tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania zaidi ya 5500 live mtandaoni mda huu kufuatilia chama makini Tanzania (CHADEMA)

    Habarini za mchana wana jamvi.... CDM inaonekana kukonga mioyo ya watanzania wengi ambao wamechoka na ufedhuri na dhuruma ya CCM. Hii ni dalili njema kwamba kumekaribia kupambazuka, tuendelee kumwomba sana Mungu wetu wa haki. Simba wa nyika Tundu Lissu na Heche kila waungurumapo CCM inapagawa...
  2. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Silage: Suluhisho Endelevu kwa Wafugaji wa Mijini na Vijijini Tanzania

    Katika miaka ya hivi karibuni, sekta ya ufugaji nchini Tanzania imekumbwa na changamoto nyingi, hasa uhaba wa malisho unaotokana na mabadiliko ya tabianchi, ongezeko la watu, upungufu wa ardhi, na kushuka kwa uzalishaji wa mazao ya mifugo. Changamoto hizi zimeathiri sana wafugaji walioko mijini...
  3. Tanzanized S

    JamiiForums Tanzania Tanzania Imepata Rais Mwanamke Asiye Mstahimilivu, Asiye na Subra, Maono, wala Hekima na Busara za Kiutawala

    Wakati historia iliandika ukurasa mpya kwa taifa la Tanzania kumpata rais wa kwanza mwanamke, matumaini ya wananchi, hasa wanawake, yalikuwa makubwa mno. Ilidhaniwa kuwa hatimaye sauti ya mwanamke ingesikika, na siyo tu kusikika bali pia kuleta mabadiliko yenye tija, huruma, ufanisi na hekima...
  4. Dalali wa kimataifa

    JamiiForums Tanzania Ghorofa linauzwa,kariakoo daressalaam tanzania,bei ni billion 2.5,maongezi yapo

    GHOROFA LINA UZWA LOCATION:KALIAKOO MTAA WA KIUNGANI STREET Kuna vyumba 10 floor no 1 Floor no 2 Ina vyumba 10 Ground floor Ina flem 10 Mbele zipo flem 3 nyuma zipo flem 7 Na kuna Godown 1 Eneo lite lina SQm 290 BEI NI Bilion 2.5 tish maongezi kidogo sana Mtaa mzur sana kwa biashara yeyote ile...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tanzania hapatawahi kutokea rais mwanamke mstahimilivu, mwenye subra na maono, hekima na busara kama za kiutawala kama Samia Suluhu

    Ni neema na baraka za Mungu Tanzania imebarikiwa kua na kiongozi mbeba maono ya waTanzania wo ambae mstahimilivu na mwenye subra kama Dr.Samia Suluhu Hassn, licha ya chuki na upotoshaji unaoelekezwa dhidi yake na wanasiasa waliopoteza uelekeo wakiungana na viongozi wa dini kwasababu Dr.Samia...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wa Tanzania tuheshimuni Cheo cha Raisi

    Kila jambo Raisi anaona,raisi utahusika na maneno kibao tu ,Hivi hakuna wakuu wa wilaya mikoa mawaziri wapolisi mpaka Mnathubutu kumvaa Raisi ? Mlipita kwa mkuu wa wilaya,au Mkuu wa Mkoa au vituo vya pilisi na ngazi zake zote hata mnaenda kugonga Ikulu ? Basi ngazi zote zivunjwe abakie Raisi...
  7. 6WaS9

    JamiiForums Tanzania Hakuna Usafiri wa Umma wa ovyo na Hatari Duniani kama Mwendo kasi Tanzania

    Narudia Tena: Hakuna Usafiri wa Umma wa Hovyo na Hatari Duniani kama Mwendo Kasi Tanzania Kama serikali inaweza kusimamia Air Tanzania ina shindwa vipi kusimamia Mwendo kasi..? Mpaka kuwapa wapihgaji Moradi kama Hii..?! Miradi kama hii nchi nyingine inaendeshwa na katika level ya...
  8. JF Member

    JamiiForums Tanzania Riba ya Mikopo ya Tanzania na Kenya

    Katika kujisomea kwangu mambo ya uchumi. Naona sasa ni rahisi kukopa kenya na kuja kuwekeza Tanzania. Riba yao ni nafuu kuliko ya kwetu. Kwa hari hii sisi tutaendela kuwa chini kiuchumi. Serikali na BOT fanyeni mpango mpunguze Riba ili wananchi wakope pesa na wawekeze. What is the CBK base...
  9. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Nadhani adhabu ya Viboko iwe ni moja wapo ya Adhabu Vyuo Vikuu Vyote Nchini Tanzania

