tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO DAWASA haiwalipi vibarua kwa wakati suala linalowapunguzia morari

    Nasalimu kwa jina la Jamhuli ya muungano wa Tanzania. Tungependa kutoa dukuduku letu, na malalamiko yetu ambayo yanatokana Manyanyaso na Mateso ambayo yanafanywa na taasisi ya DAWASA (Shirika la Serikali inayo huduma ya Majisafi Dar es Salaam na Pwani). 1. Dawasa ina kawaida ya Kutumia Vibarua...
  2. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Siku ujinga ukiwatoka wafanyakazi wa umma wa Tanzania, ndipo siku watakuwa na masilahi bora

    Wafanyakazi wa hii aridhi ya Tanzania hawana tofauti na Wanafunzi wa Chekechea, ambao wanaogopa hata kuomba ruhusa mwalimu awende kujisaidia na hadi wanajikojolea au kujinyea. Wafanyakazi ni waoga kama digidigi wa porini, utakuta wanataka mtu awasemee, eti fulani tupazie suati tuna kandamizwa...
  3. Kachina95

    JamiiForums Tanzania Ile siku ya majonzi na vimbwanga kwa kada dhoofu ualimu imefika

    Ile siku ya majonzi na vimbwanga kwa kada dhoofu ualimu imefika. Waalimu watasombwa kama mihogo wakiwa na matishirt yao ya CWT wakiwa wamepauka na kukomdeana, wataandaliwa lisala ya kumsifia mama weeee! Baada ya hapo watarudishwa kwao wakiwa wamejazwa kwenye malori kama matahila. Mwendo ule...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Simba ya Fadlu ni 'Cold blooded animal ' Kombe la CAF Confederation kubaki Tanzania

    Simba hii imekuwa ya kushangaza, ni Simba ambayo Sisi Wana Simba tumeyasikia mengi! Cha kushangaza, toka Tu uongozi ulipomtangaza kocha mpya NI Fadlu. Ukweli yalisemwa mengi ya kejeri nk. Eti kocha hajawai kuwa kocha mkuu, ataiwezaje Simba! Niliwahi waambia watu kuwa ubuyu ulianza Kama mchicha...
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Tanzania vs South Africa | TotalEnergies U-20 AFCON 2025 | Suez Canal Stadium - Egypt | 30 April 2025.

    FULL TIME: SOUTH AFRICA 1 - TANZANIA 0 Siku ya leo tarehe 30 April, majira ya saa 12 jioni kwa masaa ya Africa Mashariki, vijana wetu wa Tanzania walio chini ya miaka 20 almaarufu kama Ngorongoro Boys watakipiga na vijana wa South Africa katika mechi za kundi A ya CAF U20 AFCON. Hii ni mara...
  6. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kwa trend ya gharama za hospitali binafsi za Tanzania ikiendelea hivi tutawakaribia marekani ilihali sisi ni nchi maskini

    Mwaka jana kuna mtu kaenda kujifungua hospitali binafsi sitaitaja jina ila gharama zinawezafika hadi million 20 kuna mda unajiuliza tunaelekea wapi mbona wamepewa uhuru mkubwa sana Kumbuka hata marekani walianza hivi hivi sahivi ni kilio kwenye gharama za afya maelezo mengine yapo kwenye video
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tunataka Rais na Tanzania ya kufunga mkanda na kuuma meno

    Ukweli tunaujua, tumechelewa sana, tulizubaa sana, tuliibiwa, tulidanganywa sana na tuliporwa sana. Sasa hivi tunataka kiongozi wa matokeo ya leoleo bila kungojea tena. Tunataka Rais ambae atatuambia ukweli na anaefahamu kuwa tuliibiwa sana, tumechelewa sana na tulizembea sana. Tunataka Rais...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania - Comoro kuimarisha ushirikiano katika Usafirishaji

    Tanzania - Comoro kuimarisha ushirikiano katika Usafirishaji Balozi wa Tanzania nchini Comoro,Saidi Yakubu amemhakikishia Waziri mpya wa usafirishaji wa Comoro Bi. Hassane Alfeine Yasmine kuwa Tanzania itaendelea kuimarisha ushirikiano uliopo katika sekta ya usafirishaji wa Angani na Baharini...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Vietnam kuanzisha ushirikiano wa sekta binafsi kuchagiza kasi ya ukuaji wa biashara

    Tanzania na Vietnam zimekubaliana kuanzisha ushirikiano wa sekta binafsi ili kuchagiza kasi ya ukuaji wa biashara na uwekezaji baina ya nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yamefikiwa kwenye mazungumzo yaliyofanyika leo Aprili 29,2025 kati ujumbe wa Tanzania na Vietnam uliojumuisha wafanyabishara...
  10. S

