tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Kama Rwanda iko interested na mipaka inabidi ijue kuwa Rwanda na Burundi sehemu ya Tanzania

    Angalia hii ramani
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hakika Mwalimu alikuwa Special, hata hapa anakiri makosa aliyofanya kupelekea Tanzania kutoinuka kiuchumi kutokana na sera za Kijamaa

    Hakika mwalimu alishinda vita ya kijamii, sidhani hapa Africa ana mpinzani katika social policies ambazo hadi leo tunafaidika nazo. Sidhani hii leo kuna kiongozi anaweza akawa honest kuwa aliteleza. Katika interview hii, anakiri kutaifisha viwanda ilikuwa ni kosa kubwa mno akiongeza na...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Exim bank yaendelea kujiimarisha kwa ununuzi wa canara bank Tanzania

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim, Jaffari Matundu (kati) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) kutangaza ununuzi wa Benki ya Canara Tanzania ambayo rasmi inakuwa sehemu ya benki ya Exim Tanzania. Ununuzi huu ni wa tatu kufanywa na benki ya Exim ndani ya miaka sita iliyopita ikiwa sehemu...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Somalia zasaini mikataba ushirikiano wa ulinzi na usalama na kubadilishana wafungwa

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Shirikisho la Somalia zimesaini Mikataba miwili ya makubaliano ya kushirikiana na katika masuala ya Ulinzi ma Usalama na kubadilishana Wafungwa. Mikataba hiyo imesainiwa leo Januari 29, 2025, Jijini Dar es Salaam, upande wa Tanzania na...
  5. Luis 505

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania hawajui "Modern Policing??" Hawakuomba radhi ujio wa Kamala Harris. Hawajaomba radhi ujio wa Marais wa Afrika...

    Eti wakuu, alipokuja makamu wa Rais wa Marekani si mnakumbuka jinsi barabara zilivyofungwa na watanzania kupata bughudha ya usafiri pamoja na adha nyingine. Nilitegemea Jeshi la Polisi wangetoa statement ya kuwaomba radhi watanzania kwa usumbufu wowote uliojitokeza, ila ikawa kimyaaaaa. Juzi...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Madereva 47 kutoka Tanzania wameokolewa na M23, wakimbilia Rwanda Kusubiri Msaada wa ziada

    Madereva 47 kutoka Tanzania, ambao walilia msaada kutoka kwa wanajeshi wao huko Congo (TPDF), waliokolewa na kusaidiwa na M23. Kisha walisaidiwa kuondoka katika eneo la vita na kukimbilia Rwanda, ambapo sasa wanangojea msaada kutoka kwa serikali yao ili warudi nyumbani. Soma: Madereva wa...
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania BearCat G3: Vyuma vipya vya kibabe wanavyotumia Polisi Tanzania!

    Lenco BearCat wanatengeneza armored vehicles kwaajili ya majeshi mbalimbali Duniani, ikiwemo SWAT. Kwa sasa Jeshi la Polisi wameleta vyuma ivyo kwaajili ya kurahisisha kazi zao. Model ilioletwa ni G3 ambayo imeonekana ikisimamia swala la ulinzi siku hizi mbili. Hii chuma ina engine ya V8...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuongeza kasi ya kuunganisha umeme kufikia 72% ifikapo 2030 - Rais Dkt Samia

    Baadhi ya Nukuu za Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika. “Tanzania ni moja ya Nchi 12 zitakazozindua mpango mahususi wa kitaifa kuhusu nishati” “Kupitia mpango wetu...
  9. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Serikali itoe taarifa kuhusu hali ya usalama ya wanajeshi wa Tanzania waliopo DRC

    Chama cha ACT Wazalendo inaitaka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoa taarifa rasmi kuhusu hali ya usalama ya wanajeshi wetu walioko katika operesheni za kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Hii inafuatia taarifa za hivi karibuni za kuongezeka kwa...
  10. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Tanzania nchi yangu, nakupenda kwa moyo wangu wote

    Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kisa kinene ,yapo mengi hatuyajui yapo mengi tunahaso tuyajue Elimu haina mwisho,Tuendelee kijifunza tupo kwenye nchi ya Dunia ya tatu ipo nyuma Kwa mambo mengi tu yaani, Siasa,uchumi,na maendeleo ya mtu mmoja mmoja ,ni nchi ambayo mtu akimikiki Jiko la...
  11. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Kuhusu manabii wa uongo Tanzania

    Ifike hatua hawa manabii wa uongo Tanzania waache kucheza na imani za watu maana wanajitafutia umaarufu kidg tu kisha waanza kupiga deals kupitia unabii mpauko. Hivi haiwezekani kuwatandika viboko hawa manabii wanaozuka kama uyoga mitaani? Kuna nabii mmoja Channel 10 wa mwenge mpakani anapiga...
  12. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania China inatumia Tiktok kuadvance agenda zake kimataifa kwanini Tanzania isitumie app za ndani kama JamiiForums Kudominate Global tech??