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane Nimekuwa nikisema mara kadhaa ya kwamba,mwanadamu yeyote aliye na ngozi nyeusi ni ngumu sana kumkontroo bila maamuzi magumu na yanayoumiza! Sisi ngozi nyeusi tuko tofauti kabisa katika uelewa ukilinganisha na ngozi nyeupe! Hebu fikiria hivi...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majaliwa: Zawadi pekee ya kuwalipa Rais Samia na Rais Mwinyi kwa maendeleo waliyoyaleta kwenye michezo ni "mitano tena"

    https://www.youtube.com/live/2AL9sZGpSbA Ufunguzi wa kikao kazi cha Mafunzo na Mazingativu cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo Tanzania Bara, mgeni rasmi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa (MB). Ufunguzi huo unafanyika kwenye Ukumbi wa...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtoko wa Pasaka: Chama cha muziki wa injili Tanzania, idara ya wanawake badala ya kumsifu Mungu wanaimba “Mama Samia Kazi iendelee”

    Usiku wa mtoko wa pasaka matukio mengi yamefanyika kichawa sana :4WeirdJam: tulitegemea iwe sehemu ya kuusifu utukufu wa Mungu kwa kumtoa mwanaye wa pekee aliyetukomba kwa msalaba dhidi ya madhambi yetu lakini unasikia kwaya inamsifu Rais Samia na kuimba apewe mitano tena, hovyoo:AAAA::AAAA:
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Funga Kazi ya Urekebu wa Sheria za Tanzania, Kesho Rais Samia Atatoa Tangazo Rasmi, la Kuanza Kutumika kwa Sheria Zaidi 400 Zilizorekebishwa!.

    Wanabodi Funga kazi ya urekebu wa sheria za Tanzania, kesho Rais Samia atatoa tangazo rasmi, la kuanza kutumika kwa sheria zaidi 400 zilizorekebishwa. kuanza kutumika. Taarifa hii imetolewa live mubashara on Jambo Tanzania, na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari. Paskali
  13. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Bei ya Dhahabu Inapanda; je Tanzania tunfaidikaje

    Baada ya rais trump kuleta chaos za kipumbavu kwenye uchumi wa dunia, thamani ya dollar ya marekani imetelemka kwa haraka sana na sasa hivi thamani ya dhahabu ndiyo imepanda sana. Je Tanzania iunafaidake na mabadiliko hayo ilihali tuna mogodi kadhaa ya dhahabu?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Orodha ya bar zenye wahudumu wazuri nchini Tanzania

    Kwema wakuu. Huu ni Uzi maalumu kwa ajili ya bar zenye wahudumu wazuri nchini Tanzania. Weka la bar, mtaa ilipo, wilaya na mkoa. Naanza Mimi : ONE POINT ipo Chanika wilaya ya Ilala jijini Dar Es Salaam.
  15. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Nani anaiharibu amani ya Tanzania ni Tundu Lissu wa CHADEMA au ni viongozi wa serikali ya CCM kwa maslahi yao binafsi?

    Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwepo na sintofahamu ya kukamatwa Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Antiphas Lissu na kufunguliwa mashtaka ya uhaini, swali ni je? nani anaharibu amani ya taifa letu Tanzania, anayetumia nguvu na kusisitiza uchaguzi uende anavyotaka yeye au yule Lissu anayesema...
  16. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Tanzania kwenye Ukarimu wa Uovu (The Banality of Evil )

    MOSSAD ( Israel Foreign Intelligence Agency ) inapata taarifa juu ya Adolf Eichmann- kiongozi wa Utawala wa Nazist ambae alijificha Agerntina kwa miaka mingi .Adolf alikuwa ni Supervisor kwenye Mauaji ya Mayahudi ( Holocaust) . Chap MOSSAD chini Peter Malkin inafanya international Espionage...
  17. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msimamo wa Rais Samia juu ya kurekebisha kanuni, kauli za viongozi wa dini wakati wa pasaka, zinaweza kuipeleka Tanzania kwenye mgawanyiko wa kidini

    Kuna wakati lazima viongozi wetu wawe na uwezo wa kuona mbali kwamba wanapaswa kutokweka misimamo ambayo athari zake zitakuwa mbaya huko mbeleni. In fact, kuwa na msimamo tofauti na matakwa ya wengi na ushauri wa watu wenye hekima ni kuwa na kiburi Hili suala la kubadili kanuni za uchaguzi...
  18. UHURUWANGU

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania - Bado ni BASTOLA ya Wananchi au zimegeuka kuwa SILAHA za Watawala?

    Katika jamii yoyote huru na inayothamini demokrasia, vyombo vya habari ni uti wa mgongo wa haki na uwajibikaji. Habari ni daraja kati ya wananchi na watawala. Waandishi wa habari ni walinzi wa ukweli, si mashabiki wa nguvu. Lakini leo hii, nchini Tanzania, swali kubwa linazidi kuibuka: Je...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna ukabila ila kuna udini ndani ya mfumo wa utawala

    Udini ndio unabeba viongozi ambao mpaka sasa unaona wengine wanakaa kimya na wengine upaza sauti. Kwa mtindo huu kunasiku wananchi watachagua mtu ambaye ni buza maana kila wanaoletwa watawala wamekuwa washenzi.
Back
Top Bottom