao umeme ni anasa ambayo hawawezi kumudu na hivyo bado wanaishi tu gizani sawa na wanyamapori ktk dunia hii ya sayansi na teknolojia. --- Access to electricity remains a pressing issue in several African nations, posing significant challenges to their development...
  6. JamiiForums Tanzania Vifo Katesh; Je, Tanzania kuna milima mingine kama mlima Hanang?. Serikali imechukua hadhari gani?

    Tunasubiri vifo ili turushe helkopta kuangalia kiwango cha uharibifu na idadi ya waliokufa badala ya kunusa mapema hatari na dalili vifo. Kwa kilichotokea Hanang ni matokeo ya mipango mibaya ya watanzania wenzetu tunaowalipa kwa kazi ya kutulinda na majanga. Kuna idadi kubwa ya watanzania ambao...
  7. JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano wa TAWIRI, Dec 6-8

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Mkutano wa TAWIRI unatarajia kufanyika kuanzia Disemba 6 hadi 8 jijini Arusha.
  8. JamiiForums Tanzania Zipi sababu za mgawo wa umeme usioisha Tanzania

    Wanajukwaa,habari za wakati huu baada ya harakati za kutwa nzima ama za utumishi wa jamii, kujitafutia mlo wa siku ama kuzitafutia familia mahitaji ya kila siku. Ni matumaini yangu kuwa wengi wetu tuu buheri wa afya. Pia nitoe pole kwa wote wenye changamoto mbalimbali, iwe ni za kiafya, kijamii...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hakuna milionea chini ya miaka 30?

    Tunaaminishwa kuwa nchi yetu inautajiri mkubwa. Hata mimi naamini hivyo ila cha kushangaza licha ya yote sijawahi kuonana au kusoma kijana chini ya miaka 30 ambaye ni Millionea. Wengi ni watu wazima. Tatizo ni nini? 1. Watoto kukaa muda mrefu makwao wanaanza utafutaji ukubwani? 2. Rika hilo...
  10. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Kama unaishi Tanzania halafu wewe ni maskini huna akili timamu

    Please uzi huu naomba ukae jukwaani angalau kwa mwaka mmoja. Vijana wanalia njaa huku wamezungukwa na vyakula, waamke wale. Hili ndilo hitimisho langu na ndio ukweli wenyewe. Najua maskini watanijia juu wakitamani kuniua kwa kuwaambia ukweli. Lengo sio kuwaumiza mioyo, lengo ni kuwaamsha...
  11. JamiiForums Tanzania Wikileaks: Nyaraka mpya za siri zimevujishwa. Tanzania & kenya zatajwa. Steve Jobs alikufa kwa ngoma (HIV)

    Jana mtandao wa wikileaks uliachia baadhi ya taarifa za siri kuhusiana na watu maarufu pamoja na Nchi mbalimbali. Mwanzilishi wa kampuni ya apple marehemu Steve Jobs alikufa kwa ukimwi. Mimi ndio maana nikiona mwanamke anatumia iPhones sina muda nae wala simtongozi. Taarifa za siri za serikali...
  12. JamiiForums Tanzania Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133

    Serikali imetoa taarifa kuhusu maendeleo ya hali baada ya maafa ya maporomoko ya tope, mawe, magogo na mawe kutoka mlima Hanang Wilayani Hanang Mkoa wa Manyara, ambapo imesema hadi kufikiasaa 6:00 mchana leo December 08,2023 idadi ya vifo imefikia 80 (Watu wazima ni 48 wakiwemo Wanaume 19 na...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Niwaombe viongozi wa Tanzania wapunguze picha /selfie kwenye majanga; watofautishe furaha na kilio

    Viongozi wa serikali waliokwenda Hanang hakuna kazi serious waliyokwenda kufanya; Jeshi limetekeleza wajibu wakuokoa Raia viongozi wametekeleza wajibu wakupigwa picha na vyombo vya habari. Picha za viongozi zinazosambaa zimezima kabisa coverage ya uharibifu uliofanyika. Naamini wapo viongozi...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha dogo ligi kuu Tanzania bara 2023/2024

    Huu ni uzi maalumu wa kupeana updates za usajili wa dirisha dogo unaotazamiwa kufunguliwa tarehe 15.12.2023. Karibu 1. Ladack Juma Chasambi ni mwekundu wa Msimbazi akitokea Mtibwa Sugar 2. Beki wa Yanga raia wa Uganda Gift Fred anahusishwa kuhitajika na Klabu ya Arab Contractors ya Misri kwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania niunganisheni na pis kali kutoka Eastern Tanzania

    Hellow J F Mimi ni mwenyeji wa Musoma hukoo ndani ndani nimesoma sifa nyingi nzuri na nyingine hasi kutoka kwa mabinti wa Kaskazini mwa Tanzania, ila kwangu napenda changamoto niunganisheni na binti mrembo yeyote awe M'mbulu, Iraq, Chagga & so. awe mrefu kiasi, mweupe yani ile rangi yenyewe...
  16. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini wanafanyia kazi Matokeo ya Tume iliyochunguza Ufisadi. Tanzania tunaishia kwenye kuunda Tume tu

    Mashtaka 9 ya Jinai yakiwepo mawili ambayo Washtakiwa walikutwa na Hatia yalifunguliwa kwa ajili ya kupambana na Ufisadi ikiwa ni baada ya Rais Ramaphosa kuwasilisha Mapendekezo Bungeni. Mashtaka hayo yamehusisha Watu 47 na Kampuni 21 Oktoba 2022, Rais Ramaphosa aliwasilisha Bungeni Mapendekezo...
  17. JamiiForums Tanzania Askari Wanyamapori kizimbani kwa kuisababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania hasara ya Shilingi 2,231,000

    Askari Wanyamapori Bw. Ibrahim Silas Mtaki, Mfanyabiashara wa mbao Bw. Roden Esches Mwalongo na Mjasiriamali Bi. Lilian John Jombe, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa kwa shtaka la kuisababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania hasara ya kiasi cha Shilingi 2,231,000/=...
  18. JamiiForums Tanzania Ni wapi Tanzania kuna bustani nzuri ya kupumzika kama ya Nakuru nchini Kenya?

    Ni sahihi kuiga vitu vizuri. Kama hatuna bustani nzuri kama hii iliyopo jijini Nakuru, Kenya, ni bora jitihada zifanyike ili miaka michache ijayo, tuwe na nzuri, tena kubwa kuizidi ya jijini Nakuru. Najua pale Mwanza Mjini, jirani na Gandhi Hall, kuna bustani ya uma lakini ukiilinganisha na ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kampuni gani ni bora kwa huduma za web hosting Tanzania?

    Habari zenu wadau Nimekuja hapa nahitaji muongozo wenu nijue kampuni gani inafaa za hii huduma web hosting hapa Tanzania Ninataka nifungue site yangu kabla sijakulupuka nimeona ni vyema nipate muongozo
  20. JamiiForums Tanzania Mikoa ya Njombe na Mbeya yaongoza tena kwa Maambukizi ya UKIMWI Tanzania

    Utafiti wa Hali ya UKIMWI nchini (Tanzania HIV Impact Survey - THIS 2022/23) umeonyesha kiwango cha maambukizi ya UKIMWI kwa watu wazima (miaka 15 na zaidi) kuwa kimepungua kutoka asilimia 4.9 mwaka 2016/17 hadi asilimia 4.4 mwaka 2022/23. Mikoa mitatu yenye kiwango cha juu cha maambukizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…