tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. ngamshe

    JamiiForums Tanzania SoC04 Madini ya kimkakati Tanzania, lulu inayotazamwa na dunia. Je, tumejiandaa?

    Tanzania tuiitakayo ni nchi yenye maendeleo makubwa zaidi ya watu katika ukanda wa Afrika mashariki. Itakayoweza kuondoa kabisa umasikini na kupunguza utegemezi wa misaada na mikopo. Hii ni kutokana na ukweli kuwa Tanzania ipo eneo zuri kiuchumi (Good economic geographical position), kwa kuwa na...
  2. USSR

    JamiiForums Tanzania Parade la kifalme london: hakuna askri mwenye kitambi kama makomandoo wa tanzania

    Ni sherehe ya siku ya kuzaliwa mfalme wa UK na parade linaongozwa na askari wa uskochi wote wako poa sioni vilibatumbo wala kitambo mbonyea kama wale jamaa USSR
  3. Ashraf JK

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: A Prospective View

    Overview Tanzania has many natural resources and cultural heritage, so it is confident enough to be a center of prosperity and development in future years. The phrase "Tanzania Tuitakayo” sums up the vision of the nation on a better tomorrow characterized by quality education, healthcare...
  4. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuzindua Dira ya Mabadiliko ya Kiuchumi ya Tanzania: Ramani ya Barabara ya Miaka 25

    Wakati Tanzania inapotazama katika robo karne ijayo, mkakati wa kiuchumi ulioandaliwa vyema unaoungwa mkono na sera za kimkakati za fedha-(Kiserikali) na fedha-(Kibenki) unaibuka kama msingi wa harakati zake za ukuaji endelevu na ustawi. Kwa kutumia uwezo wa hatua za upanuzi na za kupunguza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Dira ya Mabadiliko ya Kiuchumi

    Tanzania iko katika wakati muhimu sana katika historia yake, iliyojaliwa kuwa na uwezo mkubwa wa kuwa kinara wa ustawi wa kiuchumi barani Afrika. Ili kutimiza dira hii, ni lazima tukumbatie sera za uchumi zinazofikiria mbele na mageuzi ya kiubunifu ambayo yanaweza kutekelezwa ndani ya miaka 5...
  6. V

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo baada ya miaka 5 hadi 25

    Utangulizi Kwenye ukuaji wa taifa lolote lile duniani, linahitaji kuwa na viongozi wenye maono mapana kwa taifa lao. Pia kuwa na sera dhabiti kwa taifa lao ni muhimu, mfano kwenye elimu, afya na nishati. Elimu Elimu ndio msingi mkubwa kwa ukuaji wa taifa lolote. Ili taifa liweze kukua kiuchumi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mageuzi ya Mfumo wa Elimu Tanzania: Kutoka Kutegemea Ajira Hadi Kujiajiri kwa Vijana

    Ili kuharibu taifa lolote, anza kwa kuharibu mfumo wake wa elimu. Mfumo wa elimu wa Tanzania kwa sasa unawaandaa vijana kuwa wafanyakazi wa serikali au taasisi binafsi, jambo ambalo limepelekea wengi wao kuishi maisha duni huku wakisubiri ajira kutoka serikalini na kwenye taasisi binafsi...
  8. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutumia Teknolojia na Mitandao ya Kijamii Kukuza Biashara Yako Nchi Tanzania

    Teknolojia na mitandao ya kijamii zimeleta mapinduzi makubwa katika sekta ya biashara ulimwenguni, na Tanzania siyo tofauti. Kwa kutumia teknolojia ipasavyo, wafanyabiashara wanaweza kuongeza ufanisi, kufikia wateja wengi zaidi, na kuongeza mauzo yao. Makala hii itachunguza jinsi wajasiriamali...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Makabila mengi Tanzania hayaendelei sababu ni watoto wa mama, Wachaga wapo mbali sababu wanakuzwa kuwa watoto wa baba.

    Uzi umegeuka kuwa wa chuki zaa kikabila, haufai tena kuendelezwa Na sio wachaga tu hata waarabu, wahindi, wasomali, n.k. Mtoto wa mama - mtoto ambae kwenye makuuzi yake anaujua zaidi upande wa mama kuzidi baba, ndugu wengi anaowajua na aliowazoea ni wa mama kina mjomba, mama mdogo, mama mkubwa...
  10. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Mada: Je, Ni Wakati wa Mabadiliko ya Uongozi kwa Maendeleo ya Tanzania?

