tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. ommytk

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya uhuru wa Tanzania ni Moja ya sikukuu kubwa sana wananchi kwa nchi zingine tofauti na Tanzania inabaki kuwa sikukuu ya serikali

    Leo ni 9 December ni sikukuu ya uhuru wa nchi yetu Tanzania ni sikukuu ambayo tunakutana watu wote kwa dini zote na sio sikukuu ya kidini hii ni ya wananchi wote.tofauti kabisa na ilivyo unakuta kila mtu anaendelea na shughuli zake na inabaki kama mapumziko tu ni sio siku ya kufalia. Kwa wale...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Msimu wa Kutangaza Tamthilia na Filamu za Beijing Afrika wapokelewa kwa mikono miwili na mashabiki Tanzania

    Hivi karibuni, Msimu wa Kutangaza Tamthilia na Filamu za Beijing Afrika ulianza jijini Dar es Salaam, Tanzania. Tukio hilo lililoandaliwa na Ofisi ya Redio na Televisheni ya Mji wa Beijing, lilifungua ukurasa mpya wa mawasiliano ya kitamaduni kati ya China na Afrika, na kukuza uhusiano wa kina...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya Uhuru wa Tanzania (iliyokuwa Tanganyika zamani)

    Nimeona mjadala mahali watu wakibishana kuwa leo ni Uhuru wa Tanzania au Tanganyika, nami nimeona kwa manufaa ya wengi nishiriki mjadala huu kwa kutoa mchango wangu wa mawazo. Siku ya Uhuru Ina maana iliyo sawa na siku ya kuzaliwa kwa mtu. Kama mtu alizaliwa akawa anaitwa Juma...
  4. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Maningi International: Waingizaji na wasambazaji wa spare parts za magari Tanzania

    Tunapatikana Dar es Salaam, Kariakoo, Kisutu, Mbezi ya Magufuli na Manzese. Mikoani na nchi jirani pia tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana. Kwa mawasliano zaidi piga 0714528887 au tembelea website yetu. Karibuni sana
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Marekani chawatuza watano Tanzania

    MWISHONI mwa wiki, Tanzania ilipokea heshima ya aina yake kwa watanzania watano waliotunukiwa udaktari wa heshima ya Chuo Kikuu cha Read Impact kilichopo Colorado nchini Marekani. Tukio hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Tanganyika 2 ulioko kwenye Hoteli ya Land Mark, Ubungo jijini Dar es Salaam...
  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania inataka kuchapisha pesa mpya hivi karibuni? Instagram Algorithm imetushtukia

    ‘Instagram Algorithm’ ni mfumo wa unaotumika kwenye matangazo mbali mbali ya kibishara amabpo mtumiaji huwa analetewa matangazo yale yanayomusu kwankiwango kikubwa kulingana na viashiria mbalimbali (data collection) inavyovipata mtandaoni. Sasa Tanzania tunaletewa hili tangazo la mfumo wa...
  7. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ampa ushauri Eric Omondi juu ya chuki wanayoieneza kwa wasanii wa Tanzania

    Baada ya chuki kubwa inayoenezwa na wasanii wa Kenya kwa wasanii kutoka Tanzania. Diamond ametia neno lake. Kikubwa cha kuchukua hapa mtu akikuzidi, solution sio kumchukia ni kufata njia za mafanikio ili na wewe utoboe. Diamond is so genius
  8. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Ujinga alioufanya msanii Willy Paul jana dhidi ya wasanii wa Tanzania ukemewe vikali

    Jana usiku kulikuwa na Tamasha pale Nairobi ambalo moja ya Wasanii walioalikwa kutumbuiza ni Wasanii kutoka Tanzania, Diamond Platnumz akisindikizwa na Zuchu huku Msanii mwingine akiwa Rayvanny. Vurugu zilianza baada ya muda wa Diamond Platinumz kupanda stejini kufika ambapo Msanii wa Kenya...
  9. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Maoni ya mashabiki wa Yanga yanaumiza mno, kama Taifa tuna safari ndefu sana

    Habari wakuu wana Jamii Forums. Nimelazimika kuingilia kati kidogo minadala inayoendelea Tangu jana Usiku Baada ya yanga Kupoteza Mchezo 2-0 Dhidi ya MC Alger ya Algeria Nimekuwa nikifuatilia maoni sehemu mbali mbali hususa ni Kwenye mitandao ya kijamii kama Jf na instagram. MAONI...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tanzania yote tukimpenda Yesu Kristo tutakua na amani ya moyoni ambayo huleta amani ya nje (utulivu yaani bila ghasia)

    Amani inaanzia moyoni. Tukiwa na amani moyoni basi hata nje kutakua na amani. Ni jinsi gani watu wanaweza kumpenda Yesu Kristo. Njia pekee ni kwa kuhubiri habari za Yesu Kristo tu huko makanisani bila kubembeleza watumishi. Watumishi waambiwe ukweli ya kwamba ni Yesu Kristo pekee awezaye...
  11. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Baada ya RTO kuwaonesha ubabe. Tanzania Prisons wanasema anachokitafuta atakipata

