simu

  1. JamiiForums Tanzania Jaman nilikuwa nauliza vifaa vya muhimu kwenye biashara ya ufundi simu

    Ambaye ana sehemu nzuri ya kibiashara kuna fundi vifaa vya electronics anaitaji support
  2. JamiiForums Tanzania Kila kukicha watu wanaibiwa akiba ya pesa yao na hawa scammers kama Qnet, Scatec, eKyalinda, Mr.Kuku, Global motion Alliance nk

    Nipo kijiji cha Muruvyagira, wilaya ya Ngara njooni mnipige. Mamillioni ya fedha ambayo yamesombwa na yanaendelea kusombwa na haya “makampuni ya kimataifa” kama wajinga wanavyoyaita kwa kujitapa ni ushahidi kuntu kwamba asilimia kubwa ya watanzania tuna uwezo finyu sana wa kupembua na kung’amua...
  3. JamiiForums Tanzania Ipi simu nzuri kati ya iPhone 8 plus, iPhone X, iPhone XR, iPhone XS, iPhone SE na iPhone 11?

    Wakuu nahitaji kununua simu brand ya iPhone, kiukweli nimetarget kwenye efficiency ya camera, mana nafanya biashara mtandaoni so nahtaji simu yenye camera nzuri kwa picha na hata video. Kwa wale waliowahi kutumia hizi simu ipi ipo bora zaidi kati ya hizo nilizozitaja? Japo naona zote MP 12 ila...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Simu bora kwa laki 5 au 6

    Nataka simu bora kwa charge, speed, net work had 5 G, picha nuzri sana kwa sh laki 5 au 6. Nomba ushauri
  5. JamiiForums Tanzania Serikali ndio ya kulalamikiwa, Mitandao ya simu inafidia gharama zinazoongezwa na Serikali kwa kupandisha bei vifurushi

    Nimekuwa nikiona sehemu nyingi watu wanalalamikia mitandao ya simu kuongeza bei za vifurushi, hii sio sawa, tunalalamikia 2 badala ya kulalamimikia chanzo cha 1+1. Ni kama vile gharama za mafuta zikipanda basi nauli nazo zinapanda, si haki kuwalaumu wafanya biashara wenye mabasi. Ndivyo ilivyo...
  6. JamiiForums Tanzania Nyie wanawake mnadhani sisi wanaume pesa tunaokota? Huyu mwanamke kwa siku 1 ananipigia zaidi ya mara 30 sipokei simu yake

    Hi! Niliwahi kuleta Uzi nikasema wanawake maskini hasa wa mjini hawana mapenzi ya dhati kwa wanaume wapenzi wao. Wengi ni kama wapo na wanaume ili watatue shida zao za kiuchumi. Watakuigizia kukuita baby mara dear ili ujisikie unapendwa lakini kwa kweli ukifulia au yeye akipata mwanaume...
  7. JamiiForums Tanzania Vita Ukraine inazidi kututesa vifurushi vya simu vimepanda tena

    Wadau hii vita itaisha lini maisha yanazidi kutubana tu duh naona leo vifurushi vimepanda tena now 2000 mb kadhaa badala gb 1 ila tutafika tu japo tukiwa tumechoka sana
  8. JamiiForums Tanzania Thamani ya miamala ya Simu yapungua nchini

    Wakati idadi ya watumiaji wa huduma za fedha kwa simu za mkononi ikizidi kuongezeka, thamani ya miamala wanayoifanya inapungua kila uchao. Ripoti ya robo mwaka inayoishia Septemba 2022 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaonyesha idadi ya miamala imeongezeka kutoka zaidi ya milioni...
  9. JamiiForums Tanzania Vifurushi vya mitandao ya Simu vimepunguziwa ujazo, bei zimepanda zaidi, hali ni chungu

    Hata kwa elf 2 huwezii kununua Gb utaambulia MB, vifurushi vimepanda mno Kwa hali iliyopo Sasa kumetokea mabadiliko yanayoongeza ukali wa maisha kiuchumi kwenye kuvimudu vifurushi, mitandao ya Simu imepunguza ujazo wa vifurushi na kuvifanya viwe ghali zaidi. niliwahi kusema hivi vifurushi kuna...
  10. JamiiForums Tanzania Watumiaji wa simu, intaneti waongezeka Tanzania

    Watumiaji wa simu za mkononi wameendelea kuongezeka nchini ikielezwa kuwa ni kutokana na mazingira wezeshi katika sekta ya mawasiliano kuelekea uchumi wa kijidali. Hayo yamebainishwa katika ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) iliyotolewa leo Oktoba 25 jijini hapa. Kwa mujibu wa...
  11. JamiiForums Tanzania TECNO tumekuletea muonekano wa kipekee wa simu yetu ya mtiririko wa CAMON 19 PRO

