tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Diplomacy in Action: US & Tanzania Strengthen Ties

    Interesting timing. As debate continues around S.4577, senior U.S. and Tanzanian officials are meeting to discuss strengthening bilateral relations, preserving shared interests, and advancing commercial deals that benefit both countries. In international relations, active dialogue is often...
  2. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania Kutoka ipcc hadi Udom: Dkt. Chang’a aongoza majadiliano ya mustakabali wa tafiti za tabianchi Tanzania

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na Makamu Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa la Sayansi ya Mabadiliko ya Tabianchi (IPCC), Dkt. Ladislaus Chang’a, tarehe 16 Juni 2026 ametembelea Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya TMA na Chuo hicho...
  3. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunaweza kuwa na viwanja kama vya Marekani, vikubwa na vizuri kama tukiamua sababu uwezo upo

    Kombe la dunia linaendelea watu wengi wamekuwa wakishangaa vile viwanja vya marekani vilivyokuwa vikubwa na vizuri Na hapo pia kuna viwanja vingi sana vya college ambavyo havijatumika mfano kiwanja cha Rose bowl pasadena kilichochezewa fainal 1994 hakipo kabisa kwenye mashindano Kiwanja cha...
  4. Stability

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini kinondoni historically imebakia kitovu cha uchafu wa aina yote tanzania?

    Drugs, madada poa ,makaka poa, matapeli, sex parties, kibao kata, etc
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mnaopinga maandamano 7/7 mkae kimya, mtuache sisi tunaopenda Tanzania tuandamane. Na tutaandamana tu

    Jamani naomba sana kwa wale ambao hamtaki maandamano msitutukane sisi ambao tunataka kuandamana kwa ajili ya haki na uhuru wetu. Ninyi mmeshasema mtatuua sasa mtuache basi tuendelee na kupanga maandamano yetu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Duma Truck Tanzania

    Kwa huduma ya kutuma mizigo midogo, ya kati na mikubwa kutoka Mwanza na Dar es salaam, Duma Truck Tanzania tunawakaribisha kufanya kazi nasi. Piga simu sasa 0618480710
  7. n00b

    JamiiForums Tanzania Wanajaribu kushindana na Teknolojia, wataweza? Hotuba ya Pavel Durov na Somo kwa Tanzania yetu ya VPN!

    Wakuu kwema? Kama wewe ni mtumiaji wa mitandao hapa nchini, basi huna budi kutenga dakika 5 kusikiliza au kusoma uchambuzi wa hotuba ya hivi karibuni ya Pavel Durov (Mwanzilishi na CEO wa Telegram) kwenye mkutano wa Oslo Freedom Forum https://youtu.be/1Yq_5aDdJ24 Durov ametoa hotuba ya...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika maadhimisho ya miaka 30 yake

    Katika kuelekea maadhimisho ya miaka 30 tangu kuanzishwa kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), napenda kuchukua fursa hii kutoa pongezi za dhati kwa viongozi, menejimenti na wafanyakazi wote wa TRA kwa kazi kubwa na mafanikio yaliyopatikana katika kipindi chote cha miaka hiyo. Kwa hakika, miaka...
  9. n00b

    JamiiForums Tanzania China imezika Shahada 12,200+ zilizopitwa na wakati kupisha AI. Tanzania bado tumelala? Wasomi wetu wamejiandaa au tusubiri vilio vya 'hakuna ajira'?

    Kuna ukweli mmoja mchungu sana kuhusu mfumo wetu wa elimu ya juu hapa nchini ambao kama tusipoujadili sasa, kwa uwazi na bila kupepesa macho, tutakuja kujuta kama taifa baada ya miaka mitano au kumi ijayo. Wakati sisi hapa Tanzania bado tunapambana kuongeza udahili wa wanafunzi kwenye kozi...
  10. Y

    JamiiForums Tanzania PPPs and Vision 2050: Why Tanzania Needs Broad Public Dialogue Now More Than Ever

    Why public debate may be the missing ingredient in Tanzania’s PPP ambitions Economic development is often discussed through the language of numbers. Governments announce growth targets, economists debate investment flows, and policymakers measure progress through indicators such as GDP...
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Tanzania.

