tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza Amri ya Bei Elekezi za Sukari Tanzania Bara

    Kufuatia malalamiko ya Wananchi juu ya kupanda kwa gharama za Sukari, Serikali imetangaza Amri ya Bei Elekezi iliyoanza kutumika Januari 23, 2024 katika Mikoa yote ya Tanzania Bara kwa lengo la kudhibiti Bei holela za Bidhaa hiyo Kwa mujibu wa Tangazo la Serikali, Amri hiyo imesema Mtu yeyote...
  2. Kigoma Region Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kigoma Region Tanzania: Mambo mbalimbali kuhusu mkoa wa Kigoma na viunga vyake

    Uzi huu ni maalumu kwa wakazi na watu wenye asili ya Mkoa wa Kigoma na watanzania wote kwa ujumla. Utapata kushiriki habari na kuungana na marafiki wa Kigoma kupitia hapa. Ukishazaliwa Kigoma au ukiwa na asili ya Kigoma basi Ubongo wako umeshakubeba kabla ya elimu yako (wewe ni wa tofauti...
  3. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

    Leo Jumatano 24.01.2024. Tanzania (Taifa Stars) Tunatupa karata yetu ya tatu katika Mashindano haya ya AFCON 2024 kumenyana na Timu ya Taifa ya DR congo mechi ni saa 5 usiku mungu ibariki Tanzania Kikosi cha Tanzania Kikosi cha DR Congo fiston mayele kaanza leo Mpira Umeanza... Tanzania...
  4. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mwigulu ashangaa Tanzania kuishi kwa kutegemea Misaada!

    "Lazima kama Taifa tuwe na mikakati ya kujitegemea sio heshima Nchi kama Tanzania tunaishi kwa misaada ili tufikie huku lazima tulipe na kukusanya kodi ambapo bado tunapata shida katika maeneo haya." Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amesema hayo leo, Jumanne 23/1/2024 Jijini Dodoma wakati wa...
  5. Imruu

    JamiiForums Tanzania Wadau, hivi mwenendo wa soko la ajira la Tanzania mnauonaje?

    Hebu nipeni mawazo yenu wakuu; hii trend ya upatikanaji wa ajira kwa upande wenu mnaionaje? Ukiangalia miaka kumi iliyopita, idadi ya fursa za ajira zilizokuwepo na idadi ya wataalamu huru waliokuwepo (wahitimu). Ukiangalia idadi ya fursa za ajira zilizokuwepo hivi sasa na idadi ya wataalamu...
  6. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Inviting Bids at Anglican Church of Tanzania January, 2024

    BID NOTICE The Anglican Church of Tanzania (ACT) is looking for an investor for its hotel facility situated at Plot 7, Block 3, Madukani – Dodoma, Tanzania. The Institute of Rural Development Planning (IRDP) has been commissioned to undertake the search for a potential investor on its behalf...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la Polisi: Hatujakubali au kukataa maandamano, tutawapa majibu tarehe 23

    Mbombo ngafu.....jidanganye kwamba maandamano yamekubaliwa!!!! ====== Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema limekutana na Viongozi wa CHADEMA na kuwahoji kuhusu maandamano waliyopanga kuyafanya January 24,2024 na wamekubaliana kuwa watawapa majibu kimaandishi kesho January...
  8. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Kama kuvamia Tanzania, adui haitaji kutumia nguvu ya Jeshi bali dini, rushwa na ujinga

    Tanzania ina madhaifu makuu matatu ambayo yameshaonekana mpaka sasa DINI, RUSHWA na UJINGA (NAIVETY). SOMO LA KWANZA: UFALME WA UJERUMANI (UJINGA or NAIVETY) Usidanganyike, huhitaji kutumia nguvu kubwa kuvamia taifa la watu ambao wamehalilisha rushwa kama sehemu ya utamaduni wa maisha yao...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania ilipocheza na Zambia kinafiki Mayele wenu alijifanya kutupa moyo watanzania, haya mwambieni atutie moyo tena dhidi yao kesho

    Sasa kama anaipenda sana Tanzania kwanini asiende tu uhamiaji Tanzania na akaombe uraia kabisa na asiendelee kutuchosha kwa kujifanya anatupenda sana watanzania na Tanzania yetu?
  10. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aalikwa na Baba Matakatifu Francis Mjini Vatican kwa mazungumzo rasmi ya siku mbili

    Kufuatia mualiko wa kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani na nchi ya Vatican Papa Francis, Rais Samia Hassan atafanya ziara ya kitaifa tarehe 11 hadi 12 Februari, 2024. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni nchi gani jirani imepandikiza kikamilifu majasusi wake mahiri maeneo / idara nyeti za Tanzania?

