tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Balozi za Marekani na uingereza na nyenginezo zinapaswa kulaani mauwaji, utekeaji, na uonevu unaoendelea Tanzania

    Nitoe wito kwa balozi zilizopo Tanzania kulaani mauwaji ya raia na uonevu unaoendelea kufanywa na jeshi la polisi nchini ili kuongeza uzito wa suala hili, matamko ya balozi hizo yatakuwa na mchango kubwa katika kuhamasisha mabadiliko nchini.
  2. JamiiForums Tanzania Hapa Duniani kuna wananchi waoga kama Raia wa Tanzania na Uganda?

    Great Thinkers. Nadhani pakitokea ranks za raia waoga dhidi ya watawala wabidhilifu Tanzania na Uganda lazima tushike seat ya mbele. Kinachotupoanza kikubwa ni unafiki imefika mahali hadi dini zinatumika kutetea ujinga, mimi.siyo mdini lakini itoshe kusema waislamu ni binadamu wanafiki kuliko...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia: Tanzania haiwezi kuwepo bila ya muungano, tuulinde kwa wivu

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amesema kuwa ni wajibu wa kila mtanzania kuhakikisha anailinda kwa wivu wote tunu ya Muungano iliyoanzishwa na waasisi wa taifa hilo. Dkt. Tulia ameyasema hayo leo tarehe 25...
  4. JamiiForums Tanzania Ifike mahali wapinzani wa Tanzania waelewe kuwa Polisi na CCM hawawapendi na hawapendi maisha yao

    Wapinzani wa Tanzania wale ambao kweli ni wapinzani wakishaelewa hivyo naamini wanaelewa nini wanachotakiwa kufanya. Jana mmeona wenyewe kuna watu waliumizwa kuna kifo na kuna ambae mpaka sasa hajarudi achilia mbali kuchukuliwa na polisi hadharani. Hili jeshi pamoja na CCM kamwe hawawapendi na...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanzania ni mali ya nani?

    Hii serikali ya Tanzania imekuwa ikituzarau! Tume ya Uchaguzi ni chombo kinachopaswa kuwa huru kabisa—lakini leo hii, ni kama idara ya chama tawala! Tunawauliza: 1. Kwa nini Rais, ambaye ni mshiriki wa uchaguzi, awe na mamlaka ya kuteua Mwenyekiti wa Tume? Huu siyo mgongano wa maslahi? 2. Kwa...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais wa Finland akitembelea Tanzania atumiwe email za kutosha kuhusu kutembelea nchi isiokuwa na utawala wa sheria

    Hii ndio njia ya kudili na hawa CCM kuliko kutwa nzima kujaza servers ya Jf na post za kulia lia tu. Tuachane na post za kulia lia. Sasa kwa upande wa Tanzania, huyu Mwamba wa Finland anapaswa kutumiwa email za kutosha kwamba anatembelea taifa lisiloheshimu misingi ya utawala Bora, akipata...
  7. JamiiForums Tanzania House4Rent Full furnished apartment, 3bedroom master, located at mikocheni Dar, price USD 2,000 per month

    #rent APARTMENT FOR RENT LOCATED AT MIKOCHENI DAR-ES-SALAAM TANZANIA🇹🇿 3BEDROOM MASTER, ______________ RENT PRICE USD $2000 Dalali_wa_kimataifa 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  8. JamiiForums Tanzania Imekuaje Kenya kuingizwa katika Mgogoro wa Tanzania na Malaw?!

    Kuna mtu anaweza kuelezea sababu za magari ya Kenya kutoka Malawi yanayopitia Tanzania kutaabishwa katika mipaka yetu kutokana na mgogoro wetu na Malawi?
  9. JamiiForums Tanzania Tunaelekea Wapi? Umuhimu wa Crypto Kama Njia ya Malipo kwa Biashara Ndogo Tanzania

    Tumekuwa tukisikia habari au taarifa nyingi sana kuhusu cryptocurrency na blockchain. Neno Bitcoin limekuwa likitawala kwenye vinywa vya wengi, hususan vijana na wafuatiliaji wa teknolojia, lakini hadi sasa, bado ni watu wachache sana walioelewa kikamilifu maana na matumizi halisi ya teknolojia...
  10. JamiiForums Tanzania Full Time: Madagascar 4 - 4 Tanzania | Futsal WAFCON 2025

    Utangulizi: Futsal ni Football ila inachezewa kwenye viwanja vidogo kama vya basketball, na havina nyasi vigumu kama basketball. Sasa kuna mashindano ya Futsal ya Africa, kwa upande wa Wanawake yanayofanyika Morocco kwa huu mwaka. Kila upande una wachezaji sita, na mpira ni dakika 40, inamaana...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Huyu Matha Karua anajihusisha kwenye kesi za Tanzania kama nani haswa?!