    Nimeikuta hii huko Youtube. https://youtu.be/TdpZMM5cbo4?si=BQFl2tp0WEveObmJ
  12. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Ewe uliyoko Tanzania, Usije Ukaratibu, Ukatoka, Ukaandamana tarehe 7-7-2026

    Nawaonya vijana maana nyinyi ndiyo mnashikika masikio kirahisi msije mkajaribu kuratibu, kupanga na kuandamana tarehe 7.7.2026 kutakua kuna show ambayo haijawahi kutokea. Vyombo vya Ulinzi na Usalama vimejiandaa kikamilifu kwani huwa mnakosa tactical na kutangaza mapema mtachafua sana Lami...
  13. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Yawezekana Mkoa wa Kilimanjaro ndio Mkoa mzuri kuliko yote Tanzania

    Katika siku zangu hapa Tanzania nimefanikiwa kuishi mikoa ifuatayo Dar Morogoro Iringa Mbeya Njombe Kagera Manyara Mwanza Lakini katka mikoa hyo sikuona mambo makubwa ya kufurahia mpaka nilipofika mkoa wa Kilimanjaro Aisee huu mkoa n mzuri hali ya hewa yake n nzuri , uchumi mzuri warembo...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Senators wa US kuwaweka kitimoto ujumbe wa Tanzania mubashara kupitia CNN?

    Ikiwa Maseneta wa Marekani watakaowahoji ujumbe wa Tanzania wataamua mahojiano hayo yawe mubashara kupitia CNN kuhusu Tanzania, kwa lugha pendwa ya Kiingereza, Wakielekeza hoja zao katika maeneo ya Hali ya demokrasia na uchaguzi wa Tanzania na Tuhuma za ukiukwaji wa haki za binadamu baada ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hivi sasa Iran inapendwa dunia nzima ikiwemo Tanzania

    Angalia bungeni
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha utegemezi kiuchumi Tanzania kinatisha, ni janga

    Kwa wastani katika watu 10 wenye umri wa kufanya kazi karibia watu 8 ni tegemezi ! Wanaofanya kazi waheshimwe sana, serikali nayo bado imelala kuhamasisha uzazi wa mpango.
  17. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bunge la Ulaya (EU) lapinga Msaada wa Euro Milioni 156 (Tsh. Bilioni 440+) kwa Tanzania. Wataja Haki za Binadamu na Uchaguzi wa 2025

    Wakuu, Kuna mvutano mzito unaoendelea huko Ulaya kati ya Bunge la Umoja wa Ulaya (European Parliament) na Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (European Commission) kuhusu mpango wa kuipatia Tanzania msaada wa kimaendeleo wa kiasi cha Euro Milioni 156 (zaidi ya Tsh. Bilioni 440). Kwa mujibu wa taarifa...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Full Text: Mabadiliko ya Muswada wa Senate ya Marekani kuhusu Tanzania ni wa moto zaidi

    Baraza la Seneti limegundua yafuatayo: Tanzania ni nchi inayoendelea kugandamiza, uhuru wa demokrasia, uhuru wa wanaharakati, uhuru wa watu wake na uhuru wa dini Tanzania inatishia maslahi ya Marekani ya uwekezaji. Baada ya uchaguzi na mauaji ya oktoba 29, bado Tanzania inaendelea kuteka...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nchi ya tanzania kila kitu uzinduzi

    Baada ya uzinduzi wa kutakuwa na sheree ya mchana na usiku tutamuita msanii kuburudisha
  20. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa Muswada wa Marekani kuhusu Tanzania Wazi!

    Upotoshaji wa akina Maria Sarungi, Liberatus, na wenzao (Misinformation from commercial activist). Leo Maria Sarungi na genge lake wameibuka na upotoshaji kuwa mswada kuhusu Tanzania unaotarajiwa kuwasilishwa katika Bunge la Seneti la Marekani Juni 17 mwaka huu haujafanyiwa marekebisho. Ukweli...
Back
Top Bottom