    JamiiForums Tanzania CCM ni MAKUPE walioiganda Serikali ya Tanzania

    Angalia ikiwa wewe au watoto wako mna kupe katika ukoo wenu, CCM na serikali yake yote vikiwemo vyombo vyake havina tofauti na mdudu Kupe. CCM sio chawa ni kupe.
  11. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Masikini wa Marekani ni hatari mara bilioni kuliko masikini wa Tanzania

    Ona hawa vijana masikini wawili in their teen ages. Kuna jamaa ana miaka 26 yeye alikua ameajiriwa so akawa anamtaka demu ana miaka 19. Kumbe huyu demu masikini ana boyfriend wake masikini kama yeye wana ukata na hawana hela. So wakapanga kumset up jamaa akutane na huyu demu then boy wa huyu...
  12. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kuanzia juu, katikati, mpaka chini, Tanzania ni nchi ya watu wasio serious kabisa!

    Nasema hivyo nikirejea toleo la kitabu cha Eric Kabendera, kuhusu maisha na utendaji wa kazi wa hayati Rais Magufuli kipindi akiwa madarakani. Huyu mwandishi alitoa tuhuma nzito sana dhidi Rais Magufuli na serikali yake kwa ujumla. Alitoa tuhuma za makosa ya kijinai dhidi ya Rais. Makosa...
  13. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Upande wa Sekta ya Madini Tanzania tunaambulia 16% kwenye Mikataba na Madini ni Yetu? Naomba nieleweshwe Tafadhali Uenda nikaelewa

    Wakuu naomba mtu mwenye uelewa na mambo ya Madini pamoja na Mikataba anieleweshe ili nami nipate kuelewa ! Tanzania imebarikiwa Kuwa na Madini tofauti tofauti ambayo bila shaka yangetutoa kwenye Umasikini watu wetu wakaishi maisha mazuri na Kuwa na kipato kizuri ! Nimejaribu kudodosa na...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Vietnam kufungua maeneo mapya ya ushirikiano

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Kijamaa ya VietNam zimeafikiana kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano wa kiuchumi na Kijamii ikiwa ni juhudi za kukuza maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa mataifa yote mawili. Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa mazungumzo kati ya Waziri wa Mambo...
  15. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Tanzania: ilipotoka na maangamizi ya sasa – Haki ni the real plug ya amani

    Kabla ya haya ma-clowns waliopo sasa ku-run the streets, Tanzania ilikuwa imejengwa na real OGs kama Mwalimu Nyerere — the Godfather of peace and unity. Back in the day, watu walihustle kweli kupata uhuru; siyo hizi cheap talks tunaskia sasa. Old heads walikuwaga na wisdom kali, kama vile...
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Vietnam kufungua maeneo mapya ya ushirikiano

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Kijamaa ya VietNam zimeafikiana kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano wa kiuchumi na kijamii ikiwa ni juhudi za kukuza maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa mataifa yote mawili. Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa mazungumzo kati ya Waziri wa Mambo...
  17. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Full Time: Tanzania 3 - 2 Cameroon | Futsal WAFCON 2025 - Morocco | Semi Final

    Baada ya kuwacharaza Senegal 3-1 na kuongoza Group letu, leo tunakipiga Semi Final. Dada na mama zetu wanaendelea kutuwakilisha uko leo wakicheza na Cameroon. Kikosi chetu hiki hapa: Tumeshinda tena asanteeeeee 3-2 Tanzania kwakua tmeshinda, sio tu kwamba tutaenda kucheza Fainali ila pia...
  18. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Nyie watu Tumechoka na Ujinga wenu CCM - Tanzania siyo Backyard ya Familia zenu!

    Leo siandika kama mtu mstaarabu... naandika kama raia aliyekasirishwa Nchi hii imegeuzwa ya familia chache huku viongozi wetu wanafanya maamuzi ya kijinga Unajua kinacho umiza zaidi? bado wanapewa madaraka juu juu na CCM eti waendelee kuihujumu Tanzania. We serious? Unampa mtu aliyeshindwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Tanzania inalaana ? Viongozi wote wana ahadi hewa dhidi ya wananchi au hawana kabisa.

    Ni mwisho wa mazungumzao baada ya habari. Viongozi wa Tanzania hawawajali walimu wao au walimu kwa ujumla ,Ni viongozi wangapi walioko kwenye serikali wanawakumbuka walimu wao, Hivi anashindwa kutafuta wapi alianzia kusoma , kama hakuweza kwa walimu shule alizopitia ,jamani sadaka inaanzia...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amezindua makao makuu ya benki ya Ushirika Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua makao makuu ya benki ya ushirika Tanzania https://www.youtube.com/watch?v=9c3a8yFwdSA Rais Samia Suluhu Hassan Ameeleza kuwa amefurahi benki hiyo haijaanza kinyonge kwani imeanza na mtaji wa Tsh. Bilioni 58 huku...
Back
Top Bottom