tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Nani mwingine mwenye hoja zenye mashiko za kuwajali wanyonge Tanzania aje hapa???

    Kwa wenye umri kama wangu na kunizidini, kwa hoja hii Tanzania tukimuondoa kwanza Mwalimu Nyerere alafu tuwaangalie marais waliorithi kiti chake. Ni Rais yupi aliwapelekea watanzania kwa mamillion yao umeme wa bure vijijini ndani ndani na viunga vya miji katika kaya zilizosahaulika ambazo...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Wagombea Urais Tanzania na Zanzibar kutambulishwa Februari 5

    Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinatarajia kuwatambulisha kwa Wanachama Wagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 katika maadhimisho ya miaka 48 ya Chama hicho February 05,2025, uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Taarifa...
  3. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Mabasi jiungeni mtengeneze Kampuni Kubwa ya Mabasi Tanzania

    Inashangaza vikampuni ushuzi vya mabasi vimejaa shekilango. Kila baada ya miezi 6 ukirudi unakuta kishafungwa. Unganisheni Nguvu Undeni kampuni kubwa ya Mabasi yenye tija na weledi ( professional). NB: uswahili umezidi
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mahakama za Tanzania Sio Kimbilio la HAKI

    Mwenendo wa makahakama za Tanzania kwa utoaji haki kwa masuala nyeti kama ya haki za kisiasa na kikatiba imekuwa ikiingiliwa sana. Majaji wa Tanzania na Mahakimu wengi ni wafungwa wa Executive. Itoshe kusema Mahakama za Tanzania sio Kimbilio la Haki.
  5. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tanzania namba 3 kuingiza nguo za mitumba Afrika, yatumia Sh379.9 bilioni

    Tanzania imetajwa kushika nafasi ya tatu ndani ya Bara la Afrika kwa kuingiza nguo za mitumba katika mwaka 2022, ripoti ya tovuti inayojihusisha na masuala ya biashara Observatory of Economic Complexity (OEC) inaeleza. Kwa mujibu wa tovuti hiyo, Tanzania ilitumia Sh379.921 bilioni kuingiza nguo...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania ndo nchi ambayo unaweza kusoma mpaka chuo kikuu na bado data zako zisionekane popote wakizitaka

    Hii ni nchi ya ajabu sana. Unamaliza mpaka chuo kikuu lakini siku ya interview wanakwambia hawakujui eti kisa ulipoteza vyeti tu hata kama viliungua moto ndani. Nchi ya maajabu sana. Hata IT Tanzania haifanyi kazi kabisa. Hii niyo nchi ya vi wonder kama alivyosema JPM
  7. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Waziri Mambo ya Nje ya nchi Dr Balozi Kombo tolea ufafanuzi kukatwa Msaada ya TB, Malaria na UKIMWI kwa Tanzania

    Mheshimiwa huu ni wakati wa wewe kuitisha Mkutano na kufafanua mambo ya Kimataifa ikiwamo usitishwaji wa Msaada kwa Tanzania. Nataarifiwa EU nao wapo mbioni.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuombe kuwa watawala Congo mashariki

    Kupunguza umasikini wa hali ya juu . Tanzania pamoja na South Africa tuombe kwa congo kuwa watawala rasmi wa sehemu hii ya mashariki mwa congo kwasababu congo peke yake wameshidwa. Tanzania tuna aminiwa na wa congo wa mashariki wana utamaduni wetu. Hatua hizi zipitishwe 1. Congo mashariki...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tumepoteza Wanajeshi Wawili Nchini Congo Katika Mapambano na M23

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa masikitiko makubwa na uchungu mkubwa taarifa zinadai kuwa tumepoteza mashujaa wetu wawili wa JWTZ waliokuwa wakilinda amani Nchini Congo. Vifo hivyo vimetokea kutokana na mashambulizi yaliyofanywa na M23. Tutawajibu kikomandoo na watajuta . askari wetu wamekufa...
  10. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kagame hawezi kuongoza nchi yenye makabila tofauti kama kenya, Uganda au Tanzania

    Huyu jamaa uongozi wake umejengwa kwa misingi ya Genocide. Bila Genocide hana cha kusimamia. Kwa rwanda amejibrand kama ni mtu aliyezuia Genocide. Kwa nchi ambazo zina makabila mengi huwezi kutoboa kuwaongoza watu miaka 30 kila leo uwakumbushe mauaji ya kimbari!! Watu awawezi kukuelewa lazima...
  11. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma

    Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma jeshi la wananchi JWTZ limepoteza Askari wawili huku M23 wakishindwa kusonga mbele kutokana na mashambulizi mazito ya JWTZ yakiendelea idadi ya Askar wa M23 waliofaliki katika mashambulizi hayo imewekwa...
  12. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji data base itakayo onesha mashule yote Tanzania kwa kila Wilaya

    Binafsi naona tunaishi kwenye Nchi ambacho hata ukiulizwa utaje shule zilizoko wilaya uliyotoka huwezi kuzijua; Nashauri; Kuwe na ukurasa (Data base) ukiingia unapata Shule zote kwa kila mkoa na kwa kila Wilaya 1. Mfano: Kuwepo na shule za A-level (mnaweza kwenda mbali na kuweka combination) 2...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna maswali tata ambayo Rwanda na Uganda wapo kimikakati sana kwa tanzania.

    Mzozo unaondelea upande congo kule goma kumekuwa na shutuma nyingi kuhusu rwanda na uganda kuwa wahusika wakubwa wa mgogoro japo wenyewe kukanusha. Ukiangalia ni kama mikakati ya ambayo imesukwa mda mrefu.Tuje kwenye mada kuhusu uganda ili bomba la mafuta lilopita hapa linaweza kutunyamazisha...
  14. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Somalia waingia mkataba kubadilishana wafungwa, kuimarisha ulinzi na usalama EAC

  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania CCM na PP kuimarisha uhusiano wa Tanzania na Ethiopia - Balozi Dkt. Nchimbi

    KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema urafiki kati ya CCM na Prosperity Party, chama tawala cha Ethiopia, ni hatua muhimu katika kuboresha na kuimarisha uhusiano wa nchi hizo mbili, pamoja na watu wake. Balozi Nchimbi amesema kuwa ushirikiano mzuri...
  16. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu mnoo sasa Tanzania kuingia vitani kuilinda DRC na kuwafurusha waasi wa M23.

    Ama kwa hiari (kupenda) au kwa lazima (shuruti) ni wakati muafaka sasa kwa majeshi ya Tanzania kuingia moja kwa moja uwanja wa vita (Full scale) huko DRC ili kurejesha amani na kuwafutilia mbali waasi wa M23. Sababu za kufanya hivyo zipo na kwa uchache sana nitaziweka hapa. 1. DRC ni jirani...
  17. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Usiichukulie poa Tanzania katika medani za kivita, walioijaribu walifutika

    Tanzania ilipewa jukumu kubwa la kuongoza vikosi vya Umoja wa Mataifa huko DRC, 2013/14 kazi kubwa ya kuisambaratisha M23. Kwa msioifahamu Tanzania vizuri,mwaka 2008 tulikuwa front line visiwa vya Comoro tukarejesha Amani ya ukanda ambapo napo aliibuka jamaa mmoja akaanza kudharau na kupuuzia...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Diplomasia ni jambo la muungano ?

    Diplomasia ni jambo la muungano ? Rais - Zanzbar Waziri mambo ya nje - Mahmoud (Zanzibar) MShauri wa rais maswala ya diplomasia - Maulidah (ZAnzibar)
  19. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Tanzania tupo kwenye Mtego. Ni Lazima tuhakikishe amani inapatikana kati ya Congo na Rwanda kwa ustawi wa uchumi wetu

    Kwa namna yeyote ile ni lazima Tanzania ihakikishe amani inapatikana congo na Rwanda. Nchi zote mbili hizi Zina mchango mkubwa katika Uchumi na biashara katika nchi yetu. Tanzania kwa sasa tupo katika mtego ambao ni lazima tuutegue katika njia ya amani kwa ustawi wa taifa letu. Kila la heri...
  20. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Weka Picha za Magari ya Leyland Tanzania

    Leyland ilikuwa ni brand kubwa sana ya magari mazito ya kiingereza kuliko Scania, Benz, na Fiat enzi hizo. Yale magari ya Leyland CD (Clydesdale) na Leyland (Albion) yalikuwa hayashindwi mlima au matope kwenye sehemu yoyote Tanzania wakati barabara zetu zikiwa mbovu sana. Hayakuwa na spidi...
Back
Top Bottom