tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yajitoa Rasmi Kufadhili Mradi wa REGROW Kwa Madai ya Ukiukwaji wa Haki za Wananchi Wanaozunguka Hifadhi ya Ruaha

    Kwa mujibu wa taarifa ya Oakland Institute kama ilivyonukuliwa na MongaBay ni kwamba Wananchi wa eneo la hifadhi ya Ruaha walipeleka malalamiko Benki ya Dunia Kisha kufunguliwa Kwa kesi Kwa manyanyaso waliyofanyiwa na maafisa wa TANAPA ikiwemo kuporwa mifugo Yao kwenye zoezi la kutaka kupanua...
  2. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Uji - Tanzania

    Habari za muda huu walipa kodi wa wakati wote ! Naomba kutoa wazo moja tu. Hivi hii nchi hatuwezi kuwavutia wawekezaji katika nchi yetu hususani maeneo ya Majiji mfano; Mwanza, Arusha, Dar es Salaam, Tanga na Mbeya. Mtuletee Viwanda vya Uji sio unga lishe wa uji hapana. Bidhaa hizo ziwe kwenye...
  3. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Samia atakuwa Rais mwenye umri mkubwa zaidi kuchaguliwa katika historia ya Tanzania endapo atashinda Uchaguzi Mkuu

    Kesho ni Januray 27. Miongoni mwa watu maarufu wanaozaliwa kesho ni Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Atakuwa anafikisha miaka 65. Ni mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Endapo atashinda uchaguzi huo, kwa umri wa miaka 65...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Super Internet yenye kasi zaidi Tanzania

    Choose Vodacom as your dedicated internet partner and get speeds of up to 1 GB per second and a cost-effective data plan to suit your internet needs. Benefits -24/7 internet connection -Best-available technologies for city and remote -Speeds of up to 1 GB per second -Data plan to suit your...
  5. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Kongo DRC wauze Goma kwa TANZANIA, Kisha sisi TANZANIA tushughulike na hao M23, is very simple

    Amani iwe kwenu Nimewaza mbali sana Lakini kuwaza kwangu kote huwa sipend kabisa kuona mtu akiteseka bila sababu Mateso ya watu wa Kongo wananiumiza sana Sasa nimekuja na suluhisho moja tu na suluhisho hilo moja tu linaenda kutamatisha hii vita ndan ya dakika mbili tu Watu wa kongo na...
  6. sanalii

    JamiiForums Tanzania Ilikua ni makosa kuipanua EAC nje ya Tanzania , Kenya na Uganda.

    Matokeo yake unaunganisha nchi ambazo hazina "things in common" au zenye conflicts kabisa. moja ya kirusi kikubwa kwenye huu umoja ni Rwanda. Rwanda hakutakiwa kabisa kuingia kwenye huu muungano mana si muungwana kabisa. hatoseki na alichonacho. Kama ningekua na maamuzi, ningeitoa Tanania...
  7. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Babu yangu alipambana vita ya iddi amini Uganda, alichukuliwa kama mgambo ila mpaka amefariki Dunia hajapewa mafao Yake

    Hii inaniuma sana Mara kadhaa alikuwa anaenda kwa mkuu wa wilaya kufatilia pesa zake ila alikuwa anapigwa tarehe.. Shujaa huyu pesa zake zimaliwa na Vigogo wachache Uuzi tayari
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania ipo mikono salama chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

    Tanzania ipo mikono salama chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. Rais Samia ni Amiri Jeshi Mkuu na anahakikisha mipaka ya Tanzania ipo Salama na watanzania wanakuwa na tabasamu kila kukicha. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp...
  9. President of China

    JamiiForums Tanzania Mnaijeria atamani Kuwa Mtanzania: 8 Culture Shocks I Experienced in Tanzania as a Nigerian!

    Tanzania ni nchi yenye utajiri wa kipekee wa tamaduni, watu wake wa amani, na mazingira mazuri ya asili. Kwa mgeni yeyote, hasa kutoka nchi nyingine za Afrika kama Nigeria, uzoefu huu unaweza kuwa wa kushangaza lakini pia wa kuvutia sana. Mnigeria mmoja ameweka wazi maajabu na tofauti za...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania System ikishindwa kuipatia Tanzania Katiba Mpya sasa, miaka michache ijayo tutakuwa Failed State

    Sote tunaona! Kwa hali ilivyo sasa, endapo hatujapata Katiba Mpya sasa inayowawekea Viongozi wa kisiasa speed governor huku ikiweka nguvu kubwa kwenye mifumo ya nchi kuendesha na kuamua masuala ya msingi kuna wasiwasi mkubwa sana nchi yetu kuenda kuwa failed state miaka michache ijayo. Kwa...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Uhamiaji Tanzania Bado Lina Hoja ya Kujibu Kuhusu Suala la Kuwapa Uraia Hao Wachezaji wa Kigeni

