Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Nimeona harakati za watu kujitangaza kwamba watagombea urais, nachoweza kuwaambia ni kwamba kwa tume hii ya uchaguzi na katiba hii iliyozeeka! CCM inahitaji tu mgombea wa aina yoyote kama ushahidi kwamba tulifanya kampeni!
Lakini ni kutupotezea tu rasilimali pesa kuingiza team kufanya kampeni...
Na cha Kushangaza zaidi karibia 85% ya Bidhaa zao hizo za Electronics ni Original kabisa lakini bado wanaziuza / zinauzwa kwa Gharama nafuu sana wakati huko Tanzania ( Nyumbani ) bidhaa nyingi ambazo tunauziwa kwa Gharama Kubwa hapa Uganda bado ni Feki pia.
Haya Mangwena ( Wabobezi ) wa Uchumi...
Soma Pia: Nini kinachangia ongezeko la matukio ya Ukatili dhidi ya Watoto?
Takwimu za Hall ya Uhalifu Januari - Desemba 2023.
Makosa ya Ukatili wa Kijinsia kwa Watoto
Makosa haya ni yale yote yanayohusu ukatili na Unyanyasaji wa kijinsia kwa watoto. Makosa haya yanatendeka zaidi katika jamii...
Yaani uki Google ligi za ulaya utaona live updates inaonesha ni dakika ya ngapi na goli ni ngapi kwa ngapi, hata line-up za vikosi, ila uki Google Tanzania premier league unakuta inaonesha tu timu zitakazocheza na muda tu basi, yaani kama ni Mashujaa Vs KMC 1600 itabaki hivyohivyo hata mechi...
1. Wadau hawa wote (Doto na Dr Mauki) ni watu Maarufu nchini a.k.a Influencers.
2. Ukiniuliza mimi nani anastahili kupigiwa mfano kwa kupambana kimaisha na kuwa role model wa vijana naweza kusema tofauti na matarajio ya wengi.
Nini maoni yako?
Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Comoro wa Sekta za Mifugo, Kilimo na Usafirishaji limefanyika kwa mafanikio katika mji wa Moroni.
Katika kongamano hilo lililofunguliwa rasmi na Gavana wa Kisiwa cha Ngazidja, Mze Mohamed Ibrahim, wafanyabiashara wa Tanzania walikutana na wenzao wa...
Ni uzalendo wa maana sana kuitikia wito wa dola, kutii maelekezo, ilani au amri za vyombo vya ulinzi na usalama bila ukaidi, ubishi wala kiburi kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi..
Jitahidi sana uwe Raia mwema siku zote, muungwana, mzalendo, mtiifu kwa sheria na katiba ya nchi, na kutoa...
In a significant demonstration of national unity and political collaboration, a recent photo capturing CCM Secretary General Ambassador Dr. Emmanuel Nchimbi conversing and sharing a moment of camaraderie with Mr. Freeman Mbowe, Chairman of the Democracy and Development Party (CHADEMA), has...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema bado kuna fursa nyingi hapa nchini ambazo zikitumika vizuri zinaweza kuongeza idadi ya watalii wa ndani na nje.
Ametoa kauli hiyo jana usiku (Jumatano, Agosti 21, 2024) wakati akizungumza na mamia ya wadau na washiriki waliohudhuria tukio la USIKU WA UTALII...
It is a pity kuwa wazee hawa walikuwa na mahali pa kupata advance ya pensheni yao sasa mmeiondoa na kubakia salary advance. Kwanini salary advance imebaki na kuondoa pensheni advance? kwanini mmeiondoa tena bila taarifa.
Watatafuta benki ambayo itawarudisha kwenye service hiyo.
Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeungana na wananchi wa kizimkazi Zanzibar kwenye siku ya utalii kusherehekea ufahari wa utamaduni wa Kitanzania, vivutio vya utalii, umoja na mshikamano katika tamasha la Kizimkazi linaloendelea kufanyika visiwani Zanzibar.
Benki imeendelea kusisitiza dhamira...
Baadhi ya Wananchi wameandamana na kuvamia Kituo cha Polisi cha Lamadi wakidai askari Polisi wa eneo hilo wameshindwa kuwajibika wakidai kuna muendelezo wa matukio ya Watoto kupotea Mkoani hapo.
Baadhi ya Wananchi wengine pia walifunga Barabara ya Kuu ya Mwanza-Simiyu-Mara, baada ya tukio hilo...
Kwa mazingira yetu yalivyo ni vitu gani vya kunoga ambavyo havimalizi hela yaani cost yake almost equal to zero.
1.kuogelea bahari ya hindi
2.kufuga bata lengo uwe unakula pilau na bata
3.gongo+mnazi (tembo)
4.x +punyeto
5.download movies kwenye wi-fi
6.audiomack
7.jamiiforum
8.mke mrembo...
MKUTANO WA KIMATAIFA WA UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI TANZANIA KUWAVUTA WAWEKEZAJI DUNIANI KOTE - MAVUNDE
Asema Tanzania Iko tayari kwa Uongezaji Thamani Madini
📍Dar es Salaam.
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Tanzania iko tayari kuvutia Wawekezaji kutoka mataifa...
Napata mashaka makubwa sana pale ninapoona viongozi wetu wanafanya maamuzi ya kuliangamiza taifa. Mbaya zaidi wale wanaofungua viywa vyao wanatishwa na kupotezwa .hivi heri ya viongozi ni ipi?
Hivi kweli mama anaridhia haya yanayoendelea katika nchi yetu? na kwa nini iwe hivi? hivi mtu mwenye...
Nimevumilia vya kutosha nikidhani kama kuna mtu anayekerwa na fumbuzi wa matatizo ya muungano yaliyotolea kwenye kikao cha pamoja kati ya Mh. Lowassa na Mh. Nahodha.
Kitu kinachonitisha ni kwamba yale mambo waliowaamulia wananchi yatapelekwa bungeni october kwa ajili ya "constitutional...
Media za Tanzania zimepitia mabadiliko kadhaa yanayotokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Hivi ni vipindi vya habari ambavyo vinanivutia kwenye media za Tanzania.
1. TBC 1 Aridhio
2. TBC 1 Aridhio
3. TBC 1 Aridhio
4. KAIFA ya TBC Taifa
5. Mirindimo ya asubuhi TBC Taifa
6. Dira ya mchana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.