tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Chair, Family Medicine Tanzania at Aga Khan University

    Introduction The Aga Khan University is a pioneering institution of higher education whose mission is to improve the quality of life in the developing world and beyond, through world-class teaching, research, and healthcare delivery. AKU educates students for local and global leadership from...
  2. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania John Bocco ndiye mfungaji wa muda wote wa ligi kuu Tanzania bara

    Jamaa hawezi itwa striker hatari ila amemake historia kubwa. Magoli 155.
  3. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Dira ya Kuimarika na Kukuza Uchumi

    Makala haya yanaangazia suluhisho la kina na mikakati ya kukabiliana na mfumuko wa bei, kukuza uchumi thabiti na unaostawi katika kipindi cha miaka 5, 10, 15, na 25 ijayo. Suluhu za Muda Mfupi (Miaka 5 Ijayo) 1. Kuimarisha Sera ya Fedha-(Kibenki) Benki Kuu ya Tanzania inapaswa kupitisha sera...
  4. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ya viwanda miaka 15 ijayo

    Kufanya Mapinduzi Makubwa ya Viwanda Tanzania Katika Miaka 15 Ijayo: Mkakati wa Kutekeleza Ili kufanikisha mapinduzi makubwa ya viwanda nchini Tanzania katika miaka 15 ijayo, juhudi za pamoja na mkakati thabiti zinahitajika. Mkakati huu unapaswa kuzingatia mambo yafuatayo: 1. Kuimarisha...
  5. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: Kukuza Uchumi Shirikishi na Endelevu

    1. Kukuza Uchumi Shirikishi na Endelevu Dhana: Viongozi wanapaswa kuzingatia kukuza uchumi unaonufaisha wananchi wote na unaotegemea rasilimali endelevu. Mikakati: Kuwekeza katika sekta za kilimo, viwanda, na utalii kwa njia endelevu ili kuunda ajira na kuongeza pato la taifa. Kuimarisha...
  6. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Mikopo gani yenye riba nafuu zaidi Tanzania inaweza kukutoa

    Wakuu swali hili nimeuliza mara kibao na Hamniambiii……Na ilihali mnajua Semeni bas NB:KUFICHA TAARIFA MUHIMU SI UTU
  7. I

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo Katika Mapinduzi ya Nne ya Viwanda (Akili Bandia)

    Historia ya Mapinduzi ya Viwanda Tangu karne ya 18 hadi sasa, dunia imepitia vipindi vinne muhimu vya mapinduzi ya viwanda. Kila kipindi kimekuja na teknolojia mpya na bunifu katika kila sekta, teknolojia hizo zimekuwa na tija katika uzalishaji na pia zimeambatana na changamoto mbalimbali...
  8. Hassan Mambosasa

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo

    TANZANIA TUITAKAYO Asubuhi na mapema unaamka ndani ya nyumba yako ya wastani, kutokana na kipato chako kutokuwa toshelevu. Homa nayo inakushika, unasita kwenda mihangaikoni siku hiyo. Suluhu pekee ni kuelekea hospitali, uende walau ukachunguzwe na kujulikana ni kipi kinachousibu mwili wako...
  9. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo katika mazingira

    Kama nchi itunge na kusimamia sheria ya maziko itakayokataza kuzika watu kwenye makaburi ya zege kuanzia chini mpaka juu. Haina hii ya mazishi inaathari kubwa kwenye mabadiliko ya tabia ya nchi ukizingatia binadamu tunakula mazao ya ardhini, tunakula wanyama wanaokula vya ardhini. Kitendo cha...
  10. Lucas Julson

    JamiiForums Tanzania SoC04 Malezi endelevu initiative (MEI) ni suluhu mzizi wa kujenga Tanzania imara na endelevu

    UTANGULIZI. MALEZI ENDELEVU INITIATIVE (MEI) ni wazo la kuandaa mfumo kamili wa kumlea Mtoto wa kitanzania kabla ya kuzaliwa, kuzaliwa mpaka utu uzima ili kujenga Tanzania imara na endelevu. MEI inalenga kumuandaa Mtoto katika nyaja mbalimbali kama; Kimwili Kiroho Kiakili Kiuchumi Kijamii...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watanzania mbona hamtaki Kujibu Swali la Msingi lililopo katika Ukurasa wa Mbele kabisa wa Gazeti pendwa la Werevu Tanzania la MWANANCHI?

