tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. S

    Baadhi ya Polisi nchini ni waongo na wauaji

    Hii sio taarifa ya tukio bali ni tathmini ya utendaji wa jeshi letu la Polisi katika kukiuka haki za wananchi wa Tanzania, binadamu walioapa kuwalinda. Hivi karibuni huko Kibaha kumetokea tukio la mtu kuuwawa kwa risasi, na mwili wake "kuokotwa" na wananchi. Ndugu wa mtu alieuwawa wanasema mtu...
  2. M

    KERO Huduma za Airtel Tanzania ni mbovu sana

    Habarin wadau, Naomba mwenye uelewa anijuze nawezaje kupata haki yangu, Tarehe 04 -03-2024 nilitumia Airtel Money kufanya muamala wa TZS 150,000 kwenda tigopesa hiyo pesa kwangu ilitoka lakin haikufika kwenda ilikotumwa. Nimejaribu kutafuta msaada mara kadhaa katika ofisi za Airtel bila...
  3. Tanzania ni nchi ya tatu duniani kama nchi ambayo watu wake wana furaha

    Kama kichwa cha Habari kinavyo jieleza hapo juu kwamba Nchi zenye Furaha duniani, basi sisi Tanzania ni inchi ya Tatu duniani yaani DUNIANI. Source ikiwa ni hii taasisi ina itwa Mental state of the world report ambayo wame kusanya data toka kwa watu laki 4 toka inchi 71 duniani. Nilipo ona...
  4. Nafasi za kujitolea NYS Tanzania

    NYS TANZANIA inapenda kuta taatifa ya nafasi za kazi za kujitolea maka ifuatavyo Mwisho wa kutuma maombi ni jumatano tarehe 13/3/2024 SAA 6 usiku.!!
  5. Kuingia kwa Bei Elekezi: Failure ya market economy katika Tanzania?

    Asubuhi hii nasikiliza taarifa ya habari, nasikia Zanzibar nako serikali ya huko imetangaza Bei Elekezi kwa sukari! Nafika ofisini mapema n inabidi nijiulize kwa makini. Nini maana ya bei elekezi? Hii ni bei iliyopangwa na serikali baada ya kuondoa gharama zote za uzalishaji, na kuongeza...
  6. Kwenye Vyakula na Mapishi bora 50, Tanzania hatumo

    Kwangu mambo yote ni shega tu! Nimeshangaa eti Tanzania hatumo kwenye haka ka listi ka misosi yenye unyama mwingi duniani!. Yawezekana tumefanyiwa tu fitina. Ina maana hawa waliotoa haka ka listi walijui Zege? (CHIPS MAYAI) au (WALI MAHARAGE)?
  7. Ni sheria zipi nchini Tanzania zinazokataza Mahusiano ya Kimapenzi kati ya ndugu?

    Habari za wakati huu wakuu, Bila kupoteza muda, na kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kujua kuhusu sheria za Tanzania zinazokataza mahusiano ya kimapenzi au kuzaliana kati ya ndugu (Incest).
  8. Serikali kupitia TANROADS imemkabidhi Mkandarasi kazi ya ujenzi wa Barabara ya Kimara-Bonyokwa-Kinyerezi kwa kiwango cha lami

    Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imemkabidhi Mkandarasi kazi ya ujenzi wa Barabara ya Kimara – Bonyokwa – Kinyerezi kwa kiwango cha lami; Sehemu ya kwanza yenye urefu wa kilomita 6 pamoja na ujenzi wa daraja la Kinyerezi lenye urefu wa mita 25. Akizungumza kwa niaba ya...
  9. Haiingii akilini kabisa kuona nchi kama Tanzania eti tunaagiza mchele nje ya nchi! Yaani kivipi?

    Kitendo cha kuagiza mchele nje ya nchi siyo kitendo cha kukiacha kipite hivi hivi tu kama ni jambo la kawaida na halina maana yoyote. Jambo hili ni ishara mbaya sana na siyo dalili nzuri sana huko tuendako kama taifa. Haiingii akilini kabisa kuona nchi kama Tanzania eti tunaagiza mchele nje ya...
  10. HATIMAYE: Mazda CX-5 imeingia Top 5 ya gari zinazoingizwa Tanzania kutoka Japan

    Wakuu. Mapenzi ya Watanzania kwa SUV pendwa Mazda CX-5 yanazidi kujionesha kwa Mtandao maarufu wa kuingiza Magari kutoka Japan kuiweka katika magari 10 yanayoingizwa sana Tanzania na kushika namba 4. Bado Subaru Forester, tako la Nyani na IST wako mbele yake ila inaonesha jinsi gari mwaka...
  11. W

