tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. comte

    JamiiForums Tanzania Anayedhani Mahakama za Tanzania siyo huru asome hii kesi

    Mahakama yatengua makubaliano yaliyorejesha mali ya Ushirika serikalini Dar es Salaam. Mahakama ya Rufani imetengua hukumu ya Mahakama Kuu iliyohalalisha mkataba wa makubaliano baina ya Serikali na mfanyabiashara Amos Njile, kuhusu umiliki wa ghala la Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Mwanza...
  2. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Lomalisa Mutambala: Mchezaji pekee anayecheza Ligi Kuu Tanzania aliyewahi kuchukuwa ubingwa na timu yake ya taifa DRC

    WACHEZAJI PEKEE WANAOCHEZA LIGI KUU TANZANIA AMBAO WAMEWAHI KUWEMO KWENYE KIKOSI CHA TIMU YAP YA TAIFA IKITWAA UBINGWA WA AFRICA. LOMALISA WAZIRI WA MAJI. NA YANNICK BANGALA LITOMBO MZEE WA KAZI CHAFU Ebwanaee nilikuwa napitia stats za Joyce LOMALISA Mwaka 2016 alibeba ndoo chan 2016...
  3. SAFCo_Academy

    JamiiForums Tanzania (Tanzania) Clean up your data headaches! Jump into Power Query training and see how it can make your data work way easier.

    Why Choose Power Query Training with Us? Hands-On Learning: Our training is practical and hands-on, ensuring you gain real-world skills that you can apply immediately. Expert Guidance: Learn from experienced instructors who will guide you through the ins and outs of Power Query. Supportive...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumepoteza uelekeo wetu kimataifa, nani awajibike?

    Je, tunapaswa kupoteza rasilimalifedha na muda kumuenzi Nyerere kama tumemgeuka Mzee wa watu kwa kiasi hiki? Hebu msikilize huyu Mama. https://youtu.be/NoD_0Wnehtk?si=rLQ4PzkpZO8fR0-k
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu Rwanda inachokitafuta Tanzania! (Serikali, nchi yetu ni salama kiasi gani?)

    Inside story of why President Kikwete deployed Tanzanian troops in DRC ——— At an urgent summit of the International Conference on the Great Lakes Region (ICGLR) in Kampala in late September 2012, Tanzania's President Jakaya Kikwete spoke passionately of how Tanzania was eager to end the...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Zigo la madeni ni balaa

    Hivi ndivyo vyombo vya habari vilivyoripoti , hatujui kama huko ndio kuupiga mwingi au la !
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dialysis Zanzibar ni bure na Tanzania bara 180,000 kwa siku

    Tanzania na Zanzibar ni nchi mbili tofauti? ======= Mdau anahoji kwanini wagonjwa wa figo wanafanyiwa kwa gharama ya Tshs 180,000 kwa siku Tanzania bara ilhali Zanzibar ni bure. Amesema wapo wanaotakiwa kufanyiwa dialysis mara mbili au tatu kwa siku. Mdao ameomba majibu kwa waziri wa afya.
  8. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Internet ya starlink inafanya kazi tanzania tatizo ISP Starlink ni vikwazo na sheria wala sio huduma

    Unapozungumzia setelite tofauti na huduma zengine ambazo ni rahisi kuwekewa vikwazo mfano mfumo wa redio za sauti,mawasiliano ya simu na njia za waya au wireless zenye uwezo masafa yasio kwenda juu usawa wa bahari. nimeleta mada kwenu sababu hiki kifaa nakitumia hapa tanzania na kwenye usajili...
  9. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Natamani zitto kabwe awe raisi wa Tanzania uchaguzi ujao

    Nimeona mambo yanakua mengi sana viongozi wengi wa CCM wanapotezea kero za kila siku. Katika machaguo yangu naona zitto kabwe nchi inamfaa
  10. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Andiko la Mwisho la Ole Mushi;Ukoloni unarudi Tanzania

    Andiko la mwisho la Ole Mushi hebu lipitie👇🏿 UKOLONI UNARUDI TANZANIA? Na Thadei Ole Mushi. Miaka 60 ya Uhuru tumeshindwa kabisa kusimamia rasilimali zetu wenyewe. Migodi tumeitoa kwa Wazungu, Misitu tumeitoa kwa Mwarabu, Posta tumeitoa kwa Mwarabu, Misitu tumeitoa kwa mwarabu, Gesi...
  11. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kati ya Wanawake 100, Wanawake 25 wana ugonjwa wa saratani Tanzania

