tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kagere afukuzwe Tanzania

    Ni kweli kwamba tunahitaji wachezaji wa kigeni, lakini hatuhitaji Wachezaji wanaohujumu timu zao zinazowalipa kwa sababu ya Rushwa. Mimi ni Simba lakini sikubaliani na aibu hii ya Kagere, tunapenda Ushindi wa haki. Tukiruhusu huu ujinga tutadumaza soka la Tanzania.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nimesoma maoni ya Chadema kuhusu miswada mitatu; Je, huu uchambuzi umefanywa na wasomi wa Tanzania au wa Havard University?

    Kama tunasoma vyuo vilevile bila kujali vyama vya siasa tunavyotoka, kwanini CHADEMA wawe na timu inayoweza kufanya uchambuzi wa kina na usio na upendeleo (biasness) kwa kiwango hiki? Kwa uchambuzi huu waliofanya, naamini hakuna maoni yaliyochambuliwa kama ya hawa watu. Taasisi na mashirika...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania upinzani unatia hasira

    Tanzania ni nchi safi sana kufanya clean politics. Wananchi wake ni wepesi kukufollow na ni wepesi kukuona mchumia turbo, mlafi na mazabizabina. Mpenda kula, mpenda biashara badala ya kutembea katika mstari wa utumishi. Ukiwa upinzani inabidi zaidi uwe mtumishi wa umma. Siasa kidooogo...
  4. JamiiForums Tanzania Aibu sana, Tanzania (Taifa Stars) Hatuna Utamaduni wowote

    Kuelekea AFCON 2024. Vikosi vya mataifa mbali mbali vinawasili Cote D'Ivoire (Ivory Coast). Kila Nchi inajitahidi sana kunadi utamaduni wa mavazi yao, kitu kinachopendeza sana. Sisi Taifa Stars wameingia wakiwa wamevaa T-shirt za Sandaland Kikosi cha Taifa Stars Kikiwasili Waliowapokea...
  5. JamiiForums Tanzania January Makamba: Tanzania katika anga la Kimataifa ina sifa na Hadhi ya Kipekee Duniani

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) amesema Tanzania katika eneo la kidiplomasia ina sifa na hadhi ya kipekee duniani. Waziri Makamba ametoa kauli hiyo akifungua Kongamano la kukusanya maoni ya wadau kuhusu Mapendekezo ya Marekebisho ya Sera...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia huwa haongelei ajira kwa vijana wasio na kazi kama marais wa Kenya na Rwanda

    Huwezi kusikia hâta siku MOJA rais Samia akisema serikali itafanya moja MBILI Tatu kuajiri vijana jobless Tanzania. Ni kama vijana wamesahalika kabsa hâta ajira zikitoka zinakua chache mno. Kama VP serikali iongeze Kodi vijana jobless wapatiwe ajira kutokana n'a pesa za tozo Mfano rais wa...
  7. JamiiForums Tanzania Watu 163,131 walikutwa na Maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI mwaka 2023 Tanzania

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu @ummymwalimu leo January 10,2024 ametoa taarifa ya hali ya utoaji huduma za afya nchini kwa mwaka 2023 katika mkutano wake na Waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam ambapo amesema katika mwaka 2023 jumla ya Watu 8,145,576 walipima Virusi vya UKIMWI (VVU) na Watu...
  8. JamiiForums Tanzania Ukuaji wa pato la ndani unaotazamiwa kutokea kwa nchi za Afrika Mwaka 2024, Tanzania yashika nafsi ya tatu

    On one side of the coin, the depreciation of African currencies against major currencies, particularly the US dollar, turned into a major headache affecting trade balances, inflation rates, and what people could buy with their money. Countries like Nigeria, Kenya, and Zambia saw their currencies...
  9. JamiiForums Tanzania Siku si nyingi, Tanzania Bara tutaenda kujifunza Zanzibar namna ya kutelekeza miradi ya maendeleo

    Naingalia Zanzibar kwa jicho la kipekee sana. Wanafanya miradi kama ya Tanzania bara ina miradi yao inafanywa kwa ubora wa kipekee sana. Naona majengo mengi yanayojengwa kwao wanatumia kampuni binafsi na wanajenga kwa kuzingatia hasa value for money. Jengo la Shule iliyojengwa Zanzibar huwezi...
  10. JamiiForums Tanzania James Kabarebe anaaminiwa na Kagame na anatajwa kuwa mrithi wake

    Ni Kamanda la vita mda wote ambaye kwa jina ni James Kabarebe. Kwa msiofahamu, bwana James ndiye Kamanda aliyepata kuhudumu akiwa CDF wa Nchi mbili tofauti ambazo ni Congo na Rwanda. Kabarebe, ni mtu anayeaminiwa mno na Rais wa Rwanda na anatajwa ndiye mrithi wa baadae wa Paul Kagame bila...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Walimu wa Tanzania hawajitambui?

