simu

  1. Poker

    JamiiForums Tanzania Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

    Ni brand gani unaikubali kuanzia upande wa software zao, camera, battery life, video na durability. Binafsi Naikubali sana mnyama iphone ambaye hana mpinzani! N.B WALE WA TEKINO NA INIFINIKSI CHONDE CHONDE NISIWAONE HUKU!
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Simu za iPhone zitakazoruhusiwa kutumia iOS 16

    Apple itatoa mfumo mpya wa iOS 16 kwa watumiaji wote wa iPhone 8 na kuendelea. Mfumo mpya wa iOS 16 utaanza kutoka Jumatatu ya tarehe 12 September. Credit: @ Apollo (@itsapolloo)
  3. B

    JamiiForums Tanzania TAMNOA: Punguzo la tozo larejesha ukuaji wa matumizi ya huduma za kifedha kwa njia ya simu

    Umoja wa waendesha huduma za simu za mikononi (TAMNOA) umebainisha kuwa kutokana na tozo za miamala ya simu zilizoanza mwaka 2021 mwezi Julai, na kwa kuangalia mlolongo wa matukio tangu kuanzishwa kwa tozo hizi, pamoja na kupungua kwa matumizi ya huduma za kifedha, hali ya mwaka huu wa fedha ni...
  4. Robot la Matope

    JamiiForums Tanzania Zimamoto Geita wazima uongo wa binti mdanganyifu

    #HABARI Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Geita, linamshikilia Shelida Ibrahim (20), mkazi wa mtaa wa Mkoani Halmashauri ya Mji Geita, kwa kosa la kuwapigia simu zimamoto na kuwaambia kuna tukio la moto na baadae akazima simu yake kwa lengo la kujifurahisha na kusababisha jeshi hilo kuingia...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nigeria wazuia tozo za simu, Vodacom Tanzania wapata hasara ya bilioni 103 sababu ya tozo, bado mabenki kilio chao very soon

    Naam waziri wa mawasiliano na uchumi wa kidigital Isa pantami ilibidi aunde kamati ku review proposal ya kuongeza asilimia 5 ya Tozo hiyo ni mbali na VAT 7.5 wanayopigwa makampuni hayo ya simu ikaonekana ni OVER over taxation, waziri kaamua kuachana nayo. Hapo ni baada ya kuona kilio kikubwa...
  6. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sayansi na Teknolojia katika matokeo hasi katika vyombo vya usafiri na matumizi ya simu kwa vijana wa karne hii pamoja na lugha yetu

    SAYANSI NA TEKNOLOJIA KATIKA MATOKEO HASI KATIKA VYOMBO VYA USAFIRI NA MATUMIZI YA SIMU KWA VIJANA WA KARNE HII PAMOJA NA LUGHA YETU. Sayansi na teknojia imekuwa msaada mkubwa katika karne hii ya 21,kumekuwa na mavumbuzi mengi na ya kisasa,Sayansi na teknolojia imezalisha na kuwaibua wataalamu...
  7. Njiwa wangu

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kuifunga simu kwa kutumia imei namba

    Naomba msaada wa kufungiwa simu imei namba ninazo ila tu nimesahau email nilioweka maana kuna mtu alichange email na password sina kama unaweza kufanya kazi hii 20000 ipo karibu pm
  8. kichwamaji3234

    JamiiForums Tanzania SoC02 TEKNO MAARIFA: Simu Janja yako ni Ofisi yako

    1. Utangulizi Binafsi nimeanza kumiliki simu ya mkononi mwaka 2005, naikumbuka vizuri simu hiyo ilikuwa ni kutoka kampuni ya Motorola ndogo ndogo hivi yenye rangi ya Bluu na Nyeusi. Tangu nilipoanza kumiliki simu ya mkononi nilikuwa najiuliza mara kwa mara iwapo matumizi ya simu ni kupiga...
  9. JITU LA MIRABA MINNE

    JamiiForums Tanzania Wanunuzi wa Simu Used Kariakoo mnahakikishiwa vipi kuwa zile simu zimetoka Dubai kweli na hazijachanganywa na za wizi?

