tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna mji una utulivu kuliko Tanga

    Hivi Tanzania kuna mji una utulivu kuliko Tanga ? Halafu wanapenda mapenzi sana😃 saa 1 ya usiku haukuti mtu barabarani , soda zao , usafiri wa pikipiki hauukuti popote
  2. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Watu wa kusini( Lindi na Mtwara) ndiyo watu wanaongoza kuwa na akili Tanzania mzima

    Ndiyo huo uhalisia watu wa kusini hasa hasa Lindi na Mtwara ndiyo watu wanaongoza kuwa na akili Tanzania mzima yaani hawa watu wa kusini ndiyo gamer changer Tanzania mzima tu ila ndiyo hii nchi watu wanakaza mafuvu tu kutokana na ubinafsi wao wewe mtu kama Mkapa ona baada ya kukabidhiwa nchi tu...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Sababu Kuu Upinzani kushindwa kushika Dola Tanzania ni Ubinafsi na Ukosefu wa Maadili kwa Viongozi wake, dawa ya dhambi hii ni kuikubali na kuuikemea

    Madai ya manyanyaso hayana ukweli bali dawa ni kabadilika
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini mechi za CHAN zimekosa hamasa na mahudhurio mazuri viwanjani Tanzania?

    Tanzania hujinasibu kama taifa linalohusudu zaidi mpira na la viwango vya juu vya mpira Africa Mashariki, ajabu ni kwamba mahudhurio katika viwanjani katika CHAN ni haba sana na tunazidiwa hadi na taifa la wanariadha la Kenya! Nimeshangaa hata mechi za timu ya Ibrah Traore (Burkinafaso)...
  5. econonist

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya Sasa inamuhitaji mtu kama Alexis Kanyarwenge

    Jina la Kanali Alexis Kanyarwenge sio maarufu Sana Kwa Sasa kwenye siasa za Maziwa Makuu au Afrika Mashariki, ila ndio chimbuko la mabadiliko yaliyopo Rwanda kwa Sasa. Kanali Alexis Kanyarwenge alikuwa muhutu katika jeshi la Rwanda kipindi Cha utawala wa Rais Habrarimana. Rais Habrarimana...
  6. MendeOLD

    JamiiForums Tanzania Kujazwa kwa wazanzibari kikosi cha kwanza Tanzania vs central Africa

    Kikosi kilicho anza leo kimesheheni wanzazibari, pipino , fey, shekhan, Ibrahim baka, na yule straiker alie funga goli likawa offside. Tulitegemea aya nimashindano ya ya kuonyesha vipaji vya watanganyika. Je ni Zanzibar heroes ndo imefuzu chan kuna wataalum wengi wametemwa kutoka bara mtu kama...
  7. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tanganyika ingekua Jangwani kama Dubai sijui kungefananaje?

    1. Kuna wakati nawaza hivi Tanganyika ingekua eneo kama ilipo Dubai hali ingekuaje? 2. Miaka zaidi ya 60 bado tunaomba misaada wa kutahiri (kuondoa govi) vijana na ARV toka kwa Watu wa-Marekani na bado tunachekelea. NB: Bado tunavaa chupi za mitumba, kuagiza viberiti na vijiti vya kuchomea...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Tuungane kuliombea taifa letu Tanzania

    Kadiri tunavyokaribia uchaguzi mkuu mwezi Oktoba, ni muhimu kama Watanzania kuungana kwa sala, maombi na mshikamano tukiliombea taifa letu. Tuombe uchaguzi uwe: ✅ Wa amani – Usio na vurugu wala chuki ✅ Wa haki na uwazi – Haki ya kila Mtanzania iheshimiwe ✅ Wa mshikamano na upendo – Kila mmoja...
  9. Griss

    JamiiForums Tanzania The Power of Catholic church in TANZANIA

    Huwa hawakurupuki kufanya Jambo lao Ni kanisa lililojaa majasusi mpaka wavaa baragashia. Hawa ndio serikali kubwa kuliko zote duniani. Hawana ndio wanashikilia uchumi wa dunia kupitia kupitia mifumo ya kibenki wakishilikiana pamoja na Israel. Je wajuwa ndio usimika Ma-Rais wa nchi zote...
  10. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Picha: Maeneo mbalimbali ya Tanzania

    Wakuu, kama kuna picha za maeneo mbalimbali za Tanzania naomba tuje kushare hapa tupate kuona mandhari mbalimbali ya Tanzania Post kuanzia miji, vijiji hadi vitongoji. Naanza 1. ARUSHA Hapo ndio Chuga 2. MWANZA Jiji safi kabisa kutoka kanda ya ziwa 3. MBEYA Jiji zuri la nyanda za juu...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Full Time: Central Africa Republic 0-0 Tanzania | Mechi ya kundi 'B' CHAN 2024 | Mkapa Stadium | Agosti 16, 2025 | Saa 2:00 Usiku

