tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Dkt. Dorothy Gwajima ndiye waziri anayekubalika kwasasa nchini Tanzania

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kwanza kabisa nipende kukiri hadharani ya kwamba,Binafsi huyu ndiye waziri ninaye mkubali Kwa Sasa nchi Tanzania. Huyu waziri anazosifa kadhaa ambazo zinamfanya aendelee kukubalika Kwa Watanzania kibwena. SIFA ZINAZOMFANYA KUPENDWA NA WATANZANIA WALIO...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu kufanya biashara na mashirika ya serikali Tanzania

    Kama mfanyabiashara wa Tanzania nikiwa na uzoefu wa takriban miaka 15, naomba nitoe uzoefu wangu kwa watu wanaotamani kuanza biashara zao wakilenga kupata tender za serikali kama source kubwa ya kipato. Kila mteja ana changamoto zake kama wewe ni mfanyabiashara huitaj degree kujua ili, lakini...
  3. Pfizer

    JamiiForums Tanzania USAID kuwekeza dola za Marekani milioni 8.3 kwa kampuni za Tanzania ili kuboresha Usalama wa Chakula

    Marekani yazipa kampuni nchini dola milioni 8.3 SERIKALI ya Marekani kupitia Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la (USAID), imetangaza kuwekeza dola za Marekani milioni 8.3 kwa kampuni tisa za Tanzania ili kukuza biashara, kuboresha usalama wa chakula na kuimarisha ushindani wa Tanzania...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Salum Abdallah na Nyimbo Yake "Wanawake Tanzania"

    SALUM ABDALLAH NA NYIMBO YAKE "WANAWAKE TANZANIA" Nyimbo hii Salum Abdallah aliimba katika siku zake za mwisho. Hebu tujiulize wanawake aliowaimba ni wanawake gani? Nimeingia Maktaba kwenye kitabu, "Self Reliant TANZANIA," kilichohaririwa na Knud Erik Svendsen na Merete Teisen kuwatafuta...
  5. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya kuzalisha vioo Tanzania yawasha mitambo, itatumia malighafi za Nchini kwa 80%

    Kampuni ya KEDA (T) Ceramics Co. Ltd imefanya uzinduzi wa awali wa kuwasha mitambo ya kiwanda hicho kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani, leo Agosti 19, 2024. Uzinduzi huo umefanywa na baadhi ya viongozi wa Kampuni pamoja wa Wafanyakazi wao wakiongozwa na Mkurugenzi wa Ceramics Co. Ltd, Wayne Zhong...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Polisi: Wanaotuhumiwa kubaka na kulawiti ni kama wavuta bangi, hawakutumwa na Afande, yule dada alikuwa kama anajiuza

    Wakuu, Naona tunaenda kufanyiwa maigizo tena na kuna mtu anataka kulindwa. Eti uchunguzi umebaini vijana wale hawakutumwa na 'afande na kwamba vijana wale walikuwa kama wavuta bangi tu na yule binti alikuwa kahaba! Mpaka utambulisho wa moja wao umebainika halafu leo maneno yanageuzwa hivi...
  7. milele amina

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Waziri wa madini: Serikali ya Tanzania imepewa share 0% umiliki wa leseni ambazo serikali ilishitakiwa na kulipa mabilioni huko Shanta mining.

    Taarifa hii inaonyesha kuwa kuna utata katika uhamisho wa leseni za madini kutoka kampuni ya Bafex Mining kwenda Shanta Mining. Hapa kuna mambo machache ambayo yanaweza kutokea: Uhamisho wa leseni haukuendana na sheria: Huenda sheria za Tanzania zinahitaji serikali kuwa na hisa fulani katika...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Hii ndio orodha ya majiji mazuri zaidi Tanzania

    1. DAR - ES - SALAAM Majiji Mengine .... 2. MWANZA - Ni jiji tangu enzi za Tanzania yenye majiji mawili 3. MBEYA - ni likijiji likubwa lakini kuna fursa nyingi, vyakula, unafuu wa huduma ya maji, utitiri wa vyuo, hospitali bora na huduma nyingine za jamii, n.k. 4. ARUSHA - Ni jiji zuri kwa...
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan

    Barua ya Wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Na Elia Wilinasi Sikanyika Mheshimiwa Rais, Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, napenda kuchukua fursa hii kukuandikia barua hii ya wazi. Kwanza kabisa, naomba nikupongeze kwa uongozi wako wa hekima na...
  10. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kampuni za simu bado zinatumia 3G mfumo data japo zinashindwa ku update minara Tanzania acha nieleze ukweli hapa

