simu

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Apple yapigwa faini Tsh. Bilioni 46.6 kwa kuuza simu bila chaja

    Jaji Caramuru Afonso Francisco wa Mahakama ya Haki za Kiraia ametoa hukumu hiyo na kuita utaratibu huo "matusi ya kibiashara" ambayo yanawalazimu wateja kununua bidhaa ya ziada Uamuzi huo unaoweza kukatiwa rufaa unakuja baada ya Apple kupigwa faini nyingine ya Tsh. Bilioni 5.8 kwa suala hilo...
  2. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wapewa saa 24 kukamilisha usajili wa line kabla ya kuzimiwa mawasiliano

    Watumiaji wa Simu nchini humo wamebakiwa na chini ya saa 24 kukamilisha usajili wa laini zao za simu kabla Mamlaka ya Mawasiliano (CAK) haijazima huduma za mawasiliano yao. Kwa mujibu wa CAK watumiaji simu na kampuni za mawasiliano waliongezewa muda wa miezi 6 kuanzia April 15, 2022 ambao...
  3. Ultimate

    JamiiForums Tanzania Natafuta simu aina ya NOKIA RM-872 Model 206

    Hello bosses Natafuta hii simu ya batani nokia rm 872 model 206 Budget yangu ni ya kawaida
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanaandika kwenye simu za nokia ya tochi vitufe vinalia utafikiri panya anatafuna mahindi stoo!

    Naona muda wa kulala unakaribia na wengine bado wanapiga safari moja huanzisha nyingine. Umewahi kukaa jirani na mtu mahali mnasubiri huduma labda kwenye taasisi fulani hivi halafu huyo mtu anatumia nokia ya tochi akawa anachati an anaandika msg ukasikia jinsi zile button...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania HADHARI: Usiongee na simu ukiendesha gari, utakufa utuachie mkeo

    Huwezi kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja. Hivi punde tumemkosa chup chup IST mmoja alikuwa anaingia barabarani kubwa huku anaongea na simu. Hii ni kasumba mbaya sana ambayo wengi wetu tunayo. Kuna wakati dreva anaongea na simu ya kawaida tu haina dharura yeyote. Epusha ajali zisizo za...
  6. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kampuni ya simu inadhulumu wanakijiji

    Wakuu amani, Nimefanya mawasiliano na ndugu yangu aliye kijijini mkoa wa Dodoma, mojawapo ya makampuni yetu ya simu (local) liliingia mkataba na kijiji miaka zaidi ya mitano iliyopita kwa ajili ya kuweka mnara wa mawasiliano kijijini hapo. Tatizo ni kuwa kampuni hilo halitekelezi sehemu yake ya...
  7. Isaac1

    JamiiForums Tanzania Kutumia simu mbili ktk simu moja

    Habari zenu naombeni kujua je ni aina gani ya redmi yenye uwezo wa kutumia kujigawa simu mbili kwenye simu moja ukiachilia redmi note 11?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kijana auawa na kuporwa simu

    Mkazi wa Mwananyamala, Manjunju mkoani Dar es Salaam, Billal Hoza (21), amefariki dunia baada ya kuvamiwa na kundi la vijana waliomchoma kisu sehemu mbalimbali za mwilini na kumpora simu. Vijana hao wapatao watano walimvamia kijana huyo aliyekuwa amekaa nje ya nyumba yao na kumchoma kisu...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mliokuwa kwenye ndoa: Usifuatilie simu ya mke wako utaishi miaka mingi

    Wale ambao wapo kwenye ndoa fanya yafuatayo utakuja kunishukuru Acha kushika wala kufuatilia simu ya wife. Usimpende kupita kiasi. Chukulia poa kila issues. Mwanamke yeyote duniani anatongozwa sana tu, kwa hiyo we potezea kumfuatilia wife, cha msingi usijue chochote. Kuwa busy kutafuta hela...
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo mwanaume unatakiwa na hutakiwi kufanya kwenye mawasiliano ya simu

    1. Usipige simu ikaita hadi ikakata. Huko ni kujikosea heshima. Labda uwe unapigia wazazi. 2. Usimpigie mwanaume mwenzako video call. Labda iwe kuelekeza kazi. 3. Isipigepige simu sana, pia usipige simu ukiwa na shida tu. 4 .........
  11. HabariTech

