tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Ni dawa gani Nzuri ya kinywa na meno kwa kutumia hapa Tanzania?

    Wasalam,kuna wimbi la dawa nyingi za meno zinauzwa. Naomba kufahamishwa dawa nzuri kwa matumizi,N.B uzi huu sio kupromote dawa ni kupata ujuzi.
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Tanzania Ianzishe siku ya kumbukumbu ya Agosti 29

    nimekuwa nikiona jinsi mataifa mbalimbali yanavyohifadhi historia zao kwa kuanzisha siku maalumu za kumbukumbu. Kwa mfano Timor-Leste huadhimisha kila mwaka tarehe 12 Novemba kuwakumbuka waliopoteza maisha katika tukio la Santa Cruz ambapo siku hio mamia ya wanafunzi waliokuwa wakiandamana...
  3. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Tanzania iko katika matishio ya amani na usalama chanzo wivu wa rasilimali zetu

    Katambi ajitetea na agizo lake la kuzuia mikutano :'Sijakiuka Katiba', awashukia vikali CHADEMA Akizungumza leo Juni 27, 2026,wakati wa maadhimisho ya siku ya wazee duniani huko mkoani Shinyanga, Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobasi Katambi amekanusha juu ya kuvunja Katiba na kueleza matishio ya...
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania tanzania imeingia kwenye Nchi 5 zenye idadi kubwa zaidi ya watu wanaoishi na HIV duniani

    Kwa mujibu wa makadirio ya kimataifa ya hivi karibuni hizi ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa zaidi ya watu wanaoishi na HIV South Africa – Takribani milioni 8.3 India – Takribani milioni 2.5 Mozambique – Takribani milioni 2.4 Nigeria – Takribani milioni 2.0 Tanzania – Takribani...
  5. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Destination Tanzania imetumia sh ngapi?

    UELEKEO NI TANZANIA, VIVA TANZANIA Serikali ya Tanzania imezindua kampeni kubwa ya kimataifa ya "Destination Tanzania" katika miji inayohodhi Kombe la Dunia, ikiwemo Atlanta, Toronto, na Mexico City. Malori makubwa yenye skrini za kidijitali yanazunguka kwenye barabara kuu za miji hiyo...
  6. TPPB_Tanzania

    JamiiForums Tanzania Categories Of Petroleum Programs In Tanzania Petroleum Professionals Board (TPPB)

    CATEGORIES OF PETROLEUM PROGRAMS IN TANZANIA PETROLEUM PROFESSIONALS BOARD (TPPB) Academic Levels: Diploma / Bachelor’s / Master’s / PhD 1. Petroleum Refining, Processing & Petrochemicals Technology Programs i. Petroleum Chemistry ii. Oil and Gas Chemistry iii. Petroleum Chemistry and...
  7. idiomer

    JamiiForums Tanzania Jumla ya watu wenye elimu ya shahada ni wangapi Tanzania kwa sasa?

    Ina maana tunakuwa na wasomi wenye shahada 3,200,000 Basi tufanye na diploma 3,200,000 6.4M Idadi ya watu ni milion 70 Au basi takwimu zinaonesha mambo mengii
  8. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Mawazo ya takayoibadilisha Tanzania kiuchumi yawasilishwa 30 Bora

    Vijana watanzania wana uwezo mkubwa wa ubunifu na hapa wamekuwekea mawazo bora 30 ya ubunifu yatakayoweza kuiokoa Tanzania wakati wa majanga ya kimataifa kama vile kushuka kwa uchumi, vita, n.k angalia video https://www.youtube.com/live/fqDRayIY5m0?si=Kg9vG7gxYUUF-4KX
  9. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kufahamishwa kuhusu umiliki halali wa silaha za moto kwa mujibu wa sheria za Tanzania

    Angalizo muhimu: Huu uzi ni kwa ajili ya kupata taarifa na hauhusiani na uvunjifu wowote wa sheria za nchi. Kama hii topic inakuzidi uelewa au huna jibu la swali lolote nililouliza hapo chini, si lazima uchangie (nipo serious kidogo, mazoea tuyaweke pembeni). Maswali: Naomba kujua, ni zipi...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nilishawahi kuleta mada kuwa balozi za tanzania hakuna msaada watakao kupa.Ukipata tatizo pambana wewe mwenyewe.

