tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kila timu inaruhusu goli ila janga kubwa SIMBA ni ufungaji..

    Kila timu duniani inaruhusu goli ila janga KUBWA Simba ni kushindwa kufunga magoli pamoja na nafasi nyingi zinazotengenezwa. Mechi na Wydad kama tungekuwa na washambuliaji wanaojielewa ilikuwa mapema sana ushindi... Nafasi nyingi zilipatikana ila uwezo mdogo nakukosa umakini kunasababishwa na...
  2. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Shuhuda za utajiri utokanao na kilimo Tanzania

    Kuna matajiri wakubwa Tanzania ambao utajiri wao waliupatia kwenye kilimo. Kuna ambao ni wakulima matajiri wanaoendelea na kilimo mpaka sasa. Na kuna matajiri walioamua kuingia kwenye kilimo baada ya kugundua kuwa kilimo kinalipa kuliko biashara zao za awali. Na, kwa mujibu wa huu uzi, kilimo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tulikuwa salama zaidi Mikononi mwa Ujamaa kuliko Tulivyo sasa Mikononi mwa Ubepari/Ubeberu

    Amani iwe nanyi nyote. Kwa wale wazee wenzangu mtakubaliana na mimi kwamba Tanzania ingekuwa mbali zaidi kimaendeleo endapo ingeendelea na mfumo wa Ujamaa chini ya chama kimoja kuliko ilivyo sasa. Uchumi wetu ulianza kuyumba mara tu awamu ya pili chini ya Mzee Ruksa, Alhaji Ali Hassani Mwinyi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tujadili soka la tanzania kwa ajili ya kutoa kipaumbele kuibua vipaji

    WATANZANIA TUWE CHAWA WA KUIBUA VIPAJI VYA SOKA Soka letu,hususan ligi kuu,ni kama biashara ya machinga. Namaanisha kuchuuza bidhaa usizozalisha. Ligi kuu ambayo inatawaliwa na Simba na Yanga na kidogo Azam, wachezaji wa vilabu hivyo wanaoongoza ni raia wa kigeni. Wachezaji kutoka Tanzania...
  5. Jelavic

    JamiiForums Tanzania Kimwili tuko katika ardhi huru ya Tanzania, kifikra tuko utumwani Ulaya

    KIMWILI TUKO KATIKA ARDHI HURU YA TANZANIA, KIFIKRA TUKO UTUMWANI ULAYA. Siku ya leo miaka 62 iliyopita ardhi yetu ya Tanzania ilitambulika rasmi kama ardhi huru. Kwajitihada za wazee wetu ambao pengine baada uhuru hawakujulikana sana. Lakin swali la kujiuliza, Ardhi imekuwa huru sio mali...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Masahihisho: Kinachosherehekewa ni Uhuru wa Tanganyika siyo Tanzania Bara. Hatutavumilia upotoshaji

    Hii ni kwa sababu Mwl Nyerere na viongozi wa TANU walikuwa Watanganyika na waliikomboa Tanganyika na wala si nchi nyingine yoyote ile. Watanganyika hampaswi kuvumilia uongo wowote ule hata kama anayeuongea ni kiongozi mzito, kataeni hadharani ili mheshimike.
  7. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kama walivyofanya Malawi na sasa Kenya, nasi kama vijana wa Tanzania, tupo tayari kwenda Israel kuwa vibarua

    Ni ukweli kabisa, mimi nikiwa tayari kabisa kwenda Israel na kuwa kibarua kwenye mashamba ya Wayahudi hao wa mashariki ya kati, Kwa mshahara wa 4M!! Usinitanie bhana! Nawasemea vijana lukuki wa Kitanzania na ambapo wengine wakiwa maofisini na wengine mitaani wakihangaika kutafuta ajira...
  8. Funa the Wild

    JamiiForums Tanzania Tanzania inazidi kupepea

    Hii ni orodha ya hifadhi bora barani Africa (9 Best National Parks in Africa) 1. Serengeti National Park - Tanzania 🇹🇿 2.Masai Mara National Reserve - Kenya 🇰🇪 3. Chobe National Park - Botswana 🇧🇼 4. Kruger National Park - South Africa 🇿🇦 6. Etosha National Park - Namibia🇳🇦 South...
  9. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania IMF wametoa orodha ya nchi zenye madeni makubwa zaidi katika bara la Afrika, Tanzania haipo!

    Rank Country Debt amount 1. Egypt $11,968,321,674 2. Angola $3,153,816,667 3. South Africa $2,669,800,000 4. Côte d'Ivoire $2,117,559,620 5. Kenya $2,058,982,100 6. Nigeria $1,840,875,000 7. Ghana $1,644,377,000 8. Morocco $1,499,800,000 9 Democratic Republic of Congo...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Majanga makubwa yakitokea nchi zenye vyombo vya habari makini kipaumbele huwa ni Tukio, ila kwetu kipaumbele ni Kuipamba Mamlaka!