    TECNO tumedhamiria kuendelea kuwafurahisha wateja watu kwa kutoa toleo lenye muonekano mpya linalokwenda kwa jina la CAMON 19 PRO Mondrian. Simu hii ina uwezo mkubwa na muonekano wa kuvutia na wakipekee kuwahi kutokea
  12. JamiiForums Tanzania Matumizi ya SMS na Simu yanapungua, wamejua na wanaongeza bei za data

    Kwenye mawasiliano mtu anaweza kutumia SMS au simu za kawaida kuwasiliana. Hata hivyo uwepo wa internet unaonesha watu wengi wanapiga simu kwa namna nyingine tofauti na kutumia ujumbe kwa njia nyingine zaidi ya SMS. Uwepo wa mitandao kama WhatsApp, Telegram etc unaonesha watu wanaweza kupigiana...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni nini kampuni za mwasiliano ya simu kutuma ujumbe wa kifurushi kwisha wakati bado

    Salamu jf na mara baada salamu ni vizuri tuwaeleze hawa ndugu tusipuuzie hivi vitu ingawa vinaonekana vidogo. Watueleze tatizo ni nini kama program zao hazimatch tuombe hata kina max waende wakawasaidie kuset hizo program zao. Mb 100 zinasoma unaniambia kifurushi chako kimeisha halafu wewe...
  14. JamiiForums Tanzania NAUZA SIMU INFINIX SMART 5

    wakuu nauza simu infinix smart 5. Simu haina tatizo lolote.RAM 2, Storage 32 GB, MAH 5000 price yake 150,000 Location nipo Mbeya
  15. JamiiForums Tanzania Waukraine watakiwa wachaji simu zao mapema wakati Berluscon amlaumu Zelensky

    Shirika la umeme la Ukraine ,Ukrenergo limewataka wateja wake wawe wakichaji simu zao mapema na tochi kwani hali ya upatikanaji wa umeme imezidi kuwa mbaya huku hofu ya kushambuliwa zaidi kwa vinu vya umeme kutoka majeshi ya Urusi ikiongezeka. Katika nasaha zake katika kipindi hiki cha baridi...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu yanaweza kurekodi kila simu inayopigwa au kupiga?

    Habari wakuu, baada ya kuvutana kwa mabishano ya hoja hapa tulipo nimeona nije JF kuuliza kuhusu hili. Hivi kampuni yoyote ya simu ina uwezo wa kurekodi maongezi ya kila mteja wake kwa simu anazopiga au kupigiwa (maongezi)? Yaani hata zile simu za salam, au wanachukua hatua ya kurekodi tu pale...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Simu yangu imepatwa na "ghost touch", msaada tafadhali

    Habari wakuu, Nina simu Samsung Galaxy Grand Prime+ imepatwa na hili tatizo linaloitwa ghost touch. Yaani screen inachezacheza yenyewe bila kubonyezwa na mtu. Nimejaribu njia kadhaa nilizoona mtandaoni kama restart, update software, clean screen lakini hazikufaa. Mwenye ujuzi naomba msaada...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safaricom yatuhumiwa kubadili usajili wa laini ya mteja na kuruhusu wizi wa Tsh. Milioni 7.6

    Abdi Zeila amefungua kesi ya madai dhidi ya kampuni hiyo ya Mawasiliano akiituhumu kufanya mabadiliko hayo kitendo kilichopelekea kutolewa fedha kupitia Benki ya NCBA bila ridhaa yake. Zeila amesema wizi huo usingewezekana bila kuwepo mtu mwenye kibali cha kuifikia mifumo ya Taarifa Binafsi za...
  19. JamiiForums Tanzania Kumpenda nampenda ila mimi ni aina ya mtu nisiyependa kuongea kwa simu

    Tuko mbali mikoa tofauti, hapa kisanga ndipo kinakuja. Anapenda kupiga piga simu mara kwa mara, sasa mara nyingi najikuta namkatiza ilee.. "Samahani ngoja nitakupigia baadae kidogo". Kiukweli muda huo unakuta shughuli imenitinga na ukizingatia aina ya shughuli zangu haziruhusu sana kuongea kwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Waislam tuachane na adhana tutumie alarm za simu zetu

    Unakijua king'ora? Sio kile cha zimamoto au msafara wa wakubwa. Nikiwa mdogo pale bandarini ikifika asubuhi nuda wa kazi kinapigwa mji mzima wa mzizima mnakisikia., Mchana pia lunch break kitapigwa. Na alasiri jumaliza kazi kitaoigwa Mwaka jana nikiwa unguja nilikisikia,tena chao kikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…