    Tanzania imeongozwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa zaidi ya miaka 40. Ingawa chama hiki kimeleta maendeleo kadhaa, kuna changamoto zinazozidi kujitokeza zinazohitaji mabadiliko ya uongozi. Swali linabaki: Je, ni wakati muafaka kwa vyama vingine kupewa nafasi ili kuleta mabadiliko ya maendeleo...
  11. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Building a tax-compliant society in Tanzania

    Tanzania is striving to create an economic environment that fosters a happy and prosperous life for its citizens. Achieving this goal requires effective management of the existing tax bases, recognizing that taxes are the lifeblood of a progressive nation like ours. Here are several innovative...
  12. Frajoo

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania yenye urahisi wa upatikanaji wa huduma bora za afya vijijini

    Salamu; Moja ya sekta nyeti inayogusa kila mwananchi ni sekta ya Afya, lakini ndio sekta isiyojitosheleza zaidi kwa miaka mingi hususani maeneo ya vijijini.Natambua juhudi za Serikali za awamu zote katika kuongeza idadi ya vituo vya Afya vijijini na mijini pamoja na kujitahidi sana kuingiza...
  13. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kwa Miaka 5-25 Ijayo - Katika Sekta ya Elimu

    Katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inahitaji kuchukua hatua thabiti na bunifu ili kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu. Miongoni mwa sekta muhimu zinazohitaji maboresho makubwa ni elimu . Kwa kuzingatia umuhimu wa sekta hii, ni muhimu kuunda mikakati inayohakikisha...
  14. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo kwa miaka 5 hadi 25 ijayo katika sekta ya Afya

    Tanzania Tuitakayo: Miaka 5-25 Ijayo Katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inakusudia kuwa taifa lenye ustawi mkubwa, usawa wa kijinsia, na huduma bora za afya. Ili kufanikisha malengo haya, ni muhimu kuhamasisha wanawake kushiriki kikamilifu katika mchakato wa maendeleo na...
  15. I

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tha Tanzania we want: A vision for the future

    In the heart of East Africa lies Tanzania, a nation brimming with potential and vibrant dreams. It is the year 2024, and the country stands on the brink of a transformative journey that will redefine its future. This is the story of how Tanzania could embrace innovative and bold ideas to shape...
  16. Kwekajr

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ili tuweze kujenga Tanzania mpya katika miaka ijayo inabidi serikal ibadali mtazamo hasa katika suala la elimu licha ya mabadiliko mbalimbali

    Ili tuweze kujenga Tanzania mpya katika miaka ijayo inabidi serikali ibadali mtazamo hasa katika suala la elimu licha ya mabadiliko mbalimbali yanayofanywa ili kubadili mtazamo wa vijana ambao ni nguvu ya taifa ikiwemo kuanzisha somo la ubinadamu, Somo hili lifundishe utu, maadili, uzalendo...
  17. Gukaaya

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mabadiliko kwa Miaka 5-25 Ijayo kwenye Mapambano Dhidi ya Rushwa na Ufisadi

    Andiko la Mabadiliko kwa Miaka 5-25 Ijayo kwenye Mapambano Dhidi ya Rushwa na Ufisadi kwa Ajili ya 'Tanzania Tuitakayo' Utangulizi Rushwa na ufisadi ni matatizo makubwa yanayozorotesha maendeleo ya kiuchumi, kijamii, na kisiasa nchini Tanzania. Ili kuifikia "Tanzania Tuitakayo," ni muhimu...
  18. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Sekta ya Ujenzi na Ukuzi wa Uchumi wa Tanzania katika maendeleo endelevu

    Tanzania na nchi za afrika kwa ujumla wake tumekuwa na uduni katika kukuza SEKTA ya UJENZI kwa MAENDELEO ENDELEVU pamoja na usalama wa nnchi zetu 1. SEKTA YA UJENZI ni nyenzo muhimu katika maendeleo ya taifa lolote Tanzania ikiwemo. Kati ya sekta inayotumia pesa nyingi katika mataifa...
  19. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo katika Sekta ya Madini

    Utangulizi Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizo na utajiri wa madini, tanzanite, dhahabu, rubi, fedha (silver), chuma, almasi, na nikeli. Hoja hii inagonga vichwa tuishie kuorodhesha utajiri tulionao au utumike kwa maslahi mapana, ili keki ya taifa iwafikie watanzania wote. Madini ya Tanzania...
  20. isayaj

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vyama vingi ni chanzo cha ufisadi Tanzania

    Makala: Vyama Vingi ni Chanzo cha Ufisadi na Umaskini Tanzania? Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepiga hatua kubwa katika mchakato wa demokrasia kwa kuruhusu mfumo wa vyama vingi. Hata hivyo, suala la vyama vingi limekuwa na mjadala mkali, huku baadhi ya watu wakidai kuwa mfumo huu...
Back
Top Bottom