    Na. WAF - Dar Es Salaam Serikali imetoa rai kwa jamii kuchukua hatua za mapema kupima ugonjwa wa Saratani kwa kuwa takwimu zinaonesha kuwa kati ya wanawake 100, 25 wana Ugonjwa wa Saratani huku Asilimia 70 ya Wanawake inaonesha wana ugonjwa huo. Hayo yamesemwa leo Februari 4, 2024 na...
  12. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Tanzania yajadili namna ya ununuzi wa dawa adimu kutoka Cuba

    Na. WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu akiwa na Naibu Katibu Mkuu Dkt. Grace Magembe pamoja na Wakurugenzi wa Wizara ya Afya leo Februari 2, 2024 wmekutana na Balozi wa Tanzania nchini Cuba Bw. Humphrey Polepole, wadau wa Hospitali, MSD pamoja na Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba (TMDA)...
  13. D

    JamiiForums Tanzania M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC

    TPDF inapeleka kisago(sio kipigo) cha mbwa koko huko DRC Vijana wa M23 eti wanaonya JW kuendelea kuwashambulia itajilaumu baadae wameitaka iache mara moja vinginevyo itapigwa.
  14. Nkaburu

    JamiiForums Tanzania FIFA⚽ kutangaza Ratiba ya mechi za Kombe la Dunia la FIFA 2026: 🇹🇿Tanzania yahitaji kushinda mechi zote zilizobakia, kushiriki

    Watanzania wenzangu, ngoja nibaeleze. Kutoka kwenye Vyombo vya habari- FIFA itatangaza ratiba ya mechi za Kombe la Dunia la FIFA 2026™ leo Jumapili, tarehe 4, mwezi wa 2 2024 saa Tano usiku. Tangazo hili litaonyeshwa moja kwa moja mubashara kwenye tovuti ya FIFA.com na FIFA+1, na pia...
  15. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Siasa ni chanzo kikubwa cha umasikini Tanzania

    Umasikini ni hali ya ukosefu au kushindwa kupata mahitaji muhimu katika wakati sahihi unapohitaji kununua nguo fulani ukaikosa ndiyo msamiati umasikini unapodhihirika this is just nadharia inatumika kuwadhoofisha watu na kuendelea kuwatawala. Demokrasia imetengeneza mfumo wa kisiasa ambao...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kwa namna Makonda alivyotetea Diwani Kasulu awe raia wa Tanzania tukubali CDF ana kazi kubwa sana kupambana na wakimbizi ndani ya CCM

    Niwapongeze viongozi wa halmashauri Kasulu kwa msimamo wao. Nimpongeze kipekee yule Afisaa Uhamiaji kwa kusimama imara na kuhakikisha hatoi tamko mbele ya Makonda kuhusu Uhalali wa Uraia wa Tanzania Kwa mijibu wa sheria ya Uraia ya Tanzania ukisoma inaeleza kwamba mwenye mamlaka ya kiutawala...
  17. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya 5 kwa wingi wa watu Afrika

    Countries In Africa By Population: 1. Nigeria 🇳🇬 223,804,632 2. Ethiopia 🇪🇹 126,527,060 3. Egypt 🇪🇬 112,716,598 4. Democratic Republic of Congo 🇨🇩 102,262,808 5. Tanzania 🇹🇿 67,438,106 6. South Africa 🇿🇦 60,414,495 7. Kenya 🇰🇪 55,100,586 8. Sudan 🇸🇩 48,109,006 9. Uganda 🇺🇬...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mishahara na kazi za PCCB Tanzania zipoje kwa elimu ya form VI

    ni kwann pccb wanalipwa hela nyingi sana
  19. Exile

    JamiiForums Tanzania Huu umeme wamekata nchi nzima?

    Ulipo umeme upo? Maana naona mikoa kadhaa wanasema umeme hakuna. Njombe, Mara, Tanga, Arusha, Mwanza na Dar hakuna umeme. Tanzania ya viwanda hii
  20. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Master Jay: Wasanii wa Kenya wanajua kuimba kuliko wasanii wa Tanzania

    Producer mkali kuwahi kutokea na Jaji wa mashindano ya kuimba Tanzania Master Jay, amesema kuwa wasanii wa Tanzania ni waburudishaji na sio waimbaji wazuri kama wasanii wa nchini Kenya. Akiwa anafanya mahojiano na East Africa Radio Master Jay amesema, “Kitu ninachojivunia ni kwamba...
Back
Top Bottom