tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. CARDLESS

    JamiiForums Tanzania Hatima ya Tanzania 2025-2050

    Leo hii ni Tarehe 16/08/2025, ninaandika hapa hatima ya nchi yetu hii pendwa (TANZANIA). Hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania, hapa ni kwetu, hapa ndipo tunapojivunia kama watanzania. Kabla ya kuwa Juma au Patrick au Patel au Nakamura au Masanja ulianza kuwa Mtanzania, Yes sisi ni watanzania...
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania Usajili mpya Yanga baada ya kuwaona wachezaji uwanjani

    Rais wa Yanga Eng Hersi Said ni genius katika uongozi wa football Ni kiongozi Bora Taifa limepata Ameitengeneza Yanga imara sana Leo tazama wachezaji maingizo mapya 1. Mohamed Doumbia Huyu jamaa ni kama Pacome au zaidi ana akili ya mpira ameziba vyema pengo la Aziz ki 2. Andy Boyeli Striker...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Othman Masoud Othman: Binafsi sina imani na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar

    Wakati mbio za kuelekea uchaguzi wa Oktoba nchini Tanzania zinavyozidi kupamba moto, vyama vya upinzani vinaongeza juhudi kwa matumaini ya kuiondoa serikali iliyopo madarakani. Roncliffe Odit amezungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman ambaye pia ni mgombea Urais...
  4. John Manoni

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania, Kanisa Katoliki lipo kwenye Maombi ya Kufunga

    Sala na Kazi Ujasiri wa wananchi wanaonyonywa Kinyume na wanamtandao wanyonyaji. Mshikamano kukabiliana na uhuni kwenye uchaguzi dhidi ya waliojipanga kutumia mahakama kuua fikira. Ni kama kondoo kati ya mbwa mwitu. Nani panya atamfunga paka kengele? Tumrudie Mungu Mwenyezi, Mungu wa Paulo na...
  5. KiuyaJibu

    JamiiForums Tanzania Somewhere in Tanzania....

    Where Serengeti.......; what are you waiting for, get on board
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tanzania yajipanga kuwa kitovu cha utengenezaji wa bidhaa na huduma migodini kusini mwa Jangwa la Sahara

    Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amesema Tanzania inajipanga kuwa kitovu cha utengenezaji wa bidhaa na huduma migodini kwa nchi za kusini mwa jangwa la Sahara kwa kuvutia uwekezaji kwenye viwanda vya kutengeneza bidhaa za migodini na utoaji wa huduma kwenye migodi ya ndani na nje ya nchi...
  7. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Majukumu ya TAKUKURU yahamihishiwe Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)

    Wakuu asalaam ! Kwa mujibu wa sheria, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) iliundwa kwa lengo la kuchunguza, kuzuia na kupambana na vitendo vya rushwa nchini Tanzania. Inatakiwa iwe nguzo ya haki na mwanga wa matumaini kwa kila raia anayetafuta msaada dhidi ya dhuluma na...
  8. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Hapa Tanzania kesi kama hizi zipo wazi, lakini je TAKUKURU wanafeli wapi?

    TAKUKURU wameirejea Habari iliyochapishwa na JF ya kukamatwa kwa mke wa aliyekuwa Rais wa Korea kwa tuhuma mbalimbali za Rushwa ikiwepo kupokea zawadi zenye Vito vya thamani kutoka kwa watu mashuhuri na waliokuwa na ushawishi kwa taifa. Kesi kama hizi zipo nyingi sana zikimuhusisha JK na hata...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Mali za Tanzania nzima (namba 1-Serikali) na (namba 2-Kanisa la Katoliki)

    UKWELI Mchungu: Mali za Tanzania nzima (namba 1-Serikali) na (namba 2-Kanisa la Katoliki) . Kesho wakisema wanasimamisha mashule yao, hospitali na vitegauchumi vyao vyote mpaka mabadiliko ya sheria yafanyike serikali kesho kutwa inafanya mabadiliko tena bila mgomo. Sababu kubwa sio tu kwamba...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Video hii ya RC Kihongosi akitoa adhabu ya viboko kwa watu wazima ni ya mwaka 2025?

    Halafu RC wa Arusha Kihongosi yawezekana ana Uzoefu wa Kuchapa Bakora kwani si kwa Bakora za maana alizowachapa.
  11. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tanzania sasa iitwe TanChina au United Arab Emirates of OmanTan.

