tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania MAKAMU WA RAIS: Philipo mpango mama bikira Maria ni mama wa taifa letu la TANZANIA, ni msimamzi wa taifa letu Tanzania

    Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU MWENYEZI aliye juu sana , aketiye mahali pa juu palipoinuka, yeye aliye mwenze enzi, aliye ziumba mbigu na nchi, BABA mwema na mkarimu sana na mwenye huruma nyingi kwa watu wake yeye ambaye alimtuma mwanae wa pekee aje atukomboe Jana nikiwa nasikiliza habari...
  2. Damaso

    JamiiForums Tanzania Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Ruvuma, kimeiomba serikali kuwaongezea walimu kikokotoo kutoka asilimia 40 mpaka asilimia 50

    Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Ruvuma, kimeiomba serikali kuwongezea walimu kikokotoo kutoka asilimia 40 wanayopokea sasa hadi kufikia asilimia 50 waliyokua wakiipokea awali ili iweze kuwapunguzia makali ya maisha na kuongeza ari na tija zaidi kwa walimu kufundisha wanafunzi...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna chuma lakini inashangaza tupo bize kukusanya skrepa

    CCM imetuzuia kufikiri? Yaani nchi iliyojaliwa kuwa na madini ya chuma, lakini wananchi wake wapo bize kukusanya skrepa mitaani. Yaani hawa waiba misalaba na Kengele za makanisani, au wang'oa vyuma vya madaraja na waokoto vyuma mitaani, kama madini ya chuma tuliyo nayo yangechimbwa wangeishi...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ukali na tishio kutumia nguvu wanavyofanya Raisi Samia na Mchengerwa "kulinda" amani ya Tanzania ni vigumu sana mtu kuamini Tanzania ni nchi ya amani!

    Nimewasikiliza Raisi Samia na waziri wake Mchengerwa wakiongea kuhusu "kulinda" amani ya Tanzania, kwa namna ya ukali na kuonyesha watatumia nguvu kubwa kuilinda hiyo "amani", kiasi kwamba najiuliza, kama Tanzania ni nchi ya amani, kwa nini muongee kwa ukali namna hii na kutoa vitisho vya ajabu...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tanzania U-15 Wabeba Ubingwa wa CAF Schools Football Championship kwa Kuichapa Senegal kwa Penati

    Tanzania imetwaa ubingwa wa wavulana katika mashindano ya CAF Schools Football Championship baada ya kuifunga Senegal katika pambano la kusisimua lililoamuliwa kwa mikwaju ya penalti. Licha ya mvua kubwa iliyonyesha katika Uwanja wa Michezo wa Chuo Kikuu cha Ghana, timu zote zilionyesha...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni Mshirika wetu wa Kweli - Spika wa Comoro

    Tanzania ni Mshirika wetu wa Kweli - Spika wa Comoro Spika wa Bunge la Comoro, Mhe. Moustadroine Abdou amesifu ushirikiano mzuri wa Tanzania na Comoro. Spika Moustadrione ameyasema hayo katika hafla ya chakula cha jioni kuadhimisha miaka 61 ya Muungano iliyoandaliwa na Ubalozi wa Tanzania...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea baadaye endapo serikali itaendeleza tamaduni hii tukilejea mataifa Yale yalipitia hali hii inayopitia Tanzania ??

    Swali lako ni zito sana, na linaonesha unafikiria mbali — kuangalia historia ili kufahamu hatima ya taifa kama hali ya sasa itaendelea. Tukitazama mataifa mengine yaliyopitia hali kama Tanzania ya sasa (yaani, serikali kudharau raia, kukandamiza uhuru wa watu, kukithiri kwa rushwa, na ukiukaji...
  8. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania: Your Nonsense Crimes, Hatutunyamazishwa Forever!"

    Sikilizeni polisi wa Tanzania, na viongozi wote wa kipumbavu wanaochochea hii motherfucking uhalifu mnavyofanya mchana kweupe! I swear to God, I ain't stopping this shit — usiku na mchana, mtasikia sauti yangu mpaka mishipa ya masikio yenu i-burst! Mnatuua, mnatutesa, mnabaka haki za raia huku...
  9. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania APARTMENT MPYA ZINAUZWA,ZIPO MBWENI MPIJI DAR🇹🇿,BEI NI MILIONI 850, 0758844717

    #sale APPERTMENT ZINAUZWA “”” ZIPO ZA VYUMBA VITATU “” ZIPO ZA VYUMBA VIWILI ZOTE ZINA WAPANGAJI VYUMBA VITATU NI LAK 700K VYUMBA VIWIL UWA ZINAPANGISHWA KWA LAKI 600K UKUBWA WA KIWANJA NI SQMT 1200”” KUNA HATI MILIKI OFFER MILLION 850 MAONGEZI YAPO LOCATION MBWEN MPIJI...
  10. technically

