tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Tanganyika ni nchi inayotumikishwa kwa kivuli cha Tanzania?

    Hivi nani mmiliki wa Tanzania? Watanganyika hawaitaki, kadhalika na Wazanzibar. Ikiwa wote hao hawaridhishwi na wala kunufaishwa na uwepo wa Tanzania, ni nani hasa mnufaika wake? Ni kama vile Tanzania ni chombo kilichoundwa kwa lengo la kuinyonya Tanganyika na Watanganyika. Kwa nini nisiamini...
  2. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mzungu ataka uraia wa Tanzania, agoma kurudi kwao

    Hakuna binadamu anaependa Vita wala kubebeshwa silaha, huyu kijana toka Uingereza ameamua kuukana Uraia wake na kumuomba Rais Samia ampatie Uraia wa Tanzania. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
  3. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni Tanzania pekee katika EAC ndiyo haijaruhusu uraia pacha kwa watu wake?

    Nchi zingine zote za Afrika Mashariki zimesharuhusu. Imesalia Tanzania peke yake. Kwa nini imeamua kujitofautisha? Labda ina akili kuliko nchi zingine zote zilizoruhusu au kinyume chake? Ya kwanza kuruhusu uraia pacha ilikuwa ni Burundi, mwaka 2000. Mnamo mwaka 2003, Rwanda nayo iliweka...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuzungumze mipango ya Upinzani Tanzania kuelekea 2025

    Wanalenga nini hasa hili kundi? Kumuomdoa incumbet mamlakani? kwa hoja na mipango gani... Kupata nguvu na nafasi za kisiasa kwa kushiriki na kushinda uchaguzi? Je wanatumia mbinu na mtindo gani wa mawasilianao ya wao kwa wao na kuwasiliana na umma? Na je wanayo winning formular ya kushinda...
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Maneno yafuatayo utayasikia kusini mwa Tanzania pekee

    1. Nchonyo-sehemu ya haja kubwa 2. Mwandu-uke 3. Kifuku-masika 4. Kureresa-hali ya pombe kutokuwa kali kuwa tamutamu 5. Kukaruka-pombe kuChacha yaani kuwa kali iliyochangamka 6. Kuhemwa-kunyeshewa mvua 7. Manda-wali 8. Mweche(ukwale)-hamu
  6. Logikos

    JamiiForums Tanzania Ujamaa wa Tanzania na Dini (Hotuba ya J. K. Nyerere - 1970)

    HOTUBA YA NYERERE NA VIONGOZI WA DINI TABORA 27/7/70 Key Take Away: NCHI ya Tanzania / TANU hazina Dini; Wananchi ndio Wana Dini... Kichama / TANU Hatujui kama Mungu yupo au hayupo (Hatuulizani); Tunaulizana Habari za Maji, Maharagwe na Mabarabara..... Lakini hatuulizi Kabisa kama ipo Pepo...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania CPI Ripori: Tanzania ni kati ya Nchi zenye kiwango kidogo cha Rushwa Afrika, unakubaliana na hilo?

    Ripoti ya Mtazamo Kuhusu Rushwa ya 2023 (CPI) imeonesha Rushwa na Ufisadi unazidi kushamiri ambapo Theluthi 2 ya Nchi zimepata alama chini ya ya 50 kati ya 100, hali inayodhihirisha kuwa bado zina matatizo makubwa ya Rushwa. Pia, Ripoti hiyo imeitaja Tanzania kwenye nafasi ya 13 katika Nchi...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Nay wa Mitego umewagusa Wakenya, wajiuliza ni jiwe kwa serikali yao au kwa Tanzania!

    Wakuu, Nay wa Mitego amedondosha jiwe jingine, ngoma inaitwa "Wapi Huko", kwenye wimbo huu anagusima mambo mengi ikiwemo hali ngumu ya maisha, akisema kwenye nchi hiyo bei ya pombe ni rahisi kuliko chakula, uchumi unachechemea, muda wa kazi umeme haupatikani, soka imeingiliwa na siasa, wananchi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Sera ya lugha Tanzania

    Wadau mliosoma uwalimu Haswa walimu wa lugha kwa level zote diploma na degree. Kuna yoyote anayekumbuka kujifunza juu ya sera ya lugha ya Tanzania. Katika kozi ulizosoma chuo je kunakozi yoyote iliyokufundisha kutambua sera ya lugha ya Tanzania na malengo yake. Kama walimu watarajiwa...
  10. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza Kenya: Madaktari Tanzania Mnaandika Dawa za Kiwango cha Chini

    Kenya kuna makampuni mengi makubwa ya madawa, ambayo mengi yao ni innovators wa dawa mbalimbali (brands), ambazo nchi nyingine hususani India huja kuzalisha baadaye kama generic. Kwa wasiojua brands huuzwa ghali, ila ni bora zaidi, wakati ni generic huuzwa kwa bei ya kutupwa, nyingi zikiwa na...
  11. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Tanzania standard za kuitwa genius au akili kubwa ziko chini sana

