tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Pongezi zangu nyingi sana kwa Watanzania ambao wanawafundisha Lugha ya Kiswahili hawa Wachezaji wa Kigeni hapa Tanzania

    Nimemuona Chama akikizungumza vizuri kweli kweli, pia nimemuona na Aucho nae akikizungumza vyema tu ila Kubwa kuliko Mtu ambaye sikutegemea kutokana na kuwa na mambo mengi Bernard Morisson nae akikizungumza vizuri tu. Hawa ni wachache sana ila najua wapo Wachezaji wengi wa Kigeni ambao kwa sasa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro, Mtwara na Lindi zaongoza idadi kubwa ya wazee

    Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 yanaonyesha mikoa ya Kilimanjaro, Mtwara na Lindi inaongoza kwa idadi kubwa ya wazee wenye umri zaidi ya miaka 65. Ripoti hiyo ilizinduliwa Zanzibar na Waziri Mkuu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sensa Kitaifa, Kassim Majaliwa na Makamu wa...
  3. Mgosi Mbena

    JamiiForums Tanzania Tanzania Miaka 40 ya hamna kitu kwene michezo?

    Wakuu nimeona hii youtube.Binafsi nimeumia sana. “washiriki wa Tanzania wameendelea kurudisha ukame nyumbani kwa zaidi ya miaka 50 bila midali ya dhahabu.” Ni huzunini kwa kweli. https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/sports/tanzania-at-the-olympics-50-years-of-missed-opportunities-4722068...
  4. Kiby

    JamiiForums Tanzania Maombi na dua yangu kwa taifa la Tanzania kwa yale yanayoendelea

    Basi sasa, Ee Mungu wetu, yasikilize maombi ya mtumishi wako, na dua zake, ukaangazishe uso wako juu ya patakatifu pako palipo ukiwa, kwa ajili ya Bwana. Ee Mungu wangu, tega sikio lako, ukasikie; fumbua macho yako ukautazame ukiwa wetu, na nchi ile ulioitwa kwa jina lako; maana hatukutolei...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwenye siasa za Tanzania "Trust No one" ndio kanuni kuu ndio maana Fomu lazima ichapishwe Moja ndani ya CCM

    Mpo salama! Watu wanalaumu tuu Bure. Oooh! Fomu Moja! Ooh! Sio Demokrasia. Ooh! Kwa nini Sasa! Kipi hakieleweki? Mnataka Fomu ziwe nyingi ili katafunua zipigwe sio! Nani ambaye hajui sisi ni Waafrika na tupo Afrika? Kuchapisha Fomu nyingi kwenye uchaguzi ndani ya chama ni kuonja sumu...
  6. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Tanzania haina specialist wa Infectious disease nchi nzima?

    Hii kqzi imetangazwa miaka 4 iliyopita,,, Hadi leo hamna aliye apply!! Labda watakua wamechukua kutoka kenya sass maana tz nzima hakuna
  7. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania Haijashinda Medali yoyote Olympics kwa takriban miaka 40. Shida iko wapi?

    Ikiwa Mashindano ya Olympics yamemalizika leo Agosti 11, 2024 Wawakilishi wa Tanzania katika Mashindano ya Olympics nchini Ufaransa watarejea nchini bila ushindi wa Medali yoyote Tanzania ilipeleka timu ya Wanariadha 7 kwenye Mashindano hayo Aidha mara ya mwisho Tanzania kupta Medali ya fedha...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Itoshe kusema kuwa Mfalme wa soka nchini Tanzania, Simba Sc imepata mshambuliaji hatari Abubeker Nessir. Mabeki ya NBCPL wajiandae kulala na viatu

    Mara baada ya tajiri Mo dewji kupost katika mtandao wa X kuwa Simba itasajili Mshambuliaji mwingine kabla ya dirisha kubwa kumalizika. Habari zimevuja kuwa tayari Simba sc imeinasa mshambuliaji wa kimataifa wa Ethiopia, Abubeker Nessir kutoka klabu ya Mamelodi. Niwape tu habari kuwa huyu jamaa...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Sio Aibu kwa Tanzania Kuagiza Chakula, Sukari, Mafuta ya Kula,Wakati Tuna Ardhi na Vyanzo Lukuki vya Maji? BigUP Sana Awamu6 Kusisimua Kilimo kwa BBT!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala elimishi za kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huwa na swali, jibu utatoa mwenyewe, swali la leo, hivi sio aibu sana kwa nchi yetu Tanzania kuagiza chakula kama mchele, ngano, sukari na mafuta...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Laiti Serikali ingejua yaliyo moyoni mwa nguli wa Riadha Filbert Bayi wasingemkumbatia. Huyu mwamba ndiye muuaji wa vipaji vya riadha Tanzania

