tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Keynez

    JamiiForums Tanzania Kwanini hukumu ya kesi ya Mwana FA dhidi ya TIGO imeripotiwa kwa makosa?

    Nimepitia vyombo karibia viwili vya habari vilivyoripoti hukumu ya Mahakama ya Rufaa katika kesi inayomuhusu Mwana FA na AY dhidi ya kampuni ya TIGO. Kwa jinsi maamuzi hayo yalivyoripotiwa ni kuwa Mwana FA na AY wameshinda kesi hiyo. Ukisoma vizuri mtiririko wa kesi zenyewe, utagundua uamuzi...
  2. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yaonywa Uminywaji na ukiukwaji wa Haki za Binadamu

    Tume ya Afrika ya Haki za binadamu ya watu yenye makao yake makuu Banjul Gambia, imesema kwamba vitendo vya uvunjifu wa amani vinavyoendelea nchini Tanzania, vinalichafua taifa hilo katika uwanja wa kimataifa. Taarifa iliyochapishwa kwenye tovuti ya tume hiyo imevitaja baadhi ya vitendo hivyo...
  3. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Tanzania yang'ara Maonesho ya 97 ya Kilimo na Biashara Zambia

    Tanzania imeibuka mshindi wa pili katika maonesho ya kimataifa ya 97 ya kilimo na biashara yaliyofanyika Lusaka, Zambia kuanzia tarehe 29 Julai hadi 4 Agosti 2025. Tanzania imetangazwa kuwa mshindi wa pili kati ya nchi 25 zilizoshiriki maonesho hayo ikitanguliwa na Zimbabwe iliyoshika nafasi ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mambo matano niliyoyaona kwa kiungo mpya wa Simba Neo Maema alipocheza na Algeria leo

    1. Sio mchezaji mahiri kama tunavyoaminishwa 2. Yuko slow kama Jean Charles Ahoua 3. Hana maajabu yoyote uwanjani 4. Hana uwezo Kama Rally Bwalya ambaye style yake na Meama zinafanana 5. Wachezaji wa afrika kusini hawawezi kufua dafu ligi yetu 6 Meama kutolewa kwa mkopo ni sawa kabisa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada ninaomba kuambiwa ni chuo gani ? Kina toa shahada ya ufuatiliaji na utekelezaji wa miradi kwa Tanzania

    Msaada wa vyuo au chuo kinacho toa shahada ya ufuatiliaji na utekelezaji wa miradi Tanzania
  6. Bibianna

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tanzania hupoteza shilingi bilioni 20 kwa kuagiza Tani milioni 10 za mchuzi wa zabibu kila mwaka | Sasa kiwanda kikubwa kujengwa.

    Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango akisimika mche wa mzabibu kama ishara ya Kuwepo kwa Kiwanda Kipya cha kusindika zabibu Mkoani Dodoma. Cghini ya Rais Samia, Kiwanda cha kusindika zabibu kilichopo Chinangali II, Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, kimejengwa kwa gharama ya Shilingi bilioni 2.1...
  7. Juma Wage

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Kenya Wakanusha Kunyanyaswa Tanzania

    Katika mazingira ambako mjadala unaendelea kuhusu masharti mapya yanayowahusu wafanyabiashara wa kigeni nchini Tanzania, baadhi ya wafanyabiashara kutoka Kenya wameeleza kuwa wanaendelea na shughuli zao bila bugudha wala usumbufu kutoka kwa mamlaka husika. Mmoja wa wafanyabiashara hao...
  8. P

    JamiiForums Tanzania NANENANE: Agricultural One Stop Centre ni jambo jipya Tanzania

    Serikali imejenga na kukarabati zaidi ya masoko 50 na maghala 360 ya kuhifadhi mazao. Vilevile, imeanzisha vituo zaidi ya 30 vya huduma za pamoja (One Stop Centers) vinavyotoa pembejeo, ushauri, mikopo na masoko kupitia agrodealers 1,200 waliopo karibu na wakulima vijijini. Miundombinu hii...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wa Uganda wanawapenda sana Wanawake wa Tanzania na kwanini Wanawake wa Uganda wanawapenda mno Wanaume wa Tanzania?

