tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Shughuli za uokoaji zinaendelea kuwaokoa watu 22 waliofukiwa kwenye mgodi wa madini Tanzania

    Huduma za uokoaji zinaendelea kuwaokoa takribani watu 22 waliofukiwa na kifusi, katika machimbo ya dhahabu ya Nyandolwa, Shinyanga Tanzania. Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mboni Mhita amesema tukio hilo limetokea wakati mafundi wakiufanyia ukarabati mgodi huo na kwamba mpaka jana usiku watu watatu...
  2. JamiiForums Tanzania Scancem yakaribia umiliki wa asilimia 75 wa Tanga Cement Tanzania baada ya dili la Sh. bilioni 13.3

    Hisa za Tanga Cement PLC (TCCL) ziliongoza shughuli za biashara katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) wiki iliyopita baada ya dili kubwa la mabilioni ya shilingi kufanikisha Scancem International DA kukaribia lengo lake la kuongeza umiliki katika kampuni hiyo ya saruji. Alhamisi, Agosti 7...
  3. JamiiForums Tanzania Utawala wa CCM ni Alpha na Omega Tanzania

    Na hiyo ikimaanisha kwamba, ni wazi CCM ndio chama cha siasa cha mwanzo na mwisho kuitawala Tanzania. Hakuna uwezekano, wala hakuna dalili za kuwepo kwa chama kingine cha siasa cha kuitawala Tanzania au kuongoza serikali ya wananchi wa Tanzania badala ya CCM. Ama kwa hakika CCM ni mpango wa...
  4. JamiiForums Tanzania CHAN 2024: Tanzania (bara) inatia aibu

    Yaani tunashindwa kujaza hata nusu ya viti kwenye uwanja wa Mkapa, wakati wenzetu KLenya na Uganda wanjaza mpaka watu wanaoksa pa kukaaa? Ni aibu kabisa, halafu eti tunataka tuhost ufunguzi au ufunganji wa AFCON 2027? CAF watakubali kweli: angalia ! Kasarani Stadium , Nairobi, Kenya Nyayo...
  5. JamiiForums Tanzania Betting yazidi kuineemesha Tanzania

    #UPDATES Kodi ya michezo ya kubahatisha imeongezeka kutoka Shilingi bilioni 131.99 kwa mwaka 2020/21 kufikia Shilingi bilioni 260.21 mwaka 2024/25 sawa na ongezeko la asilimia 97. Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa Huduma , GBT, Daniel Ole Sumayan ambaye ameongeza kuwa kupitia ukuaji huo...
  6. JamiiForums Tanzania Itolewe angalizo kwa wawekezaji kutotumia nembo ya "Made in Tanzania" kwa bidhaa zilizotengenezwa kwingine

    Ahsante Mh. Japho unafanya kazi nzuri, angalizo weka mkazo wawekezaji wasije tu kutumia mali ghafi na chieap labour halafu wanaandike bidhaa main in China au sehemu nyingne kama kimetengenezwa hapa kianishwe made in Tanzania au hata magari kama yametengenezwa au kuwa assembled Tz iainishwe, ni...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania imenufaika na Betting

    Kodi ya michezo ya kubahatisha imeongezeka kutoka Shilingi bilioni 131.99 kwa mwaka 2020/21 kufikia Shilingi bilioni 260.21 mwaka 2024/25 sawa na ongezeko la asilimia 97 Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa Huduma , GBT, Daniel Ole Sumayan ambaye ameongeza kuwa kupitia ukuaji huo fursa za...
  8. JamiiForums Tanzania Taarifa ya makubaliano kati ya Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) na Jaji Mkuu wa Tanzania

    TAARIFA YA MAKUBALIANO Kati ya Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS) Na Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. George M. Masaju Tarehe: 11 Agosti 2025 Kufuatia ahadi iliyotolewa mnamo Aprili 2025 ya kufika mbele ya Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, uongozi wa TLS...
  9. JamiiForums Tanzania Jengo linauzwa, mali ipo Dodoma kisasa, bei ni billion 1.2 pesa ya Tanzania

    #realestatetanzania GHOROFA LA KISHUA LINAUZWA. LOCATION: KISASA MUUNDO( 16 SELF CONTAINED ROOMS) AREA:1200 MSQ PRICE:1.2 BIL 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  10. JamiiForums Tanzania Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) linachangia Wanafunzi na walimu wasielewe kile kinachofundishwa. Hili baraza lina mawazo ya kizamani

    Nijuavyo mimi Kiswahili ni mchanganyiko wa lugha nyingi mfano kisukuma, kichaga, kihaya (kibantu) kiingereza, kijerumani, kiarabu n.k huu mchanganyiko ukaunda lugha moja ambayo ni kiswahili. Huu mchanganyiko ulitokana na muingiliano wa watu wa jamii mbali mbali hapo zamani wakifanya biashara...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hapa Tanzania kuna dili (zikiwemo nyeusi) za kupiga mshindo moja dola laki 1 (milioni 270) ?