    Huyu Bibi wa kenya Martha Karuq mbona anataka kutupanda kichwani?! Anapata wapi ujasiri wa kujihusisha na kesi za uhani nchini Tanzania? Tafadhali mamlaka zetu zisipuuzie hili jambo
  12. JamiiForums Tanzania Ukiangalia kwa umakini na kiundani Tanzania inahitaji serikalini inayojali hata iwe ya kibabe na kidikteta kama China

    Lakini iwe tu inajali maslahi ya wengi na "sio ya wachache kama ambavyo imekuwa toka kupata uhuru"
  13. JamiiForums Tanzania Kwa vigogo wote wa serikali na wananchi kwa ujumla

    Kumbuka, umekuwa ukijulishwa vitu vingi; umekuwa ukipewa taarifa nyingi kabla ya wewe kutenda au kutendewa chochote. Umejiaminisha kuwa hakuna kitu chochote kibaya au kizuri kitakachokupata bila wewe kuwa na taarifa ya mapema. Lakini, wakati wako wa kuaga dunia ukifika—muda wa kufariki...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sasa hakuna tena kikwazo cha Lissu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni suala la muda mfupi sana

    Ni suala la muda mfupi tu hata hawa wanaomtesa Tundu Lissu kama vile Lissu ametia sumu kwenye ziwa Victoria ili watu wote wanaokunywa maji ya ziwa hilo wafe watakuwa upande wake baada ya kuona matendo makuu ya Mungu. Mungu alisema jambo 2017, 2021 lakini watu hawajasikia sauti yake . Atasema...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Cheo cha Ubunge ni kizuri sana Tanzania

    Wanajukwaa hiki cheo ni kizuri sana, kikubwa sana au kitamu sana hapa nchini kwetu? Unajiuliza kinachotokea jijini Arusha mnyukano wa mkuu wa mkoa na Mbunge wa sasa unahusishwa na mbio za Ubunge. Yaani mtu hataki kuongoza mkoa anataka majimbo ndani ya mkoa tu.Vile vile Mzee Masatu Wasira...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania ya kisasa: Haki, teknolojia, na siasa za amani—tunapokwenda kwenye uchaguzi mkuu

    TANZANIA YA KISASA: HAKI, TEKNOLOJIA, NA SIASA ZA AMANI—TUNAPOKWENDA KWENYE UCHAGUZI MKUU Leo tarehe 24 Aprili 2025, Tanzania - Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendesha shauri la jinai namba 202504102000008606 dhidi ya Mheshimiwa Tundu Antiphas Lissu kwa njia ya mtandao, kupitia tovuti rasmi...
  17. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa,ipo mbezi makabe,njia panda ya msumi,bei ni milioni 350,maongezi yapo

    HOUSE FOR SALE; LOCATION: njia panda ya msumi mita400 kutoka lami nyumba inaitaji umaliziaji SQM: 730 Nyumba ina vyumba 6 master,3 PRICE: 350 negotiable UMILIKI: Hati Miliki. Ipo mwishoni Sitting room (2) Parking, Kitchen, Dining room (2) Public toilet nje, Public toilet ndani...
  18. JamiiForums Tanzania Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), liko wapi? Mbona haki za wananchi wake zinakandamizwa na polisi?

    Wakuu, Moja ya Kazi yake sio kulinda Katiba ya nchi? Kwanini katiba ya nchi inasiginwa mchana kweupe na wao wapo wanaangalia bila hata kuchukua hatua yoyote? Ni kweli wameamua kuacha polisi kuonea wananchi? Hili si Jeshi la Wananchi? Na wananchi si ndio sisi? Au tafsiri ya wananchi ni...
  19. JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania anaeleza taratibu za kumpata Papa kwa Kanisa Katoliki

    Father Chesco Msaga ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania akiwa kwenye Kasri la Kikeke anaeleza taratibu za kumpata Papa kwa Kanisa Katoliki. Taratibu za Mazishi ya Papa Francis zikoje Father Chesco Msaga ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa nini serikali ya Tanzania bado inapenda kufuatilia kila kitu hatua ya raia miaka 40 hata baada ya kuachana na Ukomunisti?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…