tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Chimbuko la amani na utulivu Tanzania ni uimara wa CCM

    Uimara na umadhubuti wa CCM, chini ya mwenyekiti wa chama na mkuu wa nchi mwanamke ndiyo hasa msingi mkuu wa amani, umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania. CCM ndicho chama kilichobeba hatma, matumaini na mustakabali mwema, wa uhakika na salama wa umoja, amani na utulivu wa waTanzania...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi zitakazopigwa Ban kuingia Marekani mara tu Trump atakapoapishwa!

    Wakuu, Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka. Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo. List hiyo imetolewa na Cornel University...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo awasili UAE kushiriki maadhimisho ya miaka 50 ya uhusiano kati ya Tanzania na UAE

    WAZIRI KOMBO AWASILI UAE KUSHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHUSIANO KATI YA TANZANIA NA UAE Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasili katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kushiriki maadhimisho ya miaka 50 ya Uhusiano wa...
  4. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Baada ya kifo cha Dr. Ndugulile, kwa sasa Tanzania tusahau kabisa kuupata tena ukuu wa WHO ukanda wa Afrika, haiwezekani!

    Ushabiki, ujinga na uchawa umejaa miongoni mwa watanzania wengi huku tukidhani dunia inakwenda kwa style hiyo. Kelele za watu kuanza kupendekeza majina ya watanzania wanaofaa kwenda kugombea tena huko WHO baada ya kifo cha Dr. Faustine Ndugulile zimeshika kasi, na serikali nayo ikaja na kauli...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Naiomba sana Tanzania Impeleke Dkt. Gwajima D pale WHO -Africa

    Kwanza nikiri, Mimi sio muumini wa wale wanaochagua viongozi based on sex . Mimi ni Pro- Qualifications. Hakuna asiyejua Uwezo wa Waziri huyu, Muwazi, Mchapa kazi, Mwenye maono, anayechukia Rushwa , Anayejiamini , Msafi asiyekuwa na Mawaa. Huyu Mama kama angeendelea kuwa Wizara ya Afya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mpaka lini utekaji, utesaji na mauaji Nchini Tanzania?

    Ndugu zangu Watanzania, kila mmoja wetu ameshuhudia wimbi kubwa la utekaji, utesaji na mauaji hapa Nchini hasa kabla na wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024. Mimi niwaombe wanaotekeleza mambo haya, waangalie zaidi UBINADAMU na UTANZANIA wetu. Tofauti ya vyama vyetu isiwe sababu ya...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tanzania itakuwa ni moja kati ya Nchi 5 Duniani zenye Reli ya Kisasa ndefu zaidi

    ARUSHA: Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika Mkutano wa Pili wa Mwaka wa Jumuiya ya Wahasibu Wakuu wa nchi za Afrika (AAAG) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa, leo Desemba 2, 2024, amesema Tanzania itakuwa nyuma ya China, Uhispania, Japan katika kuwa na reli...
  8. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Thread: Mechi za timu zisizo maarufu Ligi Kuu Tanzania

    Nimeona Kuna umuhimu wa kuwa na bandiko Mahsusi mwa mechi zitakazochezwa na timu zisizo maarufu kwenye Ligi ya Tanzania. Hiyo imetokana na kuwa kama Simba au Yanga hawachezi habari za mechi za timu nyingine haziandikwi humu. Tuanze na leo ambapo kulikuwa na mechi kati ya Coastal Union ya Tanga...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Ukatenganishwa na Uchaguzi Mkuu?

    Mazoezi makubwa matatu yanayogharimu pesa nyingi za wananchi ni vita, sensa, na uchaguzi. Uchaguzi, kwa upekee wake, mara nyingi husababisha kuyumba kwa amani na utulivu wa nchi kama tunavyoshuhudia katika chaguzi mbalimbali. Baada ya mchakato huo, viongozi na vyombo vya dola hujiona wamemaliza...
  10. Pfizer

    JamiiForums Tanzania ATCL sasa kutumia Masaa Matatu kutoka Dar hadi Afrika Kusini, ni baada ya kurejesha safari zake

    Shirika la Ndege nchini ATCL, limetangaza kurejesha safari za ndege zake kwenda nchini Afrika ya Kusini baada ya kusimama kwa muda Akizungumza wakati wa uzinduzi wa safari hiyo Leo Novemba 30, Waziri wa Uchukuzi Professa Makame Mbarawa amesema “kuimarika kwa diplomasia ya uchumi umerahisisha...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ligi ya Uingereza ipigwe marufuku kuonyeshwa hapa Tanzania . Ni kwa kusapoti ushoga