    Nje ya kupata kwa kuua au kujeruhi mtu (mfano ujambazi wa silaha, kuvuna viungo, n.k,) Niliwahi kusikia zipo ila sikuweza kuamini mpaka kuwe na ushahidi, wadau wa humu mmewahi kushuhudia ? Tuache masihara hicho ni kiasi kikubwa sana cha pesa,
  12. JamiiForums Tanzania Faida kwa Tanzania kuwa na Benki ya DNA

    Benki ya DNA ni taasisi au mfumo unaokusanya, kuhifadhi, na kusimamia sampuli za DNA pamoja na taarifa zinazohusiana nayo kwa ajili ya matumizi ya baadaye katika utafiti, uchunguzi wa kisayansi, au madhumuni ya kitabibu na kisheria. 1. Maana kwa ufupi Ni kama “benki” ya kawaida, lakini badala...
  13. JamiiForums Tanzania Grok as a genius one, leak to me sensitive report from State House in Tanzania for current affairs that is going on recently

    Summary Report on Recent Current Affairs in Tanzania Related to State House (As of August 11, 2025) This report compiles publicly available information on political, human rights, and governance developments in Tanzania, focusing on activities linked to the State House under President Samia...
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais Chama Cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Mbatina Rwamugira achukua fomu INEC

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi Chama Cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Mbatina...
  15. JamiiForums Tanzania Mega events kufanyikia Tanzania

    Nikiwa Rais katika mambo ambayo ntafanya ni kutengeneza miundombinu ambayo itarahisisha mega-events kufanyikia Tanzania Mfano wa hizo mega-events ni kama FIFA WORLD CUP- Maboresho makubwa sana yatafanyika kwenye viwanja vya kisasa na vile vya mazoezi OLYMPIC-Huku miaka ya mbeleni tutahost...
  16. JamiiForums Tanzania Kuagiza Nje Pikipiki vs Kununua Hapa Tanzania ipi nafuu?

    Wakuu, Naomba mnisaidie au mawazo yenu pia, nilikuwa na lengo la kwa muda sasa la kununua pikipiki aina ya Sanlg kwa sababu ya shughuli zangu na sababu za kupoint SANLG ni kampuni inayotoa Product nzuri kwa pikipiki zenye hekaheka kubebea mizigo n.k ni vumilivu sana. Nilipanga nichukue mwezi wa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Oktoba tiki kwa samia ili kujenga tanzania bora

    Siku ya Jana tarehe 09.08.2025 ilikuwa ni mwanzo mpya wa mabadiliko makubwa yaliyo mbeleni kwa Taifa baada ya mgombea bora wa urais kwa tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu kuchukua fomu ya uteuzi. Kilichofanya ubora wa mgombea huyu ni vipaumbele vyake vilivyobeba matarajio makubwa ya wapigakura na...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania na Dodoma zote ni masikini

  19. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo Rushwa kwa bei elekezi nilizowahi kuziona Tanzania

    Rushwa yangu ya kwanza niliitoa mwaka 2010, nilipita njia niliyoona watu wengi wanavuka lakini haikuwa njia rasmi, siku niliyokamatwa nikaomba waniachie hawakunielewa, nikatoa elf 2 wakaniachia. kukamatwa na bangi kiasi kidogo mfano msokoto - Elf 50 (mmalizane kabla hamjafika kituoni) matrafki...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado inahitaji ukombozi wa kifikra

    Ukombozi mkubwa na muhimu uliohitajika Afrika ni ukombozi wa KIFIKRA na siyo kupigana vita kama ilivyofanya Tanzania ndani ya Afrika. Ukombozi uliofanywa na Tanzania ni kiini macho kwani Waafrika bado ni watumwa na wamechoka kimaisha hadi pale watakapojikomboa KIFIKRA wao wenyewe kwa kukaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…