tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za Tanzania hazifahamu kwamba mamba mkubwa aliyeuawa ni mali ya Tanzania!

    Habari imesambaa Duniani kwamba kuna mamba mkubwa mwenye umri wa takribani miaka mia moja ameawa Tanzania. Wamehojiwa wamesema wanafanya uchunguzi. Kuna uwezekano mgeni akaingia nchini na kufanya tukio kubwa vile tena akitumia gari za Tanzania bila serikali kufahamu?
  2. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Matunda aina ya kiwi yanaweza kustawi Tanzania

    Ni tunda zuri sana kwa upande wa bei. Linauzwa ghali. Japo yanapatikana kwenye masupermarket makubwa, hayalimwi Tanzania. Yanaagizwa toka nchi za nje. Wakenya wameshaanza kulima kiwi. Miongoni mwa maeneo yanakolimwa nchini Kenya ni pamoja na Eldoret, Kiambu, Nyandarua, Meru, Nyeri, Nairobi...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Tanzania hatuna Wapelelezi Binafsi (Private Investigators)?

    Suala la Ulinzi na Usalama ni agenda muhimu duniani. Mfumo wa Kipolisi peke yake haiwezi kuweka mazingira salama. Nitoe mifano michache nchi kama Marekani, Uingereza, Canada, Urusi, India, China, South Afrika, Misri na hata Israeli. Pamoja na kuwa na vyombo strong vya Ulinzi na Usalama zikiwemo...
  4. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Matukio yaliyotikisa Tanzania 2023, African Football league inaongoza japo mengine yapo

    Wakuu Nimekaa nautafakari mwaka 2023 hapa Tanzania na matukio yake, 1. Tukio la ufunguzi wa African Football league Hili ndilo tukio lilitikisa nchi, Simba wababe wa soka la Africa waliwakaribisha wababe wenzao kufungua michuano hii na dunia yote ilikuwepo Tanzania 2. DP world na issue zake...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi kutoka Roman Catholic (RC) hadi Tanzanian Catholic (TC) kutokana na tamko la papa

    Naona ni muda muafaka kanisa katoliki Tanzania kujitoa kwenye makucha ya Papa chini ya mfumo wake wa Roman Catholic. Haingii akilini, makanisa tumejenga sisi waumini, magari tuwanunulie mapadri na maaskofu halafu hatokee mtu from nowhere kisa ni papa abadilishe asili ya mwanadamu kwa kutaka...
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania IMF yazipa msaada nchi 6 zilizotingwa na madeni, Tanzania imo

    Shirika la fedha duniani(IMF) limeidhinisha msaada wa dola milioni 620 kusaidia bajeti za nchi za Tanzania, Rwanda na Congo ikiwa ni sehemu ya dola bilioni 1.9 watakazotoa kama msaada wa kibajeti kwa nchi sita. Nchi nyingine ni Kenya, Somalia na Burundi. ======= IMF relieves EA’s indebted...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume Tanzania wamekuwa slow tuwasaidie!

    Hilo sio dongo kwa vijana wetu wa siku hizi 18-35 years wa kiume. Tofauti na vijana wa kike vijana wa kiume wamekuwa wazembe, slow, hawajitumi wala kujielewa. Tukumbuke vijana wetu wa huko nyuma wale waliomaliza form 6 kuanzia 1995-2005 watakubaliana na mimi. Sababu mojawapo kwa mawazo yangu ni...
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Technologically Tanzania bado tupo nyuma sana, ni kama vile tupo 1990s

    Mpaka leo 2023 internet ya fibre ni anasa kwa wachache hata wanaoishi kwenye majiji, yani hizo process za kuja kufungiwa tu waweza kata tamaa labda isp awe kampuni binafsi, wenzetu hapo Kenya hizi ishu za Fibre washazizoea tangu 2010s nyumba kibao kuna fibre unlimited internet. Luku za umeme...
  9. R

    JamiiForums Tanzania TANESCO ndilo shirika linalochukiwa zaidi Tanzania kwa mwaka 2023, hadi wahubiri wawaomba waumini kuwasamehe

    Tatizo la umeme lilianza January Makamba aliitisha kongamano kubwa la matajiri na viongozi mbalimbali kwa fedha nyingi za serikali. Tatizo la TANESCO lilipanuka pale ambapo wanasiasa akiwemo Naibu WAZIRI Mkuu Biteko alipoanza kufanya siasa na kuacha kusema kweli kuhusu undani wa tatizo Tatizo...
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga ndiyo wanunuzi wa habari za michezo Tanzania

    Ukitaka habari zako za michezo ziuze hapa Tanzania, andika au toa habari za kuisifia au kuitukuza Yanga. Hakuna mashabiki wanaonunua habari za michezo hapa Tanzania kuliko mashabiki wa Yanga. Kwa hili mashabiki wa Yanga mheshimiwe.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka sasa kwa kanisa katoliki Tanzania na Afrika kujitenga na Vatican kama ilivyo kanisa katoliki la China

    Baada ya Papa Francis kuagiza kanisa katoliki kote ulimwenguni isipokua China kubariki ndoa za mashoga, sasa ni wakati muafaka Kanisa Katoliki Afrika kujiondoa kutoka kwenye mikono ya ukoloni wa Vatican na kujitenga kama ilivyo Kanisa Katoliki China. China kanisa katoliki la Vatican halina...
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Baada ya kama miaka mitano nchi za Afrika(Ikiwemo Tanzania) zitaanza kwenda kununua na kuomba msaada wa chakula Afghanstan.