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania tubuni mnaangamia kwa kokosa maarifa

    Police wanaotumika kuiba kula uwa ni wale duni, waliochoka wenye njaa Kwa walimu pia Lakini wanaonufaika ni watu wakubwa wanasiasa mafisadi Imagine unatumwa unaua unazika alafu aliyekutuma anakupa pesho ya laki moja Unanuka damu yeye aliyekutuma Wala hajawai kuua Polisi jitambueni sisi...
  11. Elisante Yona

    JamiiForums Tanzania Majukumu na Kazi za Jeshi la Polisi Tanzania

    1. Polisi Tanzania (PT) ni chombo cha Muungano wa Tanzania kilichoundwa ili kuhakikisha usalama wa rai na mali zao, kudumisha Amani na utulivu katika jamii. 2. Kuzuia, kubaini, na kupambana na uhalifu, Ni chombo cha Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, kilichopewa mamlaka na wajibu wa...
  12. Daby

    JamiiForums Tanzania Me too ya Harmonize na Abby Chams: Moja ya nyimbo kali kuwahi kutengenezwa kwenye historia ya Muziki wa Tanzania.

    https://youtu.be/qCOsfkUKMfI?si=bMgpLjfzFdFBAqSx
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanawake wote Tanzania mngekuwa kama Mke wa Mwijaku hakika Sisi Wanaume zenu tungewapenda Kunakotukuka

    "Wala sina wasiwasi na yaliyomtokea Mume wangu na kwa msichokijua Mimi nilijua mapema kabla yenu na nikazungumza nae na kumalizana nae na sasa tunaendelea na Maisha pamoja na Mapenzi yetu huku tukiwashangaa tu mnaoshadadia na kuzungumzia Kutwa hili jambo. Nampenda mno Mume wangu Mwijaku hata...
  14. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Miaka 61 ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

  15. The Cock

    JamiiForums Tanzania Hongera Dr. Nchimbi, Mungu analo Kusudi na Nchi yetu Tanzania!

    Itoshe kusema katazo lako la wimbo wa kuchochea chuki baina ya wananchi wa vyama pinzani limenipa maono kuwa Taifa hili lina hazina kubwa ya busara na hekima ndani ya watu wake! Tupo salama, tuchape kazi na Mungu atubariki
  16. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kama Zilivyo nchi nyingi za Afrika, tunapitia Ukoloni wa aina nyingi

    Tuliachana na ukoloni wa Chui tukakutana na ukoloni wa Mbwa mwitu tukaishia ukoloni wa Fisi, hatujajua tutishia ukoloni wa nani. https://www.youtube.com/shorts/F3LQYQ3XbE8
  17. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Mahakama za Tanzania ni majukwaa ya maigizo

    Mambo vipi? Mimi kwa akili zangu tu ninavyoona watanzania wanaofuatilia kesi ya UHAINI inayomkabili kamanda TUNDU LISSU na kufikiri hataukumiwa kifungo cha maisha wote ni wajinga kwa sababu pale kisutu kinachofanyika ni maagizo na maigizo kutoka juu ili kumpotezea muda wa kufanya kampeni zake...
  18. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Ili Air Tanzania iweze kupenya soko la ulaya inabidi ifanye mipango na mikakati ya muda mrefu.

    Juzi kati hapa kulikuwa na mjadala niliokutana nao humu mtandaoni kuhusiana na Air Tanzania kufanya safari za moja kwa moja ulaya hadi hapa Tz. Kiukweli mjadala ule ulinivutia kwa kiasi chake ,lakini binafsinikagundua ili shirika hili liweze kupenya soko la ulaya itahitaji mipango,ubunifu na...
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Balozi za Marekani na uingereza na nyenginezo zinapaswa kulaani mauwaji, utekeaji, na uonevu unaoendelea Tanzania

    Nitoe wito kwa balozi zilizopo Tanzania kulaani mauwaji ya raia na uonevu unaoendelea kufanywa na jeshi la polisi nchini ili kuongeza uzito wa suala hili, matamko ya balozi hizo yatakuwa na mchango kubwa katika kuhamasisha mabadiliko nchini.
  20. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hapa Duniani kuna wananchi waoga kama Raia wa Tanzania na Uganda?

    Great Thinkers. Nadhani pakitokea ranks za raia waoga dhidi ya watawala wabidhilifu Tanzania na Uganda lazima tushike seat ya mbele. Kinachotupoanza kikubwa ni unafiki imefika mahali hadi dini zinatumika kutetea ujinga, mimi.siyo mdini lakini itoshe kusema waislamu ni binadamu wanafiki kuliko...
Back
Top Bottom