tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tanzania bhana yaani ukiwa tu na Uwezo wa kukusanya 'tustori tustori twa tujasusi' basi haraka sana unaitwa Jasusi

    Kuna Mtu Mmoja alinipa maana halisi ya Jasusi na Shughuli zake kisha kwa Kujiamini kabisa akaniambia kama wapo nchini Tanzania basi hawazidi 50 na akaniambia kuwa wengi walioko ni Makachero pekee. Tutafuteni maana halisi ya neno Jasusi ili hata tukiwa tunalitumia tuwe tunalitumia pale tu...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Arusha: Jeshi la Polisi lamtia mbaroni mtuhumiwa anayedaiwa kumuua Beatrice Minja

    Jeshi la Polisi nchini limesema kuwa limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa wa mauaji ya Beatrice James Minja ambayo aliyafanya huko Tarekea Wilaya ya Rombo Mkoa wa Kilimanjro Tarehe 12.11.2023 na mtuhumiwa aliyefanya aliyefanya tukio hilo kukimbia. Akitoa taarifa hiyo leo kwa vyombo vya Habari...
  3. President of China

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kutoa Hotuba ya mwisho wa mwaka 2023 kwa Wananchi, saa 3:00 usiku

    Leo saa tatu usiku kutakuwa na hotuba ya Mh. Rais Samia. Hotuba ya kufunga mwaka
  4. Felix Mwakyembe

    JamiiForums Tanzania Kesho ya nishati yetu Tanzania ipo baharini (Sehemu ya Kwanza)

    Kesho ya nishati yetu Tanzania ipo baharini Miongoni mwa ajenda kuu kwenye Mkutano wa 28 wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi (COP 28) pale Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu, ilikuwa nishati safi. Mkutano wa mwaka huu ulioanza Novemba 30, ulihitimishwa siku ya Jumanne...
  5. TAI DUME

    JamiiForums Tanzania From Taidume to the people of Tanzania

    Dear Friends As we stand on to welcome the New Year -2024, I wanted to share a something that echoes the spirit of Tanzania, a nation that symbolizes resilience, unity, and the pursuit of dreams. Join me on a journey through the diverse landscapes from my beautiful country, TANZANIA. My...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa kuivusha salama Tanzania mwaka 2023, hakika unaweza, Tanzania ni Mhimili Mkuu wa Afrika Mashariki

    Hatimaye, kwa uweza wa Mwenyezi Mungu, nahodha Samia Suluhu Hassan amekifikisha chombo mwisho wa mwaka 2023 kikiwa salama, hakuna hata aliyechubuka. Ni safari ndefu yenye mawimbi makali, ambayo, kama si umahiri na weledi wa nahodha, ingetuwia ngumu. Tanzania ndio muhimili wa amani Afrika...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hii ya Tanzania Kupeleka wanajeshi Congo imekaaje!?

    Habari zinaonyesha Tanzania tunapeleka wanajeshi Congo kwa mwamvuli wa SADC. Na kama tujuavyo wanajeshi watanzania pekee ndio huwa kwenye wakati mgumu kwani hupangiwa sehemu korofi hasa njia za kupita waasi huku wengine wakijipangia sehemu zenye wingi wa madini na kuishia kutajirisha nchi zao...
  8. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Wahandisi nauliza: Kwanini Tanzania hatutengenezi mfumo maji na taka mapema tunapojenga msingi?

    Nimezoea kuona bongo watu wakibomoa bomoa msingi au kuta walizojenga ili wapitishe mabomba ya maji na choo. Hivi haiwezekani kutengeneza plan ya maji safi na taka na kujenga mfumo maji na taka mapema kabisa katika hatua ya kujenga msingi ili kila kitu kiwe sawa?
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wanaochukua mafunzo ya siri Israel wanaweza kuwa ndio watu wasiojulikana.Jee ubalozi wa Tanzania Israel haukujua alipo Joshua ?

    Kwa miaka mingi imetangazwa kuwa Israel ni nchi yenye teknolojia za hali ya juu katika masula mbali mbali. Kwa upande mwengine nchi hiyo ina uhasama sana na baadhi ya walimwengu na huwa haioni shida kufanya njama katika vita vyake vya muda mrefu. Hata nchi mbali mbali pia duniani zinazotaka...
  10. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wapalestina waliisaliti Tanzania na kumuunga mkono nduli Idd Amin kupigana?