    1. Malawi 2. Zambia 3. Congo DR 4. Kenya 5. Burundi 6. Uganda 7. Rwanda atokayo member mmoja maarufu jamiiforums ambaye kwa bahati mbaya jina lake kwa sasa ameir seif wete paje kidagaa ( cognizant ) mimi nimelisahau? 8. South Sudan 9. Msumbiji
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hongera CDF umeona mbali. Leo wanavyosumbua Congo Mashariki, Kesho watasumbua Tanzania

    Hii jamii ni hatari sana. Iliweza kupenetrate Uganda na sasa wanaitawala, ikaweza kuchukua Rwanda na sasa wanaitawala. Baadhi walikimbia Congo Mashariki waka kaa kama wakimbizi alafu badae wakasema pale ni kwao. Wa Congo waliposhtuka kusema waondoke wakagoma na sasa ndo wanaendesha vikundi vya...
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Suala la Bandari TEC hawakupata kama walivyozoea

    Anachojaribu kukifanya huyu msemaji ni kutaka wasiokuwa Wakatoliki waamini kuwa Kanisa Katoliki bado lina nguvu ile ile iliyokuwanayo kabla ya sakata la "Waarabu" na Bandari ya Dar-es-Salaam. Kanisa Katoliki katika sakata hili halikupata kile ambacho wamezoea kupata kuanzia wakati wa ukoloni...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Demokrasia na ukanda hapa Tanzania vina uhusiano? Naona ni wazi kabisa awamu ya 2, 4 na ya sasa walau kuna unafuu kuzidi awamu zingine

    Raisi akitokea ukanda wa pwani na visiwani yani mikoa ya Pwani, Dsm na Zenji naona kunakuwa na unafuu sana kwenye Demokrasia kuliko Raisi akitokea mikoa ya bara. Enzi za Nyerere ilikuwa ni ngumu sana hata kusikia habari zake negative, Hii ilipelekea asifiwe kuzidi uhalisia, nakumbuka watu kama...
  15. Damaso

    JamiiForums Tanzania Namna bora ya Kuwasaidia Watoto wenye Usonji nchini Tanzania

    Usonji ni ugonjwa wa ukuaji unaoathiri idadi kubwa ya watoto duniani kote, ikiwa ni pamoja na wale wa Tanzania. Kwa bahati mbaya, kutokana na miundombinu duni ya nchi nyingi na rasilimali chache, hususani katika kusaidia watoto wenye usonji juhudi nyingi zimeonekana kukutana na changamoto...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna chama cha upinzani

    Nimefuatilia kwa muda mwenendo wa siasa za hapa nchini na kugundua kuwa nchi haina chama cha upinzani hata kimoja bali ni hivi vyama vingine ni miradi tu kama miradi mingine ya utafutaji pesa. Siku sheria itakapofuta ruzuku za vyama na kuelekeza pesa hizo kwenye miradi ya kweli ya maendeleo na...
  17. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Nadhani hii inaweza kuwa ndiyo kauli ngumu sana ya Rais Samia kwa mwaka 2024

    "Hatusemi tukafanye chaguzi za kutumia nguvu hapana, taratibu, sheria na miongozo ya uchaguzi itafuatwa lakini Jeshi na vikosi vyote vya ulinzi na usalama vikae tayari kukabiliana na hali yoyote itakayojitokeza." " Hapo mwakani 2025 tunaenda kwenye uchaguzi mkuu na ule ndiyo uchaguzi wenye...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Mama Samia : Utafiti unaonesha Zaidi ya nusu ya Tanzania wenye umri wa kuoa au kuolewa hawajaingia kwenye ndoa . Je sababu yako ni nini ?

    Ameyasema hayo leo Jumapili, Januari 21, 2024 alipokuwa akizungumza kwenye Ibada Maalumu ya kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa iliyofanyika katika viwanja vya Kanisa Kuu la Azania Front, Dayosisi ya Mashariki na Pwani. “Kwa wakazi wa...
  19. NguoYaSikuKuu

    JamiiForums Tanzania Aibu TANZANIA tumeshindwa kupeleka mashabiki AFCON

    Nashindwa kuelewa kwanini TFF na Serikali wameshindwa kupeleka hata mashabiki 50 katika hii michuano hii ya AFCON. Nchi yetu Tanzania tumezidi sana siasa na ufisadi. Katika pesa ambazo CAF wametoa TSH 2.5 Billion kwa kila nchi, tumekosa hata fungu la mashabiki? Ukiangalia kuna vinchi vidogo...
  20. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Swali Kwa waziri wa Afya Tanzania

    Naomba ummy Mwalimu ajibu Hili swali. Tunataka kujua tuna Nchi ya Tanzania na Zanzibar au nanna gani?. Cc Wizara ya Afya Tanzania
Back
Top Bottom