    Tangazo linajitosheleza one mistake one goal mnaambiwa toka Dubai kumbe watu wametumia hapa mjini wamefanyia uhalifu wakaenda kuziuza Kariakoo au wakafanya top up anatoa aliyonayo anaongezea anachukua mzigo mpya.
  10. JITU LA MIRABA MINNE

    JamiiForums Tanzania Wanunuaji wa simu za smartphone used mnajihadhari vipi na ununuzi wa simu ambazo ni za wizi

    Rejea kichwa cha habari,naongea na wanunuzi wa simu used hasa kariakoo mnachukua tahadhari mnaponunua simu hizo?mf jamaa wanaweza kuletewa simu dukan mtu analeta simu anaongezea na hela kidogo anachukua mzigo mwingine unakuta simu ameiiba, Mf umenunua simu kumbe ya wizi polisi ,tcra wameitrack...
  11. Kumar Singh

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya Kuactivate ofa ya simu iliyonunuliwa Tigo shop

    Habari wakuu. Mwezi uliopita nilinunua simu Tigo shop redmi 10 A na nikaungwa na ofa zilikua GB 5 Kwa ajili ya mwezi uliopita na muhudumu akaniambia kuwa ofa ni ya mwaka mzima na kila mwezi nitakua napata GB kadhaa sasa Leo ni tarehe 1 ila Naona patupu. Naomba msaada Kwa anejua jinsi ya...
  12. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Rekodi 4 za kampuni ya simu ya Nokia kuwahi kuwekwa ulimwenguni.

    1. Nyimbo zinazosikilizwa zaidi ulimwenguni Nokia Tune. Nyimbo ya Nokia ilitungwa na mtunzi Gran Vals, na mtunzi wa Kihispania Francisco Tárrega. Anssi Vanjoki, pamoja na Lauri Kivinen, walichagua kipande hicho maarufu kilichowekwa kwenye simu za Nokia mwaka 1993. Mlio huo maarufu wa kuita...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tamko la serikali kuhusu ufafanuzi wa tozo kwenye miamala ya benki na simu, Septemba 1, 2022

    Wizara ya Fedha imetoa ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki Septemba Mosi, 2022 ikiwa ni siku kadhaa tangu kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa wadau kuhusu gharama za huduma hizo za kifedha. Waziri wa Fedha na Mipango - Mwigulu Nchemba Chimbuko la tozo ilikuwa ni kwaajili ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mimi na Mazingira

    Mwandishi: RAYMOND NOEL Namba za simu: 0758659963 Asubuhi moja yenye baridi ilinikuta kwenye bonde dogo karibu na mtaa wetu, nilifika katika bonde hilo kwa lengo la kuchota maji katika chemchem maarufu inayopatikana hapo ambayo hutiririsha maji katika bonde kwa mwaka mzima, chemchem hiyo huwa...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Pegasus Spyware: Ni nini na Inafanyaje kazi?

    Serikali duniani kote zinakabiliwa na madai ya kutisha kwamba zilitumia programu hasidi iliyotengenezwa na Israel kwaajili ya kupeleleza simu za wanaharakati, waandishi wa habari, wasimamizi wa mashirika na wanasiasa. Lakini je, spyware ya Pegasus inafanya kazi vipi hasa? Je, inaingiaje kwenye...
  16. Replica

    JamiiForums Tanzania Hashim Rungwe: Serikali ya CCM hatari sana, ahoji wingi wa tozo kwenye simu na mafuta

    Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe Spunda amesema kwenye simu zimejaa tozo na kwenye mafuta ni tozo tupu zinazofikia nane kwenye kila lita ya mafuta. Rungwe amehoji sababu ya kuwa na tozo zote hizo akiwa kwenye kipindi cha medani za siasa kinachorushwa na kituo cha televisheni cha Stra TV...
  17. JITU LA MIRABA MINNE

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa simu ya Xaomi Redmi 9A niambieni mnaweza kunishawishi ninunue hii simu?

    Hii simu ina ubora gani na inarate sh ngapi?
  18. Sozo_

    JamiiForums Tanzania Application yenye uwezo wa kununua vifurushi vya mitandao yote ya simu Tanzania

    Natafuta App moja yenye uwezo wa kununua vifurushi vyote vya mitandao ya simu, yaani nikitaka kununua kifurushi cha Tigo, Airtel, Vodacom, Halotel, TTCL, niweze kuvipata ndani ya App moja yenye package ya vyote. Natanguliza shukrani, kama unaifahamu nijulishe tafadhali.
  19. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania TRA wapangaji hatuhitaji maelezo ya kirafiki kuhusu KODI YA ZUIO, hizo namba zenu za simu zitumieni wenyewe

    TRA mnatupa namba za simu eti kwa maelezo zaidi. Mimi mpangaji na mpokeaji simu hatuwezi kutatua tatizo kupitia simu, kodi ua ZUIO inahitaji maelezo ya kina kutoka uongozi na si marisepshenisti. Tunataka kodi ya ZUIO ilipwe na mwenye nyumba na si mpangaji.
  20. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Baada ya kulilia simu

    Bado naukumbuka usiku ule vizuri, nilikuwa nimekaa nikifunikwa na giza nene wakati mshumaa mwembamba ukimulika mwanga mdogo. Muda huo nilijaribu kumaliza chakula kilichopo kwenye sahani yangu nikiomba kimoyomoyo umeme urudi. Akili yangu ikachangamka na nikawatazama baba na mama waliopo mbele...
Back
Top Bottom