    Tanzania ilikuwa moja ya nchi kinara barani Afrika kutetea haki za Wapalestina. Nchi hii ilienda mbali na kuamua hata kuvunja mahusiano ya kidiplomasia na nchi ya Israel mwaka 1973 baada ya shinikizo la nchi za kiarabu zilizokuwepo ndani ya O.A.U kuwa kubwa. Ikumbukwe Israel walikuwa na mchango...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania fanyeni marekebisho ya ndege zenu

    Tarehe 30-12-2023 nimepanda ndege yenu iliyokuwa inatoka Dar es Salaam kwenda Guangzhou iliyopewa ruti namba TC 402. Button za viti ambazo utumika kuweka kiti kwa mkao anaoutaka mtumiaji nyingi zimeharibika.Hili linapelekea msafiri kutokuwa na uwezo wa kuweka kiti atakavyo na kupelekea kero...
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mafuta na gesi Tanzania afanikiwa kuzalisha gesi kutoka kwenye kitalu chake mwenyewe na kuandika andiko linaloelezea kile alichokifanya

    Mtaalamu wa mafuta na gesi Tanzania, bwana Elia Wilinasi ameitendea haki field yake ya mafuta na gesi baada ya kuzalisha gesi kutoka kwenye kitalu chake mwenyewe na kufanikiwa kuandika andiko zima ya kile alichokifanya...
  13. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ofisi za mamlaka ya mapato Tanzania (TRA ) kuwa wazi tarehe 30 NA 31 December, 2023

    Ofisi za TRA zitakuwa wazi siku yavtarehe 30 na 31 Desemba ,2023 ili kuweza kuwahudumia wananchi na walipa kodi
  14. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Burundi: Rais Evariste Ndamishiye asema mashoga wapigwe mawe hadharani

    Rais wa Burundi Jenerali Evariste Ndamishiye amesema anadhani inafaa mashoga wakusanywe kwenye viwanja harafu wapigwe Mawe Hadi Kufa hadharani. -- Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amesema wapenzi wa jinsia moja nchini Burundi wanapaswa kupelekwa kwenye viwanja vya michezo na kupigwa mawe...
  15. President of China

    JamiiForums Tanzania Muktadha wa jinsi Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, alivyoweza kuimarisha ustahimilivu katika demokrasia ya Tanzania hadi wakati huu

    Kulingana na hali ya kisiasa na matukio ya awali, Huu ni muktadha wa jinsi Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, alivyoweza kuimarisha ustahimilivu katika demokrasia ya Tanzania hadi wakati huu. 1. Mwelekeo wa Kusikiliza na Kujenga Ushirikiano • Rais Samia ameonyesha mwelekeo wa kusikiliza...
  16. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Nini kimejiri soko la Kariakoo Dar es Salaam?

    Sina habari za mwisho wa ugomvi kati ya wafanyabiashara wa Kariakoo na Wachina. Najua kwamba kulikuwa na mvutano kati yao kuhusu masuala ya biashara na ushindani. Inaweza kuwa kwamba pande zote mbili zimefikia mwafaka na zimepata suluhisho la matatizo yao, au pengine mazungumzo yanaendelea...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Baba wa Joshua aomba serikali ya Tanzania iongee na nchi rafiki za HAMAS ili waachie mwili wa mwanae

    29 December 2023 Kilimanjaro International Airport Tanzania BABA WA JOSHUA AOMBA SERIKALI YA TANZANIA IONGEE NA NCHI RAFIKI ZA KUNDI LA HAMAS BABA MZAZI WA JOSHUA MOLLEL AMWAGA MACHOZI, AREJEA TANZANIA BILA MWILI WA MWANAE ALIYEUWAWA NA HAMAS https://m.youtube.com/watch?v=DTeLiUa7QVs Mzee...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania Masikini? Masaa mawili tunamsubiri Naibu Waziri Mkuu Biteko apite

    Salaam Wakuu, Tangu nizaliwe, nilikuwa nasikia Viongozi wanaleta Foleni. Nipo huku Shinyanga, tumesimamishwa masaa mawili sasa tukisubiri Dotto Biteko apite. Ng'ombe wangu watafika mnadani saa ngapi? Hasara tayari. Mikopo ya Vikoba itanitoa roho. Viongizi wa Tanzania jitafakarini
  19. J

    JamiiForums Tanzania Wanaomkosoa sana Samia sasa hivi ndio watakaomkumbuka siku Mwigulu au Makonda ndio Rais wa Tanzania

    Tanzania ina matatizo mengi, na Samia anastahili lawama kwa baadhi ya matatizo yanayoikabiki Tanzania kwa sasa kama hili la mgao wa umeme n.k Lakini kama wewe unaamini kama mimi kuwa maendeleo ya watu yanapaswa kuendana na uhuru, umoja na mshikamano wa taifa yafaa tukumbuke tulikotoka na ku...
  20. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Naongea na Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mh Rais naomba nikupongeze kwa kazi nzito unayo ifanya ambayo inakugharimu Muda mwingine usilale ukihangaika huku na huko. nakumbuka siku za hivi karibuni nilishawahi kukutana na msafara wako huko Kawe siku ya Jumapili saa 3 kuelekea 4 za usiku. nilipo kuwa kwenye foleni ya kukungoja upite...
Back
Top Bottom