tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Simba & Yanga: Dini Mpya Tanzania

    Jambo jipya kutokea haimaanishi lile la kale lazima liwe limepotea au limekufa, hivyo naamini nitaeleweka kuwa huu uzi haujamaanisha kuwa Simbana Yanga zimekuwa mbadala(replacement) wa dini na imani za watu. Ila nimekuja kueleza kuwa hizi team zimekua na nguvu ya dini kwa sasa. Soka ndio mchezo...
  2. JamiiForums Tanzania Paul Christian Makonda (PCM) ndo kijana mwenye Akili zaidi ya siasa za Tanzania kwa kizazi hiki.

    Kuweka kumbukumbu sawa akiwa miongoni mwa wabunge kwenyr bunge la katiba awamu ya Jk ,Makonda alipongeza uwezo wa Samia Suluhu Sahan kusimamia bunge la katiba kama naibu spika.lakin pia aliona maona na kuyasema nanukui ikipenda uko mbeleni huyu mama aje awe makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano...
  3. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari wa Tanzania mnajisikiaje hakuna hata Mmoja wenu aliyechukua Tuzo huko Mkutanoni SADC leo alikoenda 'Mama' yenu Mpendwa?

    Yaani Tuzo zote za Categories za Radio, Television na Print zimeenda kwa Waandishi wa Habari wanaojua nini wanakifanya na wasio Wapumbavu, Wanafiki na Waongo wa nchi za Angola, Lesotho, Namibia, South Africa, Malawi na Zimbabwe, ila cha Kusikitisha wala hakuna kutoka Tanzania. Hii ni Aibu kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kufungua kiwanda Tanzania ni gharama kuliko kuagiza nje, sera ya Tanzania haisapoti viwanda vya ndani

    Nimemsikiliza balozi wa Uingereza nchini Tanzania anayemaliza muda wake David Concur anasema wazalishaji wengi wa Tanzania wanashindwa kulihudumia soko la ndani kwa sababu bidhaa za kuagiza ni nafuu zaidi. Hii inasababisha viwanda vichache kufunguliwa na kupelekea upungufu wa ajira. Mfano...
  5. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa barabara Ujerumani vs Tanzania

    Ukisikia barabara inajengwa ndio hivi sio zile zenu za moram na kushindiliwa tu, hii barabara hata ikae miaka 200 bado utaikuta hivyo hivyo sio hizi za hapa Tanzania miezi tu hakuna kitu. USSR
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini wapiga kura wa Sugu hawajaenda kumuona ila wanaomuona ni majasusi wanaowakilisha nchi zao Tanzania?

    Masaa machache tuliambiwa na kuwekewa picha sugu kalala hoi kitandani, dakika chache baadae, Sugu mzima,.tena kasimama kapiga picha na Balozi wa Marekani
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Walimu wa Tanzania wako wapi? au wao wana maisha mazuri sana? Kenya wanakiwasha

    KEnya Walimu huu unaweza kuwa ni mgomo wao wa pili ndani ya huu mwaka mmoja. Hawa wako serious sana na maisha yao hawako kwa ajili ya kufurahisha mtu. Walimu Wakenya hawana muda wa kujikomba, kujipendekeza, na kumlamba Ruto miguu, hawa huwezi watoa Shuleni eti wakamshangilie Ruto uwanjani...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Ridhiwani Kikwete afanya mazungumzo mafupi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) Bi. Ndomba Doran

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) Bi. Ndomba Doran aliyeongozana na Meneja wa Kanda ya Kati wa ATE, Bw. Leonard Mapha...
  9. JamiiForums Tanzania Moja kati ya miradi ya kimkakati nchini Tanzania ni pamoja na mradi wa Daraja la Magufuli almaarufu daraja la Kigongo Busisi linalopita juu ya ziwa

    Moja kati ya miradi ya kimkakati nchini Tanzania ni pamoja na mradi wa Daraja la Magufuli almaarufu daraja la Kigongo Busisi linalopita juu ya ziwa Victoria linalounganisha jiji la Mwanza na mikoa ya Geita, Kagera na nchi jirani kama Uganda, Rwanda na Burundi. Mradi huu umefikia asilimia 90%...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA ni chama gani kinakubalika na kuaminika zaidi kwa wananchi Tanzania kwa sasa?

    Tunapoelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji, ni chama gani kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA, unadhani kinaweza kuibuka kidedea kwenye mitaa na vijiji vingi zaidi ya kingine hiyo November 27.2024? Na je, hicho kinaweza kutumika kama kipimo cha kukubalika kwao kisiasa na wastani...
  11. JamiiForums Tanzania Full Time: Pamba Jiji Fc 0-0 Tanzania Prisons

    Msimamo wa Ligi kuu ya #NBCPremierLeague baada Ya mchezo mmoja wa Leo FT |Pamba Jiji Fc 0-0 Tanzania Prisons
  12. JamiiForums Tanzania Huyu bwana Toka 2010 amekuwa akiwatapeli baadhi ya Watanzania

    Mnaona wana jamvi, Na team ya JamiiForum hebu angalieni hili swala la huyu bwana Toka 2010 amekuwa akiwapiga za uso baadhi ya Tanzania kwa kuwapiga na uhuni wa utaperi wa uwekezaji hali anaacha familia nyingi za Kitanzania zikiumia na hakuna mtu wa kufichua hili swala. Jamiiforum kimnya TBS...
  13. JamiiForums Tanzania Msimamo na Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024-2025.

    Ndugu wanamichezo wote! Leo 16-08-2024, Ligi Kuu Tanzania Bara inaanza. Nawaletea kwenu uzi maalumu utakaokuwa unawapa Updates za Msimamo wa Ligi ulivyo kila baada ya Mechi ndani ya msimu mzima! Mechi ya Leo 16.08.2024 Pamba 0- 0 Prison RATIBA YA GAME ZA 1st to 4th Round. Ligi ina jumla...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Biteko: Tanzania imejipanga vema kuhakikisha inatumia fursa ya uwepo wa soko la pamoja la EAPP la mauziano ya umeme

    TANZANIA IPO TAYARI KUTUMIA FURSA YA SOKO LA PAMOJA KUUZIANA UMEME - DKT. BITEKO 📌Ni kufuatia uwepo wa fursa hiyo kwa nchi 13 wanachama wa EAPP 📌Mawaziri waridhia uwepo wa kitengo huru cha masoko cha kuuziana umeme 📌Wanachama EAPP watachangia Megawati Elfu 90 kwenye soko la pamoja la...
  15. JamiiForums Tanzania Wizara tatu zajadili hali ya uzalishaji chumvi nchini Tanzania

    Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Wizara ya Mipango na Uwekezaji pamoja na Wizara ya Viwanda na Biashara zimekutana kujadili namna ya kuondoa changamoto katika sekta ndogo ya chumvi nchini. Wizara hizo zimekutana jijini Dodoma kufuatia taarifa zilizowasilishwa kwa Serikali na Chama cha...
  16. JamiiForums Tanzania KERO Ukienda Polisi kuwataka watrack Simu iliyobiwa, bila Pesa hufanikiwi

    Tarehe 16.7.2024. Nilliibiwa simu ktk eneo langu la kazi. nikaenda polisi kutoa Taarifa wakanipa RB baada ya hapo nikaambiwa ni subili mpelelezi, kufika kwa mpelelezi, ananiambia kutrack simu kuna gjharama. Gharama ya kutrack simu ni shilingi 100,000/=. Thamani ya simu yangu iliobiwa ni shilingi...
  17. JamiiForums Tanzania Kamwe na haitatokea Tanzania kupoteza uelekeo

    Nimpongeze Rais Samia kwa kusimama imara katika nafasi hii ngumu, yenye majaribu na lawama zote. Ni ukweli usiopingika kuwa nafasi za uongozi ni kama ubao wa kupokea lawama na mazuri yote huandikwa na kufutwa. Nipende kumpa moyo Rais na viongozi wote wa chini yake katika kukabiliana na lawama...
  18. JamiiForums Tanzania Benki ya biashara Tanzania (TCB) kushirikiana na Bunge la Tanzania kuwainua wajasiriamali nchini

    Katika jitihada za kuimarisha ushirikiano baina ya taasisi za kifedha na mihimili ya Serikali, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB), Bw. Adam Mihayo, amemtembelea na kuzungumza na Spika wa Bunge la Tanzania, Mheshimiwa Tulia Ackson. Bw. Mihayo ameambatana na Mkurugenzi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Ni kwa kiasi gani Serikali ya CCM chini ya Rais Samia Suluhu imefanikiwa kutokomeza umasikini na kuinua hali bora za maisha ya Watanzani?

    kwa kiasi kibuwa Tanzania imepiga hatu za kimaendeleo chini ya serikika sikivu ya CCM ya awamu ya sita kwa kuinua vipato na hali bora sana za maisha ya waTanzania, kwa kuzingatia uhakika wa hali ya ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi, watu na makazi yao, kazi na na biashara zao, Lakini pia...
  20. JamiiForums Tanzania In which area has the powerful government of Tanzania, under the very ability and love of President Samia, done very well so far in development?

    with relevant examples, point out areas in which you think Dr. Samia Suluhu Hassan, done tremendous job, and for that will be remembered in history of the country, at making Tanzania powerful in security and very great economically, politically and socially especially in Africa Great Lake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…