tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi wafafanua tukio la Wakili Lusako Alphonce kukikimbizwa na Polisi katika Ofisi za "Reachout Tanzania"

    TAARIFA KWA UMMA Taarifa iliyo upande wa kushoto inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Jeshi la Polisi lingependa kuitolea ufafanuzi ili isiendelee kuleta taharuki ambayo si ya lazima. Ni kweli Askari Polisi walifika eneo hilo kumkamata mtuhumiwa anayejulikana kwa jina la Emmanuel Mweta...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo nchi ya Marekani imezidiwa kwa mbali na nchi ya Tanzania

    Ingiwa nchi ya Marekani ina maendeleo makubwa ya kiteknolojia na kiuchumi, yapo mambo kadhaa ambayo Tanzania tumewaacha mbali mno. 1. Rasilimali za asili na utalii wa kiikolojia Tanzania kuna hifadhi maarufu kama Serengeti, Ngorongoro crater, na Mlima Kilimanjaro, ambazo ni kivutio kikubwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Tanzania imezuiliwa kuingia Marekani

  4. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Kufutwa kwa Mchakato wa uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania ( TOC)

    Katiba ya mchongo imemlazimu Msajili kufuta uchaguzi wa kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC).
  5. S

    JamiiForums Tanzania licha ya kutoa mishahara kidogo lakini Tanzania imeshindwa kuajiri vijana

    wafanyakazi wa Tanzania wanamishara kidogo mno kama wakiajiriw lakini ajira ni changamoto. mishara ya kenya uganda na rwanda ni mikubwa ukilingnisha na Tanzania ukicheki statistics za ajira zilizotolewa tangu 2016 ni kichekesho nchi itaendelea vp wakati nguvu/ vijana kazi ni pure jobless
  6. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania Lady Jaydee mwimba Chorus Bora wa kike kupata kutoka Tanzania na Afrika Mashariki na Kati, tumuite ndio Hip Hop Soul Queen wa Bongo?

    Uzuri sauti yake inambeba kuingia kwenye mifumo ya genre nyingi na content tofauti za muziki Nyimbo alizoua Chorus na kishirikishwa 1.Bongo DSM na Prof Jay 2. Alikufa Kwa Ngoma na Fa 3. Machoni Kama watu Na Ay 4. Nyaluland na Mike T 5. Ama zangu Ama zao na Gk&ECT 6. Sikiliza Na Ngwea 7. Hawajui...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Makumbusho: Polisi wadaiwa kuvamia Ofisi za "Reachout Tanzania", wakidai kumtafuta Wakili Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini

    Polisi wenye silaha wadaiwa kuvamia ofisi za Taasisi ya Reachout Tanzania zilizopo maeneo ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, wakidai kumtafuta Mwanasheria wao Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini. Polisi hao, wakiwa na sare na wengine hawana sare, walitishia kuvunja milango licha ya kuambiwa...
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania APRM Tanzania na Namibia wakutana Zanzibar kuimarisha utawala bora

    Watendaji wa Taasisi ya Mpango wa hiyari wa Kujitathmini katika vigezo vya utawala Bora wa Umoja wa Afrika (APRM) kutoka Tanzania na Namibia wamekutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar, Mheshimiwa Haroun Ali Suleiman, katika mkutano uliofanyika...
  9. Msanii

    JamiiForums Tanzania Samia ana hadhi na haki kufuta sherehe za uhuru wa Tanzania 2024

    Bendera yetu halisi. Ndugu zangu. Maamuzi ya Rais Samia kufuta sherehe za uhuru wa Tanzania ni sahihi kwa wakati huu tunapoelekea kupata katiba mpya na bora. Tanzania haikupata uhuru wake Desemba 9, 1961. Bali nchi ya Tanganyika ndiyo inayosherehekea Uhuru wake siku hiyo. Nyerere na wenzake...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza wanajeshi wa Tanzania kwa kutokuinajisi sare ya jeshi mitandaoni

    Ni nadra sana kuona mwanajeshi wa Tanzania kapiga picha na kuitupia mtandaoni akiwa na vazi la jeshi . Si kwa maafisa au kwa maaskari. Hii adabu si kwa JWTZ tu hata polisi, magereza, fire and rescue, uhamiaji na majeshi usu yote. Jirani zetu Kenya wanajeshi wanachezea comedy sare zao. Good...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ukisoma Degree ya Political Science (Sayansi ya siasa) unategemea kuajiriwa wapi bongo?

    Hawa watu wanaosoma degree ya Political Science katika vyuo vya hapa Tanzania huwa wanaajiriwa wapi? Ni kazi gani mahususi ambazo zinahataji waliosomea political science tu? Hii degree naona imekaa kimtego sana na kama haina mashiko kabisa kwa nchi kama ya Tanzania.
  12. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Hapa Tanzania kuna mrembo mzuri kuzidi hii?