    Binafsi nilitegemea baada ya Tukio la Hanang Mkoani Manyara Media ya Tanzania ingekuwa inatupa Elimu zaidi ya nini kimesababisha na hata kutoa tahadhari zaidi kwa eneo husika au maeneo mengine yenye Jiografia kama ya Hanang ili kujiepusha na Majanga makubwa mengine. Ila cha kushangaza na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tuwape maua yenu Mahakama ya Rufani Tanzania

    Anayestahili kupongezwa basi na apongezwe! Ni jambo dogo lakini nasukumwa kuwapongeza wafanyakazi wa mahakama ya RUFANI TANZANIA hasa kitengo Cha kupokea simu. Kutopokea simu au kutojibu barua za wananchi ni jambo la kawaida Kwa taasisi za serikali Tanzania. Ni KERO kubwa inayoongeza ugumu wa...
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Air Tanzania iliyotokea KIA kupitia Zanzibar asubuhi tarehe 7/12/2023 tairi la nyuma limekwisha, libadilishwe!

    WAHUSIKA WASOME UJUMBE HUU HARAKA! Ndege ya air Tanzania iliyotokea Kilimanjaro International Airport kupitia Zanzibar asubuhi tarehe 7/12/2023 tairi la nyuma limekwisha libadilishwe!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mikoa mingi Tanzania ni jangwa

    Nimefanya research mikoa mingi Tz ni jangwa kama ukisafiri kwa kwa basi utakua Shahidi Mikoa ambayo ni jangwa KONK ni Moshi/Kilimanjaro, Tanga, Pwani, Dodoma, Singida, Iringa, Tabora, Kahama, Mwanza, na Shinyanga. Mbeya, na Mara nadhani ndo mikoa isio na sehemu ya jangwa.
  14. Zombie S2KIZZY

    JamiiForums Tanzania Vitu ambavyo vipo Tanzania pekee

    Wakuuu Niajeeee, Kuna hizi tabia za baadhi ya watanzania, Hata ukiwa umepotea ukajikuta sehemu huielewi, baaaasi ujue hapo upo bongoland, Haina kuuliza, Oky let's get it started....... 1.MASIKINI KUMCHUKIA MASIKINI MWENZIE Masikini anamchukia Sana masikini mwenzake awe amepata au awe hajapata...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni moja ya nchi ya Afrika ambayo bado mamilioni ya watu wake wanaishi gizani

    Mamilioni ya waafrika bado kwao umeme ni anasa ambayo hawawezi kumudu na hivyo bado wanaishi tu gizani sawa na wanyamapori ktk dunia hii ya sayansi na teknolojia. --- Access to electricity remains a pressing issue in several African nations, posing significant challenges to their development...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Vifo Katesh; Je, Tanzania kuna milima mingine kama mlima Hanang?. Serikali imechukua hadhari gani?

    Tunasubiri vifo ili turushe helkopta kuangalia kiwango cha uharibifu na idadi ya waliokufa badala ya kunusa mapema hatari na dalili vifo. Kwa kilichotokea Hanang ni matokeo ya mipango mibaya ya watanzania wenzetu tunaowalipa kwa kazi ya kutulinda na majanga. Kuna idadi kubwa ya watanzania ambao...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano wa TAWIRI, Dec 6-8

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Mkutano wa TAWIRI unatarajia kufanyika kuanzia Disemba 6 hadi 8 jijini Arusha.
  18. Bengal

    JamiiForums Tanzania Zipi sababu za mgawo wa umeme usioisha Tanzania

    Wanajukwaa,habari za wakati huu baada ya harakati za kutwa nzima ama za utumishi wa jamii, kujitafutia mlo wa siku ama kuzitafutia familia mahitaji ya kila siku. Ni matumaini yangu kuwa wengi wetu tuu buheri wa afya. Pia nitoe pole kwa wote wenye changamoto mbalimbali, iwe ni za kiafya, kijamii...
  19. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hakuna milionea chini ya miaka 30?

    Tunaaminishwa kuwa nchi yetu inautajiri mkubwa. Hata mimi naamini hivyo ila cha kushangaza licha ya yote sijawahi kuonana au kusoma kijana chini ya miaka 30 ambaye ni Millionea. Wengi ni watu wazima. Tatizo ni nini? 1. Watoto kukaa muda mrefu makwao wanaanza utafutaji ukubwani? 2. Rika hilo...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Kama unaishi Tanzania halafu wewe ni maskini huna akili timamu

    Please uzi huu naomba ukae jukwaani angalau kwa mwaka mmoja. Vijana wanalia njaa huku wamezungukwa na vyakula, waamke wale. Hili ndilo hitimisho langu na ndio ukweli wenyewe. Najua maskini watanijia juu wakitamani kuniua kwa kuwaambia ukweli. Lengo sio kuwaumiza mioyo, lengo ni kuwaamsha...
Back
Top Bottom