Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini mkataba wa msaada wa Euro milioni 20 sawa na shilingi za Tanzania bilioni 60.7 kutoka Serikali ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) kwa ajili ya kufadhili mradi wa Uboreshaji wa Huduma za...
Daa hii nchi sijui kama itatulia, serikali inazidi kukaza kichwa.
Nimeongea na mtu wa Tourism sector Arusha, alikuwa analia kilio Cha kusaga meno. Wageni wengi kutoka ubeberuni walikuwa wamefanya booking za kuja Tanzania, ila kutokana na hofu ya maandamano ya July 07, wame-cancel safari zao...
Mzee Museni yeye ameamua kuiacha sekta binafsi ijenge uchumi wa Uganda,
Mfano ni huu, Katika bajeti ya Uganda ya mwaka wa fedha 2026/27 yenye thamani ya Shs 84.4 trilioni ($22.8 bilioni), eneo la Ushirikiano wa Sekta ya Umma na Binafsi (PPP) limegusiwa kama nguzo muhimu ya kuchochea mkakati...
Wasalaam,
Mnaohusikia na mambo ya Uchumi wa Tanzania someni hii stari kwa mstari, Sikuwa naelewa anachofanya Kafulila kupitia hii taarifa nimeanza kumwelewa.
Katika bajeti ya Rwanda ya mwaka wa fedha 2026/27 yenye thamani ya Rwf 7.8 trilioni ($5.3 bilioni), sekta ya Ushirikiano wa Sekta ya...
Manispaa ya Moshi iliyopo mkoani. kilimanjaro inayoongozwa na Mbunge wa CCM-Ibrahimu Shayo, Meya wa CCM ndugu Kidumuyo, RC naDC wa CCM ndio manispaa chafu zaidi kwa sasa.
Kipindi CHADEMA wakiwa na mbunge Ndesamburo na Mayor Ray Mboya , ndio manispaa iliyokuwa safi zaidi Tanzania na Afrika...
Nimejaribu kumsikiliza professor Tibaijuka ambaye anafanya constructive criticism juu ya mambo mbalimbali nchini pia kufuatia hali ya nchi sasa ilivyo nimekuja na mtazamo wangu binafsi.
1.Nchi yetu sasa hivi imeparanganyika .Hakuna ukaribu kati ya wananchi hasa tabaka la chini na watu wa tabaka...
Njinsi ya kuiokoa nchi yetu ni kuwaondoa wahuni wote waliopo Madarakani .watu hao wanaunda mpka vikosi vya kigaidi na wanasema hadharani na wanaachwa?
Tuiokoea nchi yetu kwa kuwamaliza wahuni wote waliopo madarakani kuanzia juu bila huruma. Baada ya hapo turekebishe mifumo kama ya siasa na...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba, amesema enzi za kutegemea misaada kugharamia maendeleo na huduma za kijamii zimepitwa na wakati, akisisitiza umuhimu wa Watanzania kujenga utamaduni wa kujitegemea na kuwajibika kutatua changamoto zao wenyewe.
Dk Mwigulu amesema dunia ya sasa...
Ndugu zangu Watanzania,
Waziri Mkuu wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba maarufu kama Mr Clean kama ambavyo watanzania wengi hupenda kumwita .
Amepata na kupewa heshima ya kipekee kabisa ya kuwa Mshauri wa Kanisa la Anglikana Tanzania Baada ya...
baada
billion
dkt mwigulu nchemba
kanisa
kanisa la anglikana
mkuu
moja
mshauri
mwigulu
mwigulu nchemba
tanzania
uchapakazi
wake
waziri
waziri mkuu
zaidi ya
Katika mijadala ya kisiasa hapa kwetu, mara nyingi lawama zote hupelekwa moja kwa moja kwa chama tawala, CCM. Wengi husema chama hiki ndicho chanzo cha matatizo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii. Lakini kabla ya kufikia hitimisho hilo, ni muhimu kujiuliza: kwa nini tumefika hapa tulipo?
Je...
Ni vyama viwili tu vya upinzani ndio vimeweza kupenya kwenye ngome ngumu ya Tanzania visiwani yaani CUF na ACT wazalendo.
Hii inamaanisha ili wapinzani kushika dola wanapaswa kuungana dhidi ya CCM.
Mwaka 2015 walijaribu wakisaidiwa na EL lakini kwa kuwa muungano wao haukuwa na baraka za wananchi...
Na ni muhimu sana wadau wa Jf kufahamu hili. Tanzania kama nchi huru, kamwe haiwezi kubabaishwa na mabadiliko ya kidiplomasia au kimaendeleo na taifa ambalo haliheshimu uhuru wa mataifa mengine, mathalani Tanzania. Tanzania itaendelea kuheshimu uhuru wa mataifa mengine na kuendelea kua kisiwa...
Nyaraka rasmi kutoka Wizara ya Fedha ya Iraqi zinaonyesha kuwa Iraq iliidhinisha mikopo ya jumla ya dola milioni 191 kwa Tanzania. Takwimu hii ilithibitishwa Aprili 2026 na Mfuko wa Maendeleo ya Nje wa Iraq. Kwa jumla, vifurushi vya usaidizi wa kifedha vya Iraq vilifikia dola milioni 254, ambazo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, na Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mheshimiwa Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, wameshuhudia utiaji saini wa mikataba minne ya ushirikiano kati ya Jamhuri ya Muungano waTanzania na Jamhuri ya Namibia, hatua inayotarajiwa...
Tanzania inatajwa kuwa na deni kubwa zaidi miongoni mwa nchi zilizotajwa, ikidaiwa dola za kimarekani milioni
Mataifa mengine yaliyotajwa ni Uganda (dola milioni 15), Jamhuri ya Afrika ya Kati (dola milioni 7), na Niger (dola milioni 4),.
Washiriki wa mazungumzo hayo wanaonyesha mshangao na...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema Tanzania inashika nafasi ya tano barani Afrika kwa shughuli za kubeti na nafasi ya tatu kwa unywaji wa pombe, akieleza kuwa hali hiyo si sifa nzuri kwa taifa lenye idadi kubwa ya vijana. Ameitaka Serikali kuweka mazingira yatakayowasaidia vijana...
Nini kimetokea kuanzia JamiiForum, Facebook, Twitter na Instagram raia wengi wa Tanzania hasa vijana wanaposti visa au story nyingi mbalimbali za matukio ya uongo tu ya kutunga ya mahusiano, ndoa, uchawi n.k ?
Viongozi wa serikali, washirika wa maendeleo, wataalamu wa afya, asasi za kiraia pamoja na wawakilishi wa jamii wamekutana jijini Dodoma, Juni 18, 2026 katika kongamano la kujifunza lenye kaulimbiu “Kudumisha Mafanikio Yaliyopatikana katika Afya ya Uzazi na Jinsia”, kuadhimisha kufungwa rasmi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.