    Habari! Walimu ndio wenye number kubwa katika utumishi wa umma wakifuatiwa na wanajeshi, polisi na kada zingine. Zamani nikipohoji kwanini maslahi ya Walimu ni kidogo nikaambiwa kwakuwa idadi yao ni kubwa hivyo kama ukiwalipa pesa nyingi serikali itakuwa na mzigo mkubwa zaidi. Hili jibu kumbe...
  12. JamiiForums Tanzania Vyuo bora vya kujifunza IT Tanzania

    1. Dar es salaam Institute of Technology (DIT) 2. St.Joseph University in Tanzania. 3. University of Dar es Salaam. 4. University of Dodoma
  13. JamiiForums Tanzania Kati ya nchi 10 zitakazoongoza kwa kasi ya ukuaji wa uchumi duniani mwaka 2024, nchi 6 zinatoka Afrika ikiwemo Tanzania

    Shirika la Fedha Duniani IMF linasema Mwaka 2024 utashududia uchumi wa Dunia ukipungua Kasi ya Ukuaji wake Kwa miaka 3 mfululizo. Licha ya kupungua uchumi wa Dunia ila upande wa pili Kuna habari njema ya Nchi 10 Zinazotajwa kuongoza Kwa Kasi kubwa ya Ukuaji wa Uchumi Duniani,Nchi 6 Zinatoka...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Serikali ya Tanzania inawezaje Kuwasaidia Wananchi Kumudu Makazi ya Gharama nafuu?

    Habari Wanajukwaa! Niwape pole wagonjwa na wenye kuumwa! Mungu awafanyie wepesi! Kwa wae=le ambao tuko wazma basi tuendelee na kazi. Leo ni siku nyingine njema sana kwangu kupata nafasi ya kuleta uzi huu ambao utalenga zaidi kuongelea kuhusu umuhimu wa serikali ya Tanzania katika kuwasaidia...
  15. JamiiForums Tanzania Elimu ya juu inakuzwa sana kuliko uhalisia kwenye biashara. Elimu ya form 4 inatosha sana kwenye biashara za Tanzania

    Kwanza kabisa huwa nawashangaa wanaopiga kelele kuhusu mtu asome mpaka chuo ili aweze kufanya biashara wakati wanachuo hao wapo bize kutafuta ajira na wakizipata wanaridhika na mishahara. Na hata wasomi wanaofanya biashara wengi wao wanafanya biashara hizi hizi wanazofanya watu walioshia darasa...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania Investment Centre Embarks on Ambitious Campaign to Propel Potential Investment Flows

    The Tanzania Investment Centre (TIC) is launching a nationwide campaign designed to attract significant investment and fuel economic growth under the visionary leadership of President Dr. Samia Suluhu Hassan. This initiative, spanning 15 key regions across the country, signals the Sixth Phase...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania tumieni mapato ya betting kwaajili ya timu za Taifa

    Badala ya kuanza kuchangisha tunaweza kuamua kutumia mapato yapatikanayo katika tasnia ya michezo ya bahati nasibu ambayo ni mengi kuboresha na kuinua timu za Taifa kuliko kutembeza bakuli. Mfano wa nchi wanazoelekeza mapato ya betting kwenye timu za Taifa Ni Ujerumani. Ni aibu kila siku...
  18. JamiiForums Tanzania Ethiopia wanaomba hata kilomita 20 tu za ufukwe, Tanzania tuna zaidi ya kilomita 1500 lakini hakuna cha maana. Shida ni nini?

    Nchi ya Ethiopia hawana bahari wanaomba Somalia wawape hata tu 20 km ya ufukwe na kila kitu kitabadilika vs Tanzania tuna zaidi ya 1500 km coast line kutoka tangagiza mpaka Mtwara ni bahari tupu lkn ni uchuuzi tu wa kuleta imports ktk China na kujenga fremu za GSM & co. uchumi wote bazaar tu...
  19. JamiiForums Tanzania Hii ni Top Ten ya nyimbo zinazopigwa zaidi kwenye mabaa ya Tanzania

    List iko hivi, 1. 100 kilos - Ferre Gola 2. Ya Jean - Madilu 3. MayDay - Fally Ipupa 4. Kwangaru - Harmonize 5. Teacher Konde - Harmonize 6. Tetema - Rayvany 7. Vita Imana - Ferre Gola 8. Mario - Franco 9. Bora niinjoi - Jux & Diamond 10. Associe - Fally
  20. JamiiForums Tanzania Magazeti: Zanzibar yazidi kuneemeka, Tanzania bara yazidi kuwa Tanzagiza

    Ukiachilia mbali Zanzibar kushusha viwanja vyenye hadhi ha kidunia. Sasa serikali ya Zanzibar ina mpango wa kushusha Treni za Kisasa, TAXI za baharini, na Mabasi ya Umeme (Electric Rapid Transit Buses). Ukubwa wa nchi ya Zanzibar unaingia zaidi ya mara 10 kwenye ukubwa wa mkoa wa Morogoro...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…