    Hakuna salamu. Sina muda wa kupoteza.
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania Prisons (Wajelajela) Wadhalilishwa na RTO wa Iringa

    POLICE na Magereza wote ni Wizara Moja, inasemekana huko kunako Prisons wamesafirishwa toka ifunda hadi Iringa mjini kituo cha POLICE. Prisons walikuwa safarini kwenda Mbeya wakitokea Kagera Chanzo cha sakata ni mwendokasi wa dereva wa Prisons akiwa speed 90 badala ya speed 85. Pamoja na...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mgombea urais kupitia CHADEMA uchaguzi mkuu 2025, ni ama DR. W.P.Slaa au J.S.Warioba

    Za chini kwa chini yasemekana kwamba, Warioba ana nafasi kubwa zaidi kupewa nafasi hiyo, huku mwenyewe akidai kutokua fiti kwa jukumu hilo zito na muhimu la uongozi, kwa sababu za kiumri. Kuna shinikizo ni kubwa mno kutoka kwa viongozi waandamizi wa vyama vya siasa hususan chadema, na hilo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wa Tanzania tumefikaje hapa?

    Wa Tanzania wenzangu ni vema tujiulize tumefikaje hapa? Ni mezaliwa Tanzania toka mwaka 1967 sijawai kuona Hali ya kutoaminiana Kati ya vyombo vya Dola na wananchi. Niwazi kuwa enzi hizo kama mwananchi angefukuzwa kwa tuhuma zozote Inge kuwa hauweni kwake kama angeona polisi au kituo cha...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais wa TFF, Wallace Karia akosoa kelele na propaganda zinazochafua Soka la Tanzania, "leta ushahidi TFF, nje na hapo sivutiwi"

    Wakuu Nani kalikoroga huko, Rais hapendezwi kabisa! == Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, leo Disemba 7,2024, katika mkutano Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwamba yeyote anayeona udhamini wa ligi kuu una dosari, apeleke ushahidi TFF. Alikosoa kelele na...
  16. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Nini kimeifanya Rwanda ipunguze kupitishia mizigo Tanzania na kugeukia Kenya?

    Wakati bado tunaendelea kuomboleza kifo cha mfanyakazi wa TRA, Marehemu Amani Simbayao, Kuna jambo limenishangaza kidogo. Kumbe Mwigulu Nchemba yupo. Maana zaidi ya kumkumbuka ninaposafiri na kuona mamia ya mawe huko kwenye barabara ninazopita, yameandikwa "Mwigulu Rais 2015", huwa simsikii...
  17. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Tanzania kupewa Tsh. Bilioni 779.9 kutoka Benki ya Dunia kwaajili ya utekelezaji wa Mradi wa TASAF

    Benki ya Dunia imeahidi kutoa kiasi cha takribani Dola za Marekani milioni 300 kwa ajili ya kusaidia Awamu ya Tatu ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini nchini chini ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania ( @tasaf.tanzania ) ambayo inatajiwa kutekelezwa baada ya kukamilika kwa Awamu ya Pili ya...
  18. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania KERO CCM na Serikali yake wameharibu sana Miji ya Tanzania, na imebakia kuwa magulio, miji imejaa Frame hadi kwenye makazi ya watu. Miji ni michafu sana

    Miji ya Tanzania kitambo back ilikuwa mizuri sana, kabla hawa wajinga CCM hawajaingia hadi kwenye mipango miji. Angalia mji wa mishi ulivyo kuwa msafi kipindi fulani. Now moshi ni chafu imejaaa wachuuzi kila kona, sehemu za wazi zimegeuzwa kuwa magulio ya wamachinga au stendi za Bajaji. Dar...
  19. Bams

    JamiiForums Tanzania Kwanini Sheria za Tanzania zinalenga zaidi kulinda uovu badala ya kutetea Haki?

    Nchi yetu kadiri siku zinavyoenda mbele, imeshuhudia zikitungwa sheria nyingi za kuirudisha nchi nyuma, yaani sheria nyingi zimekuwa za kuwatesa na kuwaonea wananchi. Ni sheria za kuhalalisha uovu dhidi ya wananchi: 1. Tulikuwa na sheria ya vyama vya siasa, lakini baadaye ikabadilishwa hiyo...
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Safari ya Miaka 60: Kitabu Cha Picha Historia ya Tanzania

    SAFARI YA MIAKA 60 NDANI YA CHAPISHO LA PICHA ZA HISTORIA YA TANZANIA Leo Maktaba imebahatika kutembelewa na mwandishi wa kujitegemea ambae ameandika na anaendelea kuandika sasa kwa miaka na magazeti maarufu ya Ulaya. Ally Sultan. Ally Sultan hakuja mikono mitupu amekuja na kitabu na jarida...
Back
Top Bottom