    JamiiForums Tanzania Namna ya kupata location ya simu ya mtu kwa namba ya Simu

    Hivi inawezekana kujua location ya mtu kwa kutumia namba ya simu? Hili ni swali ambalo nimeulizwa zaidi ya mara 10 mpaka sasa. Jibu ni ndiyo inawezekana kupata location ya simu ya mtu kwa kutumia namba ya simu anayotumia katika hiyo simu. Nilishaandika kuhusu “Kuona location, sms & calls za mtu...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Setting za kujua waliokupigia wakati umezima simu yako (MTANDAO WA TIGO)

    Habari Zenu Waheshimiwa……!!!!!!! Naomba kufahamishwa Settings za MTANDAO WA TIGO au Codes za Kujua alie kutafuta hewani/Au alie Kupigia wakati simu yako ikiwa Off Line/Au ikiwa Imezimwa………!!!!!!! Kwa mfano MTANDAO WA VODACOM kama uko Tanzania ukibonyeza hizi Code *62*0754125125# Ukiwa...
  13. ommytk

    JamiiForums Tanzania Kuweka au Kutokuweka WhatsApp status: Kuna uhusiano na mtu kuwa smart, msomi au tajiri?

    Kuna kasumba naona imezidi kushamili kuwa mtu aliweka status kwenye simu ni mtu ambaye sio smart maana mwanaume au mwanamke mwenye heshima zake humkuti na mambo ayo ya status kwenye simu au kuwa online mara kwa mara au pia kuwepo kwenye magroup. Je, hili lina uhalisia wowote?
  14. simojaxlegrand

    JamiiForums Tanzania Lipa kwa simu (Vodacom)

    Natengeneza Laini za Lipa kwa simu za Vodacom bure kabisa. Popote ulipo Tanzania unahudumiwa. Vigezo uwe na kitambulisho cha NIDA au Namba za nida. Mwenye uhitaji nicheck 0758381938
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Inashangaza sana, viongozi kuacha Tril. 360 za makinikia na kukomaa na tozo za line za simu kwa wananchi

    Hivi tunakwenda wapi jamani? Kwa nini msikomae na hawa wawekezaji wakubwa ili tupate matrlioni kuliko kukomaa na vijisenti vyetu?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu ya tozo za mabenki utaona tozo ya kuongeza salio kwenye laini za simu

    Mwigulu Nchemba na tozo nyingine tena. Tozo hii ni tozo ya laini ya simu. Yaani Ukiweka vocha tu kwenye simu yako wanakukata Tozo, licha ya ukweli kwamba kila ukiweka salio kwenye simu yako unakatwa kodi ya asilimia 18 ya VAT. Halafu Mwigulu Nchemba anakuja na habari zilezile za kodi ikajenge...
  17. Equation x

    JamiiForums Tanzania Nyie wadada, tupatieni namba zenu za simu

    Wengi katika mahusiano, huanza kwa kupeana namba za simu, na baadaye kuanza kuwasiliana, na hatimaye kuelewana katika mahusiano wanayotaka kuyaanzisha. Wakati mwingine kupewa namba ya simu imekuwa changamoto; unaweza ukaomba, na ukaishia kuzungushwa tu, na baadaye kutokuendelea kumsumbua...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Tengeneza pesa kwa ujuzi wa kurekebisha simu

    Je, umekuwa upo katika hali ya kujiuliza unaweza kujifunza ujuzi gani ambao utakuingizia pesa ya kujikimu kila siku. Nakumbuka mwaka 2015 nilikuwa kama wewe nimekaa nyumbani bila ujuzi wowote na kushindwa hata kuingiza pesa ya kula. Ndipo kwenye pita pita zangu YouTube nikakutana na huu ujuzi wa...
  19. Kamotee

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania

    Mwakani Elon Musk atazindua huduma ya internet kupitia kampuni yake ya Starlink. Elon Musk alisema kwenye tweet yake kuwa mwakani atazindua huduma ya internet ambayo itakuwa inapatikana dunia nzima bila kujali eneo gani upo. Ikumbukwe kuwa internet ya Elon Musk itakuwa inarushwa na satellite...
  20. Noizee maker

    JamiiForums Tanzania Nilipokosa cha kufanya kwa simu yangu nikaamua kutongoza customer care

    Siku moja niko zangu nimetulia tu hata sijui siku inaendaje,basi wakati nachezea simu mara paap nikapata wazo la kutongoza customer care 😂 Chap tu nikapiga 100 kila nikisikia sauti ya kiume nakata mara paap mtoto akapokea, hello naitwa mary unaitwa nani na unapiga simu kutoka wapi? Nikamjibu...
Back
Top Bottom