    1. Baada ya kuibuka kwa sakata la Kuwapa Uraia kiholela Wachezaji mpira wa Kigeni waliosajiliwa na timu ya Soka ya Singida United, Idara ya Uhamiaji walitoa taarifa yao ambayo wanadai kuwa inalenga kutoa ufafanuzi kuhusiana na suala hili. Taarifa husika imeambatishwa hapa kwenye uzi huu. 2...
  12. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Wa Oromo wa Ethiopia nimekuja kugundua ndio hao hao Wambulu wa Tanzania

    Nimefuatilia sana hawa wa Oromo wa Ethiopia nimekuja kujiridhisha pasipo shaka kwamba ndio hao hao wa Mbulu ambao wao wali hama wakajikuta wamefika Tanzania. mwo Oromo akiwa amejichora, kumbuka waambulu pia walikuwa wanajichora hivyo ingawa kwa sasa ni kama wamecha vile. Wa Oromo ni kabila...
  13. wanchijiko

    JamiiForums Tanzania Soko na bei ya madini ya amethyst Tanzania

    Habari zenu wana JamiiForums na wadau wa madini kwa ujumla, Naomba kufahamu ukweli kuhusu bei ya amethyst kwa hapa kwetu Tanzania (soko la ndani) kwa zile zilizo safi ,rangi omekolea na ukubwa kuanzia 3g nakuendelea ,kilo inakua bei gani? Na je ukizalisha soko lipo la uhakika au adi upate...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Korea Zajadiliana Njia Bora ya Kuendeleza Madini Mkakati

    TANZANIA NA KOREA ZAJADILIANA NJIA BORA YA KUENDELEZA MADINI MKAKATI ▪️Waziri Mavunde asisitiza ushirikiano kwenye utafiti wa madini na uongezaji wa thamani madink ▪️Korea yaonesha utayari kuwekeza nchini katika uendelezaji wa madini mkakati ▪️Serikali ya Tanzania kuandaa mkakati maalum ya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Msanii namba moja tanzania

    Habari zenu.. In current situation righit now MARIO ndo msanii mkubwa kwasasa tanzania,wale wawili diamond na alikiba wapewe heshima yao kwa kufikisha mziki wa Tanzania hapa ila kwa hali ilivyo sasa MARIO namba moja na JAY MELODY namba mbili,HARMONIZE namba tatu na RAYVANNY namba nne,yeyote...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Traole wa Burkina Faso italeta kichocheo kwa Watanzania cha kuchukia utawala wa kifisadi unaogawa rasilimali za Taifa kwa wageni?

    Kuna watu maarufu ambao wamewahi kutembelea Tanzania, na kwa namna moja au nyingine kuwa chachu ya mwamko wa kisiasa nchini. Tumetembelewa na watu kama Fidel Castro, Che Guevara, Nelson Mandela, nk. Hata kama hawakuongea mengi wakiwa nchini, kuwapo kwao nchini kulileta hamasa na mwamko fulani...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ufaulu wa elimu ya Tanzania unanipa mashaka sana kila kukicha

    Napata wasi wasi na elimu hii ya tanzania kila kukicha ikichezewa na wizara ya elimu. Miaka ya nyuma ilikuwa ni kazi sana kuona kundi kubwa la ufaulu ukilinganisha na leo. Kuanzia shule ya msingi mpaka sekondari. Sababu ambazo zinanipa mashaka ni kwamba watoto wanamatokeo mazuri ila hawajui...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni wajinga, mtu anapokubali kuwa raia wa Tanzania halafu ana kipaji badala ya kufurahia wao wanachukia.

    Miaka 2 nyuma niliandika sana mitandaoni kuwa serikali impe uraia Mayele . Mayele ni hazina. Kuna wachezaji majuzi wamepewa uraia kuna watu wanakwazika. Hii ni roho ya kichawi. Tanzania ina mapori mengi hayana watu. Tukigawa kwa square meter bado kila Mtanzania ataweza kumiliki eneo kubwa la...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Silaa: Kituo cha Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika eneo la Horohoro kitachochea shughuli za kiuchumi Tanzania na Kenya

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), amesema kuwa uwepo wa Kituo cha Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika eneo la Horohoro, kinachounganisha Tanzania na nchi ya Kenya, kutachochea shughuli za kiuchumi kati ya nchi hizo mbili pamoja na nchi nyingine za...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Idara ya uhamiaji yatoa ufafanuzi dhidi ya wachezaji wa kigeni Singida Black Stars, wote ni raia wa Tanzania kwa Tajnisi

    TAARIFA KWA UMMA Idara ya Uhamiaji inapenda kutoa ufafanuzi wa taarifa zilizochapishwa na kujadiliwa kwenye mitandao ya kijamii na Vyombo vya Habari kuhusu kupatiwa uraia wa Tanzania wachezaji watatu wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Singida Black Stars. Wachezaji wanaotajwa kwenye taarifa hizo ni...
Back
Top Bottom