    Taifa Stars Kufunga Kundi B CHAN 2024 Leo Leo, Agosti 16, 2025, Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars inashuka dimbani kumenyana na Central Africa (Jamhuri ya Kati) katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi ya CHAN 2024, Kundi B. Stars tayari imejihakikishia tiketi ya kusonga hatua...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Soka la Tanzania ni la Kubalansi Simba na Yanga kwenye kila Kitu hivyo wenye Akili tulijua bado Nyamlani angekuwa Makamu Rais TFF

    TANGA; RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amemteua tena Athumani Nyamlani kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa shirikisho hilo. - Kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Rais anateua wajumbe wanne wa Kamati ya Utendaji ambao wanathibitishwa na Mkutano Mkuu wa TFF na miongoni mwa...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kocha Florent Ibenge umefanya kosa kubwa sana na la Kiufundi kuja Kufundisha Soka Tanzania ambayo Ligi Kuu yake ina Makandokando mengi yasiyoelezeka

    Na nina uhakika CV yako kubwa na nzuri uliyoijenga huko Kwingineko inaenda Kuharibika rasmi hapa Tanzania. Mimi GENTAMYCINE ninayeandika hivi naijua Michezo michafu yote ya Simba na Yanga na ya Ligi Kuu ya Tanzania na ndiyo maana unaona nasema tena kwa Masikitiko makubwa kuwa nakuonea Huruma na...
  14. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Upinzani wa Tanzania bila press ya Polepole, Mpina na Askofu Gwajima hawana chakuongea wanabaki wanaangaliana tu

    Upinzani hawana hoja siyo wabunifu, wanatafutiza tafutiza tu hoja. Gwajima anawatapeli wanachekelea tu hebu kuweni na akili, you have to be innovative jifunzeni kujitegemea jengeni hoja Kama mnazo lakini kwa serikali hii ya awamu ya 6 hakuna hoja kwasababu kila kundi limetatuliwa changamoto...
  15. J

    JamiiForums Tanzania DC Shaka: Usalama ni nguzo ya maendeleo

    PICHA: Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka akikagua gwaride la Amani. Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka leo amehitimisha na kufunga mafunzo ya wiki miezi 4 ya askari 114 mkupuo wa 20 wa jeshi la Akiba yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Mvumi. Akizungumza na...
  16. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Hata mfumo wetu wa Elimu ndio umeamua jinsi leo wa Tanzania tulivyo

    Yeah , kujipendekeza kwa watawala, kushangilia mafisadi wakitumia pesa hovyo na hata kukubali kuhongwa baiskeli,pikipiki n.k ambazo obviously zimenunuliwa kwa kodi zetu tunazokamuliwa kila uchao. Mnaweza kuwabagaza walioelimika na wasomi nguli hawajionyeshi wala kujitokeza kwenye majukwaa ya...
  17. Doji MD

    JamiiForums Tanzania Kuna muda hizi siasa huwa zinachekesha sana

    Kila Muhula wa Rais mpya wananchi wanasiasa huponda kwakila jambo linalowagusa, Lakini Rais amalizapo tu miaka yake ya uongozi watu umkumbuka nakusema Bora yake kuliko huyu wa Sasa😁 Hata huyu wa Sasa ngoja amalize miaka yake utasikia milio namapambio yawale wale waliombeza
  18. S

    JamiiForums Tanzania Website Kali Kwa Tanzania zinazotambulika Kwa movie na series zilizotafasiliwa Kwa Kiswahili

    Leo katika pitapita yangu wadau nnimekutana na moja ya website makini sana ambayo inahusika na maswala ya movie na series zilizotafasiliwa Nahitaji mnisaidie kunipatia majina mengine ya website maana nimekutana na site moja hapa inaitwa SWAFLIX Hii website ipo na movie na series zote za madj...
  19. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Naomba Tundulissu aachiwe mara moja na bila mashariti yoyote nimeongea mimi na nikiongea huwa sirudii.

    Binafsi Mimi Leo nimetoa angalizo kuwa TAL wamuachie bila mashariti yoyote , akaungane na familia yake haraka. Mimi nafikiri kwa nilivyobarikiwa sifikirii Kama mtakubali nikasirike. Mimi Kama MTU wa haki na Mtumishi ambaye huwa siingiliwi katika mamlaka zangu . Nimesema TAL aachiliwe haraka...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Generali ‘Sani Abacha’ wa Tanzania anasafisha njia vizuri sana kwa ajili ya mwanae 2030. Mji wa Mombo Tanga umepotea

    Kete ya Mtendaji Mkuu wa MCC kuwa ajaye 2030 ilisukwa vizuri baada ya swahiba wake aliyekuwa nae kwa kina Gaucho kipindi akiwa balozi kuukwaa u DG wa Meno. Kwa kuwa huwezi kuwa Rais wa Nchi ya Kusadikika bila Meno kukupitisha Mtendaji Mkuu aliamini baada ya mama basi lazima atakuwa yeye...
Back
Top Bottom