    Wakuu nauliza tu!! Kulingana na dunia inavo enda Tech giant zinapewa pesa na serikali zao kusambaza ajenda na maslahi ya nchi zao!! Tanzania tuna ajenda nyingi ambazo tunaweza kuzitumia tech zetu hata kama ndogo kuadvance kwene uso wa dunia Mfano ni hii JamiiForums ambayo mizizi yake ni hapa...
  13. kaputula

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuchukue tahadhari kuzuia wakimbizi toka Rwanda

    Kuna kila dalili kuzuka vita kati ya DR Congo na Rwanda. Nchi kubwa ya Congo inaweza kuamua kupigana vita na Rwanda ambayo ni ndogo kabisa kulinganisha na DRC. Mwanzo wa vita pamoja na kiburi na kujiamini kwa watutsi wenye kutawala Rwanda DRC inaweza kuwavuruga vibaya. Pamoja na uzembe ufisadi...
  14. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Makundi AFCON 2025, Tanzania yapangwa Kundi C dhidi ya Nigeria, Tunisia na Uganda

    Kwasasa nchini Morocco kuna hafla ya upangaji wa makundi kwaajili ya michuano ya AFCON 2025. Ungana nami kujua Tanzania tutapangwa na nani? Tukio lipo mubashara Azamtv na DStv =================================
  15. Introver

    JamiiForums Tanzania Je Biashara ya pocket option Trading ni halali kwa Tanzania?

    Habari zenu wakuu. Nilikua na mpango wa kuanza biashara ya pocket option trading. Ila kabla ya kuanza ningependa kujua kama sheria za hapa Tanzania zinaruhusu
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu wa sasa ndie Waziri Mkuu ajae wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ni suala la muda muafaka na nyakati kutimia tu, Lakini uhalisia wa mambo na hisabati na sayansi ya siasa ina dhihirisha kwamba kuanzia Oct.2025, Dr. Samia Suluhu Hassan atakua Rais, Dr. Emanuel Nchimbi atakua Makamu wa Rais, Ndg. Dotto Biteko atakua waziri mkuu wa Jamuhuri Ya Muungano wa...
  17. comte

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa wanasheria wa Tanzania

    Toka katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iweke ukomo wa mtu kukaa kwenye nafasi ya urais kwa miaka 10 kwa vipindi vya miaka 5, mgombea wa CCM aliye na stahiki ya kugombea mhula wa pili baada ya kumaliza mhula wa kwanza hashindanishwi na wenzake ndani ya chama chake. Ilikuwa hivyo toka kwa...
  18. Logikos

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Nishati; Tuutumie kwa kuneemesha Wananchi tuna Uwezo wa Kuwauzia Umeme Afrika nzima wala hatuna Sababu ya Kununua Gesi kutoka Nje

    Uwezo tunao ingawa sina uhakika kama tuna Nia.., Nilishasema kitambo kwa Kutumia Tanesco tuna uwezo wa kufanya mwananchi akatumia Umeme kwa bei ndogo (mfano kupikia kwa gharama ya chini ya Tshs 100 mpaka 0/=) na kuuza ziada kwa nchi nyingine...
  19. hamis77

    JamiiForums Tanzania Ligi ya mabingwa wa draft Tanzania aliyoibuka bingwa dogo sisco

    Habari zenu humu ,wale wapenzi wa DRAFT ,ilifanyika ligi ya MABINGWA wa draft unaowajua wewe hapa TZ ,pale Java Lounge Bingwa aliibuka dogo SISCO Mashindano yalianza na hatua za makundi Katika ligi ya kufungua mwaka wa 2025 waratibu wamewathibitisha washiriki 48 watakaowania kuondoka na...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wadau wote wa Nishati Vyuo Vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K Tuungane Kutazama Mkutano wa Nishati Afrika 27-28 January 2025

    Lengo la Mkutano huu ni Waafrika Millioni 300 wakiwemo Watanzania Millioni 8.3 kupata umeme ifikapo mwaka 2030. Tazama Live Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) Wadau wote wa nishati vyuo vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K tuungane kutazama...
Back
Top Bottom