simu

  1. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Kumbe tozo zililetwa ili kushindana mapato wanayopata mitandao ya simu na mabenki?

    Hebu tuzitafakari hizi kauli mfu za Naibu Spika: Ukizifikiria hizi kauli za Naibu Spika, utagundua ni kama serikali inaona gere kwa mapato wanayopata makampuni ya simu na mabenki kwenye miamala tunayoifanya wananchi. Na ndiyo maana mara ya kwanza kabisa tozo zilipoletwa mwaka jana zilikuwa...
  2. badison

    JamiiForums Tanzania Adui anatawala watu wanadamu bila wao kufahamu

    This one is for the people. Adui anatawala watu wanadamu bila wao kufahamu. Ni Siri kubwa iliyofichwa katika namba. Toka binadamu anazaliwa huwa kuna namba maalumu ambazo initiates yoyote ambaye yupo kitendo anaweza kufahamu destiny yako. Namba ya kwanza MTU anayopewa IPO katika cheti cha...
  3. Execute

    JamiiForums Tanzania Tigo Tanzania ni wezi kama wezi wengine tu

    Laini mpya kabisa. Nimeweka salio la elfu mbili na sijaitumia kabisa. Baada ya wiki mbili hela yote imepotea. Wiki nzima nawafuatilia mwisho wanasema ulijiunga na huduma kadhaa. Nawaomba wanitumie uthibitisho wamekaa kimya kwenye Facebook page yao.
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika ashauri Serikali kudhibiti makato ya Mabenki na Kampuni za Simu kwa wateja

    Baada ya Serikali kutangaza kufuta baadhi ya Tozo za miamala ya Kieletroniki, Naibu Spika Mussa Zungu amesema Serikali iangalie namna ya kupunguza makato yanayokatwa na Mabenki na Kampuni za Simu kwasababu yanazidi Tozo zinazochukuliwa na Serikali. Zungu amesema wananchi wengi hawatazami mapato...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza Simu Tecno Camon 18i

    Nauza simu yangu aina ya Tecno Camon 18i, ina Ram 4GB, ROM 128GB, ina support 4G, Camera 48MP ya nyuma, na mbele ni 8MP, battery yake ina ukubwa wa 5000mAh, ina glass protector, box yake ipo kama utahitaji, nimeitumia miezi miwili tu, bado iko kwenye hali nzuri, haina scratches wala crack...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye namba za simu kampuni ya PanAfrica

    Habari za majukumu. Tafadhalini natafuta namba za simu za kampuni ya PanAfrica ni watengenezaji wa bidhaa za plastiki { Galons } , naomba msaada kwa hilo tafadhalini. Wasalaam
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwonekano mpya wa simu ya OnePlus 11 Pro umevuja

    OnePlus ilikuwa ni brand nzuri sana katika design, lakini kwa zaidi ya miaka mingi inabadili mwonekano wake kila muda na fans wake hawapendi kuona kila model ina design yake. Mwaka jana katika OnePlus 10 Pro ilikuwa na mwonekano mpya wa kamera lakini wengi hawakupenda mwonekano ule. Jambo la...
  8. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Hii mitandao ya simu ina matatizo gani?

    Leo nimejaribu kuweka kifurushi cha mtandao wa Vodacom cha shilingi elfu tano, kama GB 2 hivi. Baada ya matumizi ya dakika 45 ya kuperuzi mtandaoni tu, nimetumiwa ujumbe kwamba nimeshatumia asilimia 75% na nimebakiwa na MB 600 tu. Kiukweli haya ni mauzauza ambayo yamenifanya nibaki nacheka na...
  9. royal tourtz

    JamiiForums Tanzania mdada au mmama wa kuchat au kuongea naye usiku huu kwenye simu

    za usiku huu wakuu, leo tena natupa jiwe angani, naamini kuwa wahitaji kama mimi pia, kama kuna mdada au mmama ambaye yuko free japo tuchat au kuongea usiku huu sio mbaya kwangu namba yangu ni 0767066113 ila uzi huu ni valid hadi saa 11 asubuhi na ninaobwa moods wauset ujifute mda huo
  10. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Hizi simu mbona bei rahisi hivyo kunani

    Habari. Hawa mabwana wanajiita Samsung discount wapo china plaza bei zao ziko chini sana ukilinganisha na maduka mengi yanayo uza simu za kufanana na hizo mpaka nimeshawishi nataka nikachukue Note 10+ lakini ninakuwa na wasiwasi ebu team Samsung nitoeni uwoga na wasiwasi nataka nikaitie petrol...
  11. Poker

    JamiiForums Tanzania Mauzo ya iphone 14 pro na max yavunja rekodi. Zaidi ya simu milioni 10 mpaka sasa