    Shida kuna machawa hapa wa CCM hata kuvuka burundi wameshindwa. Huu ni ushaidi kuwa balozi zetu siku kikinuka pambana wewe. Mfano tumeona africa ya kusini pale balozi zao zikifanya jitihada kuwatoa raia wao. Ila haoa tz ndo kwanza wanatangaza Amani na kudai vikosi vya kuvunja amani vipo nyuma...
  11. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Ushauri: wafuasi na Viongozi wa CHADEMA heshimuni kauli za viongozi wetu hiyo jeuri yenu kafanyieni kwenye nchi zingine siyo Tanzania

    Nchi Ina viongozi na wote wameapa kuilinda kuiheshimu katiba ya Nchi kwa hali na Mali, wameapa kuilinda amani ya Tanzania kwa hali na Mali, kwahyo nyie viongozi na wafuasi wa chadema jueni kuwa hamna nafasi ya kuvuruga amani ya Tanzania hilo halipo kabisa huu ndo ukweli. Hamna mtu mwenye uwezo...
  12. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Leo wafuasi wa CHADEMA hawajalala wamekesha jukwaani. Kuweni makini siasa zitawapa hypertension Tanzania is very strong than ever

    Nadhani wafuasi wa chadema huwa Wana high expectations za kisiasa ambazo hazipo nchini. wanajidanganya na kuamini. Nenda hapo Rwanda hakunaga siasa taka kama za chadema. Leo mmekesha mnaandika nyuzi 🤣🤣 Nendeni mkafanyie mikutano kwa mabeberu ili mkasalimie na wake na watoto wenu Poleni sana...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa mashuhuri kuliko wote Tanzania yupo Gerezani!

    Mwanasiasa mzalendo na anaependwa kuliko wote yupo jela. Hilo ni tatizo kubwa
  14. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Natabiri uchumi wa Tanzania utashika kwa kas ya 4 g 2027

    Nikitumia concept ndogo sna ya kiuchumi ya money supply na inflation Kwa bahat mbaya sna serkali hii katili imeshindwa kudhibiti mfumuko wa bei sas kitacho tokeaa by 2027 serkali itadondoka siyo kwa sabbu ya upinzani bali kwa kishindwa kuzibiti uchumi hal itakuwa mbaya sna hakuna mtu atatak...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Utaratibu gani wa kufuata kuanzisha taasisi ya kusimamia maslahi ya Atheists Tanzania?

    Kama watu wanataka kuanzisha taasisi ya atheists nchini kupigania au kufanya harakati mbalimbali za kutetea maslahi ya atheists nchini wanatakiwa kufuata utaratibu gani na watasajiliwa usajili sawa na makanisa au taasisi za kidini?
  16. Ambuje Akunnungu

    JamiiForums Tanzania Tanzania na kenya: Tofauti za kiuelewa kwa wananchi wa kawaida hadi kwa wanataaluma. Kumbukumbu ya gwiji mzee wangu MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA

    NIMEJIKUTA NAMKUMBUKA MCHUNGAJI MTIKILA. Binafsi nimefuatilia sana siasa za kenya kama kama ninavyofuatilia siasa za hapa nchini kwetu Tanzania. Ukweli ni kwamba nchi hizi mbili ni miliki ya jumuiya moja ya Africa mashariki na zina historia ya kiasi fulani ya utawala wa kingereza kama...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wakimbizi: Tanzania ni kisiwa cha Amani, tunaomba mzidi kuilinda amani hii

    Jumla ya Wakimbizi 155,811 wanaohifadhiwa katika maeneo mbalimbali nchini wamemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan na Watanzania wote kulinda amani iliyopo nchini huku wakiweka wazi madhara ya kutoweka kwa amani ambapo wamejikuta wakipoteza kila kitu na...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwa na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), aliyemaliza muda wake nchini Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), aliyemaliza muda wake nchini Tanzania, Khalifa Abdulrahman Almarzouqi, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 26 Juni, 2026.
  19. bless on

    JamiiForums Tanzania Imihigo: Mfumo wa Kuwawajibisha Viongozi wa Tanzania

    Umewahi kujiuliza kwanini miradi mingi mtaani kwetukama barabara, ujenzi wa madarasa, au usambazaji wa umeme na maji inachelewa sana, alafu kiongozi aliyefeli anahamishwa tu kituo cha kazi badala ya kuwajibishwa? Kule jirani zetu Rwanda kuna mfumo wa kijasusi wa utendaji kazi unaitwa Imihigo...
  20. wachimbajivisimavirefu

    JamiiForums Tanzania Uchimbaji Visima Tanzania: Bei kwa Kila Mkoa

    Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote: ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA UCHIMBAJI KILA MKOA Dodoma -mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000 Arusha-mita moja tunachimba 120,000 na survey tunafanya kwa 600,000 Kilimaniaro-mita moja tunachimba 130,000 na survey tunafanya kwa...
Back
Top Bottom