    Sema tulivyo makauzu hata aibu hatutaona. Afghanstan kwa sehemu kubwa ni jangwa. Lakini bahati nzuri upande wa Kaskazini imepitiwa na mto mkuwa wa Amu Darya ambao inashare na nchi kadhaa. Sasa ili kuzalisha chakula utawala wa Taliban umeamua kujenga mfereji mkubwa wa umwagiliaji kutoka mto huo...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tuzo za Filamu zinazoandaliwa na Bodi ya Filamu zina mchezo mchafu

    Ni kwa miaka mitatu sasa bodi ya filamu nchini Tanzania imekuwa ikiandaa tamasha la filamu nchini. Na kila mwaka kumekuwa na maneno ya kukatisha tamaa kwa waandaaji filamu nchini kutokana na hisia za kuwepo kwa upendeleo katika kuwapata washindi wa tuzo katika tamasha la Tanzania Film Festival...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Taasisi ipi ya Kiislamu ambayo ni mfano wa kuigwa miongoni mwa taasisi kwa mafanikio yake makubwa hapa nchini Tanzania?

    Wadau hamjamboni nyote? Je ni taasisi gani ya Kiislamu hapa nchini Tanzania ambayo imeanzishwa na kuendeshwa kwa mafanikio makubwa hususani kwenye Menejimenti hivyo kuwa mfano wa kuigwa miongoni mwa taasisi husika? Lugha zisizo na staha hazikubaliki Niwatakie sikukuu njema ya Noel
  15. J

    JamiiForums Tanzania Club ya Kimataifa kutoka Tanzania, Simba Sports Club kuwania kuiwakilisha Afrika Kombe la dunia la Vilabu

    Club ya kimataifa kutoka Tanzania, Simba Sports Club ni moja kati ya vilabu vichache Afrika vinavyowania kuwa wawakilishi wa bara hili katika mashindano ya kombe la dunia la vilabu mwaka 2025
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Wasemaji wa Vilabu vya soka vya Tanzania ni ipi , Mbona vilabu vya Ulaya hakuna cheo hicho ?

    Kwa mfano kwa Uingereza wasemaji wa mambo yote ya club zao za soka ni Mameneja , hawa ndio wanaofanya mikutano yote na Waandishi wa Habari kuhusu timu zao , Masuala yote ya mechi ikiwemo Ufundi na mengine yote ya uwanjani na wachezaji . Sasa hawa akina Ally Kamwe na wengine kama Masau Bwire...
  17. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Tanzania bwana: Jamaa alifunga duka na kuzima simu kisa kwenda kuangalia mechi ya Simba

    Peace be upon ya'all, Niko mkoa X kwa wiki 3 kwa ajili za shughuli fulani, sasa katika mkoa huu kuna jamaa tulisoma pamoja kitambo na mwaka 2020 kama bahati nilifanikiwa kukutana nae nilipokuja mkoa huu. Kwakua nilikua na haraka tukabadilishana namba. Next day shedule yangu ilikua tight...
  18. Mtumbatu

    JamiiForums Tanzania Tanzania na mgogoro wa bab el mandeb

    Tanzania Ports Authority (TPA) na Zanzibar Ports Authority (ZPA) na hili mkalitazame, tangu mgogogoro wa Bab el Mandeb uanze na meli kuzunguka bara la la Afrika kwenda Ulaya (Mediterranean) na Marekani kupitia bahari za Tanzania (Indian Oceana), jee kuna ongezeko la kiasi gani la meli za...
  19. Kindeena

    JamiiForums Tanzania Nape Mosses Nnauye ni mwanafunzi halali wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

  20. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu juu ya suala la Tanzania kujiandaa kuwafanya watu wake kuwa raia wa Dunia "Global citizen"

    Tanzania inatazamia kuhakikisha raia wake wanatoka nje ya boksi na kushiriki kikamilifu bila kujifungia mipaka juu ya ustawi wa Dunia, yaani Raia wa Dunia. Kupitia jukwaa hili nimetamani sana kutoa mtazamo wangu ambao unaweza pia kuwa ushauri. Lengo ni kuhakikisha ushiriki wetu kama Taifa...
Back
Top Bottom