    Kampuni ya Apple inc kupitia devices zake za iphone leo zimeweka rekodi duniani ambayo haijawahi kutokea. Zaidi ya devices 10 ml zimeuzwa leo huku ikiwa ni rekodi duniani. Iphone wanasema hiyo rekodi haiwezi vunjwa kwa miaka 100 ijayo na kampuni zote za simu hata zikishirikiana. Congrats 👏...
  12. Profit_Habari

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ipo haja ya kuja na mfumo unaowezesha kupata huduma za pesa za mitandao ya simu mbalimbali kwa pamoja

    Huduma za pesa mtandao kupitia simu za mkononi ni eeneo ambalo katika sekta ya uchumi linatajwa kukua kwa kasi sana kwenye huduma za kifadha kwa njia ya mtandao. Ripoti ya mwaka 2019 iliyotolewa na tasisi ya kimataifa ya GSMA Intelligence ilionyesha kuwa Tanzania ni mojawapo ya mataifa ya...
  13. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Serikali yaunda timu ya wataalamu kupitia upya sakata la Tozo. Yasema zitarekebishwa ila hazitaondoka

    Hii ndio taarifa ya motomoto.. ======= Serikali imeteua timu ya wataalam kufanyia kazi mkanganyiko wa tozo kwenye miamala ya fedha za simu na benki. Waziri Mwigulu Nchemba akiwa Tarime mkoani Mara kwenye mkutano wa hadhara amesema Serikali itaendelea kutoza tozo hizo lakini itafanya mabadiliko...
  14. Mtambo 1272019

    JamiiForums Tanzania SoC02 Matumizi sahihi ya simu janja na intaneti mashuleni hayaepukiki, yaruhusiwe

    WENU MTAMBO1272019 Maana ya simu janja. Ni aina ya rununu ambayo inafanya mambo mengi kuliko simu nyingine ya kawaida,zinzfanya kazi kama tarakililishi,lakini hiki ni chombo kinachobebeka na kidogo cha kutosha katika mkono wa mtumiaji(Andrew Nusca;20 AUGUST,2009). Matumizi ya simu janja...
  15. Burnaboy

    JamiiForums Tanzania Msaada ninunue sm gani kama upgrade ya Oppo A93?

    Solved
  16. lembu

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa simu za Samsung Arusha

    Habari za mchana ndugu zangu, Nina Samsung S9 Plus imeharibika kioo sasa ninataka aidha kurudishia kioo au kupata fundi wa kurecover contact zangu zilizopo kwenye hiyo simu. Niliisajili online na nilikuwa nafanya backup online ila sijui kama kuna jinsi ya kurestore hiyo backup bila kutyumia...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Google inajaribu kuweka mfumo wa kuchuja kelele kwenye calls

    Katika Android 13, kuna kipengele kipya kinaitwa “Clear Calling”. Kipengele hicho kinawezesha kuchuja na kuondoa kelele ambazo zinasikika kwenye calls. Mtumiaji wa Android 13 akiiwasha option hiyo, inaonekana inachuja kelele za background na inasaidia kama mtumiaji akiwa anaongea na simu katika...
  18. Infopaedia

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane maneno uliyosikia, anadhani amekata simu kumbe unasikia

    Kuna yale maneno ya mwisho hutokea unayasikia kwa bahati mbaya. Mwenzio anajua amekata simu kumbe bado iko hewani. Au anakosa subira na kuyaongea kidole kikielekea kukata simu. Nilipigiwa simu na shangazi yangu. Tukaongea, then akaniambia hana hela ya sukari. Nikasema, nitakutumia shangazi...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ivory Coast yaunda simu maalum ya wasiojua kusoma na kuandika

    Simu hiyo mahiri inayofanya kazi kwa sauti inalenga soko kubwa ambalo halizingatiwi kutoka nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara ambako mamilioni ya watu wanakabiliwa na changamoto za kutojua kusoma na kuandika Itatumia mfumo wa uendeshaji unaoitwa "Kone" ambao umeundwa na kampuni ya Cerco...
  20. Sozo_

    JamiiForums Tanzania Kukosea kupiga simu kwanini iwe kwa watu wa kabila moja?

    Mimi sio mfuasi wa kuponda makabila, nawapenda wote, hata mwenzi wangu sio wa kabila langu. Lakini najiuliza kwanini kila ninapopigiwa simu ya kukosewa huyo mtu anakuwa msukuma, kama sio mwanaume atakuwa mwanamke. Nawajuaje? Mara nyingi husalimia kikwao, ama kuita majina yao, tunaposhindwa...
Back
Top Bottom