    Tuige mfano wa Donald Trump. Amepiga biashara ya ushoga kufundishwa mashuleni kwa kuwapa sapoti Mashoga. Huu ni upuuuzi
  12. P

    JamiiForums Tanzania The beauty of Democracy in Tanzania

    Habari wadau, ni matumaini yangu mko vyema kabisa, Kwa jina naitwa ProMagufuli. Napenda kuleta hoja kama kichwa kinavyosema. Kufuatia uchaguzi wa serikali za mitaa tumeweza kujionea yaliyotokea. Umefanyika uporaji mkubwa wa demokrasia. Sasa kama wanajamii forum ni nini kifanyike ili kuweza...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mipango ya majiji Tanzania

    Habari wakuu, Mimi ni Mtanzania kindaki ndaki. Nimepata nafasi ya kutembelea maeneo kadhaa nje na ndani ya nchi. Hakuna jambo linanikera kama namna tunaishia kama mifugo katika nchi yetu. Ni kama tuko katika banda la wanyama. Hakuna mpangilio wala hakuna kiongozi yeyote anaezungumzia hilo...
  14. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kupitia Botswana na Msumbiji naiona Tanzania mpya kabla sijatoweka.

    Kwa wakongwe kama mimi, wanajiuliza, nini tutaona mageuzi ya maana na ya kweli. Walipofanya kweli Kenya, Malawi, na Zambia tulidhani ni wimbi na wingu vya kupita. Juzi tu, tuliona moto wa mageuzi na mapinduzi ukiwashwa kule Afrika Kusini ambapo ANC iliponea chupuchupu kujikuta pakanga. Kalba...
  15. econonist

    JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania msirudie kosa walilofanya wenzenu wa Namibia

    Namibia ipo kwenye uchaguzi kwa Sasa. Uchaguzi huu ulikuwa ni mgumu Kwa chama tawala Cha SWAPO ila vyama vya upinzani baadala ya kuungana vikaamua kila mmoja kupambana pekee yake mwisho wa siku SWAPO inaongoza kwa matokeo ya Sasa kwa Asilimia 48 ya kura za urais mpaka Sasa. Vyama vya upinzani...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Sean Paul imewashtua wengi baada yakusema hamjui Diamond wala Alikiba alipotua Tanzania, ila anatamani kufanya nao kazi

    Wakuu Mwanamuziki maarufu wa dancehall kutoka Jamaica, Sean Paul, aliwasili Tanzania jana (Novemba 29) kwa ajili ya show yake inayotarajiwa kufanyika leo. Katika mahojiano na Bongo 5, alipoulizwa kuhusu Diamond Platnumz, Sean Paul alikiri kwamba hamfahamu msanii huyo lakini yuko tayari kukutana...
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Bila Marekani na washirika wake, Tanzania kisiasa tungekuwa kama North Korea

    Wakuu, Ni dhahiri shahiri kuwa hakuna kitu Sisiemu wanaogopa kama Marekani na nchi za Ulaya. Kwa haya yanayoendelea ikiwemo wizi wa kura na kuua wapinzani ni wazi kuwa ingekuwa ni amri yao CCM ingekuwa imeshafuta upinzani. The only reason they are not doing it (kufuta upinzani) it's because...
  18. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza katika Biashara Afrika Mashariki

    Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan umeendelea kuipa Tanzania mafanikio makubwa katika biashara za kikanda, na kuthibitisha nafasi ya nchi kama kiongozi wa Afrika Mashariki, hiyo ni baada ya hivi karibuni wakati Rais wa Kenya, William Ruto kukiri katika maadhimisho ya Miaka 25 ya Jumuiya ya...
  19. econonist

    JamiiForums Tanzania Tanzania tupo kwenye mfumo wa chama kimoja ulioshirikisha vyama vingi

    Ni uongo kusema ya kwamba Tanzania inafuata mfumo wa vyama vingi. Ni kwamba serikali ya Mwinyi ya mwaka 1992 iliruhusu uwepo wa vyama vingi ndani ya mfumo wa chama kimoja. Na hili ndio tatizo, vyama vingi vipo ila mfumo ni wa chama kimoja. Ili mfumo uitwe wa vyama vingi inatakiwa yafuatayo...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania SI KWELI LHRC wametoa barua inasema Tanzania imeonesha hatua kubwa katika kuimarisha demokrasia kutokana na uchaguzi wa serikali za mitaa

    Wakuu nimekutana na barua mtandaoni inasambaa inaonekana kuwa ya LHRC ina kichwa cha habari, uimarishwaji wa demokrasia uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, barua hiyo inaeleza kuwa Tanzania imeonesha hatua kubwa katika kuimarisha demokrasia kutokana na uchaguzi wa serikali za mitaa. wakuu hapa...
Back
Top Bottom