    Ninajua hapa kuna Wajuvi na Watafiti wa Masuala mbalimbali ya Kimtambuka hivyo leo Kazi yangu ni Kuujua tu Ukweli.
  10. Parabolic

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tume ya Afrika yalaani vikali unyanyasaji wa wapinzani na Wanaharakati Tanzania, yataka haki za binadamu uhuru wa Habari na Mitandao kipindi Uchaguzi

    Tume ya Afrika kuhusu Haki za Binadamu na Watu (ACHPR), imeeleza wasiwasi wake kwa Tanzania kuhusu kukiuka haki za binadamu, hususani uzimaji wa intaneti wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 2025. Azimio kuhusu Hali ya Haki za Binadamu katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  11. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania China yasaidia Tanzania kujenga vituo vya Usafirishaji

    Kituo cha Biashara na Usafirishaji cha Afrika Mashariki kilichowekezwa na China kimezinduliwa hivi karibuni jijini Dar es Salaam, Tanzania. Kabla ya hapo, Kituo cha Kimataifa cha Usafirishaji cha Kwala na Bustani ya Viwanda ya China na Tanzania katika Mkoa wa Pwani nchini Tanzania viliweka jiwe...
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ernest Mwamaja: Tanzania kuingia katika ramani ya kimataifa ya Utalii wa Mikutano (MICE)

    Serikali ya Tanzania imechukua hatua katika kuimarisha sekta ya Utalii wa Mikutano, Maonesho, Makongamano na Safari za Motisha (MICE) kama njia mpya ya kukuza uchumi, kuongeza ajira, na kuvutia wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali. Akizungumza katika Jukwaa la Wadau wa Sekta ya MICE...
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Urusi iliivunja KGB na kuunda Shirika Jipya la FSB. Tanzania TISS ivunjwe na jukumu wapewe MI chini ya JWTZ huku TISS ikiundwa upya.

    Kwa hali iliyopo sasa nchini Tanzania hatuna budi kufanya kama walivyofanya Urusi baada ya kuanguka kwa Shirikisho la Kisovieti (USSR). Inakumbukwa baada ya kuanguka kwa shirikisho hili Urusi waligundua kuwa moja ya sababu kuu ya kufeli wa USSR ilikuwa ni udhaifu mkubwa sana kwenye Shirika lao...
  14. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania ina uhaba wa wawekezaji?

    Wakuu, kwa maeneo niliyotembea hapa Tanzania naona kama uwekezaji upo haba sana, namaanisha uwekezaji wa makampuni makubwa. Inaonekana miji yetu inakua kwa kasi ila maghorofa hamna, mfano ukisikia mji umekua kwa kasi basi jua tu ni wakazi ndio wameongezeka na wanaanza kufungua frame na kujenga...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna kabila lolote Tanzania lililowahi kubuni mfumo wake wa maandishi

    Katika makabila zaidi ya 120 Tanzania, lipo hata moja lililowahi kupata akili ya kugundua maanishi yanaweza kutumika kama njia mbadala ya kuongea maneno kwa mdomo ? Ni lugha ya maandishi, Sio kuchora au kuchonga vinyago
  16. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Kwa Yanayoendelea Nchini Tanzania ni Chawa Ambaye Hawezi Kushtuka

    Hili jambo lilianza kama mzaa vile lakini naona linaendelea kuota mizizi Zamani ilikuwa mtu akiaga Dunia watu hukutana uweka tofauti zao pembeni Kisha hufarijiana ,hula chakula pamoja na kumuombea marehemu pumziko la aman Lakini kwa Tanzania mambo yameanza kuwa ndivyo sivyo nyakati hizi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Kikwete ni Elvis Presley wa Tanzania. Hawapendi kuondoka kwenye stage

    Mbowe na Kikwete ni Elvis Presley wa Tanzania. Hawapendi kuondoka kwenye stage. Huyu mwanamuziki alijulikana kwa kungangania kubaki kwenye stage kwa kupenda kushangiliwa. Msinshangae Mbowe na Kikwete nao hawawezi kukubali muda wao umepita
  18. R

    JamiiForums Tanzania Nasoma Maoni wakuu: Ni kitu gani kinavunja Demokrasia? na Kipi kifanyike kurejesha Demokrasia ya Taifa letu?

    Wakuu wa JF habari zenu, Leo nimetafakari sana suala ya mapambano ya Kuhamasisha kuwepo kwa Demokrasia kwa nchi yetu, kuna viashiria vinavyotushawishi kusema Taifa hili lina Misingi ya Demokrasia au la. Tuweke pembeni suala la vyama vya siasa kisha tujiulize tu kuwa kulingana na kiashiria cha...
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuanza kutumia Robot kwenye upasuaji wa moyo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Kisenge, amewapokea wageni kutoka Hospitali ya Apollo ya India waliotembelea taasisi hiyo kwa lengo la kuimarisha ushirikiano katika sekta ya tiba utalii na huduma za kibingwa. Dkt. Kisenge amesema kuwa JKCI imeanzisha...
  20. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Absa Announces 5 New Jobs in Tanzania for August 2025

    Absa Group Limited, a powerhouse in Africa’s financial services sector, is thrilled to announce five dynamic job openings in Tanzania. Listed on the Johannesburg Stock Exchange, Absa is one of the continent’s largest diversified financial groups, offering a wide range of services including...
Back
Top Bottom