    Ili jambo lipo afrika na linaigizwa kwa mtindo wa kudanganywa kuwa kifaa chako sasa kina 4g au 5g. Ghalama za kuendana na hiyo mifumo nikubadilisha vifaa vyote kwa wakati ili kumudu vifaa hivyo. Leo niko kijiji X kina mnara tokea wa 3G ila hakuna changamoto ya kuharibika kifaa kina niambia...
  11. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wamasai wa Ngorongoro watoa tamko kunyang'anywa haki ya kupiga kura 2024 na 2025

    Baada ya kuwasikiliza wakazi na viongozi hawa wa tarafa ya Ngorongoro, nimegundua yafuatayo: 1. Kuna agenda mbaya ya siri dhidi ya Wamasai hawa wa Ngorongoro inayofanywa na serikali ya CCM chini ya Rais Samia Suluhu Hassan. Wanaiuza ardhi ya Ngorongoro kwa waarabu? 2. Kumbe wakazi wa...
  12. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Jiji la Adis ababa sasa halishikiki Africa! Mtanzania atamani maendeleo hayo yangekua yanatokea Tanzania

    Kutoka kwa kijana machachari Abi ahamed Jiji la Adis Ababa limegeuzwa kuwa jiji la kimataifa kwa kuliwekea international standard Abiy anadai Lengo ni kuifanya Adis ababa kitovu cha usasa na miundo mbinu ambayo haipo popote pale Africa. Asilimia 90% ya vitu vilivyotumika katika ujenzi...
  13. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya tanzania havina uwezo wa utanuzi wa mawazo mpaka kwa wanao wafundisha

    Vijana wamemaliza vyuo lakini ukiwangalia ni kama wameingia chuo kujifunza. Nina kijana kasomea IT mtoto wa ndugu yangu yani hakuna lolote kama kazubaa. Mwengine jirani yangu kasomea uhasibu hakuna la maana kwenye ofisi ni shot kwenda mbele.
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mazingira na hali ya siasa ya Tanzania imeimarika na kuboreshwa mno katika awamu ya sita ukilinganisha na kipindi kilichopita

    Kwamba sasa mazingira ya kufanya kazi za siasa ni sawa, lakini kuna uhuru wa kufanya siasa bila mipaka, vizuizi wala vipingamizi ilimradi tu kufuata na kuzingatia sheri na kuzitii bila shuruti, kiburi au ukaidi... Uhuru kwa vyama vya siasa kukusanyika kufanya mikutano ya ndani na ya hadhara...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna huduma za kuchangia mbegu?

    Mimi nauliza tu, Hivi Tanzania kuna sehemu Ke au Me anaweza kuchangia mbegu au yai ili kupata mtoto bila wazazi kukutan kimwili?
  16. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Tanzania ni maskini wajao sema hawajajua tu

    Hakuna maisha watu ukiwauliza huko USA wanaweza kulaumu kama wasanii wa huko. Wengi wanakwambia huku wakijua majuto mbeleni na hakuna mwenye ukweli. Ila wasanii wengi wameishia kuishi maisha ya ya kawaida kama wengine japo kudanya tu fake life
  17. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna siku Tanzania itafanyika uchaguzi wa huru na haki?

    Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na maelewano kwa wanasiasa Tanzania. Je, hiyo ni dalili ya uchaguzi wa huru na haki?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Questions asked in interviews for Tourism Officer II

    What are various questions usually asked in tourism officer interviews?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tuko Busy na vita ya ukraine, yanga, simba, kuwahoji viongozi faida ya madini, bandari, wala hatutaki tunawasifu na kuwachekea,

    Hawa Akina Lissu, na wenzake na wapinzani wengine wote tuwaunge mkono, Tusikubali wanyanyaswe, tupaze sauti ya haki Kwa watu wetu, Tubadilike tuwe kizazi cha kuhoji mara Kwa mara, tuhoji mapato yatokanayo na rasilimali zetu yanafanya nini miaka yote ya uhuru, Tuhoji mapato viwanja vya ndege...
  20. Best Daddy

    JamiiForums Tanzania Simba & Yanga ni Dini Mpya Tanzania

    Jambo jipya kutokea haimaanishi lile la kale lazima liwe limepotea au limekufa, hivyo naamini nitaeleweka kuwa huu uzi haujamaanisha kuwa Simbana Yanga zimekuwa mbadala(replacement) wa dini na imani za watu. Ila nimekuja kueleza kuwa hizi team zimekua na nguvu ya dini kwa sasa. Soka ndio mchezo...
Back
Top Bottom