    Hello! Moja kwa moja kwenye mada! Nikiwa O - level nimesoma na mwamba mmoja jamaa alikuwa anakimbia mita 100 kwa sekunde 13-15 tu. Ikumbukwe Bolt alikuwa anakimbilia kwa sekunde 9-10. Huyu wa sekunde 13-15 ni mtoto wa familia maskini, alikuwa mwanafunzi busy na masomo mbio anakimbia kwenye...
  11. greater than

    JamiiForums Tanzania Yafahamu masoko ya mitaji/uwekezaji yaliyopo Tanzania

    Ifuatayo ni Orodha ya masoko ya Mitaji/Financial markets ambapo unaweza ukafanya uwekezaji 1. HATI FUNGANI Ni soko ambapo muwekezaji anakopesha fedha kwa kipindi cha mda flani huku akipatiwa riba.Kwahiyo Hati fungani ni hati ya makubaliano kati ya mkopeshaji na mkopaji ikiwa na maelezo ya riba...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mwanariadha Alphonce Simbu amaliza nafasi ya 17 Olimpiki Jijini Paris, Ufaransa

    Leo aubuhi nimefuatilia shindano la Olympic kule Paris la mbio ndefu ya kilomita 42 na mwanariadha Ndugu Simbu akiwa mshiriki toka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa kweli matokeo yake hayakuwa mazuri kwa kushika nambari 17 akitumia saa 2:10: 03 katika mbio hizo. Pole sana. Rudi nyumbani...
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Vita ya Kiuchumi: Ningekuwa Rais wa Tanzania ningeanzisha ujenzi wa reli ya SGR kutokea Bandari ya Tanga hadi Kagera, Rwanda na Uganda

    Amani iwe nanyi wanabodi! Kupitia Northen Corridor Kenya anataka kuingia DRC, Rwanda, Uganda na Sudan Kusini kwa Reli ya SGR. Sisi Tanzania tunajenga SGR yetu kuingia Burundi na baadae Congo. Kwa hesabu za haraka huko mbeleni SGR ya Kenya ndo itakayoleta faida zaidi kwa Kenya kuliko SGR yetu...
  14. avogadro

    JamiiForums Tanzania Ushiriki wa tanzania 🇹🇿 katika olympic 2024

    Naomba update ya anayefuatilia mchezo wowote wa Olympic kama ataona sura au jezi ya Tanzania 🇹🇿 ajulishe ili tufyatilie kwa pamoja
  15. U

    JamiiForums Tanzania Wanariadha wa Tanzania wapo mzigoni leo Olympique

    LEO, saa 3:30 asubuhi sehemu ya wanariadha watakaokimbia katika Olympics wamo Watanzania pia Alphonce Felix Simbu na Gabriel Gerald Geay Mashindano haya Olympic yanaruka mbashara kupitia #ZBC2 #Olympic #Olympicgame #Paris
  16. Richard3

    JamiiForums Tanzania Watani wametuheshimisha Tanzania

    Kiuhalisia kwa game (mechi) ya jana ilikuwa ngumu pande zote. Nguvu ya ushindani na kasi ya mikimbio ilikuwa sawa kwa kiasi kikubwa wachezaji wote walicheza katika viwango. Hii inanipa picha ngumu na yenye njonjo kwenye mashindano yajayo dhidi ya maasimu hawa wawili ambao makazi yao na historia...
  17. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Agriculture Inclusiveness Skills Advisor at Disability Relief Services Tanzania

    Job Description: Agriculture Inclusiveness Skills Advisor Position Title: Agriculture Inclusiveness Skills Advisor Location: Kasulu, Tanzania Reports To: Project Coordinator Project: Youth Entrepreneurship for the Future of Food and Agriculture (YEFFA) Contract Type: Full-time (12 Months...
  18. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Project Accountant at Disability Relief Services Tanzania

    Job Description: Project Accountant Position Title: Project Accountant Location: Kasulu, Tanzania Reports To: Finance Manager Project: Youth Entrepreneurship for the Future of Food and Agriculture (YEFFA) Contract Type: Full-time (12 Months with a possibility of extension) Position...
  19. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatujui kuwaenzi Watu waliofanya mazuri na makubwa kwa Nchi yetu

    Katika historia ya nchi yetu, kumejawa na watu mbali mbali waliotikisa vyombo vya habari Kwa kufanya mambo makubwa Kwa ajili ya nchi yetu katika nyanja mbalimbali ikiwemo wapigania uhuru, wanamichezo, wavumbuzi na kadhalika. Katika global stage, wenzetu Wana national archives inayoweka record...
  20. B

    JamiiForums Tanzania British envoy opens up on the highs and lows of his service in Tanzania

    09 August 2024 UK High Commissioner David Concar reflects on his time in Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=dY_7h6zrCf0 As his tour of service in Tanzania comes to an end, UK High Commissioner David Concar reflects on his time in the country, from battling Covid-19 and navigating...
Back
Top Bottom