    Mradi wa Tanzania wambeba miss world 2024

    Krystyna Pyszkova kutoka Jamhuri ya Czech ameshinda taji la Miss World 2024 katika fainali ya mashindano hayo tarehe 9 Machi 2024 jijini Mumbai- India. Krystyna Pyszkova kutoka Jamhuri ya Czech amejinyakulia taji la Miss World 2024 katika sherehe kubwa iliyofanyika kwenye Jio World Cinema huko...
  12. Ijue hifadhi ndogo kuliko zote Tanzania

    Hifadhi ya kisiwa cha Saanane ndiyo hifadhi ndogo kuliko zote Africa mashariki inayopatikana mkoa wa Mwanza na ndiyo hifadhi pekee iliyopo katikati ya mji. Ni mwendo wa kilomita mbili tu kutoka mjini na kuifikia iliopo. Inapatikana kwenye kingo za ziwa Victoria. Ni hifadhi inayokupa nafasi ya...
  13. Serikali imewakosea nini walimu wa Tanzania kugoma kuwalipa Fedha za likizo ya malipo Disemba 2023

    Tukiwa tunaelekea kwenda kumaliza mwaka wa fedha wa 2023/24 .Walimu wa Tanzania shule za msingi na Sekondari hawajalipwa fedha za Likizo ya mwezi DISEMBA 2023 imekua ni kuwaida serikali kuwalipa walimu fedha za likizo kwa namna inavyojisikia sio kwa mujibu wa sheria ,kanuni na taratibu.. Imekua...
  14. Weka picha ya gari namba 'E' kuonesha utajiri wa Tanzania

    Mimi nimeishia la saba B, hivyo siwezi bishana na mwenye PhD. Leo nilikuwa natembea nikaona gari kadhaa za namba E, nimezipiga picha. Kwa wengine kama mkiyaona yapigeni picha kuonesha utajiri wa watu wa nchi hii. Pia kama ukipita bar au club piga picha nyomi tuone utajiri wa nchi.
  15. CCM kutoka madarakani haimaanishi nchi itabadilika

    Ni muda sasa wakuambiana ukweli. Na ukweli ni kwamba sikweli kuwa changamoto na matatizo ya Watanzania yatatamatika pale CCM itakapo toka madarakani. Mtanzania ana matatizo na changamoto za aina mbili zinazo mkabili Moja changamoto ya yeye kuwa Mtanzania pale tu utakapo kuwa Mtanzania kuna...
  16. Wiki tatu nyuma Ksh dhidi ya Tsh ilikuwa 16.3, Leo 21.1. Wachumi wa Tanzania mnatusaidiaje?

    Hali ya sarafu ya Tanzania inaenda kushukuka thamani ikiripotiwa shilingi ya Uganda kuwa Bora zaidi kwa kipindi hiki ikifuatiwa na shilingi ya Kenya Hali n mbaya kwa upande wa shilingi ya Tanzania imekuwa inashuka kwa spidi sana. Wataalamu wa masuala ya fedha tupeni mbinu Bora ya kukabiliana na...
  17. B

    Chanzo Cha Umaskini Tanzania hiki Hapa. Deep State kazi kwenu

    Japo hatujawahi kufundishwa kwa kina kuhusu kitu kinaitwa Deep State lakini tunaeleweshwa mahali mbali mbali kwamba Deep State ni Kundi la Siri la Wazalendo ambao ndio hasa Husukuma Gurudumu la Ustawi na Uhaif Wa Taifa ktk Nchi fulani. Kutokana na maelezo ya kina ya weledi ya Mh Tundu Lissu...
  18. D

    Ili kupaa kisiasa Tanzania inabidi umuongelee Hayati Magufuli tu

    Asalaam Aleikum, Kama kichwa kinavyojieleza. In Tanzania currently, sio ruling party wala watu wa opposition parties, wote hao wanatafuta political mileages kupitia kumuongelea MZ. Ni kwamba sera za kuongelea na hoja za kisiasa zimeisha au ndo mvuto wa kisiasa wa hao wagombea wenu hakuna...
  19. Kwanini hapa Tanzania kama haujui kiingereza watu wanasema haujasoma hata kama umesoma?

    Yaani hii nchi MTU anayejua kiingereza ndo MTU anayekubalika Kama msomi. Inafikirisha Sana hili jambo. Tunapima level ya intelligent kwa kuangalia lugha. NB: Vijana jifunzeni kiingereza ili msipitwe na maarifa maana maarifa mengi yapo katika lugha ya kiingereza.
  20. J

    Jokate: UWT imekagua utekelezaji wa ilani katika mikoa 17, wilaya 185 na kata 883 Tanzania Bara

    UWT CHINI YA MWENYEKITI MAMA MARY CHATANDA IMEKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI KATIKA MIKOA 17, WILAYA 185 NA KATA 883 TANZANIA BARA - KATIBU MKUU JOKATE Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu chini ya Mwenyekiti wetu Mama Mary Chatanda (MCC) wamefanya ziara za kukagua utekelezaji wa ilani ndani ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…