    Tafadhalini hebu lijibuni bhana kwani Watanzania wengi tusiosoma ( kama GENTAMYCINE ) tunahitaji Majibu yenu Ok?
  12. Ladder 49

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu inayofanya Tanzania kutokuwa na maprogrammer wengi?

    Wakuu Habari zenu? Niingie kwenye mada moja kwa moja, Naona hii ndio sababu ya kuwa na maprogrammer uchwara wamzee wa kucopy hawaanzagi kuandika code from the beginning hata uwape bei gani, wao ni mwendo wa nipe wiki mbili tunamaliza faster kumbe anaangaika na kumodify code za watu. Sababu...
  13. Ladder 49

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania kwenye mahafali wageni waalikwa sio watu waliofanikiwa bali watu wa siasa/watu wa Serikali tu?

    Wakuu Habari zenu? Kuna kitu hapa kwa wageni wahalikwa kwenye mahafali ya wanafunzi wa kumaliza chuo kikuu au shule hizi za secondary. Hivi ni kwa nini wasialikwe watu waliofanikiwa kimaisha ili waongee na wanafunzi hao na badala yake mnawaalika wanasiasa na wakuu wa mikoa kuja kutoa hotuba...
  14. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania We Aspire To

    Tanzania We Aspire To. Author:Nkwabi Laurent Elias Vision Statement This document outlines a visionary framework for Tanzania over the next 5, 10, 15, and 25 years, focusing on various critical sectors: education, health, technology, economy, environment, infrastructure, and politics (civil...
  15. afrixa

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania miaka 25 mbele

    Naipenda nchi yangu i: Ushauri kwa Serikali - “Tanzania Tuitakayo” Ndugu Mheshimiwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan Sekta ya Elimu: Ili kuendeleza taifa letu, ni muhimu kuwekeza katika elimu kuanzia ngazi ya msingi hadi vyuo vikuu. Serikali ihakikishe inaboresha miundombinu ya shule, kuongeza...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: A Prosperous and Sustainable future

    "Tanzania Tuitakayo: A Prosperous and Sustainable Future" It is the year 2039, and Tanzania stands as a beacon of progress and innovation in East Africa. The country has undergone a remarkable transformation, driven by a collective vision of a prosperous, sustainable, and equitable future for...
  17. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC04 The People's Watchdog: Empowering Citizen Oversight of Government Spending in Tanzania

    1. The Erosion of Public Trust: A Crisis of Accountability in Tanzania The 2022/23 audit by the Controller and Auditor General of Tanzania paints a stark picture of widespread financial mismanagement within the government. A staggering 42.92 billion shillings were misappropriated, while 72.89...
  18. realMamy

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo iwezeshe wananchi kujiamini

    TANZANIA TUITAKAYO IJIKITE ZAIDI KWENYE ELIMU YA VITENDO. Tanzania kama ilivyo kuanzia ilikotoka hadi sasa iliandaliwa kwa misingi bora na imara ingawa kuna watu wachache wasio waadilifu wanaharibu misingi hiyo. Yafuatayo ni mambo ya Muhimu yanayoweza kujenga Tanzania iliyo bora endapo...
  19. BROADCASTER GIDEON

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania itasimama, Tanzania tuitakayo

    Tanzania ikiwa ni moja ya nchi za ukanda wa Afrika Mashariki, ni nchi ambayo imebarikiwa maliasili mbalimbali ikiwa ni pamoja na madini, mbuga za wanyama, Mistu, ardhi yenye rutuba ya kutosha, watu, maji ya kutosha na mimea ya asili pamoja na wanyama asilia wanaolipa sifa kubwa taifa letu. Kama...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Japo's Dream for a Brighter Future

    Japo sat on the veranda, sipping his morning chai and gazing at the majestic snow-capped peak of Kilimanjaro. He dreamt of a Tanzania different from the one he knew - a Tanzania Tuitakayo, a Tanzania We Want. A land where opportunity bloomed like the bougainvillea cascading down his neighbor's...
Back
Top Bottom