    Tanzania ni moja ya nchi mtu anaweza fanya jambo la kawaida sana akaitwa genius au akili kubwa Mtu anaweza copy kitu wikipedia au kitabu chochote alafu akaongeza ongeza na kingereza chenye misamiati isiyokua na formula basi akaitwa genius Tanzania na afrika kwa ujumla standard zetu za mambo...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Mikoa 17 ina Wagonjwa wa Red Eyes Tanzania

    Serikali kupitia Wizara ya Afya, imesema jumla ya mikoa 17 nchini imekumbwa na ugonjwa wa macho mekundu ujulikanao kitaalamu kama viral keratoconjunctivitis (red eyes) na watu 5,359 wametajwa kuathirika. Kufuatia kusambaa huko, wizara imewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa huo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Serikali au Taasisi Binafsi naomba muwekeze kwenye michezo hii miwili niliyobuni kutokea hapa hapa Tanzania

    Hello heshima kwenu ndugu zangu! Mimi ni kijana Mtanzania mpenda michezo, na katika kujihusisha sana na michezo, Mungu amenijalia kujipata kwa kuja na aina mbili za michezo. Mchezo wa kwanza utakuwa ukijulikana kama FENCEBALL au Mpira wa uzio. Na mchezo wa pili utajulikana kama REMAVOLLY...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Nishati Tanzania na Zambia wajadili ujenzi wa bomba jipya la mafuta

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko pamoja na Waziri wa Masuala ya Nishati wa Zambia, Peter Kapala, leo Januari 29, 2024 wamefanya kikao kilicholenga kujadili nia ya Serikali ya Tanzania na Zambia kuanza ujenzi wa bomba la inchi 24 la kusafirisha mafuta safi kutoka Tanzania...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tanzania yachaguliwa kuwa moja ya nchi 8 za Afrika zitakazopewa kipaumbele kupitia mpango mpya wa Mattei Plan

    Tanzania imechaguliwa kuwa moja ya nchi nane za Afrika zitakazopewa kipaumbele na Italia kupitia mpango mpya wa kimkakati wa Mattei (Mattei Plan) ambapo kiasi cha Euro bilioni 5 za awali kimetengwa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi hiyo. Miradi hiyo ya kipaumbele kupitia Mpango mpya wa...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dar yaendelea kuongoza kwa Wateja wa Huduma za Mawasiliano Tanzania, ina Wateja Milioni 12.9

    Ripoti ya Robo ya Mwisho wa Mwaka 2023 inayoangazia Huduma za Mawasiliano Nchini, imeonesha hadi kufikia Desemba 2023, jumla ya Wateja 70,290,876 wa Huduma za Mawasiliano walisajiliwa, ikiwa ni ongezeko la 4.7% kutoka Wateja Milioni 67.1 waliokuwepo Septemba 2023. Mkoa wa Dar es Salaam...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania language policy and planning in education

    I'd like to open a discussion on this platform regarding Tanzania's language policy and educational planning. Has any of you encountered topics related to Tanzania's language policy in your teacher's college or teacher's course? I recall primarily studying English teaching methods, but I'm...
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uongozi ni karama ya kuzaliwa, Paul Makonda anaendelea kulithibitisha hilo

    Huhitajiki kua Rais ili uwe Kiongozi Bora Bali kuielewa tafasiri halisi ya Uongozi inatosha kabisa kuwekwa Moyoni mwa Wananchi. Mpango, Majaliwa, Mko wapi?? Mbona Uthubutu alonao Makonda, ni mkubwa kuliko hata Nafasi yake?. Ni sahihi kusema Makonda amezaliwa kua Kiongozi?. Katibu Mwenezi...
  19. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Tukuyu, Rungwe Mbeya wilaya ya kipekee sijaona Tanzania

    Nilibahatika kufika Tukuyu Mbeya ule mji Ni moja ya wilaya zilizobarikiwa kwa kuwa na mandhari ya kipekee Sana, Hali ya hewa ya kule uko cool mda wote. Vyakula Sasa ushindwe wewe na tumbo lako. Zaidi maji Safi ya mito na bomba yasiyo na Mita. Lita ya maziwa 600, wapenzi wa kitimoto, kilo 6000...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania na Interpol wamkamata aliyowatapeli Watalii waliokuja kupanda Mlima Kilimanjaro

    Jeshi la Polisi Tanzania limesema limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa aliyewatapeli watalii waliokuja nchini kwa ajili ya kupanda Mlima Kilimanjaro huku likibainisha kuwa Tanzania ni nchi salama kwa wageni wa ndani na nje ya Tanzania. Hayo yamesemwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro...
Back
Top Bottom