Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Balozi wa India Nchini Tanzania Amuaga Rasmi Waziri wa Ulinzi na JKT, Mhe. Dkt. Stergomena Tax
Tarehe 03 Januari, 2024 Balozi wa India nchini Tanzania, Mheshimiwa Binaya Srikanta pradhan amemtembelea Waziri wa Ulinzi na JKT, Mheshimiwa Dkt.Stergomena Lawrence Tax (Mb), ofisi kwake Upanga...
Watanzania wote tumetoka kwenye makabila tofauti tofauti. Hivyo basi hata wapenzi wetu pia wana makabila yao.
Swali la kizushi, mpaka sasa umezionja za makabila mangapi? Mimi nita highlight na rangi nyekundu nilizozionja.
Wambugwe
Wambunga
Wameru
Wamosiro
Wampoto
Wamwera
Wandali
Wandamba...
Sielewi chanzo chake lakini kwenye kila mechi wanayocheza Simba hapa Tanzania wachezaji wa Simba huchezewa Rafu sana wakati mwingine unaweza kuhisi kwamba labda kuna mkakati maalum wa kuhakikisha wachezaji wa Simba wanaumizwa!!
Ni swali la msingi kama sio hoja, hivi kwa hatua tuliyofikia Tanzania kwenye maendeleo ya mpira inawezekana vipi TFF au wadau kwa ujumla au mamlaka husika ya mpira Tanzania kukosa udhamini kwenye mpira unaotumika uwe rasmi?
Yaani ijulikane moja kama msimu wa 2023/24 Ligi yetu itatumia mpira wa...
Kama wewe unajua mpira na unafuatilia soka la Tanzania huenda utakubaliana na mimi. Ni vigumu mnoo kuwa na mchezaji mwenye sifa hizi.
1. Usikivu wakati wote.
2. Utulivu wakati wote.
3. Umakini wakati wote.
Kukosea kupo, lakini standard za uchezaji wa Chemalone zimebakia katika kiwango kile kile...
- Wifi internet ni tatizo, vyuo kibao hata free wifi haipo na kama ipo kuipata access yake ni shughuli ama ipo slow sana, kwa vyuo vya serikali angalau ttcl nayo ni taasisi ya serikali huwa wanajitahidi kuwasambazia,
- Umeme ukikatika vyuo private ni wao wenyewe wayajitegemea kwenye mafuta...
Nyuzi nyingi zimezungumzia makabila yenye watu wengi wenye elimu nasiyo akili. Elimu pekee haitoshi ila tunahitaji uwezo wa akili pamoja na elimu ili kuleta ubunifu ili tubali taifa.
Pamoja kwamba wahaya, wachagga na wanyakyusa kusifiwa kama makabila yenye wasomi wengi lakini hakuna cha maana...
Kuanzia wakuu wa vyombo vya usalama, idara, wasomi wabobevu plus thinktanks na manguli wa hoja mitandaoni na jamii wamejikita kwenye vision ya NANI ATAGOMBEA 2025, wengine akina Pascal Mayalla wameenda mbali zaidi kutabiri ama.kujadili nani anafaa kugombea 2030.
Kiashiria kikubwa cha nchi...
Kuna Dada mmoja amefariki wakati wa kujifungua lakini Sasa naona kama imekuwa ni kawaida Sasa. Vifo vya kinamama vimezidi sana inafikia hatua watu wanne au watatu wa karibu. Juzi Kati nimeona hadi mwandishi wa habari pia.
Hebu tuanze campaign ya kuhusu uzazi salama. Wadau wa Afya tuliangalie...
1. Wachaga - Kama kawaida yao sio watu wa kujisifia iwe ni biashara, maendeleo ya vijini kwao, n.k. Kiufupi hawa suala la elimu wapo Mbali tangu enzi za ukoloni, Mkoa wa Kilimanjaro ni mdogo ila ndio unaongoza kwa shule nyingi hasa maeneo ya uchagani, Kitu cha ziada ambacho wengi hawakijui ni...
habari wadau.
hii couple maarufu inayotrend sana tik tok na instagram ya vijana wanaojiita Meet Us. inafanya ma single tujione mayatima wa mapenzi.
mahusiano mazuri matamu sana na muhimu hela iwepo ya ku afford standard basic needs. mwanaume ukimaliza chuo ukajipata fasta, yaani ukapata kazi...
1.Rais wa Nchi,
MHE. Samia Suluhu Hassan -Rais wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu
-Yeye jukumu lake kubwa ni ku control hali ya Usalama na Siasa ndani na Nje ya Nchi
2.Dkt. Moses Mpogole Kusiluka-Katibu Mkuu Kiongozi
-Yeye ni Katibu wa Rais na Mkuu wa Utumishi wa Umma-anaratibu shughuli zote za...
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) imesema imekamilisha uchunguzi uliokuwa unafanywa ili kuona kama kuna ukiukwaji wa sheria za uwindaji baada ya kuonekana kwa video ya Mwindaji wa Marekani Josh Bowmer akifurahia kuwinda mamba mkubwa chini Tanzania na kuleta taharuki, ambapo uchunguzi...
Soma Sehemu ya Kwanza hapa: Kesho ya nishati yetu Tanzania ipo baharini (Sehemu ya Kwanza)
Nini kifanyike:
Umeme wa upepo ni moja kati ya vyanzo anuwai vya nishati mbadala vilivyopo, na ambavyo havijatumika kutatua tatizo la umeme nchini. Wakati mahitaji yakiogezeka maradufu, ni Dhahiri kwamba...
Kama raia mwema na mzalendo na mpenda taifa hili la Tanzania, ipo haja ya dhati kabisa kuuimarisha muungano wetu ikiwepo kuondoa dosari zote zilizopo au zinazokinza muungano huu ili kila upande wa muungano uweze kufaidi matunda ya muungano huu adhimu.
Ipo haja pia serekali zetu kuondosha...
Kuna Mtu Mmoja alinipa maana halisi ya Jasusi na Shughuli zake kisha kwa Kujiamini kabisa akaniambia kama wapo nchini Tanzania basi hawazidi 50 na akaniambia kuwa wengi walioko ni Makachero pekee.
Tutafuteni maana halisi ya neno Jasusi ili hata tukiwa tunalitumia tuwe tunalitumia pale tu...
Jeshi la Polisi nchini limesema kuwa limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa wa mauaji ya Beatrice James Minja ambayo aliyafanya huko Tarekea Wilaya ya Rombo Mkoa wa Kilimanjro Tarehe 12.11.2023 na mtuhumiwa aliyefanya aliyefanya tukio hilo kukimbia.
Akitoa taarifa hiyo leo kwa vyombo vya Habari...
Kesho ya nishati yetu Tanzania ipo baharini
Miongoni mwa ajenda kuu kwenye Mkutano wa 28 wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi (COP 28) pale Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu, ilikuwa nishati safi.
Mkutano wa mwaka huu ulioanza Novemba 30, ulihitimishwa siku ya Jumanne...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.