    Kwa uchukuaji, sorry, uwekezaji huu, Tanzania si yetu tena bali yao. Kila kitu ni chao na hata sisi ni wao. Sisi ndiyo waliowao Samia kafungua nchi kwa wachukuaji. Kila kitu kiko sokoni na bei ni bwerere. Nani atatuokoa na balaa hili la kujitakia? Hiyo ndiyo Tanzania ya Samia. Tunaangamia.
  12. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tanzania ndo nchi ya ajabu unakutana na mchungaji anajitapa alikuwa jambazi,ona Sasa TRC Ina hasara Bilioni 234 alafu mkurugenzi wake amepitishwa kugo

    Ukifika Dsm pale mbezi wewe km ni usalama wa taifa unaweza kulia, yaani Kuna wachungaji wengi wanaubili injili pale na wanakili wazi kabla ya kuokoka walikuwa majambazi, na waliisha us sana watu enzi hizo kabla ya kuokoka. Kama ilo halitoshi, unashangazwa zaidi mtu aliteuliwa na Rais akawa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Tanzania imeshuka viwango sana

    Mahakama ya Tanzania imeshuka viwango sana. Kesi za kisiasa zinatolewa maelekezo kiasi kwamba hata maamuzi mengi ya mahakimu na majaji ni mpaka wakaongee na wakubwa wao badala ya kufuata sheria . Mahakama ilikuwa sehemu ya wasomi inayo heshimika sasa mahakama imekuwa sehemu ya kisiasa na sio...
  14. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Kiwanja chenye ukubwa wa 2,200sqm kipo regent estate mikocheni daressalaam tanzania, bei ni dollars million 1.2

    #plotforsale #mikocheni #daressalaam #tanzania KIWANJA KINAUZWA KIWANJA KIPO REGENT ESTATE DARESSALAAM TANZANIA UKUBWA WA KIWANJA NI 2,200SQM KIWANJA KIPO SEHEMU NZURI KABISA NA KUNA NYUMBA NDANI YAKE DOCUMENTS NI TITLE DEED BEI NI DOLLARS 1.2M 🇹🇿CALL/WhatsApp +255758844717...
  15. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Shughuli za uokoaji zinaendelea kuwaokoa watu 22 waliofukiwa kwenye mgodi wa madini Tanzania

    Huduma za uokoaji zinaendelea kuwaokoa takribani watu 22 waliofukiwa na kifusi, katika machimbo ya dhahabu ya Nyandolwa, Shinyanga Tanzania. Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mboni Mhita amesema tukio hilo limetokea wakati mafundi wakiufanyia ukarabati mgodi huo na kwamba mpaka jana usiku watu watatu...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Scancem yakaribia umiliki wa asilimia 75 wa Tanga Cement Tanzania baada ya dili la Sh. bilioni 13.3

    Hisa za Tanga Cement PLC (TCCL) ziliongoza shughuli za biashara katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) wiki iliyopita baada ya dili kubwa la mabilioni ya shilingi kufanikisha Scancem International DA kukaribia lengo lake la kuongeza umiliki katika kampuni hiyo ya saruji. Alhamisi, Agosti 7...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Utawala wa CCM ni Alpha na Omega Tanzania

    Na hiyo ikimaanisha kwamba, ni wazi CCM ndio chama cha siasa cha mwanzo na mwisho kuitawala Tanzania. Hakuna uwezekano, wala hakuna dalili za kuwepo kwa chama kingine cha siasa cha kuitawala Tanzania au kuongoza serikali ya wananchi wa Tanzania badala ya CCM. Ama kwa hakika CCM ni mpango wa...
  18. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania CHAN 2024: Tanzania (bara) inatia aibu

    Yaani tunashindwa kujaza hata nusu ya viti kwenye uwanja wa Mkapa, wakati wenzetu KLenya na Uganda wanjaza mpaka watu wanaoksa pa kukaaa? Ni aibu kabisa, halafu eti tunataka tuhost ufunguzi au ufunganji wa AFCON 2027? CAF watakubali kweli: angalia ! Kasarani Stadium , Nairobi, Kenya Nyayo...
  19. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Betting yazidi kuineemesha Tanzania

    #UPDATES Kodi ya michezo ya kubahatisha imeongezeka kutoka Shilingi bilioni 131.99 kwa mwaka 2020/21 kufikia Shilingi bilioni 260.21 mwaka 2024/25 sawa na ongezeko la asilimia 97. Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa Huduma , GBT, Daniel Ole Sumayan ambaye ameongeza kuwa kupitia ukuaji huo...
  20. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Itolewe angalizo kwa wawekezaji kutotumia nembo ya "Made in Tanzania" kwa bidhaa zilizotengenezwa kwingine

    Ahsante Mh. Japho unafanya kazi nzuri, angalizo weka mkazo wawekezaji wasije tu kutumia mali ghafi na chieap labour halafu wanaandike bidhaa main in China au sehemu nyingne kama kimetengenezwa hapa kianishwe made in Tanzania au hata magari kama yametengenezwa au kuwa assembled Tz iainishwe, ni...
Back
Top Bottom