    Hivi kwa bongo hii kuna MBOGA Safi inayovutia kuzidi hii? Kuna watu wanakula MBOGA Safi bana!
  13. President of China

    JamiiForums Tanzania Mjadala Mzito: Umuhimu wa Tanzania Katika Mtangamano wa Afrika Mashariki (Leo Kwenye Space 04 Dec 2024 19:00 East Africa )

    Leo kuanzia saa moja kutakuwa na mjadala mzito utakaoendeshwa online kuhusu Umuhimu wa Tanzania Katika Mtangamano wa Afrika Mashariki Sote tunakaribishwa: https://x.com/i/spaces/1OwGWNkRORVKQ/peek Wazungumzaji nguli watakuwepo. Mnakaribishwa na kutakuwa na Live Update hap JF:
  14. winnerian

    JamiiForums Tanzania Sisi Tanzania na mataifa mengi ya Afrika tunakabiliwa na hatari ya kuwa watumwa wa kiuchumi na kidiplomasia kwa China miaka siyo mingi

    Fikiria hili: unapomtegemea mtu kwa kila jambo bila kufanya juhudi za kujitegemea, ipo siku utakuta umegeuka mtumwa wake. Hali hii inadhihirika wazi kupitia uhusiano wetu na China, ambapo nchi yetu na nyingine nyingi za Afrika zimewekwa katika hali ya utegemezi mkubwa. Sekta zetu muhimu kama...
  15. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Lini Tanzania ilikuwa kisiwa cha Amani? Na lini Mtanzania akawa mkarimu?

    Niambie lini Tanzania ilikuwa kisiwa cha Amani? Tunadanganyana tu awamu zote zilizopita kulikuwa na mjuaji,kuwekwa vizuizini na mauaji tunadanganyana tu ila kwasasa kwasababu vyombo vya habari ni vingi kwahiyo tunapata kwa haraka sana hii ilikuwa au imekuwa kisiwa cha mauaji tokea hapo soma...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini baadhi ya Wazazi/Walezi Tanzania ukiuliza umeandika Wosia anaona kama unataka kumuua?

    Wakuu Hivi kwanini Tanzania ukimuuliza Mzazi au Mlezi umeandika Wosia? Anaona kama unataka kumuuwa vile, kumbe ni wajibu wake kuandika ili kuepusha usumbufu na migogoro hapo baadae.
  17. B

    JamiiForums Tanzania Rais Biden kukutana viongozi kutoka Angola, DR Congo, Tanzania na Zambia

    02 December 2024 Washington DC na Luanda Angola ZIARA YA RAIS JOE BIDEN AFRIKA KULETA FURSA KWA MATAIFA MANNE Rais Biden kukutana viongozi kutoka Angola, DR Congo, Tanzania na Zambia juu ya mradi wa reli kutoka Lobito, Angola utakaopita DR Congo, Zambia hadi Bahari ya Hindi Tanzania...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tusimung'unye maneno, tatizo la ukosefu wa ajira hapa nchini Tanzania ni matokeo ya utawala wa Magufuli

    Hello! Najua kuna watu huwaambii kitu kuhusu Magufuli lakini ngoja niwaambie hata kwa ubabe. Tatizo la ajira ni global issue lakini kwa Tanzania halikupaswa kutokea sasa, lilipaswa lianze angalau 2030. Baada ya kuingia Magufuli Ikulu na kuwa Rais cha kwanza kabisa akaenda kupambana na...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 za Afrika zenye huduma bora za Polisi, Tanzania haipo

    Ripoti ya Afrobarometer iliyochapishwa hivi karibuni, imebaini kuwa huduma za polisi barani Afrika zinakabiliwa na changamoto kubwa za uadilifu na weledi, huku asilimia ndogo ya raia wakiridhika na utendaji wa vyombo hivyo vya usalama. Kwa mujibu wa ripoti hiyo iliyokusanya maoni ya raia kati...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kwa Mishahara hii minono kwa Wachezaji hawa wa Kigeni Tanzania, Je, Wanavitendea haki Vilabu vyao?

    Wakuu Hivi viwango vya mishahara kwa hawa wachezaji Wakigeni, wanavitendea haki vilabu vyao? == Kwa mujibu wa TurpaSports, hawa ndio wachezaji wa Kigeni wanaolipwa mishahara mikubwa zaidi Ligi Kuu Tanzania mwaka 2024, na viwango hivi ni kwa mwezi; Jhonier Blanco (Azam FC) – TSh. Milioni...
Back
Top Bottom